Binago TV

Binago TV BinagoTV - Social Links / Website | Blogger | App
(5)

🚨 π™ˆπ˜Όπ™…π™„π˜½π™ π™”π˜Ό π™†π™€π™Žπ™„ π™”π˜Ό π˜Ώπ™π˜½π™€ ⚽️ "Tumeiachia k**ati ifanye maamuzi" πŸ—£: Prince Dube (27) πŸ‡ΏπŸ‡ΌMwanasheria wa Prince Dube, Respici...
18/04/2024

🚨 π™ˆπ˜Όπ™…π™„π˜½π™ π™”π˜Ό π™†π™€π™Žπ™„ π™”π˜Ό π˜Ώπ™π˜½π™€ ⚽️

"Tumeiachia k**ati ifanye maamuzi"

πŸ—£: Prince Dube (27) πŸ‡ΏπŸ‡Ό

Mwanasheria wa Prince Dube, Respicius Didas amezungumza na waandishi wa habari mara baada ya kesi ya mchezaji huyo dhidi ya klabu ya Azam kusikilizwa na k**ati ya Sheria na hadhi za wachezaji.

Didas amesema pande zote mbili zimesikilizwa, majibu bado hayajatoka wameambiwa yatatoka Jumamosi April 20.

Kimsingi sh*taka la Prince Dube kwa Azam ni kuhusu UHALALI wa mkataba ..

Wakili Didas amesema wao wanatambua kuwa mkataba wa Prince Dube na Azam FC unamalizika July 2024. Ile extension hadi 2026 ilikosewa haiko kwenye SYSTEM.

Azam FC wao wanasema mkataba wa Prince Dube unamalizika June 2026.

Mambo ni πŸ”₯ ⚽️
18/04/2024

Mambo ni πŸ”₯ ⚽️

God's world available for people who are in need for it!God loves you,it's time to get a new chance with him!Change for the best!best

🚨Shirikisho la soka la Ukraine likiongozwa na Andriy Shevchenko lilianzisha majaribio ya kutambua uwongo kwa waamuzi kwa...
18/04/2024

🚨Shirikisho la soka la Ukraine likiongozwa na Andriy Shevchenko lilianzisha majaribio ya kutambua uwongo kwa waamuzi kwa kutumia VIFAA MAALUM Watakuwa wanafanya jaribio hili mara moja au mbili kwa kushtukiza wakati wa msimu ili kujaribu kutokomeza ufisadi.

Hii iletwe na TZ? Toa maoni yako ⚽️ πŸ”₯

Prince Dube aipeleka Azam FC kwenye K**ati ya Sheria ya Shirikisho la Soka Tanzania kuhusu masuala ya mkataba wake.  πŸš¨πŸ‡ΏπŸ‡Ό...
18/04/2024

Prince Dube aipeleka Azam FC kwenye K**ati ya Sheria ya Shirikisho la Soka Tanzania kuhusu masuala ya mkataba wake. πŸš¨πŸ‡ΏπŸ‡Ό

Kesi hiyo itasikilizwa leo. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

CC Micky JR... Toa maoni yako ⚽️ πŸ”₯

Habari za asubuhi! Karibu katika kurasa za Magazeti leo,  Bofya πŸ‘‡πŸ½
17/04/2024

Habari za asubuhi! Karibu katika kurasa za Magazeti leo, Bofya πŸ‘‡πŸ½

God's world available for people who are in need for it!God loves you,it's time to get a new chance with him!Change for the best!best

🚨KISA MALIMBIKIZI YA MSHAHARA AAMUA KUONDOKA KAMBINI ⚽️ Kiungo  wa Singida Fountain Gate FC , Yusuph Kagoma  amekimbia  ...
16/04/2024

🚨KISA MALIMBIKIZI YA MSHAHARA AAMUA KUONDOKA KAMBINI ⚽️

Kiungo wa Singida Fountain Gate FC , Yusuph Kagoma amekimbia kambini kufatia kutolipwa mshahara wake wa miezi minne ndani ya kikosi hicho.

Kupitia chanzo ambacho hakijataka kutwaja jina lake kimesema mchezaji huyo yupo nyumbani kwao Kigoma akiendeea na mazoezi akisubiri mkataba wake kumalizika msimu huu 2023 – 2024..

