Nicodem Ambokile

Nicodem Ambokile Sports news

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด๐Ÿค– Erling Haaland katika mashindano ya Champions League:๐ŸŸ๏ธ Michezo:  33โšฝ Magoli:   37๐Ÿ† Kombe :  1
26/10/2023

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด๐Ÿค– Erling Haaland katika mashindano ya Champions League:

๐ŸŸ๏ธ Michezo: 33
โšฝ Magoli: 37
๐Ÿ† Kombe : 1

๐Ÿ…๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅKylian Mbappe amefikisha goli 42 katika mashindano ya  Champions League akiwa bado hajafikisha miaka   25.โ™ฆ๏ธLionel Me...
26/10/2023

๐Ÿ…๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅKylian Mbappe amefikisha goli 42 katika mashindano ya Champions League akiwa bado hajafikisha miaka 25.

โ™ฆ๏ธLionel Messi pekee ndio ana magoli mengi kumzidi Mbape akiwa na magoli (51) ๐Ÿคฏ

๐Ÿšจ Aston Villa FC ipo mstari wa mbele katika mbio za kutaka Saini ya beki wa kulia wa  Atletico Madrid,  Nahuel Molina  a...
26/10/2023

๐Ÿšจ Aston Villa FC ipo mstari wa mbele katika mbio za kutaka Saini ya beki wa kulia wa Atletico Madrid, Nahuel Molina ambaye aliisaidia Argentina kushinda kombe la dunia mwaka uliopita .

(Source: Fichajes)

DEAL DONE โœ… Simba sc imekamilisha usajili wa winga kutoka  klabu ya ASEC Mimosas ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ, Aubin Kramo Msimu Uliopita katika m...
07/07/2023

DEAL DONE โœ… Simba sc imekamilisha usajili wa winga kutoka klabu ya ASEC Mimosas ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ, Aubin Kramo

Msimu Uliopita katika mashindano ya CAF-CC Aubin Kramo alifanikiwa kufunga mabao (4) katika mechi (10) alizocheza akiisaidia ASEC Mimosas kufika Nusu Fainali.

( Simba sc)

๐ŸŽพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅcomeback ya kibabe kutoka kwa  Mikael Ymer  baada ya kupoteza seti mbili za mwanzo dhidi ya Taylor Fritz!,  Amefanik...
06/07/2023

๐ŸŽพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅcomeback ya kibabe kutoka kwa Mikael Ymer baada ya kupoteza seti mbili za mwanzo dhidi ya Taylor Fritz!, Amefanikiwa kushinda kwa seti tatu kwa mbili na kumtoa Fritz katika mashindano ya Us open .

๐Ÿ“ ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ ๐——๐—ข๐—ก๐—˜: Bayer Leverkusen imekamilisha usajili wa  Granit Xhaka kutoka Arsenal kwa dau la ยฃ25m, Xhaka amesaini mkata...
06/07/2023

๐Ÿ“ ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ ๐——๐—ข๐—ก๐—˜: Bayer Leverkusen imekamilisha usajili wa Granit Xhaka kutoka Arsenal kwa dau la ยฃ25m, Xhaka amesaini mkataba wa miaka mitano wa kuitumikia Bayer Leverkusen.

(Chanzo: Bayer 04 Leverkusen)

DEAL DONE โœ… Simba SC imemtambulisha Mikael Igendia k**a Meneja mpya wa klabu hiyo,  pia atahudumu katika nafasi ya  Mkuu...
06/07/2023

DEAL DONE โœ… Simba SC imemtambulisha Mikael Igendia k**a Meneja mpya wa klabu hiyo, pia atahudumu katika nafasi ya Mkuu wa Sayansi ya Michezo katika klabu ya Simba .

๐Ÿšจ wachezaji wa Chelsea wanaoachwa na ambayo tayari wameachwa    katika dirisha kubwa la usajili msimu huu:1๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Havertz:...
06/07/2023

๐Ÿšจ wachezaji wa Chelsea wanaoachwa na ambayo tayari wameachwa katika dirisha kubwa la usajili msimu huu:

1๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Havertz: ยฃ65M
2๏ธโƒฃ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Mount: ยฃ60M
3๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท Kovaฤiฤ‡: ยฃ25M
4๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ Koulibaly: ยฃ18M
5๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ Mendy: ยฃ16M
6๏ธโƒฃ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Loftus-Cheek: ยฃ15M
7๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Kantรฉ: ยฃ0M
8๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Bakayoko: ยฃ0M
9๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Joรขo Felix: Loan ๐Ÿ”š
๐Ÿ”Ÿ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ Zakaria: Loan ๐Ÿ”š

๐ŸŽพ๐ŸŽพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅNi wachezaji watatu pekee waliofanikiwa kushinda mechi  350+ za gland slam. ๐Ÿ…Roger Federer  369๐Ÿ…Serena Williams  367...
06/07/2023

๐ŸŽพ๐ŸŽพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅNi wachezaji watatu pekee waliofanikiwa kushinda mechi 350+ za gland slam.

