Hii video nimeiona mtandaoni, na huyu kaka hapa simfahamu ila nimependa sana alivyoongea.
Leo nilipata wasaa wa kualikwa kwenye kipindi cha tusemezane cha @tbc2online . Nimezungumza mengi sana kuhusu matumizi chanya ya mitandao ya kijamii na hapa chini ni summary ya nilichokizungumza
1.Mitandao ya kijamii ni Cv
2.Mitandao ya kijamii ni fursa
3.Mitandao haisahau
4.Kuwa na utambulisho wako mtandaoni
5.Chagua niche yako kisha isimamie
6.Tumia mitandao ya kijamii kimkakati
Shukrani za kipekee ziwaendee wazungumzaji wenzangu @dukahuru @sizyapuya @levinakundi @ney108
Jumapili hii nimealikwa @tbc2online kuzungumza juu ya matumizi sahii ya mitandao, Mbali na mimi wazungumzaji wengine ni pamoja na @levinakundi na @dukahuru .
Hizi ni dondoo chache kunihusu
1. Jumla ya hadhira(followers) wanaonifuatilia kwenye mitandao yangu yote ya kijamii ni zaidi ya 50000
2.Maudhui yangu yanafikia zaidi ya watu 1000000 kila mwezi (hii ni tangu mwaka jana august)
3.Mbali na brand za Tanzania mwaka jana pekee nimefanya kazi kama influencer wa brand zaidi ya 3 za Ulaya na Africa
4.Nimeendesha kurasa mbalimbali za makampuni na watu binafsi hadi nilipotundika daruga mapema mwaka huu
5.Nina parody account kadhaa 😂😂😂
6.watu wangu wengi wa karibu ni wale niliokutana nao mtandaoni
Nina mengi sana ya kuzungumza siku hiyo usisahau kuwasha televisheni yako ama kuhudhuria kabisa
Tujifunze masuala ya Teknolojia, Teknolojia ina fursa nyingi sana
Content Creation is so expensive 😭😭
Stadi ya kidijitali uliyoisoma mtandaoni inaweza kukuingizia kipato.
Tukutane Kijitonyama
KESHO
Kila mtu ana thamani kwa watu wake
Hii Actually Imetoka wapi 😅😅🙌
S3ma Umri umeenda sasa itabidi nioe