Follow Binago TV

πŸš¨π˜Ύπ™Šπ™‰π™π™„π™π™ˆπ™€π˜Ώ.. African Football League (AFL) sasa itakuwa shindano namba moja la vilabu barani Afrika.  🌍✨Ligi ya Mabingwa...
16/04/2024

πŸš¨π˜Ύπ™Šπ™‰π™π™„π™π™ˆπ™€π˜Ώ.. African Football League (AFL) sasa itakuwa shindano namba moja la vilabu barani Afrika. 🌍✨

Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions) itakuwa ya pili. K**a vile Kombe la Shirikisho lilivyokuwa lakini safari hii, vilabu vitaongezwa.

AFL itaanza msimu ujao ambapo mshindi atawakilisha Afrika katika Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2029, na timu 24 ndio zitashiriki Kombe ilo.

Pointi hizo zitawekwa kwenye Nafasi za Vilabu vya CAF.

NB:Timu ikitolewa AFL haitocheza CAFCL, ukitoka ndio umetoka na kuaga.. mashindano

Bye-bye CAF Confederation Cup... karibu AFL

Toa maoni yako ⚽️ πŸ”₯ CC Micky JR

⚽️ ACHANENI NA HADITHI ZA KUIPIGA SIMBA GOLI 20 πŸ”₯ β€œHizo hadithi ambazo mnazo kwenye magroup ya WhatsApp kwamba tunakwend...
15/04/2024

⚽️ ACHANENI NA HADITHI ZA KUIPIGA SIMBA GOLI 20 πŸ”₯

β€œHizo hadithi ambazo mnazo kwenye magroup ya WhatsApp kwamba tunakwenda kumpiga mtu 20 nawaomba tuzibadilishe, naomba tuchukue focus ya kuchukua alama 3, hatutakuwa mabingwa kwa kumpiga Simba 100 tutakuwa mabingwa kwa kuwa na alama nyingi zaidi ya timu inayoshika nafasi ya pili.

β€œNovemba tano tulienda na ajenda ya alama tatu bahati nzuri kwetu wakachukua kiganja, jumamosi tunaenda kutafuta alama tatu ila wakajichanganya wakaamka vibaya tutalaumiana,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.

🚨 πƒπŽππ„ 𝐃𝐄𝐀𝐋 ⚽️ πŸ”₯  ➑️Victorien Adebayor kwenda Singida Black Stars, awali ikijulikana k**a Ihefu FC, usajili umekamilika!...
15/04/2024

🚨 πƒπŽππ„ 𝐃𝐄𝐀𝐋 ⚽️ πŸ”₯

➑️Victorien Adebayor kwenda Singida Black Stars, awali ikijulikana k**a Ihefu FC, usajili umekamilika! πŸ‡ΉπŸ‡ΏβœοΈ

➑️Masharti ya kibinafsi yalikubaliwa, Adebeyor sasa yuko tayari kwa fursa mpya nchini Tanzania.

➑️Amesaini Mkataba wa miaka miwili hadi 2026 na chaguo la kuongezwa zaidi katika siku zijazo!

➑️K**a ilivyoelezwa tayari, Adebayor yuko kwa mkopo AS Garde pekee na atahamia Tanzania mwezi Juni.

Victorien Adebayor , Baada ya kuimbwa sana na Viongozi wa Simba SC , Sasa mwamba huyo ameshamalizana na IHEFU πŸ˜€πŸ˜€

CC Micky JR

🚨 π˜Ύπ™Šπ™‰π™π™„π™π™ˆπ™€π˜Ώ: YANGA YAIKABIDHI K/KOO DERBY KWA WAZEE WA YANGA.β€œSisi k**a Yanga tumeamua mchezo huu wa jumamosi tuwakabidh...
15/04/2024

🚨 π˜Ύπ™Šπ™‰π™π™„π™π™ˆπ™€π˜Ώ: YANGA YAIKABIDHI K/KOO DERBY KWA WAZEE WA YANGA.

