Ernesto TheMaestro

Ernesto TheMaestro Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ernesto TheMaestro, Digital creator, Dar es Salaam.
(1)

๐™‚๐™–๐™จ๐™ฉ๐™ค๐™ฃ ๐™Ž๐™ž๐™ง๐™ž๐™ฃ๐™ค - ๐™Š๐™ฃ๐™š ๐™Š๐™› ๐™๐™๐™š ๐˜ฝ๐™š๐™จ๐™ฉ ๐™‹๐™ก๐™–๐™ฎ๐™ข๐™–๐™ ๐™š๐™ง ๐™„๐™ฃ ๐™‹๐™Ž๐™‡
16/09/2024

๐™‚๐™–๐™จ๐™ฉ๐™ค๐™ฃ ๐™Ž๐™ž๐™ง๐™ž๐™ฃ๐™ค - ๐™Š๐™ฃ๐™š ๐™Š๐™› ๐™๐™๐™š ๐˜ฝ๐™š๐™จ๐™ฉ ๐™‹๐™ก๐™–๐™ฎ๐™ข๐™–๐™ ๐™š๐™ง ๐™„๐™ฃ ๐™‹๐™Ž๐™‡

๐Ÿ’ฌ Miguel Gamondi anapaswa kuchukua uamuzi mgumu. Katika mechi za kimataifa ameshakariri kikosi chake katika utatu wa Pac...
16/09/2024

๐Ÿ’ฌ Miguel Gamondi anapaswa kuchukua uamuzi mgumu. Katika mechi za kimataifa ameshakariri kikosi chake katika utatu wa Pacome Zouzoua, Aziz Ki na Maxi Nzengeli. Ni wakati wa Clatous Chama kuanza kuingia katika kikosi hiki moja kwa moja.
Sidhani k**a Chama atakuwa ana furaha kukaa katika benchi huku Aziz akifanya masikhara uwanjani. Hadi sasa Chama amekuwa akianza katika zile mechi ambazo zinaonekana hazina umuhimu sana. Mfano ni marudiano dhidi ya Vitalโ€™O. Muda si mrefu atahitaji kuanza katika mechi zenye mikiki ambazo zinaamua hatima ya Yanga.
Hata hivyo, uwepo wa Chama uwanjani unawarahisishia sana kazi washambuliaji kwa vile miaka yote tangu yupo Simba na hata anapokuwa na timu ya taifa ya Zambia, Chama ameamua sifa zake kuwa ni kuwatengenezea mabao wenzake.

โ€” Legend, Edo Kumwembe.

๐™๐™–๐™ฃ๐™ฏ๐™–๐™ฃ๐™ž๐™– ๐™‹๐™ง๐™š๐™ข๐™ž๐™š๐™ง ๐™‡๐™š๐™–๐™œ๐™ช๐™š ๐™๐™–๐™—๐™ก๐™š ๐˜ผ๐™จ ๐™„๐™ฉ ๐™Ž๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™™๐™จ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟSimba At 5thYanga At 7thAzam At 10th Conside Number Of Game PlayedMsimamo Wa...
16/09/2024

๐™๐™–๐™ฃ๐™ฏ๐™–๐™ฃ๐™ž๐™– ๐™‹๐™ง๐™š๐™ข๐™ž๐™š๐™ง ๐™‡๐™š๐™–๐™œ๐™ช๐™š ๐™๐™–๐™—๐™ก๐™š ๐˜ผ๐™จ ๐™„๐™ฉ ๐™Ž๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™™๐™จ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Simba At 5th
Yanga At 7th
Azam At 10th
Conside Number Of Game Played

Msimamo Wa Ligi Kuu Tanzania Bara Mpaka Sasa


-Mwaka 2003 Wakati Ac Milan inabeba Uefa Champions League Fillipo Inzaghi aliongoza mashambulizi huku nyuma yake akisaid...
01/09/2024

-Mwaka 2003 Wakati Ac Milan inabeba Uefa Champions League Fillipo Inzaghi aliongoza mashambulizi huku nyuma yake akisaidiana na Shevchenko na Rui Costa halafu kwenye base ya kiungo Pirlo akisaidiana na Seedorf na Gattuso left right.

Nia yangu sio kukukumbusha kikosi hicho cha kina Maldini na Nesta k**a mabeki wa kati halafu Castacurta akicheza k**a beki wa kulia na Kaladze k**a left back halafu golini akisimama Dida...(Mliopenda mpira baada ya ujio wa Azam TV tusameheane kidogo ๐Ÿคฃ)

Lengo langu nataka kukumuelezea Leonel Ateba nilivyomuona kwenye hizi dakika alizocheza mbele ya walinzi wa Al Hilal.

