gd_branding_tz

gd_branding_tz Digital marketer_Content creator

K**a wewe unasumbuka na kupata wateja na mpaka sasa bado haujapata suluhisho Fanya haya !!Anza kutumia soko la mtandaoni...
06/05/2024

K**a wewe unasumbuka na kupata wateja na mpaka sasa bado haujapata suluhisho

Fanya haya !!

Anza kutumia soko la mtandaoni ( digital marketing) ili kuwapata wateja

Ukishapata wateja ujifunze namna ya kuuza ili kuhalikisha kila mteja anayekufata unamuuzia

Cha kufanya hakikisha una follow account zetu pamoja na page yetu ya FB

Utajifunza mengi yatakayo kujenga na kukufanya kuwa bora
#



















  Wasiliana +255 629 113 743
04/05/2024


Wasiliana +255 629 113 743

Nimekuana na client ambae alikuwa amefanya uwekezaji kwenye biashara Alikuwa amefanya servings za kutosha kutoka kwenye ...
04/05/2024

Nimekuana na client ambae alikuwa amefanya uwekezaji kwenye biashara

Alikuwa amefanya servings za kutosha kutoka kwenye ajira

Alikuwa amewekeza kiasi cha tsh 30 millions
Baada ya muda biashara imeshindwa kukua na anahitaji kurudi kwenye kazi

Makosa aliyoyafanya :

1. Uchaguzi mbaya wa biashara
Alifanya machaguzi mabaya ya biashara , hakufanya utafiti wa kutosha kuhusu biashara aliyoichagua

2. Kukosea location ya biashara

Eneo aliyochagua kufanya biashara alikuwa sahihi kwani badhaa za local uwezi kuziweka kwa watu wenye uchumi wa kati/juu

3. Gharama kubwa za uendeshaji

Alikuwa na gharama kubwa za uendeshaji kuliko kipato alichokuwa anaingiza

Alitalia kufanya nini ?

1. Kuanza kufanya matangazo ya kulipia ili kuhakikisha anawafikia wateja wake ili aweze kuuza mzigo aliokuwa nao na kuweza kupata pesa

Na kuweza kuagiza mzigo mwingine utakaoendana na uhitaji wa biashara yake

2. Kujifunza :
Kila kosa unalolifanya kwenye biashara ni somo kwa ajili ya ukuaji wa biashara yako

3. Kutokukata tamaa:
Hakuna kukata tamaa k**a bado uko Hai hakuna kukata tamaa hata k**a mambo hayaendi sawa kwa wakati uliopo

JE WEWE umefanya makosa gani kwenye biashara yako ?

Ondoa Shaka tutakusaidia hatua kwa hatua kuboresha biashara yako

Wasiliana nasi : +255 629 113 743
Whatsapp 0629 113 743




















Tunatoa suluhisho la kukosa wateja kwako wewe mfanyabiashara ambaye unandoto za kufika mbali kibiashara Jukumu letu ni k...
04/05/2024

Tunatoa suluhisho la kukosa wateja kwako wewe mfanyabiashara ambaye unandoto za kufika mbali kibiashara

Jukumu letu ni kukupa usaidizi wa kuzifikia ndoto zako katika kukuza biashara

Chakufanya ni tupige tueleze changamoto inayokukabili kwenye biashara yako

Tutahakikisha tunakupa usaidizi hatua kwa hatua . Kuhakikisha unatoka kwenye hatua moja kufikia hatua nyingine

Wasiliana nasi: โ˜Ž๏ธ+255 629 113 743
gd_branding_tz follow account zetu Instagram





















K**a umewekeza zaidi ya 10m kuanzisha biashara na kweli umefanikiwa kuanza , unapata. Wapi ujasiri kuacha kuwekeza kweny...
04/05/2024

K**a umewekeza zaidi ya 10m kuanzisha biashara na kweli umefanikiwa kuanza , unapata. Wapi ujasiri kuacha kuwekeza kwenye matangazo

Matangazo ndio uhai wa biashara. Tenga budget ya matangazo ili kupata matokeo

Tabia ya kuwa bahiri kwenye marketing ni kuinyima biashara yako chakula / rutuba

Ukuaji wa biashara yako nzuri inategemea sana matangazo yako na aina ya matangazo unayopost

Jitahidi sana kuhakikisha unatenga fedha kwa ajili ya matangazo itakusaidia sana

Hakikisha unakua na unajulikana kwenye tasnia ambayo umechagua kufanyia kazi

Jukumu langu mimi ni kuhakikisha nakusimamia kupata matokeo ambayo ninayokuambia kila siku

Kuhakikisha unapiga hatua kwa kila jambo ambalo unalifanya kwenye biashara yako

Usiache kufuatilia mafunzo yetu





















Sababu kubwa ya wafanya biashara wakubwa kuendelea kuwa bora siku kwa siku ni uhakika wa wateja Swali linakuja Je, wamef...
04/05/2024

Sababu kubwa ya wafanya biashara wakubwa kuendelea kuwa bora siku kwa siku ni uhakika wa wateja

Swali linakuja Je, wamefanya nini ili kuwa na uhakika wa wateja ?

