12/01/2026
HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA DOT KOMU DIGITAL
1. Utengenezaji wa Maudhui (Content Creation)
- Kutengeneza maudhui ya kuvutia na yenye kushawishi kwa ajili ya biashara mbalimbali.
- Maudhui ya mitandao ya kijamii, blogu, video, picha na maandishi ya kibiashara.
2. Kuandaa Matangazo ya Kulipia (Paid Ads Management)
- Kubuni na kusimamia matangazo ya kulipia kupitia Facebook, Instagram, Google, TikTok n.k.
- Kulenga wateja sahihi kwa lengo la kuongeza mauzo na uonekano wa biashara.
3. Mikakati ya Masoko na Mauzo (Marketing & Sales Strategy
- Kuandaa na kushauri mikakati bora ya kukuza biashara kupitia masoko ya kidigitali.
- Kupanga kampeni za mauzo na njia za kuvutia wateja wapya na kuimarisha uaminifu wa wateja waliopo.
Wasiliana Nasi Kwa Maelezo Zaidi
Call/WhatsApp 0789-578-514
Email:[email protected]