β€œSisi k**a Yanga tumeamua mchezo huu wa jumamosi tuwakabidhi wazee wetu, huu mchezo wa Derby wa Jumamosi ni (WAZEE DAY β€˜Mapigo ya kiutu uzima’), wazee wa Yanga wote hii mechi ni ya kwenu, tukifungwa ni nyie.

β€œTunaomba mkatuheshimishe wazee wetu, mje kwa wingi Benjamin Mkapa lakini tunaamin Dua zenu,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.

✍🏽 .

🚨.π˜Ύπ™Šπ™‰π™π™„π™π™ˆπ™€π˜Ώ Barbara Gonzalez BADO hajarudi k**a Mkurugenzi Mtendaji wa Simba, imethibitishwa πŸ‡ΉπŸ‡ΏKikao na Mo Dewji kilimal...
15/04/2024

🚨.π˜Ύπ™Šπ™‰π™π™„π™π™ˆπ™€π˜Ώ Barbara Gonzalez BADO hajarudi k**a Mkurugenzi Mtendaji wa Simba, imethibitishwa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Kikao na Mo Dewji kilimalizika kwa mafanikio jana huku kukiwa na maelezo yote na kulenga namna ya kuboresha timu, kufanya usajili wa kimkakati na maamuzi muhimu katika nyanja zote za klabu lakini kukiwa na baadhi ya mabadiliko kwenye bodi.

Barbara atarudi tu ikiwa baadhi ya watu kwenye bodi wataondoka kwani wote wawili hawawezi kufanya kazi pamoja. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

🚨...   π˜Ύπ™Šπ™‰π™π™„π™π™ˆπ™€π˜Ώ: Maamuzi yamefanyika tayari, Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula amekubali kuachia nafasi yake na klab...
15/04/2024

🚨... π˜Ύπ™Šπ™‰π™π™„π™π™ˆπ™€π˜Ώ: Maamuzi yamefanyika tayari, Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula amekubali kuachia nafasi yake na klabu inatarajia kuleta CEO mpya kutoka Afrika Kusini.

15/04/2024

Habari za asubuhi! Karibu katika kurasa za Magazeti leo, Bofya πŸ‘‡πŸ½

🚨... Tajiri aliyeahidi Nguruwe kwa kila goli la Simba amuita Clatus Chama akachukue Nguruwe wake ... CC MillardAyo
14/04/2024

🚨... Tajiri aliyeahidi Nguruwe kwa kila goli la Simba amuita Clatus Chama akachukue Nguruwe wake ... CC MillardAyo

🚨 π˜Ύπ™Šπ™‰π™π™„π™π™ˆπ™€π˜ΏπŸ† Bayer Leverkusen wameshinda taji la Bundesliga kwa mara ya KWANZA katika historia yao!Mabao 74, Wamefungwa ...
14/04/2024

🚨 π˜Ύπ™Šπ™‰π™π™„π™π™ˆπ™€π˜ΏπŸ† Bayer Leverkusen wameshinda taji la Bundesliga kwa mara ya KWANZA katika historia yao!

Mabao 74,
Wamefungwa mabao 19,
Hawajawahi kufungwa

Hongera kwa Bayer Leverkusen ⚽️ πŸ”₯

🚨 𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„ : NBCPL SINGIDA F.G F.C 0οΈβƒ£βž–οΈ3️⃣ YOUNG AFRICANS SC                                                    ⚽️ 41"...
14/04/2024

🚨 𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„ : NBCPL

SINGIDA F.G F.C 0οΈβƒ£βž–οΈ3️⃣ YOUNG AFRICANS SC
⚽️ 41" Guede
⚽️ 65" Ki Aziz
⚽️ 67" Guede

Halafu kuna hii press πŸ‘‡πŸ½

πŸ—£οΈ "π—§π—¨π—§π—”π—œπ—™π—¨π—‘π—šπ—” π—¬π—”π—‘π—šπ—”"

"Kocha huwa anaumia sana pale ambapo tunatengeneza nafasi nyingi na hatufungi, tatizo letu limejitokeza tena, leo tumetengeneza nafasi na hatujafunga"

"Tunaenda kubadilisha mpango mwingine tuone itakuwaje ila mashabiki wetu watuunge mkono inshallah derby TUTASHINDA"

