Valuer Tyson

Valuer Tyson - β€œRisk. Learn. Thrive.”
πŸ“± 0758 672 833
(1)

My fake plants died because I did not pretend to water them. Ni mwendo wa kumwagilia tu Plant .digital
11/09/2024

My fake plants died because I did not pretend to water them.
Ni mwendo wa kumwagilia tu Plant .digital

06/09/2024

Ukanda wetu, Timu yetu
27/08/2024

Ukanda wetu, Timu yetu

β€œMuda mwingine watu huwa hununua  Vitu siyo kwasababu wanavitaka au wana shida Navyo... Wananunua kwasababu wameona weng...
28/07/2024

β€œMuda mwingine watu huwa hununua Vitu siyo kwasababu wanavitaka au wana shida Navyo... Wananunua kwasababu wameona wengine wamenunua..

HALI HII KITAALAMU INAITWA...
β€œBANDWAGON EFFECTS/ HALO EFFECTS”

NDIYO MAANA SHUHUDA HUUZWA.

Mfano
- Watu hununua sana Ngua wakiona watu Maarufu wamevaa lakini siyo kwamba walinunua kisa wanahitaji.

- Wape Shuhuda wateja wako.

Good Luck

18/07/2024
Tufanikiwe wote 🀝
18/06/2024

Tufanikiwe wote 🀝

Karibu Sinza Mori πŸ™
08/06/2024

Karibu Sinza Mori πŸ™

Hii imeenda!!
12/10/2023

Hii imeenda!!

31/07/2023

If you are not willing to risk the usual, you will have to settle for the ordinary.

14/07/2023

"Jipe moyo hata wakati mambo yanapoonekana magumu, kwa sababu ushindi mkubwa huja baada ya changamoto kubwa."

14/07/2023

β€œKila mafanikio makubwa huanza na wazo dogo la biashara. Weka nia, jitume, na utafika mbali.”

KWANINI WAHINDI WALIOPANGA KARIAKOO/UPANGA WANAMILIKI UCHUMI.Jifunze Mambo Saba 07. Kutoka kwa Wahindi na Ukuze Biashara...
21/04/2023

KWANINI WAHINDI WALIOPANGA KARIAKOO/UPANGA WANAMILIKI UCHUMI.

Jifunze Mambo Saba 07. Kutoka kwa Wahindi na Ukuze Biashara yako.

*01. Hawajengi na kuacha pesa iwe kwenye biashara.*

- Maisha ni kupanga na kuchagua, unaweza kujenga, ukanunua magari.
- Wahindi wao wanaishi kwenye nyumba za kupanga ili mpunga wao ufanye kazi nyingine.

*02. Nyumba sio asset ni libality.*

Huu ni mjadala mkubwa sana.
Nyumba ya kupangisha (rentals) ni asset – Ni nyumba ya biashara.
Nyumba ya kuishi ni liability – You can choose what to belive.
- No wonder, Wahindi wengi huwaoni wakikimbia kwenda kujenga...
Kwenye maisha jambo la msingi ni kuzalisha pesa.
- Sasa k**a unaweza kufanya biashara ikalipa maradufu, kwa nini ukazike pesa kwenye nyumba ya kuishi?

*03. Wanapanga karibu na sehemu ya biashara ili wasitumie nauli.*

Wahindi wanaishi mjini.
Hawapandi magari na kulipa nauli, wanatembea. Akili Mtu wangu
- Wanatumia scooter kutembelea mjini, Sio kwamba hawana magari, wanayo.
Lakini tabia zao ni kukata costs za maisha kadri iwezekanvyo.

*04. Wanaishi karibu na sehemu ya biashara ili wasinunue chakula.*

Wanakula chakula cha kupika nyumbani.
Ukiishi karibu na kwako hii ndo faida.
- ukilipa 10K ya chakula kila siku, kwa mwezi ni 300K.
- Wazeiya wanakula nyumbani ili kusev costs.
- Ndo maana wanaishi karibu na kazini.

*05. Wanaishi karibu na biashara ili wasipoteze muda mwingi njiani.*

Kuna gharama kubwa unaingia kwa kukaa saa 2 njiani ukienda kazini.
Unaweza kuona ni kawaida lakini unapoteza muda mwingi sana.
Saa 2 kwenda na kurudi kwa siku = saa 4, wiki = saa 28, mwezi = saa 112...

*06. Hawakai mbali kuepuka kununua magari makubwa ya kwendea kazini.*

Mtu anaishi kibaha, anatumia pesa nyingi kuweka mafuta ya gari kwenda kazini.
Mhindi yeye anataka kutembea kwa miguu tu. Au basi anunue scooter ya kuzungukia mjini tu.

*07. Wanakaa mjini karibu na huduma zote muhimu.*

Ukiishi mjini unaokoa nauli nyingi za kwenda kupata huduma sehemu mbalimbali.
-Hospitali zipo karibu.
- Masoko yapo karibu.
- Ofisi za umma zipo karibu.
- Shule zipo karibu.

Unaokoa mengi kwa kuishi mjini.

Tumia Mbinu hizi za Wahindi Kibiashara πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ“± 0758 672 833

πŸ”Š
03/04/2023

πŸ”Š

07/03/2023
An Art πŸ–ΌοΈ
05/03/2023

An Art πŸ–ΌοΈ

Ring Light πŸ’‘ 35k
21/02/2023

Ring Light πŸ’‘ 35k

πŸ˜‚πŸ˜‚
12/02/2023

πŸ˜‚πŸ˜‚

Address

Mbezi Beach
Dar Es Salaam

Telephone

+255758672833

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Valuer Tyson posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Valuer Tyson:

Videos

Share