Dino television

  • Home
  • Dino television

Dino television Karibu tuzungumze Michezo na Burudani. Instagram |° YouTube |° Tiktok television

02/02/2025

FULL TIME ⏰

Tabora Utd 0️⃣ ➖ 3️⃣ Simba Sc

⚽ 12' Lionel Ateba (🅰️ Mpanzu)
⚽️ 34' Lionel Ateba (P)
⚽️ 66' Kapombe (🅰️ Ateba)

🇹🇿

29/01/2025

Hii hapa video nzima ya mshambuliaji wa klabu ya simba alivyotumia siku yake nzima na shabiki yake kindakindaki.

Tunafosi sare na Nigeria 🇳🇬  Tunisia 🇹🇳  uhakika anakufa, Uganda point3 mapema tu anatuachia na migoli ya kutosha afu ki...
27/01/2025

Tunafosi sare na Nigeria 🇳🇬 Tunisia 🇹🇳 uhakika anakufa, Uganda point3 mapema tu anatuachia na migoli ya kutosha afu kilele hiko🚀
Taifa stars Hatuchek na wowote😣

Nimekusogezea MECHI KUMI (10) zijazo watakazocheza  young africans katika ligi kuu ya Tanzania bara 🇹🇿  baada ya marekeb...
22/01/2025

Nimekusogezea MECHI KUMI (10) zijazo watakazocheza young africans katika ligi kuu ya Tanzania bara 🇹🇿 baada ya marekebisho mapya ya ratiba yaliyotolewa na bodi ya ligi.

mechi ya kwanza Yanga SC watawakaribisha Kagera Sugar katika uwanja wa KMC Complex.

inayofuata ni Yanga SC dhidi ya Kengold ambayo itapigwa KMC Complex.

then JKT Tanzania watamkaribisha Yanga SC katika uwanja wa (Meja. Jeneraly .Isamuhyo)
baada hii itafuatia

Yanga SC dhidi ya KMC fc itakayochezwa (KMC Complex)

Yanga SC tena watamkaribisha Singida Black Stars katika uwanja wa (KMC Complex) baada ya hii, young africans
wataifuata
Mashujaa fc katika uwanja wa (Lake Tanganyika) huko Kigoma.
baada ya hapo Yanga watasafiri tena kuelekea mwanza kukipiga dhidi ya Pamba JiJi FC kwenye uwanja wa (CCM Kirumba)
then watarudi nyumbani kwaajili ya Derby ya kariakoo Yanga SC dhidi ya Simba sc ktk uwanja wa (Benjamin Mkapa) baada ya derby watasafiri kuwafuata nyuki wa Tabora, Tabora United ktk uwanja wa (Ali Hasan Mwinyi)
alafu watarudi nyumbani KMC Complex
kukipiga dhidi ya Coastal Union. hizo ndio mechi kumi zijazo za young africans katika ligikuu ya Tanzania bara, ni mechi gani? unaisubiri kwa hamu kubwa kweli kweli? uwanja wa maoni ni wako, hii hapa ni supa12 ya dino television endelea kutufollow kwa taarifa nyingi zaidi za kimichezo.

HIZI HAPA MECHI KUMI (10) ZIJAZO ZA MNYAMA  SIMBA  SC KWENYE LIGI KUU TANZANIA BARA 🇹🇿 (NBC PREMIER LEAGUE) Baada yamare...
22/01/2025

HIZI HAPA MECHI KUMI (10) ZIJAZO ZA MNYAMA SIMBA SC KWENYE LIGI KUU TANZANIA BARA 🇹🇿 (NBC PREMIER LEAGUE) Baada yamarekebisho mapya ya ratiba yaliyofanywa na bodi ya ligi.

Mechi ya kwanza Simba SC wanaanzia ugenini wakiwafuata nyuki wa Tabora, Tabora united katika uwanja wao wa nyumbani (Ali Hassan Mwinyi)
ya pili watasafiri mpaka manyara kuwafuata
Fountain Gate FC mechi itapigwa katika uwanja wa (Tanzanite Kwaraa)
baada ya hapo simba sc watarudi nyumbani kuvaana na wajelajela
Tanzania Prisons uwanja wa (KMC Complex)

Simba SC watarudi nyumbani kukipiga na walima zabibu Dodoma JiJi katika uwanja wa (KMC Complex)
baada ya hapo simba sc watasafiri mpaka Lindi kuifuata
➡️Namungo FC katikauwanja wa (Majaliwa Stadium)

➡️Simba SC watarudi (KMC Complex) kumkaribisha
Azam FC, baada ya hii, Simba sc watasafiri kuelekea jijini Tanga kukutana na
➡️Coastal Union FC uwanja wa (Sheikh amri Abeid)
then watarudi jijini Dar es Salaam
kuumana na watani wao
➡️Yanga SC uwanja wa (Benjamin Mkapa)
baada ya Derby
➡️JKT TZ watawakaribisha Simba SC ktk uwanja wa (Meja .Jeneral. Isamuhyo)
mechi ya 10 watakaribishwa na
➡️KMC uwanja wa (KMC Complex)
yes hizo ndio mechi kumi zijazo za wekundu wa msimbazi, simba sc kwenye ligikuu ya Tanzania bara nbc primier league, Ni upi? utabiri wako hapa? Simba wanashinda ngp? wata sare ngp? na kupoteza ngap? katika mechi hizo 10? uwanja wa maoni ni wako. hii hapa ni supa12 ya dino television endelea kutufollow kwa taarifa nyingi zaidi za kimichezo.