Binafsi nimemuona Inzaghi na Drogba kwenye ubongo wa Ateba...Sio Aina ya washambuliaji wanaoubonda sana!

Sio aina ya washambuliaji wazuri sana mguuni wenye uwezo wa kukusanya kijiji kisha wakaweka kambani...

Aina ya uchezaji wa Ateba ni k**a Javier Hernandez 'Chicharito' au Mauro Icardi...weka mali ukaokote kunyavu!

Ateba hawezi sio dribbler na hawezi kukupa Accuracy passes nyingi na hata ku- hold Mali anaweza asiwe mzuri sana...Ni k**a Drogba tu.

Ila atakupa Long shots, Finishing, Aerial Duels na Defensive contribution โœ…๏ธ

Aina ya washambuliaji hawa huwa wanapenda kufanya haya wakiwa uwanjani:-

Shoot from distance โœ…๏ธ
Layoffs
Play long balls
Plays the ball off the ground often.

Jean Charles Ahoua, Deborah Fernandez, Awesu Awesu, Chasambi, Kibu, Mutale,Balua na wengine wanapocheza kwenye mstari wa mwisho ili kumfanya Ateba awe hai muda wote wasing'ang'anie mpira...wakipata mpira wao iwe ni kuweka kwenye njia mwamba akimbize au aruke kuukwamisha kambani.

โœ๏ธSospeter Ilagila

โฑ๏ธ FULL TIME : England PL ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ West Ham 1๏ธโƒฃโž–3๏ธโƒฃ Manchester Cityโšฝ Dias (OG)             โšฝโšฝโšฝ Haaland๐Ÿšจ HAALAND WAMOTO ๐Ÿ™Œ๐Ÿ”ฅ...
31/08/2024

โฑ๏ธ FULL TIME : England PL ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ

West Ham 1๏ธโƒฃโž–3๏ธโƒฃ Manchester City
โšฝ Dias (OG) โšฝโšฝโšฝ Haaland

๐Ÿšจ HAALAND WAMOTO ๐Ÿ™Œ๐Ÿ”ฅ

โœ๏ธErnesto The Maestro

01/07/2024

Am Here To Make Wonders Happen โ™ฅ๏ธ๐Ÿฆ๐Ÿฆโ™ฅ๏ธ

Don't Forget To Share This Post Simba Fans






Nani Namba 10 Hatari Zaidi Nchii Hi Kati Ya Hawa?Na Kwanini?
21/06/2024

Nani Namba 10 Hatari Zaidi Nchii Hi Kati Ya Hawa?Na Kwanini?





๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’"Simba Sc Itakuwa Imara Zaidi Msimu Ujao Kuliko Mpinzani Yeyote Yule"
19/06/2024

๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’

"Simba Sc Itakuwa Imara Zaidi Msimu Ujao Kuliko Mpinzani Yeyote Yule"




๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’... ๐ŸšจDEAL DONE โœ… Kiungo mkabaji wa klabu ya Yanga Zawadi Mauya ameongezewa mkataba wa mwaka mmoja kuende...
15/06/2024

๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’
... ๐ŸšจDEAL DONE โœ… Kiungo mkabaji wa klabu ya Yanga Zawadi Mauya ameongezewa mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya Yanga

โœ๏ธ Ernesto The Maestro




๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉPhilippe Kinzumbi(25) tayari ametua Morocco kwa ajili ya kukamilisha dili na Raja Casablanca.โ€ขMkataba ...
14/06/2024

๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉPhilippe Kinzumbi(25) tayari ametua Morocco kwa ajili ya kukamilisha dili na Raja Casablanca.

โ€ขMkataba wa miaka 3 utasainiwa ikiwa atafaulu vipimo vya afya.

โœ๏ธ Ernesto The Maestro




๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’๐ŸšจJoshua Mutale amejiunga na Simba SC akitokea Power Dynamos Ya zambia.Makubaliano hayo yamefanyika leo n...
14/06/2024

๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’

๐ŸšจJoshua Mutale amejiunga na Simba SC akitokea Power Dynamos Ya zambia.

Makubaliano hayo yamefanyika leo na mkataba huo umesainiwa nchini Zambia.

Joshua Mutale Amesaini Mkataba halali hadi Juni 2027,Pia Ni winga ambaye pia anaweza kucheza k**a nambari 10.

โœ๏ธ Ernesto The Maestro




๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’๐Ÿšจ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Rasmi Henock Inonga Baka Mwenye miaka 30 amejiunga na AS FAR RABATI anayofundisha Nasrdin Nabi.Inong...
14/06/2024

๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’

๐Ÿšจ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
Rasmi Henock Inonga Baka Mwenye miaka 30 amejiunga na AS FAR RABATI anayofundisha Nasrdin Nabi.

