Afya na Sarombo

Afya na Sarombo Health & wellness section committed to help peole take control of their health physically

*๏ธโƒฃJua Kuhusu Miguu Kuwaka Motoโœ๐Ÿป Maumivu haya yanaweza kuwa ya mda mfupi au mda mrefu bila kuisha. Miguu yako itahisi h...
05/10/2024

*๏ธโƒฃJua Kuhusu Miguu Kuwaka Moto

โœ๐Ÿป Maumivu haya yanaweza kuwa ya mda mfupi au mda mrefu bila kuisha. Miguu yako itahisi hali ya kuungua na kufa ganzi. Maumivu huwa makali sana hasa nyakati za usiku.

โž–Sababu za Miguu Kuwaka Moto_

๐Ÿ“ŒMiguu kuwaka moto kwa sababu ya kisukari-Diabetic Neuropathy

Kisukari kinapokusumbua kwa mda mrefu kinapelekea mishipa midogo ya fahamu kuathirika. Mishipa inapoathirika inakwamisha pia usafirishaji wa taarifa ndani ya mwili

๐Ÿ“ŒMatumizi Ya Pombe

Watu wanaokunywa sana pombe wapo kwenye hatari ya kuathirika mishipa ya fahamu, na hii kitaalamu inaitwa alcoholic neuropathy. Aina hii ya ganzi inaweza kusababisha maumivu kwenye unyayo na miguu kukosa nguvu.

๐Ÿ“ŒUpungufu Wa Lishe.

Upungufu wa Vitamin B kwenye lishe yako kunaweza kupelekea upate tatizo la miguu kuwaka moto.

๐Ÿ“ŒTatizo Kwenye Tezi Ya Shingo-Thyroid

โœ๐ŸปKuna changamoto mbili za tezi ya shingoni. Ni aidha tezi inafanya kazi chini ya kiwango- hypothyrpoidsm au inafanya kazi kupita kiasi-hypethyrodism. Tezi inapofanya kazi chini ya kiwango, yaweza kupelekea mishipa ya fahamu kuathirika na hivi kukufanya miguu yako iwake moto.

๐Ÿ“ŒMagonjwa Ya Kuambukiza

โœ๐ŸปMishipa ya fahamu inaweza kuathiriwa kutokana na magonjwa mbalimbali ya kuambukiwa, na hivo kukufanya upate ganzi kwenye miguu. Magonjwa haya ni pamoja na

โ–ถ๏ธUkimwi
โ–ถ๏ธkaswende
โ–ถ๏ธMkanda wa jeshi

๐Ÿ“ŒFungus ya Miguu-athletes foot

โœ๐ŸปHii ni aina ya fungus ya miguu inayoambukizwa kwa kasi sana, na inaathiri unyayo, mikono na kucha pia.

๐Ÿ“ŒMagonjwa Ya Figo

โœ๐ŸปKazi ya figo ni kuchuja mkojo na kutoa taka kupitia njia ya Mkojo na jasho. K**a figo hazifanyi kazi vizuri, inapelekea sumu kujikusanya kwenye mfumo wako na kupelekea hali ya ganzi.

๐Ÿ“ŒMatibabu ya Chemotherapy

โœ๐ŸปTiba hii inahusisha matumizi ya dawa zenye nguvu sana ili kuharibu seli za saratani.

๐Ÿ“ŒKukaa Kwenye Mazingira Yenye Sumu

โœ๐ŸปUnapofanya kazi maeneo yenye kemikali nyingi, mfano viwandani au kwenye mionzi yaweza kukupelekea uathirike mishipa ya fahamu na hivyo kupelekea miguu kuwaka moto.

**. Call/WhatsApp +255786281162

*๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” MAGONJWA YA ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—œ๐—ข๐Ÿ‘‡*๐ŸŒฟ Kusagika kwa Pingili za Mgongo๐ŸŒฟ Maumivu Makali ya Kiuno na Mgongo๐ŸŒฟ Mifupa Ku...
03/10/2024

*๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” MAGONJWA YA ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—œ๐—ข๐Ÿ‘‡*
๐ŸŒฟ Kusagika kwa Pingili za Mgongo
๐ŸŒฟ Maumivu Makali ya Kiuno na Mgongo
๐ŸŒฟ Mifupa Kusagana
๐ŸŒฟ Miguu Kuwaka Moto
๐ŸŒฟ Kuhisi Ganzi
๐ŸŒฟ Maumivu ya Shingo, Kiuno
๐ŸŒฟ Kukosa Uteute kwenye Magoti
๐ŸŒฟ Kushindwa Kutembea n.k

๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—”๐—ญ๐—ข๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” (๐—ข๐—˜๐—ง๐—˜๐—ข๐—ฃ๐—ข๐—ฅ๐—ข๐—ฆ๐—œ๐—ฆ) ๐Ÿ‘‡
โœ๏ธ Magonjwa ya figo.
โœ๏ธ Upungufu wa hormone za estrogen hii ni kwa wanawake hasa wale wenye (Menopause) kikomo cha hedhi
โœ๏ธ Upasuaji na kuondolewa (ovaries) mayai ya uzazi kwa wanawake
โœ๏ธ Anorexia uzito mdogo kupita kias APA ni kwa wale wanaopenda sana kujinyima kula kupita kiasi wakikwepa kunenepa sana na kufanya mazoezi kupita kiasi.

