Agape Television Network ( ATN )

Agape Television Network ( ATN ) TWITTER: https://twitter.com/ATN_TZ
YOUTUBE: https://www.youtube.com/ ATN is the Educational and Inspirational Channel in Tanzania.

ATN has 9 stations all over the country and very wide coverage. The stations are located in: Dar-es-Salaam, Morogoro, Arusha, Tanga, Dodoma, Mwanza, Kigoma, Sumbawanga, Mbeya. Agape Television Network (ATN) the Educational and Inspirational Channel in Tanzania since September 15, 2001. Education in all areas are the most crucial part of this network. Since its inception till today various programs

from religious to secular education is being produced and broadcasted through out. Programs such as: Newspapers reading on headlines which is being rebroadcasted via other radio stations in Tanzania everyday is a program in demand. Local and International news programs, sports, music, education on women, men, youth, various discussion programs, religious education, children's programs, matters arising, programs, movies etc are part of their packages. Any organization or institution who wishes to use ATN to educate in any area are welcome to use this media channel.

11/01/2024
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezichangia Timu za Taifa Tsh. milioni 500 kupitia harambee ya kuchangia Tim...
11/01/2024

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezichangia Timu za Taifa Tsh. milioni 500 kupitia harambee ya kuchangia Timu hizo iliyofanyika Jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo ikiongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Kamati ya Hamasa.

Akiongea na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa njia ya simu, Rais Samia amenukuliwa akisema “Michezo ni jukumu letu, ni jukumu la Serikali ni jukumu la Watanzania, Serikali k**a mnavyojua tumejitahidi sana kukuza michezo”

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua  Musa Kuji kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa ...
11/01/2024

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Musa Kuji kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Kuji alikuwa akikaimu nafasi hiyo

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua aliyewahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Dkt. Athuman Kihamia ...
11/01/2024

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua aliyewahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), akichukua nafasi ya Dkt. Edwin P. Mhede ambaye uteuzi wake umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine.

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefanya ziara katika chanzo cha maji cha Ihelele kilichopo Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza ...
10/01/2024

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefanya ziara katika chanzo cha maji cha Ihelele kilichopo Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza ikiwa ni mradi mkubwa wa kimkakati wenye thamani zaidi ya Tsh. bilioni 900 na kuendeshwa na Taasisi chini ya Wizara ya Maji ya KASHWASA ambapo chanzo hiki cha Ziwa Victoria kinahudumia Mikoa sita na Mamlaka za Maji nane ambazo Shinyanga, Kahama, Maganzo Tabora, Nzega, Igunga, Kishapu na Mwausa-Ngudu.

Katika ziara hiyo Waziri Aweso ameeleza kutoridhishwa na uendeshaji na utendaji kazi wa Mamlaka ya Maji KASHWASA kutokana na kuwepo kwa changamoto mbalimbali za uendeshaji ikiwa ni pamoja na upungufu wa dawa za kutibu na kusafisha maji ambapo amemtaka Mkurugenzi wa KASHWASA Eng Patrick Zamba na Menejimenti yake kujitathmini na kueleza kwamba hatosita kuchukua hatua hali ya utendaji kazi isipobadilika haraka

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufa...
10/01/2024

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufanya tathmini ya eneo la Mtanana katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma ambalo jana January 9, 2024 lilijaa maji na kusababisha barabara hiyo kufungwa majira ya asubuhi.

Pia ameagiza kuwasilishwa kwa mkakati wa kudumu wa kudhibiti eneo hilo na maeneo yote korofi nchini ambayo hupata changamoto pindi mvua zinaponyesha “Mawasiliano ya barabara yamekuwa yakifungwa kutokana na maji kuvuka eneo la Mtanana, hivyo lazima tutafute suluhu ya kudumu ili barabara ipitike vipindi vyote vya mwaka”

Watu saba wameripotiwa kuugua ugonjwa wa kipindupindu Jijini Mwanza huku wengine 18 wakichunguzwa afya zao baada ya kuis...
10/01/2024

Watu saba wameripotiwa kuugua ugonjwa wa kipindupindu Jijini Mwanza huku wengine 18 wakichunguzwa afya zao baada ya kuishi au kukutana na Wagonjwa hao kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji hilo.

Mganga Mkuu wa Jiji la Mwanza, Dr. Sebastian Pima amesema Mgonjwa wa kwanza alibainika January 04,2024 “Tulipokea Watu wawili wakiwa na dalili za kipindupindu wakiwa wametokea Mkoa jirani wa Simiyu ambako wanadai walienda kwenye msiba, wakiwa wanarudi walipata dalili za kuharisha na kutapika wakaenda kwenye Kituo cha Afya walivyopimwa tukabaini wana kipindupindu”

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila ametoa onyo kwa Wakuu wa Shule zote za Mkoa wa Dar es salaam ambao wanac...
09/01/2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila ametoa onyo kwa Wakuu wa Shule zote za Mkoa wa Dar es salaam ambao wanachangisha Wanafunzi michango ambayo imeshalipwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bila ya kuwa na ridhaa kutoka katika Mamlala husika.

