23/10/2023
Kwa usalama wa pikipiki, gari, bajaji, yako villa store track GPS inakuletea king'amuzi ambacho kitakusaidia kujua pikipiki, bajaji, au gari yako inavyofanya mizunguko
Masaa iliyofanya kazi tangu ilipowashwa
Mwendo anaotembea nao barabarani driver
Kurahisisha upatikanaji wa gari, pikipik, bajaji, endapo ikaibiwa
Unaweza Pata yote haya na zaidi hata kwa kutumia simu yako ya kiganjani unaweza kuizima popote ilipo
~Tunafunga kwa
~Gari kibinafsi
~Basi
~Pikipiki
~Mashine ya kusongesha ardhi (Excovator)
~Jenereta
~Boti
~Mitambo ya uchimbaji madini.
~Treni.
Wasiliana nasi upate kujua jinsi unavyoweza kufaidi kwa kutumia gps track zetu.
Contact information.
☎️ +255 694141716
✉️ [email protected]