๐—”๐—ง๐—›๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—”๐—ญ๐—ข๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ญ๐—” ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—œ๐—ข ๐Ÿ‘‡
๐Ÿ€ Mifupa kuvunjika kwa urahisi.
๐Ÿ€ Kupinda Mgongo wakati wa Uzeeni
๐Ÿ€ Maumivu makali ya Mifupa hasa Katika uti wa mgongo, Mabegani, Kifuani na katika Nyonga.
๐Ÿ€ Ulemavu wa Kudumu
๐Ÿ€ Kupata Tatizo la Kiharusi (Stroke)
๐Ÿ€ Kifo ๐Ÿ˜ฅ

๐—ž๐—ช๐—” ๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ก๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—”๐—œ๐——๐—œ
+255786281162

๐Ÿ€TATIZO LA MAWE KWENYE MFUKO WA NYONGO๐Ÿ€โž–Nyongo ni kimiminika ambacho huzalishwa na ini.โž–Nyongo husaidia kurahisisha usag...
26/09/2024

๐Ÿ€TATIZO LA MAWE KWENYE MFUKO WA NYONGO๐Ÿ€

โž–Nyongo ni kimiminika ambacho huzalishwa na ini.

โž–Nyongo husaidia kurahisisha usagaji wa mafuta.

โž–Kimiminika hiki huhifadhiwa kwemye mfuko unaoitwa gallbalader.
Cholecystokinin (CCK) ni enzyme ambayo husaidia nyongo kutoka kwenye mfuko wake (gallbladder) kwenda kwenye utumbo mwembamba kwa ajili ya kusaidia kuvunjavunja vyakula vya mafuta.

โž–Mawe kwenye nyongo (gallstones au Cholelithiasis).

โž–Mawe haya hufanyika kwa muunganiko wa chembechembe za mafuta, madini ya calcium na chembechembe zingine zinazopatikana kwenye nyongo.

โ€‹๐Ÿ€DALILI ZA TATIZO LA MAWE KWENYE NYONGO.๐Ÿ€

โœ”๏ธMaumivu ya tumbo.
โœ”๏ธKuhisi kutapika
โœ”๏ธMaumivu chini ya bega hasa la kulia
โœ”๏ธTumbo kujaa gesi
โœ”๏ธChakula kutosagwa vizuri tumboni n.k

โ™ฆ๏ธMAKUNDI YA WATU WENYE HATARI YA KUPATA MAWE KWENYE NYONGO.

โ˜‘๏ธWenye umri kuanzia 40 na kuendelea
โ˜‘๏ธWenye uzito mkubwa kitambi na nyama uzembe
โ˜‘๏ธWanaopata lishe duni
โ˜‘๏ธ Wanaopoteza uzito mkubwa kwa haraka sana kwa kujinyima kula
โ˜‘๏ธWajawazito
โ˜‘๏ธWagonjwa wa kisukari
โ˜‘๏ธFamilia zenye historia ya tatizo hili n.k.

Endelea kufuatilia page yetu kwa elimu zaidi na ushauri

*๏ธโƒฃJe Unasumbuliwa na Mifupa na Maungio?**Tibu Mifupa na Maungio kwa siku 7**โž–Maumivu yako ya muda mrefu ya viungo  na m...
01/09/2024

*๏ธโƒฃJe Unasumbuliwa na Mifupa na Maungio?

**Tibu Mifupa na Maungio kwa siku 7**

โž–Maumivu yako ya muda mrefu ya viungo na maungio Sasa yamepata suluhisho la kudumu.

โž–Maumivu hayo yanaendelea kuleta madhara zaidi kwa kutoyapatia tiba ya uhakika itakayo rejesha viungo katika hali yake ya awali.

