Halisi Media

Halisi Media Halisi Media Inakupatia Taarifa Mbalimbali Za Burudani,Sanaa na Michezo kutoka Kila pande Ulimwenguni
(129)

Mdm Media is a platform that provides a wide range of information, especially in Kiswahili and English, and highlights the lifestyle and aspirations of the people of Tanzania, Kenya, Burundi,Uganda,Congo DRC between the ages of 18 and 45. political issues and offers Opportunities for entrepreneurs to get more involved.

10/12/2024

Diamond Platnumz atoa tamko kilichotokea kwenye Tamasha la Furaha City Festival Nchini Kenya

Hii ni Statement Part.2

Follow Ukurasa Wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN  Shirikisho Soka barani Afrika CAF limetoa taarifa kuwa taifa la Kenya 🇰🇪 li...
09/12/2024

BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN

Shirikisho Soka barani Afrika CAF limetoa taarifa kuwa taifa la Kenya 🇰🇪 limeshindwa kukidhi vigezo vya kuwa mmoja wa mataifa yatakayoandaa mashindano ya CHAN mwakani 2025 mara baada ya kushindwa kukidhi vigezo vya kuwa mwenyeji wa mashindano hayo.

Viwanja vyote vilivyopo Kenya havina ubora wa kutumika katika michezo ya FIFA Wala CAF Kwa mujibu wa wakaguzi wa CAF na hata uwanja wa Kasarani unaojengwa pia imeonekana kuwa hautakamilika Kwa wakati.

Naafasi hiyo wamepatiwa Rwanda 🇷🇼 mara baada ya kuonekana wao wamekidhi vigezo vya kuwa wenyeji wa CHAN.

CHAN2025 itachezwa katika mataifa matatu ambayo ni Rwanda 🇷🇼, Tanzania 🇹🇿 pamoja na Uganda 🇺🇬.

Hizi hapa nyimbo 10 Bora za Mwaka 2024 zilizo ongoza kusikilizwa sana na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Mh Zitto Ka...
09/12/2024

Hizi hapa nyimbo 10 Bora za Mwaka 2024 zilizo ongoza kusikilizwa sana na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Mh Zitto Kabwe

Kwa mujibu wake Nyimbo hizi 10 kutoka Bongofleni ndizo zilikonga moyo wake zaidi.

Una maoni gani??

Follow Ukurasa Wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

MAUASAMA ATAMANI KUONGEZA SHAPEMwanamuziki  amechapisha picha hii akiwa ame-edit umbo lake na kuuliza kuwa k**a akiwa na...
09/12/2024

MAUASAMA ATAMANI KUONGEZA SHAPE

Mwanamuziki amechapisha picha hii akiwa ame-edit umbo lake na kuuliza kuwa k**a akiwa na umbo hili atapendeza?

Vipi kwa upande wako unaona Maua Sama akienda Kufanya Surgery kuongeza Shape atapendeza?

RC MAKONDA AONGOZA MATEMBEZI NA MAOMBI ARUSHA🇹🇿Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda  amewaongoza wakazi wa ...
09/12/2024

RC MAKONDA AONGOZA MATEMBEZI NA MAOMBI ARUSHA🇹🇿

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda amewaongoza wakazi wa mkoa huo, kushiriki Matembezi na Maombi ya Kuuombea Mkoa wao na Taifa, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 09, 2024.

Matembezi hayo yameanzia eneo la mzunguko wa Impala kuelekea Mzunguko wa Clock Tower kuelekea Barabara ya Sokoine (Uhuru Road) mpaka mnara wa Mwenge (Azimio la Arusha) ambapo maombi Maalumu yatafanyika.

Kauli Mbiu "Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara; Uongozi Madhubuti na Ushirikishwaji Wananchi ni Msingi wa Maendeleo yatu"

WACHAMBUZI WA MICHEZO TUPENI RAHA "ZAKAZAKAZI"Baada ya Simba na Yanga kupoteza Michezo wikendi iliyopita Afisa Habari wa...
09/12/2024

WACHAMBUZI WA MICHEZO TUPENI RAHA "ZAKAZAKAZI"

Baada ya Simba na Yanga kupoteza Michezo wikendi iliyopita Afisa Habari wa Azam FC Zakazakazi ameahidi kusikiliza vipindi vyote vya michezo siku ya Leo

"Nikiingia na kiredio changu Azam Complex ili kusikiliza vipindi vya michezo leo Jumatatu, Disemba 9, 2024 Nitaunganisha maspika makubwa ya uwanjani ili Mbagala yote isikilize michezo leo.