Amesema hayo leo January 08,2024 wakati wa ziara fupi ya kukagua Shule za Sekondari na Msingi za Jijini Dar es salaam sambamba na kuangalia mahudhurio ya Wanafunzi baada ya kufunguliwa kwa Shule.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amemuelekeza Naibu Katibu Mk...
09/01/2024

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amemuelekeza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Dkt. Charles Msonde kuhakikisha wanafanya msawazo wa walimu katika shule zote zilizopo kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Waziri Mchengerwa ametoa agizo hilo baada ya ziara yake ya kukagua mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Amesema kupitia utaratibu wa viongozi kupita shuleni kupokea wanafunzi wa awali, darasa la kwanza na kidato cha kwanza wamebaini mlundikano wa walimu kwenye baadhi ya shule huku kukiwa na walimu wachache kwenye shule zingine.

Mtumishi wa MUNGU Apoostle DR. VERNON FERNANDES akihudumu katika ibada ya JUMAPILI iliyo fanyika kanisani AGAPE LIFE CHU...
07/01/2024

Mtumishi wa MUNGU Apoostle DR. VERNON FERNANDES akihudumu katika ibada ya JUMAPILI iliyo fanyika kanisani AGAPE LIFE CHURCH,Mbezi beach jogoo Dar-es-salaam.

07/01/2024
07/01/2024

Shaloom
Tunapenda kukukaribisha kanisani kwetu uabudu nasi Agape Life Church Mbezi Beach Jogoo

KARIBU USHIRIKI NASI KATIKA IBADA TAKATIFU YA JUMAPILI
07/01/2024

KARIBU USHIRIKI NASI KATIKA IBADA TAKATIFU YA JUMAPILI

06/01/2024

Maoni ya watu mbalimbali walio shiriki WEALTH CREATION SEMINAR
SEMINA MAALUM YA 'KUZALISHA MALI.

06/01/2024

Mfanya biashara Bernice Fernandes Akifundisha katika semina maalum ya WEALTH CREATION SEMINAR
SEMINA MAALUM 'KUZALISHA MALI' SIKU YA PILI 6/1/2024

06/01/2024

Mfanya biashara, Benjamin Fernandes Akifundisha katika semina maalum ya WEALTH CREATION SEMINAR
SEMINA MAALUM 'KUZALISHA MALI' SIKU YA PILI 6/1/2024

06/01/2024

Mtumishi wa MUNGU, Rev. Dr. Vernon Fernandes Akifundisha katika semina maalum ya WEALTH CREATION SEMINAR
SEMINA MAALUM 'KUZALISHA MALI' SIKU YA PILI 6/1/2024

06/01/2024

ICE BREAK BY OUR SEMINAR MODERATOR.
WEALTH CREATION SEMINAR
SEMINA MAALUM 'KUZALISHA MALI' SIKU YA PILI 6/1/2024

06/01/2024

Mtumishi wa MUNGU na mfanya biashara Bernice Fernandes FERNANDES Akifundisha katika semina maalum ya WEALTH CREATION SEMINAR
SEMINA MAALUM 'KUZALISHA MALI' SIKU YA KWANZA 5/1/2024

06/01/2024

Mfanya biashara Benjamin Fernandes Akifundisha katika semina maalum ya WEALTH CREATION SEMINAR
SEMINA MAALUM 'KUZALISHA MALI' SIKU YA KWANZA 5/1/2024
[DAY 01.]

06/01/2024

Apostle Rev. Dr. Vernon Fernandes Akifundisha katika semina maalum ya WEALTH CREATION SEMINAR

06/01/2024
06/01/2024

SEMINA MAALUM 'KUZALISHA MALI' SIKU YA PILI 6/1/2024

06/01/2024

SEMINA MAALUM: KUZALISHA MALI SIKU YA PILI 6/1/2024

05/01/2024
Wajasiriamali, wafanyabiashara, watumishi wa Mungu na watu mbali mbali ambao kwa pamoja walioshiriki kuhudhuria semina y...
05/01/2024

Wajasiriamali, wafanyabiashara, watumishi wa Mungu na watu mbali mbali ambao kwa pamoja walioshiriki kuhudhuria semina ya uzalishaji mali iliyofanyika katika kanisa la Agape Life Church Mbezi Beach Jogoo

Address

Mbezi Beach Jogoo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Agape Television Network ( ATN ) posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category


Other TV Channels in Dar es Salaam

Show All

You may also like