Inonga alisaini mkataba Wa miaka miwili Kipindi DRC Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ wakiwa Morocco kujiandaa na Michuano ya Kombe la Dunia.

Rasmi ni mwisho Wa maisha ya Inonga na Simba Baada ya misimu mitatu.

KWAHERI BEKI WA MPIRA BAKA NA KARIBU TENA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿšจ.

โœ๏ธ Ernesto The Maestro




๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐๐”๐‘๐”๐ƒ๐€๐๐ˆ"Honestly kwa sasa nipo single,sipo kwenye mahusiano ya Kimapenzi na mwanaume yeyote,Kuhusu Aziz ki si...
14/06/2024

๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐๐”๐‘๐”๐ƒ๐€๐๐ˆ

"Honestly kwa sasa nipo single,sipo kwenye mahusiano ya Kimapenzi na mwanaume yeyote,Kuhusu Aziz ki sipo kwenye mahusiano nae,ni rafiki yangu tuu k**a rafiki zangu wengine,Kilicho tokea mimi na Aziz ki kwenye sherehe za ubingwa wa Yangasc ni kitu cha kawaida tuu,ambacho kinaweza kutokea hata kwa mtu mwingine....."Hamissa Mobetto






๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐๐”๐‘๐”๐ƒ๐€๐๐ˆWewe K**a Shabiki Ukiambiwa Umchagulie Yammy Binti Kitovu Mchumba Kati Mbosso Na Dvoice,Ungeshauri Yam...
14/06/2024

๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐๐”๐‘๐”๐ƒ๐€๐๐ˆ

Wewe K**a Shabiki Ukiambiwa Umchagulie Yammy Binti Kitovu Mchumba Kati Mbosso Na Dvoice,Ungeshauri Yammy Atoke Na Nani Kimapenzi? Ngoja Tusome Comment







๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’ โ€œKuanzia Jumatatu Juni 17 tutaanza rasmi kutangaza wale ambao tunaachana nao, tutafata wale ambao wameo...
14/06/2024

๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’

โ€œKuanzia Jumatatu Juni 17 tutaanza rasmi kutangaza wale ambao tunaachana nao, tutafata wale ambao wameongeza mikataba na tutamalizia na wachezaji wetu wapya ndani ya Simba SC,"

- Ahmed Ally Semaji la Simba.

Mchezaji gani unatamani apewe "thank you" Simba SC?




๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐๐”๐‘๐”๐ƒ๐€๐๐ˆProducer wa ngoma ya "SENSEMA" ya  X  ameweka wazi kuhusu beats la ngoma hiyo kufanana na wimbo wa mka...
14/06/2024

๐“๐ก๐ž๐’๐ญ๐ฎ๐๐ข๐จ|๐๐”๐‘๐”๐ƒ๐€๐๐ˆ

Producer wa ngoma ya "SENSEMA" ya X ameweka wazi kuhusu beats la ngoma hiyo kufanana na wimbo wa mkali wa muziki wa Dancehall

ameweka wazi kuwa aliwatumia beats la wimbo huo wasanii hao wote wawili ila ndiye aliekua wa kwanza kuingiza verse na kumtumia kisha akafuata ,S2kizzy amesema kilichotokea ni miss communication ila idea ya wimbo huo ulianza kwake na sio kwamba Rayvanny na Harmonize wameiba wimbo huo.






|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’Namba za Cristiano Ronaldo ndani ya Real Madrid chini ya makocha watano.โ€ข Pellegrini: ๐ŸŸ๏ธ Mechi35โšฝ Magoli 33 goals...
14/06/2024

|๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’

Namba za Cristiano Ronaldo ndani ya Real Madrid chini ya makocha watano.

โ€ข Pellegrini:
๐ŸŸ๏ธ Mechi35
โšฝ Magoli 33 goals
๐Ÿ“Œ Assist 11

โ€ข Mourinho:
๐ŸŸ๏ธ Mechi 164
โšฝMagoli 168
๐Ÿ“Œ Assist 49

โ€ข Ancelotti:
๐ŸŸ๏ธ Mechi 101
โšฝ Magoli 112
๐Ÿ“Œ Assist47

โ€ข Benitez:
๐ŸŸ๏ธ Mechi 24
โšฝ Magoli 25
๐Ÿ“Œ Assist 8

โ€ข Zidane:
๐ŸŸ๏ธ Mechi 114
โšฝ Magoli 112
๐Ÿ“Œ Assist 30

Oya wee kwani wee huogopi ๐Ÿ˜ณ




Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255783836157

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ernesto TheMaestro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ernesto TheMaestro:

Share


Other Digital creator in Dar es Salaam

Show All