Wimbo wa WATOTO kipindi cha LIKIZO #katunizawatoto #katunizawatotowadogo #watoto #likizo #shule #Elimu #katuni #chekechea #nyimbozawatoto #hadithizawatoto - Nyimbo za Watoto
Wimbo: NANI KAMA BABA? part 5
Wimbo: NANI KAMA BABA? part 4
Wimbo: NANI KAMA BABA? part 3
Wimbo: NANI KAMA BABA? part 2
Wimbo: NANI KAMA BABA? part 1
Wimbo: NANI KAMA BABA?
TOVUTI YETU: www.nyimbozawatoto.co.tz
LYRICS/MASHAIRI YA WIMBO HUU:
(Kiitikio)
Nani kama Baba
Nani kama Baba - Baba baba
Nani kama Baba
Nani kama Baba - Baba baba
(Ubeti 1):
Mpambanaji baba,
Mtafutaji baba,
Ni Kiongozi baba,
Pia mlinzi baba,
Ananipenda baba,
Ananijali baba,
Baba ananihudumia - mia kwa mia
Baba ananihurumia - mia kwa mia
(Kiitikio)
Nani kama Baba
Nani kama Baba - Baba baba
Nani kama Baba
Nani kama Baba - Baba baba
(Ubeti 2)
Kakubali kuumia,
Ili kunihudumia,
Kajitoa sana baba,
Kuhakikisha nashiba,
Mungu mbariki baba,
Mungu mbariki baba!
(Kiitikio)
Nani kama Baba
Nani kama Baba - Baba baba
Nani kama Baba
Nani kama Baba - Baba baba
#nyimbozawatoto #katunizawatoto #watoto #baba #nanikamababa
Wimbo wa Happy Birthday To You - Indian Kid Version - Kata Keki Tule #happybirthday #hbd #katakekitule #katakeki
Wimbo wa Mtoto Nasalimia Wakubwa - Nyimbo za Watoto
#nyimbozawatoto #katunizawatoto #katuni #watoto
Mashairi/Lyrics:
[Kiitikio]
Mtoto nasalimia wakubwa
Mtoto mzuri nasalimia
Mtoto nasalimia wakubwa
Mtoto mzuri nasalimia
[Ubeti 1]:
Shikamoo baba, Shikamoo
Shikamoo mama, Shikamoo
Shikamoo babu, Shikamoo
Shikamoo bibi, Shikamoo
Shikamoo kaka, Shikamoo
Shikamoo dada, Shikamoo
[Rudia Kiitikio]
[Ubeti 2]:
Shikamoo mjomba, Shikamoo
Shikamoo shangazi, Shikamoo
Shikamoo mwalimu, Shikamoo
Shikamoo wakubwa, Shikamoo
[Rudia Kiitikio]
Shikamoo!
Shikamoo!
Shikamoo!
Shikamoo!
Jiunge nasi kwenye TikTok kwa jina la Nyimbo za Watoto
Wimbo wa Happy Birthday To You - Kata Keki Tule
Wimbo wa Happy Birthday To You - Indian Kid Version (Kata Keki Tule) #happybirthday #nyimbozawatoto #katakeki #katakekitule #hbd
Wimbo wa Mtoto Nasalimia Wakubwa
#nyimbozawatoto #katunizawatoto #katuni #watoto
Mashairi/Lyrics:
[Kiitikio]
Mtoto nasalimia wakubwa
Mtoto mzuri nasalimia
Mtoto nasalimia wakubwa
Mtoto mzuri nasalimia
[Ubeti 1]:
Shikamoo baba, Shikamoo
Shikamoo mama, Shikamoo
Shikamoo babu, Shikamoo
Shikamoo bibi, Shikamoo
Shikamoo kaka, Shikamoo
Shikamoo dada, Shikamoo
[Rudia Kiitikio]
[Ubeti 2]:
Shikamoo mjomba, Shikamoo
Shikamoo shangazi, Shikamoo
Shikamoo mwalimu, Shikamoo
Shikamoo wakubwa, Shikamoo
[Rudia Kiitikio]
[Outro]:
Shikamoo!
Shikamoo!
Shikamoo!
Shikamoo!
Kupata Nyimbo za kufundisha watoto jiunge nasi kwenye mitandao yetu:
https://www.tiktok.com/@nyimbozawatoto
https://facebook.com/nyimbozawatoto
https://www.youtube.com/@nyimbozawatoto
https://www.instagram.com/nyimbozawatoto
https://twitter.com/nyimbozawatoto_
AU: https://x.com/nyimbozawatoto_
TOVUTI YETU: www.nyimbozawatoto.co.tz
Sauti ya Kumbembeleza Mtoto Kulala #nyimbozawatoto Malezi ya watoto