©️ Selemani Matola
Kocha msaidizi wa Simba SC

Hapa najaribu kutafakari sipati majibu .. toa maoni yako ⚽️

Ikiwa Bayer Leverkusen wataifunga Werder Bremen leo, watatawazwa rasmi mabingwa wa Bundesliga πŸ† Barabara ya kuelekea uwa...
14/04/2024

Ikiwa Bayer Leverkusen wataifunga Werder Bremen leo, watatawazwa rasmi mabingwa wa Bundesliga πŸ†

Barabara ya kuelekea uwanjani pia imepewa jina la Xabi Alonso Avenue ...

⚽️ πŸ”₯ Kwani Liverpool kakutwa na nini? Kaacha na ubingwa au?88' Liverpool 0-1 Palace

New Hit song 🎡 Happy Sunday.. be blessed πŸ™
14/04/2024

New Hit song 🎡 Happy Sunday.. be blessed πŸ™

🚨. Kumbe Inonga kaaga tayari na hamsemi.. watu wasiri sana humu..Beki huyo wa Simba yupo katika nafasi nzuri ya kuitumik...
13/04/2024

🚨. Kumbe Inonga kaaga tayari na hamsemi.. watu wasiri sana humu..

Beki huyo wa Simba yupo katika nafasi nzuri ya kuitumikia FAR RABAT ya Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ chini ya kocha Nassredine Nabi.

Inonga Baka mwenyewe amewataarifu viongozi juu ya kuondoka ndani ya Simba baada ya msimu kumalizika.

FAR RABAT msimu ujao wanamalengo ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na taarifa kutoka Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ ni kwamba Inonga Baka na FAR RABAT wamefikiana makubaliano kwaajili ya usajili wa nyota huyo ambaye atalipwa mshahara wa Mara mbili na robo ya ule anaolipwa sasa ndani ya Simba.

𝐒𝐀𝐃 𝐍𝐄𝐖𝐒! πŸ’”Nyota wa zamani wa Chipolopolo na klabu ya TP Mazembe, Rainford Kalaba amefariki Dunia leo Aprili 13, 2024 ak...
13/04/2024

𝐒𝐀𝐃 𝐍𝐄𝐖𝐒! πŸ’”
Nyota wa zamani wa Chipolopolo na klabu ya TP Mazembe, Rainford Kalaba amefariki Dunia leo Aprili 13, 2024 akiwa na umri wa miaka 37 baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani.

β€œRainford KALABA hakunusurika kwenye ajali ya barabarani iliyotokea leo Jumamosi, Aprili 13 huko Zambia kati ya Kafue na Lusaka,” imesema taarifa ya TP Mazembe ikithibitisha kifo nguli huyo.

🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„ : NBCPL        IHEFU FC 1οΈβƒ£βž–οΈ1️⃣ SIMBA SPORTS CLUB ⚽️ 38" Abuya                       ⚽️  72" Chama (p)  TAB...
13/04/2024

🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„ : NBCPL

IHEFU FC 1οΈβƒ£βž–οΈ1️⃣ SIMBA SPORTS CLUB
⚽️ 38" Abuya ⚽️ 72" Chama (p)

TABORA UNITED 1οΈβƒ£βž–οΈ1️⃣ JKT TANZANIA

πŸš¨π˜Ύπ™Šπ™‰π™π™„π™π™ˆπ™€π˜Ώ: π—¬π—”π—‘π—šπ—” π—¬π—”π—™π—¨π—‘π—šπ—œπ—ͺ𝗔 π—¨π—¦π—”π—π—œπ—Ÿπ—œ..Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kan...
12/04/2024

πŸš¨π˜Ύπ™Šπ™‰π™π™„π™π™ˆπ™€π˜Ώ: π—¬π—”π—‘π—šπ—” π—¬π—”π—™π—¨π—‘π—šπ—œπ—ͺ𝗔 π—¨π—¦π—”π—π—œπ—Ÿπ—œ..

Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).

Taarifa iliyotolewa leo na TFF imesema uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo ambapo pamoja na masuala mengine, Young Africans haikuingiza uthibitisho wa malipo ya uhamisho wa Mchezaji husika katika Mfumo wa Usajili (TMS), licha ya kukumbushwa kufanya hivyo.

