City Tv

City Tv Subscribe on my youtube channel

Wanaume kazini
16/10/2022

Wanaume kazini

Club ya Simba SC kupitia kwa CEO wao Barbara Gonzalez leo imetangaza kuomba ulinzi kwa Serikali ya Tanzania na Afrika Ku...
20/04/2022

Club ya Simba SC kupitia kwa CEO wao Barbara Gonzalez leo imetangaza kuomba ulinzi kwa Serikali ya Tanzania na Afrika Kusini wakiwa wanaelekea Afrika Kusini katika mchezo wa marudiano wa robo ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates.

Maamuzi hayo yamekuja ikiwa ni siku mbili zimepita toka Kocha Msaidizi wa Orlando Pirates Mandla Ncikazi kuituhumu Simba SC kwa mambo kadhaa ikiwemo Mapokezi mabovu, hakuna ukarimu na madai ya VAR kutofanya kazi.

Ni Octoba 4, 2021 ambapo imetokea Ajali ya Lori lililoacha njia likagonga daladala na kisha nyumba iliyokua pembezoni Mb...
05/10/2021

Ni Octoba 4, 2021 ambapo imetokea Ajali ya Lori lililoacha njia likagonga daladala na kisha nyumba iliyokua pembezoni Mbagala Dar es Salaam.

Wananchi waliopo eneo hilo walionekana wakichukua cement iliyokua kwenye lori hilo na kuondoka .

Kibu denise rasmi sasa kuitumia taifa stars baada ya kupatiwa uraia.mchezaji huyo sasa ameungana na wachezaji wenzake am...
05/10/2021

Kibu denise rasmi sasa kuitumia taifa stars baada ya kupatiwa uraia.mchezaji huyo sasa ameungana na wachezaji wenzake ambao wapo nchini benin kwa ajili ya kupambania kufuzu michuano ya kombe la dunia ambalo linafanyika nchini quatar mwaka ujao.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when City Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category


Other TV Channels in Dar es Salaam

Show All