Mwanza Media

Mwanza Media ✍️✍️MWANZA MEDIA: Karibu utangaze biashara au huduma yako kwenye page hii kwa gharama nafuu.

Pia k**a unataka kuwa Mdhamini mkuu wa kila post inayowekwa humu, tuinbox Messenger
AU
Whatsapp/Normal call 0627791515

Hii kitaalamu inaitwaje 😀
27/12/2024

Hii kitaalamu inaitwaje 😀

Kwa mujibu wa matamshi ya Cristiano Ronaldo kwenye usiku wa tuzo za Globe soccer awards ameweka wazi kuwa, Rodrigo Casan...
27/12/2024

Kwa mujibu wa matamshi ya Cristiano Ronaldo kwenye usiku wa tuzo za Globe soccer awards ameweka wazi kuwa, Rodrigo Casante hakustahili kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or.

Amesema Vinicius Jr ndio alistahili kuwa mshindi wa tuzo hiyo.

Hiki ndicho kilichobaki....🤣🤣🤣Mwezi mzima hujashona nguo yangu mpaka sikukuu navaa nguo ya zamani...?
25/12/2024

Hiki ndicho kilichobaki....🤣🤣🤣
Mwezi mzima hujashona nguo yangu mpaka sikukuu navaa nguo ya zamani...?

Siku isipite tu jiwahie zawadi yako ya sikukuu
25/12/2024

Siku isipite tu jiwahie zawadi yako ya sikukuu

Ukipata muda sikukuu hii pitia hii movie moja safi kabisa toka kwa M***a Kitale
25/12/2024

Ukipata muda sikukuu hii pitia hii movie moja safi kabisa toka kwa M***a Kitale

Tumfiche msanii gani wa Tanzania asiione hii
25/12/2024

Tumfiche msanii gani wa Tanzania asiione hii

Klabu ya Dodoma Jiji hadi hivi sasa imecheza michezo 14 ya Ligi na imeibuka na ushindi wa michezo minne [4] pekee huku i...
25/12/2024

Klabu ya Dodoma Jiji hadi hivi sasa imecheza michezo 14 ya Ligi na imeibuka na ushindi wa michezo minne [4] pekee huku ikitoa sare michezo minne [4] na kupoteza michezo sita [6] ikivuna alama 16 na ipo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa Ligi.

Dodoma Jiji imecheza michezo sita [6] ikiwa kwenye ardhi yake ya nyumbani imeshinda michezo minne [4], ikitoa sare michezo miwili [2].

Hadi hivi sasa klabu hiyo imefunga magoli 13 na imefungwa magoli 16.Imepoteza kwenye mechi zote za timu nne za juu ya msimamo ikiwemo Azam [ 1-3], Simba [0-1] na Singida Black Stars [2-1].

Ila liver🔥
22/12/2024

Ila liver🔥

FT: Al Ahly 6-1 CR Belouizdad
22/12/2024

FT: Al Ahly 6-1 CR Belouizdad

Mchezaji mieleka mstaafu wa (WWE), Rey Mysterio Senior ambaye ni mjomba wa mcheza mieleka Rey Mysterio Junior, amefariki...
21/12/2024

Mchezaji mieleka mstaafu wa (WWE), Rey Mysterio Senior ambaye ni mjomba wa mcheza mieleka Rey Mysterio Junior, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi 21/12/2024 akiwa na umri wa miaka miaka 66.

Kifo cha nyota huyo wa mieleka kimethibitishwa na promotion ya mieleka kutoka Mexico Lucha Libre ambao pia ni watu wa karibu na familia ya Mysterio.

ivi hapa Casio au simu ipi huwa inatoa jibu la kweli wakuu?
21/12/2024

ivi hapa Casio au simu ipi huwa inatoa jibu la kweli wakuu?

Mtu mrefu kuliko wote Kenya Genz goliath mwenye umri wa miaka 27 akiwa pamoja na Mbosso na Chino kid
21/12/2024

Mtu mrefu kuliko wote Kenya Genz goliath mwenye umri wa miaka 27 akiwa pamoja na Mbosso na Chino kid

Baada ya kukaa Tanzania muda wa wiki kadhaa leo akiwa ameongozana na wazazi wake JONATHAN IKANGALOMBO alipokelewa na Ama...
20/12/2024

Baada ya kukaa Tanzania muda wa wiki kadhaa leo akiwa ameongozana na wazazi wake JONATHAN IKANGALOMBO alipokelewa na Amadou Diaby rais wa As vita Club na kuomba msamaha kwa vitendo alivyovifanya kwa kukaa nje ya timu zaidi ya muda aliopewa huku akileta migomo ya hapa na pale akishinikiza kuuzwa na moja ya klabu kutoka Tanzania ambayo ni yanga sc .

Amesamehewa na tayari ameruhusiwa kujiunga tena na klabu hiyo na kuendelea na programu za timu k**a hapo wali.

Deal kati yake na yanga sc limekufa rasmi.

20/12/2024
Ohoo
18/12/2024

Ohoo

17/12/2024

Huu umeme umekatika nchi nzima vipi hapo ulipo kuna umeme?

🚨 Kiungo wa AS Monaco Lamine Canara ameshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa mwaka 2024,🇸🇳🌟
16/12/2024

🚨 Kiungo wa AS Monaco Lamine Canara ameshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa mwaka 2024,🇸🇳🌟

CS SFAXIEN HAWAKUFANYIWA FAIR "JOB""Siungi mkono vurugu za mashabiki wa CS SFAXIEN kuvunja Viti vya uwanja wa Benjamin M...
15/12/2024

CS SFAXIEN HAWAKUFANYIWA FAIR "JOB"

"Siungi mkono vurugu za mashabiki wa CS SFAXIEN kuvunja Viti vya uwanja wa Benjamin Mkapa Ila nimechagua kuwaelewa kwa Yale waliyolalamikia kuna Mambo mengi hawakufanyiwa Fair na Mwamuzi katika Mchezo wa Leo mwamuzi kuongeza dakika, wachezaji kupewa kadi pasipokuwa na sababu" Mchambuzi George Job kupitia Sports Court ya wasafifm

Address

Ilemela
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanza Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share