*๏ธโƒฃFaida Za Tibalishe hii ni pamoja na:

โ—Kuboresha viungo na kuponesha sehemu zilizoumia kwenye viungo

โ—Huondoa maumivu ya ugonjwa wa mifupa (osteoarthritis) na uchakavu wa mifupa

โ—Huimarisha mupishano mzuri wa mifupa kwenye viungo wakati wa kutembea

โ—Huongeza virutubisho mhimu kwenye mifupa na viungo

โ—Husaidia kulainisha sehem za viungo kwa sababu ya uwepo wa chondroitin

โ—Husaidia kuimarisha tissue na misuli inayounganisha mfupa na mfupa

โ—Husaidia kuzalisha ute ute kwenye maungio (synovial fluid)

โ—Husaidia kabisaa kuzuia ugonjwa wa mifupa na viungo (osteoarthritis)

โ—Huwasaidia zaidi wazee kuwa kinga na magonjwa ya viungo na mifupa kwa kuwapatia virutubisho mhimu

โ—Husaidia kupona haraka kwa cartilage zilizo athirika

โ—Huondoa maumivi ya viungo na mgongo

โ—Ni nzuri zaidi kwa wanawake waliokoma hedhi

โ—Ni nzuri kwa waliosagika pingili za mgongo

Imetengenezwa kiasili kwa 100% na viambata asilia bila kuwa na madhara mengine mwilini mwako

๐Ÿ€Kuwekewa chuma sio suluhisho la kudumu.

*๏ธโƒฃUsiendelee kuvumilia maumivu ya mgongo magoti kiuno nyonga na miguu chukua hatua mapema.

Wasiliana nasi kwa number
๐Ÿ“ž+255786281162

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard!Shandu Khan Jr., China Mwawalo, Elias Coc
28/08/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard!

Shandu Khan Jr., China Mwawalo, Elias Coc

*๏ธโƒฃMaliza Kabisa Vidonda Vya Tumbo Ndani Ya Siku 30Tu**Usikubali KUENDELEA kuteseka na vidonda vya tumbo katika maisha Y...
24/08/2024

*๏ธโƒฃMaliza Kabisa Vidonda Vya Tumbo Ndani Ya Siku 30Tu**

Usikubali KUENDELEA kuteseka na vidonda vya tumbo katika maisha YAKO.

**Kutana na Jumbe aliyesumbuka na Vidonda Vya tumbo toka akiwa kijana mdogo sasa ana umri wa miaka 45**

*๏ธโƒฃMara nyingi amekuwa akikutana na **Dalili hizi;

๐Ÿ“Œ Maumivu ya tumbo ya mara kwa mara.

๐Ÿ“Œ Kiungulia karibu na chembe ya moyo.

๐Ÿ“Œ Tumbo kujaa gesi

๐Ÿ“Œ Kichefu chefu na muda mwengine kutapika damu

๐Ÿ“Œ Kupata haja kubwa yenye rangi ya kahawiya au nyeusi yenye harufu kali na muda mwengine haja huchanganika na damu.

๐Ÿ“ŒKupoteza hamu ya kula kupungua uzito.

๐Ÿ€Baada ya kutumia bidhaa zetu ameweza kuwa salama. Maana bila kupata tiba sahihi angeweza kupata;

โž–Kansa ya tumbo (Gastric cancer).

โž– Kutoboka kwa kutoa za tumbo (Gastro-intestinal perforation).

โž–Kuvuja damu kwa kuta za tumbo (Gastro-intestinal bleeding).

โž–Kutapika damu (hematemesis).

โž–Kupungukiwa na damu (anaemia).

โž–Kupata Bawasiri

โž–Tumbo kujaa gesi

โž–Na hata Kupoteza maisha

*๏ธโƒฃBy The Way kuna supplement inayotibu vidonda vya tumbo ndani ya aiku 30 Tu. (Ulcers Kit) na inamaliza kabisa tatizo.

Bidhaa hizi utazipata ofisini kwetu Kimara Stop Over au utatumiwa popote ulipo.

Bado hujachelewa pata dozi yako sasa uondokane na tatizo la vidonda kabisa na Tuna punguzo la 10% kwa wiki moja

Wasiliana nasi;

๐Ÿ“ž+255786281162

*๏ธโƒฃFahamu Kuhusu Vyakula Hatari Kwa Mgonjwa wa Hepatitis A, B na CKwa wagonjwa wa hepatitis A, B, na C, ni muhimu kuepuk...
19/08/2024

*๏ธโƒฃFahamu Kuhusu Vyakula Hatari Kwa Mgonjwa wa Hepatitis A, B na C

Kwa wagonjwa wa hepatitis A, B, na C, ni muhimu kuepuka vyakula ambavyo vinaweza kuzidisha hali ya ini au kuathiri kinga ya mwili. Hapa kuna vyakula hatari kwa wagonjwa wa hepatitis:

โ™ฆ๏ธ๐—ฃ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ:
Pombe ni hatari sana kwa ini na inaweza kuharakisha uharibifu wa ini kwa wagonjwa wa hepatitis.

