28/10/2024
Nianze kwa kusema Free Offer kwa watu 10 tu wa mwanzo kwa sababu napenda tukue kwa pamoja.
Twendelee...
Unajua ni kwa nini wateja wengi wanatembelea profile yako Instagram lakini wanaondoka bila kununua?
Najua unajua hujui basi tega umakini wako nikupe sababu.
Wewe akaunti yako mtandaoni inatambulika k**a aina ipi ya Personal Account au Business Account?
Sasa hapa naongea na watu wa business account ambao ndio walengwa wa ujumbe huu.
Naomba nikwambie kwamba mteja anapokuja katika akaunti yangu ndani ya sekunde 10 akaunti yako inatakiwa ijibu maswali ya mteja haya:
1. Akaunti inahusika na nini?
2. Je, ni salama na ninaweza kuiamini?
3. Nifanye nini baada ya hapa?
Hayo ni maswali ya msingi sana ambayo yanatakiwa yajibiwe na yako ndani chini ya sekunde 10.
K**a itashindwa kujibu maswali hayo basi mteja ataondoka kwa sababu hajajibiwa maswali yake.
Sasa nikuulize angalia sasa hivi bio yako halafu uniambie nilichokwambia ni sahihi au umeamua kukaza fuvu 😂
Mfano angalia uandishi wa Bio yangu uone ilivyoandikwa imekujibu maswali yako.
By the way.
Mimi nafanya Page Audit and Optimization yaani Ukaguzi wa Page na Urekebishaji. Nakagua Page yako na kuangalia makosa na mapungufu halafu nayafanyia marekebisho.
Kwa kuwa leo ni siku ya rafiki yangu ya kuzaliwa napenda kuwapa OFA watu 10 wa mwanzo kuwafanyia Free Page Audit and Optimization.
Nitumie sms Whatsapp: 0623475974
PS:
OFA hii inaisha saa 6:00am leo usiku. Kumbuka nafasi ni watu 10 tu na hapa zimebaki 7 kwa sababu watu wa 3 waliniomba nifanye hii kwa hiyo wameshazichukua.