1. Azam FC ilivyowanyoa wajukuu wa Mkwawa.
2. Ligi ya Mabingwa Cuba
3. Kombe la Shirikisho la Venezuela
4 Na kadhalika.

Ndugu wachambuzi tupeni raha!" Ameandika Zakazakazi 😀

Follow Ukurasa Wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

Heri ya Kumbukumbu ya Uhuru wa Tanzania Bara (Tanganyika Independence)
09/12/2024

Heri ya Kumbukumbu ya Uhuru wa Tanzania Bara (Tanganyika Independence)


"Simba wanamfunga Cs Sfaxien home and away, Cs Constantine anakufa nyumbani halafu wanakwenda kuchukua alama moja ugenin...
08/12/2024

"Simba wanamfunga Cs Sfaxien home and away, Cs Constantine anakufa nyumbani halafu wanakwenda kuchukua alama moja ugenini kwa Bravos...Alama 13 Simba Inakwenda robo fainali k**a kawaida yake..."

Sospeter Ilagila. ✍️

Follow Ukurasa Wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

SIMBA YAPOTEZA MCHEZO UGENINIMpira umemalizika Simba SC inapoteza mchezo wa kwanza katika Hatua ya nakundi ya kombe la S...
08/12/2024

SIMBA YAPOTEZA MCHEZO UGENINI

Mpira umemalizika Simba SC inapoteza mchezo wa kwanza katika Hatua ya nakundi ya kombe la Shirikisho, licha ya kutangulia Kipindi cha kwanza wanapoteza mchezo

FT: CS Constantine 2-1 Simba SC
⚽ Zimbwe
⚽ Hamza OG

Goaaaaaal muda mfupi baada Abdurazak Hamza kujifunga Dakika chache baadae CS Constantine wanapata Goli la piliCS Constan...
08/12/2024

Goaaaaaal muda mfupi baada Abdurazak Hamza kujifunga Dakika chache baadae CS Constantine wanapata Goli la pili

CS Constantine 2-1 Simba SC
⚽ Zimbwe
⚽ Hamza OG

MAPUMZIKO KUTOKA ALGERIAGoli la Mohammed Hussein Zimbwe linaipeleka Mapumziko Simba SC ikiwa mbele dhidi ya CS Constanti...
08/12/2024

MAPUMZIKO KUTOKA ALGERIA

Goli la Mohammed Hussein Zimbwe linaipeleka Mapumziko Simba SC ikiwa mbele dhidi ya CS Constantine

HT: CS Constantine 0-1 Simba SC
⚽ Zimbwe 23

Goaaaaaaal Dakika ya 23 Mohammed Hussein Zimbwe anaiandikia Simba SC Goli la kwanzaCS Constantine 0-1 Simba SC⚽ Zimbwe 2...
08/12/2024

Goaaaaaaal Dakika ya 23 Mohammed Hussein Zimbwe anaiandikia Simba SC Goli la kwanza

CS Constantine 0-1 Simba SC
⚽ Zimbwe 23

Nyuzi Joto inasoma 9° 😮Cs Constantine Vs Simba SC
08/12/2024

Nyuzi Joto inasoma 9° 😮

Cs Constantine Vs Simba SC

Mnyama Anashinda Ngapi kwa Kikosi Hichi?
08/12/2024

Mnyama Anashinda Ngapi kwa Kikosi Hichi?

Hiki Hapa Kikosi cha Maangamizi cha CS Constantine Kinachoenda Kuivaa Simba SCUnadhani Mnyama Atatoka salama kweli??
08/12/2024

Hiki Hapa Kikosi cha Maangamizi cha CS Constantine Kinachoenda Kuivaa Simba SC

Unadhani Mnyama Atatoka salama kweli??

Rais wa Jahmuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteuwa Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani y...
08/12/2024

Rais wa Jahmuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteuwa Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, akichukua nafasi ya Hamadi Masauni, awali Bashungwa alikuwa akihudumu k**a Waziri wa Ujenzi.

Follow Ukurasa Wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

Address

Mbezi Beach
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Halisi Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Halisi Media:

Videos

Share

Nearby media companies