โ™ฆ๏ธ๐—ฉ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—บ๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ถ:
Vyakula vyenye mafuta mengi, k**a vile vyakula vya kukaanga, vyakula vya haraka (fast food), na vyakula vya kusindikwa, vinaweza kuzidisha matatizo ya ini.

โ™ฆ๏ธ๐—ฆ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฎ
Sukari nyingi inaweza kusababisha mafuta kuongezeka kwenye ini (fatty liver), jambo ambalo ni hatari kwa wagonjwa wa hepatitis.

โ™ฆ๏ธ๐—–๐—ต๐˜‚๐—บ๐˜ƒ๐—ถ ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ:
Chumvi nyingi inaweza kusababisha kuongezeka kwa shinikizo la damu na inaweza kuathiri ini, hasa kwa wale ambao tayari wana cirrhosis.

โ™ฆ๏ธ๐—ก๐˜†๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐˜‚ ๐—ป๐—ฎ ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ผ ๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ผ๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ๐—บ๐˜‚ Nyama nyekundu na iliyosindikwa zinaweza kuwa na mafuta mengi na sodiamu nyingi, ambayo inaweza kuwa mbaya kwa ini.

โ™ฆ๏ธ๐—ฉ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—ณ๐—ถ ๐—ฎ๐˜‚ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ ๐—ฝ๐—ถ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜‡๐˜‚๐—ฟ๐—ถ :
Kwa wagonjwa wa hepatitis A, ni muhimu kuepuka vyakula ambavyo havijaandaliwa kwa usafi na vile visivyopikwa vizuri, kwani virusi vya hepatitis A huenea kupitia chakula na maji machafu.

โ™ฆ๏ธ๐—ฉ๐—ถ๐—ฟ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜‡๐—ผ๐—ถ๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜€๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—น๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐—ฑ๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ:
Baadhi ya virutubisho na dawa za ziada zinaweza kuwa na madhara kwa ini. Ni muhimu kushauriana na daktari kabla ya kutumia virutubisho vyovyote

*๏ธโƒฃNi muhimu kwa wagonjwa wa hepatitis kufuata lishe yenye usawa, yenye virutubisho muhimu, na kuepuka vyakula vinavyoweza kuathiri vibaya afya ya ini. Kila mgonjwa anaweza kuwa na mahitaji maalum, hivyo ni muhimu kupata ushauri

๐ค๐ฐ๐š ๐ฎ๐ฌ๐ก๐š๐ฎ๐ซ๐ข ๐ฐ๐š ๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐ž ๐ง๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ญ๐ข๐›๐š๐›๐ฎ ๐ฒ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฎ๐ฌ๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐š ๐ค๐ฐ๐š๐ค๐จ ๐ฐ๐š๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐šna nami mshauri wako;
๐Ÿ“ž+255786281162 WhatsApp/Call/Text

*๏ธโƒฃNini Faida za Tikiti Kwa Mgonjwa wa Hepatitis?   maji ni moja ya matunda muhimu kwa mgonjwa wa hepatitis kutokana na ...
17/08/2024

*๏ธโƒฃNini Faida za Tikiti Kwa Mgonjwa wa Hepatitis?

maji ni moja ya matunda muhimu kwa mgonjwa wa hepatitis kutokana na faida zake nyingi kiafya.

*๏ธโƒฃHapa kuna faida kuu za matikiti maji kwa mgonjwa wa hepatitis:

๐Ÿ”ธ๐—ž๐—จ๐—ข๐—ก๐——๐—ข๐—” ๐—ฆ๐—จ๐— ๐—จ ๐— ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—œ
Matikiti maji yana maji mengi, ambayo husaidia katika kusafisha ini kwa kuondoa sumu na taka mwilini. Hii ni muhimu kwa wagonjwa wa hepatitis kwani ini yao inaweza kuwa na uwezo mdogo wa kusafisha sumu.

๐Ÿ”ธ๐—ž๐—จ๐—œ๐— ๐—”๐—ฅ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐— ๐—™๐—จ๐— ๐—ข ๐—ช๐—” ๐—ž๐—œ๐—ก๐—š๐—” :
Matikiti maji yana vitamini C kwa wingi, ambayo ni muhimu kwa kuimarisha mfumo wa kinga. Mfumo wa kinga wenye nguvu ni muhimu kwa mgonjwa wa hepatitis ili kupambana na maambukizi na kuboresha afya ya ini.

๐Ÿ”ธ๐—”๐—ก๐—ง๐—œ๐—ข๐—ซ๐—œ๐——๐—”๐—ก๐—ง
Matikiti maji yana lycopene na beta-carotene, antioxidants ambazo husaidia kupambana na uharibifu wa seli unaosababishwa na sumu na radicals huru. Hii inasaidia katika kulinda ini dhidi ya uharibifu zaidi.

