Rj News

Rj News KWA MATANGAZO YA BIASHARA , MUSIC PROMO 'PAGE PROMOTION TUCHEKI DM ORπŸ‘‡πŸ‘‡

WhatsApp number 0620621787
(2)

17/12/2024

Nyumba inauzwa Tsh.45,000000 Arubani na Tano Ina vyumba 4 vitatu master Publick choo 1 Mikumbi 2 Majiko mawil ndani na nje Nyumba ina Fensi
Location Kwarara kwangurangwa
Tell:0620621786

Nyumbaina  inauzwa Kwarara KWANGURANGWA Zanzbar Nyumba ipo karibu na barabara ni dakik 5 kufka kituo cha dalala kw kutem...
16/12/2024

Nyumbaina inauzwa Kwarara KWANGURANGWA Zanzbar Nyumba ipo karibu na barabara ni dakik 5 kufka kituo cha dalala kw kutembea kwa miguu usafiri unafika had chini ya nyumba
Sifa za nyumba
Inavyumba 4 vitatu master
Ina majiko 2 ndani na nje
Public choo 1
Store 1
Mikumbi 2
Ina fensi
Bei Million 45000000 Milion Arobani na tano Mawasiliano 0620621787 call or whatsap

πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚
21/10/2024

πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚

,HAPPY BIRTHDAY TO YOU   MBOSSO KHAN πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚
03/10/2024

,HAPPY BIRTHDAY TO YOU MBOSSO KHAN πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚

Kumbe zile Kajala 1 and 2 alikuwa amekopa hela benkiπŸ˜‚πŸ˜‚
19/08/2024

Kumbe zile Kajala 1 and 2 alikuwa amekopa hela benkiπŸ˜‚πŸ˜‚

Unahisi ngoma yao Mpya inayotarajiwa kutoka hivi karibuni itavunja record ya wimbo wa wa kwangwaru   & Diamond Platnumz
20/03/2024

Unahisi ngoma yao Mpya inayotarajiwa kutoka hivi karibuni itavunja record ya wimbo wa wa kwangwaru & Diamond Platnumz

 :Mastaa wa Muziki Wa Bongo fleva Nchini Tanzania Diamond Platnumz Pamoja na Harmonize Wamekutana Tena uso kwa uso Baada...
13/03/2024

:Mastaa wa Muziki Wa Bongo fleva Nchini Tanzania Diamond Platnumz Pamoja na Harmonize Wamekutana Tena uso kwa uso Baada ya kupita Takrbani Miaka Mitano Tangu Harmonize alipotoka katika lebo ya Wasafi 2019 ,Wawili hao Wamekutana kwenye Iftar iliondaliwa na Rais Samia "Ikulu Hapo Usiku wa Jana .

/

πŸ“·Picha ya pamoja Wanamuziki Zuchu &Nandy β™₯️β™₯οΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
09/03/2024

πŸ“·Picha ya pamoja Wanamuziki Zuchu &Nandy β™₯️β™₯οΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Picha πŸ“· ya pamoja Harmonize na Mpenzi wake Poshy QueenπŸ”₯πŸ”₯
08/03/2024

Picha πŸ“· ya pamoja Harmonize na Mpenzi wake Poshy QueenπŸ”₯πŸ”₯

 Staa wa muziki  ametoa shukrani kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kumuita katika ofisi zake na kumpa maelekezo ...
08/03/2024


Staa wa muziki ametoa shukrani kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kumuita katika ofisi zake na kumpa maelekezo ya sheria na kanuni huku akikiri kosa lake lililotokea Februari 24 mwaka huu wakati wa tukio la Fullmoon Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja. Inadaiwa kuwa alitoa matamshi na kuonyesha ishara ambazo zilichukuliwa kuwa kinyume na maadili.

"Maisha ya binadamu ni hadithi hapa ulimwenguni, basi kuwa hadithi nzuri kwa watakaosimuliwa". Mzee Ali Hassan Mwinyi.
01/03/2024

"Maisha ya binadamu ni hadithi hapa ulimwenguni, basi kuwa hadithi nzuri kwa watakaosimuliwa". Mzee Ali Hassan Mwinyi.

 :Baada ya staa wa bongo fleva  na wimbo wake   aliomshirikisha boos wake   kuingia Trending namba Moja 1 YouTube ,IBRAA...
25/02/2024

:Baada ya staa wa bongo fleva na wimbo wake aliomshirikisha boos wake kuingia Trending namba Moja 1 YouTube ,IBRAAH ameweka list inayonesha wimbo wake huo ukiwa namba Moja Trending Kisha kuandika ujumbe huu ✍️✍️
Tumeangusha Matikiti huko mjini Youtube (Number one trending)πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Keep streaming Dharau Ft

MAONI GANI...?

 :Staa wa Muziki wa Bongo fleva  ametangaza kusaini wasanii wapya ndani ya Lebo yake huku akisema kuwa  Ushauri wa Msani...
24/02/2024

:Staa wa Muziki wa Bongo fleva ametangaza kusaini wasanii wapya ndani ya Lebo yake huku akisema kuwa Ushauri wa Msanii wake umempa nguvu.
Mbali na hivyo amefunguka kushangazwa na wale waliowashauri wasanii waliokuwa ndani ya Lebo yake kuwa wakitoka mikononi mwake watafanikiwa lakini imekuwa tofauti

  Msani  na kipini puani πŸ‘½ Vipi Unahisi kapendeza...?
24/02/2024

Msani na kipini puani πŸ‘½ Vipi Unahisi kapendeza...?

Ni wazi kabsa K**a sapoti tunayompa Diamond Platnumz tukiamua kuionesha kwa Harmonize Basi Mziki wa Bongo fleva utafika ...
22/02/2024

Ni wazi kabsa K**a sapoti tunayompa Diamond Platnumz tukiamua kuionesha kwa Harmonize Basi Mziki wa Bongo fleva utafika mbali Sana kwenye mataifa ya wenzetu, Si manishi kwa Sasa kwamba Harmonize hatumpi sapoti tunampa sapoti Sana ila so kwa ukubwa hule unaotakiwa K**a tunavyo fanya kwa Diamond , Platnumz Amefanya colabo wengi wa nje Tena wakubwa ila Hadi Sasa hatuon impact za kolabo hizo bado Hadi Sasa Diamond analinganishwa na haujiulizi Ni kwa Nini ?? Nikuache kwenye kitendawili hiki kwa kumalizia story Yangu ,K**a Harmonize tutampa support kwa ukubwa Nauona mziki wa bongo fleva ukipenya kimataifa ngoma K**a Again It zinapaswa kuleta TUZO za Gramy pamoja na kolabo kuhwa hapa Nchini ila kinachotukwamish Ni huyu kachia IT ,huyu kachia yule kachia kweli tutatafika

WATANZANIA 'RAMADHANI BROTHERS' WASHINDI WA America's Got Talent Usiku wa Jana 20/2 na kujishindia jumla ya Tzsh Million...
21/02/2024

WATANZANIA 'RAMADHANI BROTHERS' WASHINDI WA America's Got Talent Usiku wa Jana 20/2 na kujishindia jumla ya Tzsh Million 636.2

Nandy & Ali kiba Unawapa asilimia ngapi kwenye wimbo wait   ????
21/02/2024

Nandy & Ali kiba Unawapa asilimia ngapi kwenye wimbo wait ????

Address

Zanzibar
Same

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rj News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rj News:

Videos

Share