β€œKlabu hiyo imetakiwa kutekeleza matakwa hayo ya kikanuni, na kuwasilisha taarifa kwa Sekretarieti ya K**ati ya Nidhamu ya FIFA ambapo suala hilo limefikishwa kwa ajili ya hatua zaidi, kutokana na uamuzi huo wa FIFA, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) nalo limeifungia klabu hiyo kufanya usajili kwa wachezaji wa ndani”

🚨 WACHEZAJI WALIOSAJILIWA HAWANA VIWANGOKocha Mkuu wa Klabu ya  Simba Abdelihak bechikha, amefanya mazungumzo na Rais wa...
12/04/2024

🚨 WACHEZAJI WALIOSAJILIWA HAWANA VIWANGO

Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba Abdelihak bechikha, amefanya mazungumzo na Rais wa Heshima ambaye pia ni mwekezaji klabuni hapo Mohammed Dewji β€˜MO’ na kumueleza kuwa baadhi ya wachezaji walisajiliwa ikiwa hawana kiwango bora

Baada ya kupewa taarifa hiyo β€˜MO’ Amesema kuwa jukumu lake ni kutajiwa kiasi cha fedha anachotakiwa kutoa kwaajili ya usajili na sio kumfatilia mchezaji k**a ataisaidia timu au la .

Credit. Mwanaspoti

🚨Yanga wamsh*taki Mayele ⚽️ .."Alianzia kudhalilisha watu mmoja mmoja, akahamia klabu ya Yanga, sasa amehamia kulidhalil...
11/04/2024

🚨Yanga wamsh*taki Mayele ⚽️ .."

Alianzia kudhalilisha watu mmoja mmoja, akahamia klabu ya Yanga, sasa amehamia kulidhalilisha taifa zima"

" Kinachotakiwa kwa sasa:"

"1 - Yanga wafungue hapa nchini sh*taka la udhalilishwaji, siku Mayele akiingia nchini ak**atwe. Viongozi wa Yanga kuendelea kukaa kimya wanatufanya tuanze kuamini labda kweli wanamroga."

"2 - Serikali kupitia wanasheria wake wanaweza kufungua sh*taka kwenye mahak**a za kimataifa kulinda hadhi na heshima ya taifa."

"Huyu mtu amekaa hapa kwa kuthaminiwa sana, ifike wakati aoneshwe mipaka ya kuvunjiana staha."

'"Asitake kutuaminisha kuwa Tanzania kuna uchawi kuliko DRC."

"Samathought "

©️ Sama Ndambile - Mchambuzi

β€œTimu yetu inapitia kipindi kigumu Lakini ni tofauti na inavyozungumzwa yaani wanaongeza chumviHuu ni mpango wa makusudi...
11/04/2024

β€œTimu yetu inapitia kipindi kigumu Lakini ni tofauti na inavyozungumzwa yaani wanaongeza chumvi

Huu ni mpango wa makusudi unaoratibiwa na wasiotutakia mema, Bahati mbaya ni kwamba Wana Simba tumeingia kwenye mtego wa kujidharau na kujitukana

Tukiwa na Simba Bora sana tuliwahi kutolewa hatua ya awali ya ligi ya Mabingwa Afrika na UD Songo, Tukiwa na Simba Bora tuliwahi kutolewa na Green Warriors kwenye Kombe la Shirikisho

Haya ni Maisha ya kawaida kwenye mpira wa miguu

Kila timu ya mpira hupitia nyakati k**a hizi, Ila tukipitia Simba basi huonekana ni kitu cha ajabu inawezekana tunahukumiwa na ukubwa wetu

Leo watakuambia wachezaji wabovu, kesho Muwekezaji tatizo, kesho kutwa Viongozi hawafai

Hivi tungekua na matatizo yote hayo si tungekua tumeshuka daraja?