Nimekusogezea MECHI KUMI (10) zijazo watakazocheza  Azam fc katika ligi kuu ya Tanzania bara 🇹🇿  baada ya marekebisho ma...
22/01/2025

Nimekusogezea MECHI KUMI (10) zijazo watakazocheza Azam fc katika ligi kuu ya Tanzania bara 🇹🇿 baada ya marekebisho mapya ya ratiba yaliyotolewa na bodi ya ligi.

mechi ya kwanza Azam football club watawakaribisha Kmc fc katika uwanja wao wa nyumbani ( Azam Complex.)

baada ya hapo AZAM watasafiri kuelekea jijini mwanza kuwafuata wana Tp lindanda, Pamba jiji fc, mchezo utapigwa katika uwanja wa CCM Kirumba.

then watarudi nyumbani Azam complex, kumkaribisha Mashujaa football Club

baada hii, AZAM FC watasafiri kuelekea Jijini Arusha kukipiga na Coastal Union, katika uwanja wa SHEIKH AMRI ABEID.

AZAM FC watarudi Dar es Salaam kwenda kuvaana na Mnyama SIMBA SC katika uwanja wa (KMC Complex)
baada ya mechi dhidi ya simba,
AZAM FC watawakaribisha Namungo fc katika viwanja vya Azam complex chamazi, baada ya mechi hiyo Azam fc watasaliana hapo hapo chamazi wakiwakaribisha wajela jela, Tanzania prisons.
then Azam fc watasafiri mpaka jijini Mbeya
wakaifuata Kengold katika uwanja Wa Sokoine. Azamfc watasafiri tenah kuelekea mkoani Singida kukipiga na Singida Black Stars katika uwanja wa Ccm liti,
Azamfc watasafiri tenah kuelekea kwa walima miwa Kagera Sugar, mechi itapigwa katika uwanja wa kaitaba.
then Azamfc watarejea nyumbani Azam complex chamazi, wakiwakaribisha wananchi Young africans.
baada ya Mzizima Derby Azam fc watawakaribisha walima zabibu wa dodoma, Dodoma Jiji FC, baada ya hapo Azam watakuwa na kibarua kizito wakiwakaribisha nyuki wa Tabora, Tabora United, pale pale Azam complex chamazi.
mechi ya mwisho wanaimalizia hapo hapo nyumbani kwao azam complex dhidi ya Fountain Gate FC.
hizo ndio mechi za mwisho za azamfc katika ligikuu ya Tanzania bara, Unaiona azam fc ikishinda ngapi? na kutoa sare ngapi? ama kufungwa ngapi? niambie hapo kwenye comment, hii hapa ni supa12 ya dino television endelea kutufollow kwa taarifa nyingi zaidi za kimichezo.

klabu ya yanga young africans wamethibitisha kumsajili Winga Jonathan IkangaLombo Raia wa nchi ya CONGO DR🇨🇩 Jonathan ka...
16/01/2025

klabu ya yanga young africans wamethibitisha kumsajili Winga Jonathan IkangaLombo Raia wa nchi ya CONGO DR🇨🇩 Jonathan kabla ya kujiunga na klabu ya yanga alikua akiitumikia AS Vita Club, Jonathan amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga.

15/01/2025

Live: Uchambuzi wa kitabu cha niite Dikson Job

Kuna goli ngapi? Leo
05/01/2025

Kuna goli ngapi? Leo

Umekiona kikosi?Liverpool  x Man U
05/01/2025

Umekiona kikosi?
Liverpool x Man U

Kikosi cha ushindi hiki hapa! Unaziona goli ngapi? Leo
05/01/2025

Kikosi cha ushindi hiki hapa! Unaziona goli ngapi? Leo

Half time ⏰️YANGA SC 1️⃣ - 1️⃣ TP MAZEMBE
04/01/2025

Half time ⏰️
YANGA SC 1️⃣ - 1️⃣ TP MAZEMBE

Mwonekano mpya wa Yao kwasi Atohoula
27/12/2024

Mwonekano mpya wa Yao kwasi Atohoula

Full Time ⏰️Liverpool 3️⃣ - 1️⃣ LeicesterWolves 2️⃣ - 0️⃣ Man UtdAFC Bournemouth 0️⃣ - 0️⃣C Palace Chelsea 1️⃣ - 2️⃣ Ful...
27/12/2024

Full Time ⏰️

Liverpool 3️⃣ - 1️⃣ Leicester
Wolves 2️⃣ - 0️⃣ Man Utd
AFC Bournemouth 0️⃣ - 0️⃣C Palace
Chelsea 1️⃣ - 2️⃣ Fulham
Newcastle 3️⃣ - 0️⃣ Aston Villa
Nottm Forest 1️⃣- 0️⃣ Tottenham hotspurs
Southampton 0️⃣ - 1️⃣ West Ham
Man City 1️⃣ - 1️⃣ Everton
🇬🇧

25/12/2024

Ila simba sc na Dakika za jioniiii🙌🙌

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dino television posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share