M-Boys Africa tv

M-Boys Africa tv News for everybody
(1)

18/05/2024
"Niwashukuru uongozi wa Simba kwa namna walivyotupokea. Tumeridhia kutokana na mashindano ya Ligi ya Mabingwa ambayo wan...
07/02/2023

"Niwashukuru uongozi wa Simba kwa namna walivyotupokea. Tumeridhia kutokana na mashindano ya Ligi ya Mabingwa ambayo wanashiriki ikiwa ni timu pekee kutoka Tanzania. Tumekubali kabisa kuitangaza nchi yetu kimataifa"- Meneja Masoko wa M-Bet, Allen Mushi.


"Tunakwenda kuzindua jezi za Simba za michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na tumepata baraka zote kutoka kwa mdhamini mk...
07/02/2023

"Tunakwenda kuzindua jezi za Simba za michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na tumepata baraka zote kutoka kwa mdhamini mkuu M-Bet."- Ahmed Ally.


TIMU 32 ZILIZOFUZU RAUNDI YA NNE (32 BORA) FA CUP (ASFC) Timu za ligi Kuu (VPL)1-Yanga SC (Dar)2-Mtibwa Sugar (Morogoro)...
07/02/2023

TIMU 32 ZILIZOFUZU RAUNDI YA NNE (32 BORA) FA CUP (ASFC)

Timu za ligi Kuu (VPL)
1-Yanga SC (Dar)
2-Mtibwa Sugar (Morogoro)
3-Simba SC (Dar)
4-Azam FC (Dar)
5-Namungo FC (Lindi)
6-Ruvu Shooting (Pwani)
7-JKT Tanzania (Dodoma)
8–KMC (Dar)
9-Ihefu FC (Mbeya)
10-Mwadui FC (Shinyanga)
11-Polisi Tanzania (Kilimanjaro)
12-Biashara United (Mara)
13-Coastal Union (Tanga)
14-Dodoma Jiji (Dodoma)
15-Gwambina FC (Mwanza)
16-Mbeya City (Mbeya)
17-Kagera Sugar (Kagera)
18-Tanzania Prisons (Rukwa)

Timu za daraja la kwanza (FDL)
1-Rhino Rangers (Tabora)
2-Mbao FC (Mwanza)
3-Kengold FC (Mbeya)
4-Trans Camp (Dar)
5-African Lyon (Dar)
6-Arusha FC (Arusha)

Timu za Daraja la pili (SDL)
1-Eagle Stars (Dar)
2-Tunduru Korosho (Ruvuma)
3-Kurugenzi FC (Simiyu)
4-Mbuni FC (Arusha)
5-Sahare All Stars (Manyara)
6-Mashujaa FC (Kigoma)

Timu ya Mabingwa wa Mikoa (RCL)
1-Kwamndolwa FC (Tanga)

Timu ya Mabingwa wa FA Cup (ASFC)
1-Kipigwe FC (Iringa )

Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Ndg. Fatma Mabrouk Khamis akimpokea mchezaji mpira wa Liverpool Ibrahim Ko...
16/06/2022

Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Ndg. Fatma Mabrouk Khamis akimpokea mchezaji mpira wa Liverpool Ibrahim Konate ambaye pia ni nyota wa timu ya Taifa ya Ufaransa, leo tarehe14.06.2022 kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume Zanzibar.

Principal Secretary of Ministry of Tourism and Heritage Ms.Fatma Mabrouk Khamis welcomes Liverpool and French International Ibrahim Konate at the Abeid Karume International Airport Zanzibar on the 14/06/2022

14/06/2022

Je una utaalamu wa kuendesha page za mitandaoni??

14/06/2022

Je finali ya kwanza ya kombe la dunia ilichezewa nchi gani???

The 2022 Ashinaga Africa Initiative in Anglophone, Francophone and Lusophone countries is now open!Apply online here: ht...
14/06/2022

The 2022 Ashinaga Africa Initiative in Anglophone, Francophone and Lusophone countries is now open!

Apply online here: https://ashinaga.smapply.io/

The AAI is a fully funded academic leadership program that aims to provide opportunities to orphaned students for higher education in top universities around the world.

The application is open to those who:

- Have lost one or both parents;
- Have completed secondary school and passed national secondary school examination within the last two years;
- Were born after September 1, 1999;

Read all the requirements and apply here: https://form.jotform.com/212301654608348

Lusophone Deadline: October 15, 2021 (12:00GMT)

Anglophone and Francophone Deadline: January 28, 2022 (12:00GMT)

Share this post and let all your friends know about this fully-funded opportunity!

*This application process is free, and anyone asking for payment at any stage is doing so against the will of Ashinaga.

Pour les étudiants francophones : Pour accéder à ce portail de candidature en français, veuillez cliquer sur le bouton qui indique EN dans le coin supérieur droit. Cela vous permettra de changer la langue en français (FR).

Do you know online channels pays so much???
14/06/2022

Do you know online channels pays so much???