๐Ÿ”ธ๐—ž๐—จ๐—ข๐—ก๐——๐—ข๐—” ๐—จ๐—–๐—›๐—ข๐—ฉ๐—จ ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฅ๐—˜๐—๐—˜๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ก๐—š๐—จ๐—ฉ๐—จ:
Mgonjwa wa hepatitis mara nyingi hupata uchovu na kupungukiwa nguvu. Matikiti maji yana madini ya potassium na vitamini B6, ambazo husaidia katika kurejesha nishati na kupunguza uchovu.

๐Ÿ”ธ๐—ž๐—จ๐—•๐—ข๐—ฅ๐—˜๐—ฆ๐—›๐—” ๐— ๐— ๐—˜๐—ก๐—š'๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—ข ๐—ช๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—”.
Matikiti maji yana nyuzinyuzi ambazo husaidia kuboresha mmeng'enyo wa chakula. Hii ni muhimu kwa wagonjwa wa hepatitis kwani mmeng'enyo mzuri wa chakula unasaidia katika uondoshaji wa sumu mwilini na kupunguza mzigo kwenye ini.

๐Ÿ”ธ๐—ž๐—จ๐—•๐—ข๐—ฅ๐—˜๐—ฆ๐—›๐—” ๐—›๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—˜๐—ช๐—”
Matikiti maji yana asidi ya amino inayojulikana k**a citrulline, ambayo husaidia katika kuondoa amonia mwilini, sumu inayoweza kusababisha madhara kwa ini na kupunguza mzigo kwenye ini.

๐Ÿ€Zingatia:
Tikiti maji ni tunda lenye faida nyingi kwa mgonjwa wa hepatitis kutokana na uwezo wake wa kusaidia katika kusafisha sumu mwilini, kuimarisha mfumo wa kinga, na kuboresha afya ya ini kwa ujumla. Ni muhimu kula matunda haya k**a sehemu ya lishe bora kwa mgonjwa wa hepatitis. Lakini haina maana ndio tiba ya hepatitis

Kwa Tiba na Ushauri Wasiliana nasi:

๐Ÿ“ž+255786281162

*๏ธโƒฃZifahamu Faida Za TUNDA la Apple Kwako Wewe Mwenye Changamoto Ya Homa Ya Ini/ Hepatitis โž–๐—ง๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ฎ ( #๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ),ni k**a mat...
17/08/2024

*๏ธโƒฃZifahamu Faida Za TUNDA la Apple Kwako Wewe Mwenye Changamoto Ya Homa Ya Ini/ Hepatitis

โž–๐—ง๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ฎ ( #๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ),ni k**a matunda mengine, yana faida nyingi za kiafya ambazo zinaweza kusaidia wagonjwa wa hepatitis. Hepatitis ni hali ya kuvimba kwa ini ambayo inaweza kusababishwa na virusi, pombe, au sumu nyingine.

๐Ÿ€Hapa kuna baadhi ya faida za tufaa kwa mgonjwa wa hepatitis:

โœ”๏ธ๐—ฉ๐—œ๐—ง๐—”๐— ๐—œ๐—ก๐—œ ๐—–:
Tufaa lina vitamini C, ambayo ni muhimu kwa mfumo wa kinga na kusaidia kupunguza uvimbe.

Pia lina na nyuzi, ambazo zinaweza kusaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari mwilini na kuboresha mmeng'enyo wa chakula.

โœ”๏ธ๐—”๐—ก๐—ง๐—œ๐—ข๐—ซ๐—œ๐——๐—”๐—ก๐—ง๐—ฆ:
Tufaa lina k**a vile flavonoids na polyphenols, ambazo zinaweza kusaidia kupambana na uvimbe na uharibifu wa seli unaosababishwa na radicals huru.

โœ”๏ธ๐—ก๐—ฌ๐—จ๐—ญ๐—œ ๐—ก๐—ฌ๐—จ๐—ญ๐—œ ( #๐—™๐—œ๐—•๐—˜๐—ฅ ):
Tufaa lina nyuzi ambazo zinaweza kusaidia katika kuboresha afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kusaidia kuondoa sumu mwilini.

โœ”๏ธ๐—–๐—›๐—ข๐—ฅ๐—˜๐—ฆ๐—ง๐—ข๐—Ÿ:
Kutumia tufaa mara kwa mara kunaweza kusaidia kupunguza kiwango cha mbaya (LDL) mwilini, ambayo ni muhimu kwa afya ya ini.