Jibu ni rahisi tu , wamehakikisha wanawafikia watu wengi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hapa usizani kuwafikia watu wengi tu basi umeuza

Yapo mambo mengi ya kuzingatia kabla ujafikisha bidhaa yako kwa hao watu wengi ... ENDELEA......

Kuwa na huduma/ bidhaa bora na ya uhakika ni njia muhimu sana ya kwanza katika biashara

Hakikisha biashara yako inatatua MATATIZO ya watu
Watu watanunua suluhisho na sio bidhaa

Niko hapa kuhakikisha

1. Unakuwa bora na biashara yako inakuwa bora
2. Kuhakikisha unatoa suluhisho la matatizo ya watu
3. Kuwafikia watu wengi , ambao ndani yako kuna wateja wako
4. Kukua kibiashara
5. Kuhakikisha brand yako inakua

Yapo mengi utajifunza ili kuwa bora zaidi kila wakati

Cha kufanya hakikisha una follow account zetu pamoja na page yetu ya FB

Utajifunza mengi yatakayo kujenga na kukufanya kuwa bora
#



















PATA WATEJA WAKUTOSHA ,KUZA BIASHARA YAKO Je , umekuwa mara kwa mara unatafuta suluisho la kudumu kupata wateja ili kuku...
04/05/2024

PATA WATEJA WAKUTOSHA ,KUZA BIASHARA YAKO

Je , umekuwa mara kwa mara unatafuta suluisho la kudumu kupata wateja ili kukuza BIASHARA yako?

Na pia umepambana vya kutosha bila kuwa na majibu ni njia gani utaitumia ili kuondokana na changamoto ya kukosa WATEJA ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘งโ€๐Ÿ‘ฆ
.NI KWELI biashara nyingi zimeshindwa kuendelea na kufungwa kabisa kutokana na kukosa wateja

Lakini pia ukiachilia mbali kufanya makosa wakati wa kuchagua biashara wakati wa kuanza
.Ili tatizo la kukosa wateja limekuwa tatizo kubwa hasa kwa wengi ambao hawana mwanga wa kutosha kuhusu matangazo ya mitandaoni
..K**a wewe umekuwa ukipitia kwenye changamoto hii SULUHISHO lako tunalo

๐Ÿ“Œ Tumekuja kuhakikisha tunakusaidia kukuza biashara yako kutoka hapo ulipo mpaka kufikia kuwa mfanya biashara mkubwa zaidi

"Tunaleta suluhisho bora la kukuza biashara yako!

Tuna uzoefu wa kipekee katika kuongeza mauzo na kutambulika kwenye mitandao ya kij

TANGAZA Biashara Yako Sasa! Ongeza Mauzo na Pata Wateja Wengi Zaidi Kupitia Mitandao ya Kijamii!

Tunakupa Mbinu za Ushawishi za Kukuza Biashara Yako.

Wasiliana Nasi Leo Kupata Maelezo Zaidi."

๐Ÿ“ฒโ˜Ž๏ธ๐Ÿ“ž๐Ÿค™+255 629 113 743

NB: Tumesaidia wengi na wamefanikiwa kupiga hatua katika biashara zao . SASA ni zamu yako kupiga hatua

generational wealth ๐Ÿ’ช




















06/12/2023
Twambie unachukua mda gani kufanya update account yako ?Weka comment hapo chini tujifunze kupitia uzoefu wa watu
06/12/2023

Twambie unachukua mda gani kufanya update account yako ?
Weka comment hapo chini tujifunze kupitia uzoefu wa watu

Unajua sasa unaweza kutunza status yako ya WhatsApp kwa muda wa mwezi mzima ?
06/12/2023

Unajua sasa unaweza kutunza status yako ya WhatsApp kwa muda wa mwezi mzima ?

Address

Dar Es Salaam
11107

Opening Hours

Monday 07:00 - 22:00
Tuesday 07:00 - 22:00
Wednesday 07:00 - 22:00
Thursday 07:00 - 22:00
Friday 07:00 - 22:00
Saturday 07:00 - 22:00

Telephone

+255629113743

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when gd_branding_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to gd_branding_tz:

Videos

Share