Wengine wanaibuka kukashifu viongozi na kudhihaki wachezaji wakiamini huko ndio kuipenda Simba au wao ndio wenye uchungu sana na Simba

Wakati Nyuma Mwiko wako dhofli hali waliibuka na kauli ya kusema tumeipenda wenyewe acha ituue, Hii ilikua kauli ya kishujaa sana na waliamua kufa na timu yao

Kwa sasa hatuna budi kusimama na timu yetu ili mambo yasiharibike zaidi, hatuwezi kubadili yaliyopita ila tunaweza kutengeneza yajayo

Tulichobakiwa nacho ni Ligi Kuu ya NBC, Kwa pamoja tuwekeze nguvu kwenye kombe hili

Tuache kulaumiana, tuhamishie machungu yetu na tuelekeze hasira zetu kwenye ligi

Pengo ni alama 4 tukisimama sawa sawa kwa umoja wetu tunaliondoa

Hii inaanza na mechi ya Tarehe 13 dhidi ya Ihefu, na baada ya hapo mechi ya tarehe 20, tukichukua alama 6 kwenye mechi hizi tutakua pazuri sana

Lets goo wana Simba”

β€” Afisa Habari wa Simba SC Ahmed Ally ameandika katika ukurasa wake wa Instagram

β€œMimi ni Kijana napambana uwanjani kutafuta pesa, halafu kuna jamaa (hajamtaja jina) anakuja anasema eti wananilipa hela...
11/04/2024

β€œMimi ni Kijana napambana uwanjani kutafuta pesa, halafu kuna jamaa (hajamtaja jina) anakuja anasema eti wananilipa hela, una hela za kunilipa wewe umekuwa GSM?

β€œ Vijana tutafute hela tuache makasiriko, mimi napambana k**a kijana uwanjani kwa sababu nina watoto, wazazi na ndugu wananitegemea hivyo tusiwekeane chuki bali tutafute pesa”

Fiston Mayele akizungumza na Azam Tv

β€œWanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushamb...
11/04/2024

β€œWanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushambaushamba mpaka baba yangu akanipigia simu anasema β€˜ni nini hiki mbona sio wewe wanaanza kuingia kwenye familia, nilichomjibu baba ni kuwa nilikosea kucheza Tanzania”

Fiston Mayele akizungumza katika mahojiano na Azam Tv

🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„: Mashujaa 1-1 Simba SC Mashujaa FC inatinga Robo fainali ya CRDB FA Cup kwa ushindi wa Penati.MASHUJAA FC 6️...
09/04/2024

🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„: Mashujaa 1-1 Simba SC

Mashujaa FC inatinga Robo fainali ya CRDB FA Cup kwa ushindi wa Penati.

MASHUJAA FC 6οΈβƒ£βž–οΈ5️⃣ SIMBA SPORTS CLUB
❎️️ Zuberi βœ…οΈ Hussein
βœ…οΈοΈ Samson βœ…οΈ Mwenda
βœ…οΈ Masinda βœ…οΈ Fred
βœ…οΈ Idrisa ❎️ Onana
βœ…οΈ Adam βœ…οΈ Mzamiru
βœ…οΈ Mpoki βœ…οΈ Chasambi
βœ…οΈ Mtui ❎️️ Kanoute

Simba Hoiii, kwani kafeli wapi? Toa maoni yako

🚨 𝗕π—₯π—˜π—”π—žπ—œπ—‘π—š π—‘π—˜π—ͺ𝗦 ⚽️ πŸ”₯ Bodi ya ligi Tanzania (TPLB) imetangaza rasmi tarehe mpya ya Mchezo wa Kariakoo Derby, Yanga SC dhi...
07/04/2024

🚨 𝗕π—₯π—˜π—”π—žπ—œπ—‘π—š π—‘π—˜π—ͺ𝗦 ⚽️ πŸ”₯

Bodi ya ligi Tanzania (TPLB) imetangaza rasmi tarehe mpya ya Mchezo wa Kariakoo Derby, Yanga SC dhidi ya Simba SC.

Mchezo utapigwa siku ya Jumamosi 20 April 2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa 11:00 jioni.

Round hii nani atakula chuma 5? Ni Yanga au Simba tena? Toa maoni yako ⚽️ πŸ”₯

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Binago TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Binago TV:

Videos

Share

Category

Nearby media companies


Other Media in Dar es Salaam

Show All

You may also like