โœ”๏ธ๐—›๐—ฌ๐——๐—ฅ๐—”๐—ง๐—œON:
Tufaa lina maji mengi, ambayo ni muhimu kwa mgonjwa wa kwa sababu ini linahitaji maji ya kutosha ili kufanya kazi zake vizuri.

*๏ธโƒฃ๐—ก๐—œ ๐— ๐—จ๐—›๐—œ๐— ๐—จ kwa mgonjwa wa hepatitis kuzingatia lishe bora na kushauriana na daktari au mtaalamu wa lishe kabla ya kufanya mabadiliko yoyote makubwa katika mlo wao. Matunda k**a tufaa yanaweza kuwa sehemu ya lishe yenye afya lakini si tiba kamili kwa hepatitis.

๐—ž๐—ช๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ž๐—”๐— ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ;

Wasiliana nasi : Call/WhatsApp +255786281162

*๏ธโƒฃJe Nini Husababisha Virusi Kufa Mwilini Je ni Sababu za DNA na Kinga za Mwili?Tupate Sifa Hizi;โ˜‘๏ธ๐——๐—”๐—ช๐—” ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—œ๐— ๐—”๐—ฅ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐— ...
16/08/2024

*๏ธโƒฃJe Nini Husababisha Virusi Kufa Mwilini

Je ni Sababu za DNA na Kinga za Mwili?

Tupate Sifa Hizi;

โ˜‘๏ธ๐——๐—”๐—ช๐—” ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—œ๐— ๐—”๐—ฅ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐— ๐—™๐—จ๐— ๐—ข ๐—ช๐—” ๐—ž๐—œ๐—ก๐—š๐—” ๐— ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—œ:
Kinga ya mwili hutoa seli za kinga k**a vile seli za T na seli za B ambazo hushambulia na kuharibu virusi. Seli za T huua seli zilizoambukizwa na virusi, wakati seli za B huzalisha kingamwili ( ) zinazolenga na kuharibu virusi.

โ˜‘๏ธ๐——๐—”๐—ช๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—”๐—ก๐——๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ž๐—œ๐—ก๐—š๐—” ๐— ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—œ (Antibodies): Kingamwili zinazozalishwa na mwili baada ya maambukizi au hushikana na virusi na kuwafanya wasiweze kuambukiza seli nyingine. Hii inaweza kusababisha virusi kufa.

โ˜‘๏ธ๐——๐—”๐—ช๐—” ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—”๐— ๐—•๐—”๐—ก๐—” ๐—ก๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ฅ๐—œ๐—ฆ๐—œ (Antiviral Medications): Dawa hizi zinaweza kuzuia i kuzaliana au kuharibu virusi moja kwa moja. Kwa mfano, dawa za HIV zinaweza kupunguza uzalishaji wa virusi na kudumisha kiwango cha chini cha virusi katika mwili.

โ˜‘๏ธ๐— ๐—”๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—˜๐—Ÿ๐—œ ๐—”๐—ฆ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐— ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—œ (Natural Killer Cells): Hizi ni maalum za kinga ambazo zina uwezo wa kugundua na kuua seli zilizoambukizwa na virusi bila hitaji la kingamwili.

โ˜‘๏ธ๐—ก๐—ง๐—˜๐—ฅ๐—™๐—˜๐—ฅ๐—ข๐—ก๐—œ:
Hii ni aina ya inayozalishwa na seli za mwili k**a majibu kwa maambukizi ya virusi. Interferoni husaidia kuzuia uzalishaji wa virusi na huongeza majibu ya kinga ya mwili dhidi ya virusi.

โ˜‘๏ธ๐— ๐—”๐—จ๐— ๐—•๐—œ๐—Ÿ๐—˜ ๐—ฌ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ฅ๐—จ๐—ฆ๐—œ:
Baadhi ya virusi vina mzunguko wa maisha mfupi ndani ya mwili wa binadamu na hufa haraka baada ya kuzaliana na kusambaa.

Kwa ujumla, virusi hufa ndani ya mwili wa binadamu kwa sababu ya shughuli za kinga ya mwili pamoja na msaada wa matibabu maalum. Hii inasaidia mwili kuondoa maambukizi na kurejea kwenye hali ya kawaida.

๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐—ฆ๐—จ๐—Ÿ๐—จ๐—›๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—ž๐—จ๐——๐—จ๐— ๐—จ - ๐—ง๐—ข๐—ž๐—ข๐— ๐—˜๐—ญ๐—” ๐— ๐—”๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ฅ๐—จ๐—ฆ ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—จ๐——๐—” ๐—ช๐—” ๐—ช๐—œ๐—ž๐—œ ๐Ÿญ๐Ÿฎ ๐—›๐—”๐——๐—œ 24
Call/WhatsApp +255786281162

MGONJWA WA INI ZINGATIA ULAJI HUU ILI INI IFANYE  KAZI VIZURI*๏ธโƒฃ๐—›๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—ฎ๐˜€๐˜‚๐—ฏ๐˜‚๐—ต๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ...
16/08/2024

MGONJWA WA INI ZINGATIA ULAJI HUU ILI INI IFANYE KAZI VIZURI

*๏ธโƒฃ๐—›๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—ฎ๐˜€๐˜‚๐—ฏ๐˜‚๐—ต๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ฒ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜๐—ถ๐˜€:

*๏ธโƒฃ๐— ๐—”๐—ง๐—จ๐—ก๐——๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—•๐—ข๐—š๐—” ๐— ๐—•๐—ข๐—š๐—”:
๐Ÿ”ธ๐—ง๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ ( ): K**a ilivyoelezwa, zina nyuzinyuzi na antioxidants ambazo ni nzuri kwa ini.
๐Ÿ”ธ๐—ก๐—ฑ๐—ถ๐˜‡๐—ถ ( ): Zina potassium na ni rahisi kusaga.
๐Ÿ”ธ๐—•๐—ฒ๐—ฟ๐—ฟ๐—ถ๐—ฒ๐˜€: K**a vile na strawberries, zina antioxidants nyingi.
๐Ÿ”ธ๐—ฃ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ: Ina ya papain ambayo husaidia kumeng'enya chakula.

*๏ธโƒฃ๐—ก๐—”๐—™๐—”๐—ž๐—” ๐—ก๐—ญ๐—œ๐— ๐—” (Whole Grains):
๐Ÿ”ธ๐—ข๐—ฎ๐˜๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—น: Ina nyingi na husaidia kudhibiti viwango vya sukari kwenye damu.
๐Ÿ”ธ๐—จ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜†๐—ถ๐—ฟ๐—ถ: Una virutubisho na nyuzinyuzi nyingi.

*๏ธโƒฃ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข๐—ง๐—œ๐—ก๐—œ ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—ฌ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—จ๐—ง๐—” ๐— ๐—˜๐—ก๐—š๐—œ:
๐Ÿ”ธ๐— ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ถ: Chanzo kizuri cha protini. Ni bora kula mayai yaliyochemshwa au kupikwa bila mafuta mengi.ila si wagonjwa wote wanaruhusiwa tumia walio stage ya mwisho yani wameshapata kovu hawaruhusiwi tumia.
๐Ÿ”ธ๐— ๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐˜„๐—ฎ: K**a vile maziwa yenye mafuta kidogo au mtindi ( ).

*๏ธโƒฃ๐— ๐—”๐—™๐—จ๐—ง๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—”๐—™๐—ฌ๐—”:
๐Ÿ”ธ๐—ฃ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ถ ( )**: Chanzo kizuri cha mafuta yenye afya.
๐Ÿ”ธ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—ด๐˜‚: K**a vile almonds, walnuts, na chia seeds, ambazo zina omega-3 fatty acids.

*๏ธโƒฃ๐—ฉ๐—œ๐—ก๐—ฌ๐—ช๐—”๐—๐—œ:
๐Ÿ”ธ๐— ๐—ฎ๐—ท๐—ถ: Muhimu sana kwa afya ya ini na kusaidia mwili kusafisha sumu.
- ๐—๐˜‚๐—ถ๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ: K**a vile juisi ya tufaha au ya papaya.
๐Ÿ”ธ๐—–๐—ต๐—ฎ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ถ: Ina antioxidants zinazosaidia afya ya ini.

*๏ธโƒฃ๐— ๐—™๐—”๐—ก๐—ข ๐—ช๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—” ๐—–๐—›๐—” ๐—”๐—ฆ๐—จ๐—•๐—จ๐—›๐—œ

๐Ÿ”ธ na Matunda": Oatmeal iliyopikwa na maziwa yenye mafuta kidogo, ikiambatana na vipande vya ndizi na berries.
๐Ÿ”ธYogurt na Parachichi": Kikombe cha yogurt yenye mafuta kidogo au mtindi, pamoja na parachichi iliyopondwa

Wasiliana nasi ๐Ÿ“ž+255786281162

Ujumbe kwa wale wanaotaka kujikwamua kiuchumi Wasiliana nasi: WhatsApp +255786281162
07/08/2024

Ujumbe kwa wale wanaotaka kujikwamua kiuchumi

Wasiliana nasi: WhatsApp +255786281162

Leo tarehe 28 mwezi wa Saba ni siku ya maadhimisho ya siku ya Homa ya Ini duniani.Homa hii ya Ini iko katika aina tano n...
28/07/2024

Leo tarehe 28 mwezi wa Saba ni siku ya maadhimisho ya siku ya Homa ya Ini duniani.

