TRUMP IN CORT LIVE
TRUMP IN CORT
MAKAMU WA RAIS AHOFIA KERO KUELEKEA UCHAGUZI
Makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dkt,Philipo Mpango amesema licha ya kazi kubwa zinazofanywa naserikali za kuwaletea maendeleo wananchi,bado kuna changamoto na kero mbalimbali kwenye jamii hasa migogoro ya ardhi.
Dr,Mpango amesema hayo Machi 13,2024 wakati wa hafla ya kuapisha viongozi mbalimbali walioteuliwa na Rais Hivi karibunI
INSTA: UCHUMI TV
X :UCHUMI TV
YOUTUBE:UCHUMI TV
ZOEZI LA UTAYARI
#LIVE:ZOEZI LA UTAYARI DHIDI YA DHARURA ZA KIKEMIKALI NA KIMIONZI TANZANIA
LIVE:MKUTANO KUHUSU WATOTO
MKUTANO WA WATOTO
UCHUMI TV
BARAZA LA WANAWAKE CHADEMA BAVICHA WANAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
KIPINDI MAALUM KUHUSU MAJUKUMU YA TANESCO
Kipindi kinakujia kutoka Studo za Uchumi TV
MSIBA WA TAIFA:MAZISHI YA HAYATI MWINYI
Mheshimiwa Alhaj Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza Serekali ya Awamu ya Pili aliingia madarakani rasmi tarehe 5 Novemba 1985. Mheshimiwa Alhaj Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Mkuranga, mkoa wa Pwani tarehe 5 mei, 1925.
Alikuwa mwalimu wa shule za msingi za Mangapwani na Bumbwini, Zanzibar.Kisiasa, mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi alijiunga na chama cha Afro Shiraz(ASP) mwaka 1964 na kushika nyadhifa mbali mbali za serekali ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama vile katibu mkuu, Wizara ya Elimu Zanzibar 1963, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1970 na kati ya mwaka 1982 hadi 1983 alikuwa Waziri wa Afya, Wizara ya Mambo ya Ndani, Maliasili na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Misri. Mwaka 1984 alichaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi pia ana cheti cha umahiri wa lugha ya kiingereza, alichohitimu katika taasisi ya Regent, Uingereza mwaka 1960 na cheti cha umahiri wa lugha ya kiarabu alichohitimu, Cairo, Misri, mwaka 1972-74.
MAZISHI YA HAYATI MWINYI

LIVE:ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI MARA
Karibu uchumi TV
LIVE:MKUTANO WA HADHARA WAZRI MKUU AKIWA SIRARI MARA
Anaongea na wananchi
LIVE:ZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYA YA SIRARI MKOA WA MARA
NI SEHEMU YA ZIARA YAKE KATIKA MKOA WA MARA
LIVE:KIFO CHA EDWARD LOWASSA SHUGHULI YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU NYUMBANI KWAKE
Unapokea matangazo haya kupitia uchumi TV