M-boys Africa tv is an up growing online channel which aims to give 100% truly and realistic entertainment stories. Loca...
14/06/2022

M-boys Africa tv is an up growing online channel which aims to give 100% truly and realistic entertainment stories. Local people are reached with our free of charge news and also we aim at motivating youth to engage in entertainment jobs all over the world.
afica
online channel
-boys Africa tv for Africa 🔥🔥🔥

For all top trending stories make sure you follow our online channel M-boys Africa tv for entertainment news only. -boys...
14/06/2022

For all top trending stories make sure you follow our online channel M-boys Africa tv for entertainment news only.
-boys Africa
is connected
🔥🔥🔥🔥🔥

Cristiano Ronaldo reached 450 million followers on Instagram. He's the only person in the world to reach 450M. 👏
06/06/2022

Cristiano Ronaldo reached 450 million followers on Instagram. He's the only person in the world to reach 450M. 👏

Rapa Mtanzania Young Lunya leo Ijumaa Juni 3 amejiunga rasmi na familia ya lebo ya Sony Music Entertainment Africa, kapu...
06/06/2022

Rapa Mtanzania Young Lunya leo Ijumaa Juni 3 amejiunga rasmi na familia ya lebo ya Sony Music Entertainment Africa, kapuni hiyo imetangaza.

Dili hilo linamfanya kuwa msanii wa kwanza wa muziki wa hip hop kutoka Tanzania kusainiwa kwenye label hiyo yenye maskani yake jijini Johannesburg, Afrika Kusini.

Akizungumzia hatua hiyo Lunya amesema kusaini mkataba huo ni ndoto iliyotimia.

"Natokea sehemu ya mkoa ambao hata kuongelea lebo kubwa ya muziki ilikuwa hadithi na ndoto, lakini siku zote nimekuwa nikiweka hai ndoto hii na tumaini langu. Kwa hivyo, kuona moja ya ndoto yangu kubwa inatimia imekuwa baraka sana. na heshima, "amesema.

Kupitia viwango vipya vya ubora wa soka barani Afrika, klabu ya Simba Sports Club ya Tanzania imeshika nafasi ya 14 kwa ...
06/06/2022

Kupitia viwango vipya vya ubora wa soka barani Afrika, klabu ya Simba Sports Club ya Tanzania imeshika nafasi ya 14 kwa ubora kwa klabu zote za Afrika huku ikishikilia nafasi ya 1 kwa upande wa Afrika Mashariki.

WADADA ATUA IHEFU Beki wa kulia wa Azam FC, Nico Wadada 🇺🇬 amefikia makubaliano ya kujiunga na Ihefu SC baada ya mkataba...
05/06/2022

WADADA ATUA IHEFU
Beki wa kulia wa Azam FC, Nico Wadada 🇺🇬 amefikia makubaliano ya kujiunga na Ihefu SC baada ya mkataba wake na Azam kufikia tamati mwisho wa msimu.
Habari za uhakika zimeeleza kuwa beki huyo raia wa Uganda ameamua kutua Ihefu SC badala ya Singida Big Stars na Namungo ambazo zilikuwa zikimuwania.

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Sadio Mane 🇸🇳 bado amesimamia msimamo wake wa kutaka kuondoka klabuni hapo.Kw...
04/06/2022

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Sadio Mane 🇸🇳 bado amesimamia msimamo wake wa kutaka kuondoka klabuni hapo.

Kwa mujibu wa Fabrizio Romano, Liverpool wanatarajia kuzungumza nae na kufanya maamuzi juu ya hatma yake.

Hadi sasa ni Fc Bayern Munich 🇩🇪 ndio walioonyesha nia ya kuhitaji saini yake ili kurithi mikoba ya Robert Lewandowski anayetajwa kuwa huenda akajiunga na Fc Barcelona 🇪🇸

Kaizer Chiefs have confirmed that the following players will be leaving the club;🇰🇪 Anthony Akumu Agay (29)🇷🇸 Samir Nurk...
01/06/2022

Kaizer Chiefs have confirmed that the following players will be leaving the club;

🇰🇪 Anthony Akumu Agay (29)
🇷🇸 Samir Nurković (29)
🇿🇲 Lazalous Kambole (28)
🇿🇦 Lebogang Manyama (31)
🇿🇦 Daniel Cardoso (33)
🇨🇴 Leonardo Castro (32)
🇳🇬 Daniel Akpeyi (35)

Liverpool wanamfuatilia mshambuliaji wa Rennes Mfaransa Martin Terrier, 25, k**a mbadala wa Sadio Mane
01/06/2022

Liverpool wanamfuatilia mshambuliaji wa Rennes Mfaransa Martin Terrier, 25, k**a mbadala wa Sadio Mane

Nyota wa zamani wa Manchester United anayekipiga kwenye klabu ya PSG kwasasa,  raia wa Hispania ametua nchini kwa ajili ...
01/06/2022

Nyota wa zamani wa Manchester United anayekipiga kwenye klabu ya PSG kwasasa, raia wa Hispania ametua nchini kwa ajili ya kufanya utalii na mapumziko mafupi ya baada ya msimu kwenye hifadhi ya Taifa ya Serengeti akiwa na Mkewe Isabela Collado.