Homa hii ya Ini iko katika aina tano nasi ni A, B, C, D na E. Aina ya Homa ya Ini inayosumbua sana (ambayo watu wengi wanapata maaambukizi) ni aina ya B na C.

Homa ya Ini Inatibika kwa yule atakaye kaa kwenye mfumo wa matibabu kwa kipindi maalum kulingana na aina ya Homa ya

Wasiliana nasi๐Ÿ“ž+255786281162 kwa ushauri zaidi na matibabu

*๏ธโƒฃUsichukulie Poa Kukosa Choo๐Ÿ€Mara nyingi Kukosa choo imekuwa K**a k**a jambo la kawaida kwa walio wengi. ๐Ÿ€Siku ya kwan...
23/07/2024

*๏ธโƒฃUsichukulie Poa Kukosa Choo

๐Ÿ€Mara nyingi Kukosa choo imekuwa K**a k**a jambo la kawaida kwa walio wengi.

๐Ÿ€Siku ya kwanza, ya pili mara wiki hujapata choo na unakula chakula umeshajiuliza kinaenda wapi?โ€ฆ

*๏ธโƒฃMadhara Yatokanayo na Kokosa Choo ni pamoja na;

โž–Unaweza kuugua ya utumbo mpana.
โž–Unaweza kupata tatizo la tumbo
โž– yako inaweza isifanye kazi vizuri.
โž–Unaweza sababisha magonjwa ya .
โž–Unaweza pata tatizo la kukak**aa mishipa ya damu ambapo utasababisha miguu kuwaka moto na ganzi miguuni au mikononi
โž–Unawezasababisha magonjwa ya
โž–Unawezapata
โž–Upungufu wa za โž–kulegea baada ya Msuli wa Pelvic kulegea

*๏ธโƒฃUnaweza kuitibu kwa Lishe Tatizo La Constipation

๐Ÿ”ธVyakula vyenye kambakamba/fibers kwa wingi; karanga, nafaka isiyokobolewa, maharage, mboga za majani, na mbegu.

๐Ÿ”ธPia Parachichi, broccoli, apple na viazi vitamu

๐Ÿ”ธMbogamboga za kijani: zina madini mengi ya magnesium ambayo husaidia katika ufanyaji kaz mzuri wa misuli na hivo kupunguza tatizo la constipation.

๐Ÿ”ธTumia kinywaji cha uvuguvugu: k**a una tatizo la constipation jaribu kutumia chai ya moto asubuhi, au tumia maji yaliyochanganywa na limao kinakusaidia kutibu tatizo hili haraka kwa sababu kimeongezwa mimea tiba mingi.

*๏ธโƒฃAcha Vyakula Hivi;

โ™ฆ๏ธVyakula vilivyokaushwa kwenye mafuta

โ™ฆ๏ธPombe

โ™ฆ๏ธVyakula na vinywaji vilivyopikwa kwenye joto kali sana mfano maziwa yaliyosindikwa

โ™ฆ๏ธ Unga uliokobolewa na kusafishwa kupita kiasi

โ™ฆ๏ธVinjwaji vyenya caffeine kwa wingi k**a kahawa na baadhi ya chai.

๐Ÿ“žWasiliana nasi +255786281162 kwa ushaurina matibabu zaidi

โ˜˜๏ธPata suluhisho la Homa ya Ini [HEPATITIS B] ndani ya wiki 12โ˜˜๏ธSuluhisho hili ni la kudumu na utaona mabadiliko makubwa...
22/07/2024

โ˜˜๏ธPata suluhisho la Homa ya Ini [HEPATITIS B] ndani ya wiki 12

โ˜˜๏ธSuluhisho hili ni la kudumu na utaona mabadiliko makubwa baadaya ya kutumia dozi hii

โ˜˜๏ธTiba hii ya homa ya aina ya HEPATITIS B inatibika kabisa kwa kutumia Tiba Sahihi na Salama isiyo na kemikali wala madhara Mwilini, yenye kuonyesha matokeo ya HARAKA na CHANYA kwa mgonjwa...

(1) Ondoa MAAMBUKIZI ya wa Hepatitis B na hatarishi.

(2) TIBU ya INI iliyo sababishwa na maambukizi ya virus wa Hepatitis.

(3) Ondoa mwilini baada ya INI kupungukiwa na uwezo wa kuchuja sumu na kwenye Damu.

_HEPATITIS B INATIBIKA_ Okoa Maisha Yako .. ๐Ÿ’Š...

Kwa ushauri na Tiba usisite kuwasiliana nasi kupiga simu au Whatsapp....
๐Ÿ“ž+255786281162

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na Sarombo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share


Other Digital creator in Dar es Salaam

Show All