Kutoka Dar es aalaam Rais Samia usiku huu ameshiriki maadhimisho ya miaka 30 ya Joseph Mbilinyi (Sugu) kuwa Msanii wa Hi...
01/06/2022

Kutoka Dar es aalaam Rais Samia usiku huu ameshiriki maadhimisho ya miaka 30 ya Joseph Mbilinyi (Sugu) kuwa Msanii wa Hiphop ambapo amesema "Wasanii mpendane na mshirikiane na kusaidiana, mmekuwa mna vita vingi sana baina yenu wenyewe kati yenu, Wanamuziki wa makundi mbalimbali hili sio jambo jema, lengo letu Viongozi wenu kuliunganisha Taifa, mnapogombana Watu wa Sekta moja Taifa halitoungana, Wasanii mna mchango mkubwa kwenye kuliunganisha Taifa"

"Naomba muungane, mshikane, msaidiane ili tuweze kuliunganisha vema Taifa acheni kuparurana, pulizaneni, pendaneni kila Mtu ana kipaji chake alichojaliwa na Mungu"

"Mimi sijasikia Joseph (Sugu) kapurarana na Mtu na k**a ataparurana kwenye mambo mengine sio Muziki na ukimparura, atakurapia atakufokea yamekwisha , kwahiyo pendaneni Wanamuziki"

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram (Insta Story) Bernard Morrison 🇬🇭 amethibitisha kuwa yupo njiani kurejea Tanzan...
01/06/2022

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram (Insta Story) Bernard Morrison 🇬🇭 amethibitisha kuwa yupo njiani kurejea Tanzania 🇹🇿

Ikumbukwe kuwa nyota huyo alipewa mapumziko na Simba Sc 🇹🇿 pamoja na kuagwa/kutakiwa kila la heri katika maisha yake mapya ya soka.

TETESI : Klabu ya Simba SC imeripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na mkufunzi, Mohamed Adil Erradi raia wa Morocco kuchukua ...
01/06/2022

TETESI : Klabu ya Simba SC imeripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na mkufunzi, Mohamed Adil Erradi raia wa Morocco kuchukua mikoba ya Pablo Franco aliyefutwa kazi. Erradi ambaye ni kocha wa APR FC ya Rwanda ameiongoza klabu hiyo kushinda michezo 50 bila kufungwa mpaka February.

Club ya Man United ya England imetangaza rasmi na kumshukuru kiungo wake Raia wa Ufaransa Paul Pogba (29) kuwa hatoendel...
01/06/2022

Club ya Man United ya England imetangaza rasmi na kumshukuru kiungo wake Raia wa Ufaransa Paul Pogba (29) kuwa hatoendelea kuwa na kikosi hicho katika msimu ujao.

Pogba anaondoka Man United baada ya kuitumikia kwa vipindi viwili tofauti 2009-2012 akaenda Juventus na kurejea 2016-2022.

Kiungo huyo Raia wa Ufaransa ni muda mrefu anahusishwa kuondoka Man United lakini bado hajaweka wazi mpango wake na Timu atayojiunga nayo baada ya Manchester United.

HARMONIZE achora tatto ya KAJALA na PAULA kwenye mguu wake ikisindikizwa na neno "I AM SORRY"KATAZAME VIDEO NZIMA YOUTUB...
01/06/2022

HARMONIZE achora tatto ya KAJALA na PAULA kwenye mguu wake ikisindikizwa na neno "I AM SORRY"
KATAZAME VIDEO NZIMA YOUTUBE CHANNEL YETU BONYEZA LINK 👉 https://youtu.be/BluxjVE_XY4

31/05/2022
OFFICIAL: Spurs sign Ivan Perišić on a two-year deal 🇭🇷
31/05/2022

OFFICIAL: Spurs sign Ivan Perišić on a two-year deal 🇭🇷

Charlotte FC have fired head coach Miguel Ángel Ramírez 14 games into their first MLS season.They're currently 8th in th...
31/05/2022

Charlotte FC have fired head coach Miguel Ángel Ramírez 14 games into their first MLS season.

They're currently 8th in the Eastern Conference, one place out of the playoffs

Simba SC head coach Pablo Franco Martín has officially part ways with the Tanzanian club on a mutual agreement. African ...
31/05/2022

Simba SC head coach Pablo Franco Martín has officially part ways with the Tanzanian club on a mutual agreement.

African Sports Today can confirm that Pablo is currently in negotiations with Amazulu FC 🇿🇦 and Raja Casablanca 🇲🇦 with Raja seems like the most preferred move.

Raja have offered the former Getafe coach $500,000 annual salary with other benefits while Amazulu is offering $25,000 Net monthly salary with a house, club car (with monthly fuel) and 2 business class tickets return (home) per season.

Address

Mbezi
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when M-Boys Africa tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to M-Boys Africa tv:

Share

Category


Other TV Channels in Dar es Salaam

Show All