๐Ÿ…Roger Federer 369
๐Ÿ…Serena Williams 367
๐Ÿ…Novak Djokovic 350

DEAL DONE โœ… Simba SC imemtangaza Corneille Hategekimana k**a Kocha  mpya wa viungo akitokea AS Kigali ya Rwanda,  Hatege...
06/07/2023

DEAL DONE โœ… Simba SC imemtangaza Corneille Hategekimana k**a Kocha mpya wa viungo akitokea AS Kigali ya Rwanda, Hategekimana amesaini mkataba wa miaka miwili na Simba SC

(Simba sc)

DEAL DONE โœ…Simba SC imemtangaza Mhispania, Daniel Cadena kuwa kocha wao wa makipa akipewa mkataba wa miaka miwili.Kabla ...
06/07/2023

DEAL DONE โœ…Simba SC imemtangaza Mhispania, Daniel Cadena kuwa kocha wao wa makipa akipewa mkataba wa miaka miwili.

Kabla ya kutua mitaa hiyo ya Msimbazi, Cadena alikuwa Azam FC msimu wa 2022/23.

DEAL DONE โœ…Azam Fc imefikia makubaliano ya miaka mitatu  na Jean-Laurent Geronimi Raia wa Ufaransa ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท, k**a Kocha wa viu...
06/07/2023

DEAL DONE โœ…Azam Fc imefikia makubaliano ya miaka mitatu na Jean-Laurent Geronimi Raia wa Ufaransa ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท, k**a Kocha wa viungo kuanzia msimu wa 2023/24.

DEAL DONE โœ…. Paris Saint-Germain imekamilisha usajili wa  ล kriniar k**a mchezaji huru akitokea  Inter Milan, kwa makubal...
06/07/2023

DEAL DONE โœ…. Paris Saint-Germain imekamilisha usajili wa ล kriniar k**a mchezaji huru akitokea Inter Milan, kwa makubaliano ambayo yalifanyika tangu mwezi wa kwanza.

ล kriniar amejiunga na Paris saint Germain kwa mkataba wa miaka 4 .๐Ÿ”ด๐Ÿ”ต

๐Ÿšจ Sajili kumi za Manchester united zilizotumia gharama  kubwa zaidi katika historia ya Manchester United:1๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Pogba: โ‚ฌ1...
06/07/2023

๐Ÿšจ Sajili kumi za Manchester united zilizotumia gharama kubwa zaidi katika historia ya Manchester United:

1๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Pogba: โ‚ฌ105M
2๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Antony: โ‚ฌ95M
3๏ธโƒฃ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Maguire: โ‚ฌ87M
4๏ธโƒฃ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Sancho: โ‚ฌ85M
5๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Lukaku: โ‚ฌ84.7M
6๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Di Marรญa: โ‚ฌ75M
7๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Casemiro: โ‚ฌ70.7M
8๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Fernandes: โ‚ฌ65M
9๏ธโƒฃ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Mount: โ‚ฌ64M ๐Ÿ†•
๐Ÿ”Ÿ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Martial: โ‚ฌ60M

๐Ÿšจ DEAL DONE โœ… Klabu ya Azam Fc imeingia mkataba wa miaka mitatu na Bruno Ferry, ambaye atakua  Kocha Msaidizi wa klabu h...
05/07/2023

๐Ÿšจ DEAL DONE โœ… Klabu ya Azam Fc imeingia mkataba wa miaka mitatu na Bruno Ferry, ambaye atakua Kocha Msaidizi wa klabu hiyo akimsaidia youssouph dabo kocha mkuu wa klabu hiyo.

๐Ÿ“ DEAL DONE: Robbie Keane ameteuliwa kua k**a kocha mkuu wa Maccabi Tel Aviv inayoshiriki ligi kuu ya   Israeli  . ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ(So...
26/06/2023

๐Ÿ“ DEAL DONE: Robbie Keane ameteuliwa kua k**a kocha mkuu wa Maccabi Tel Aviv inayoshiriki ligi kuu ya Israeli . ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ

(Source: Maccabi Tel Aviv)

๐Ÿšจ Manchester United  imefanya mazungumzo na wawakilishi wa Moises Caicedo ili  kukamilisha dili la  Caicedo kujiunga na ...
26/06/2023

๐Ÿšจ Manchester United imefanya mazungumzo na wawakilishi wa Moises Caicedo ili kukamilisha dili la Caicedo kujiunga na United kwa msimu ujao. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ

(Source: The Athletic FC)

DEAL DONE โœ…  Ilkay Gรผndogan amejiunga na Barcelona akitokea Manchester City, Gundogan amesaini mkataba wa miaka 2 utakao...
26/06/2023

DEAL DONE โœ… Ilkay Gรผndogan amejiunga na Barcelona akitokea Manchester City,

Gundogan amesaini mkataba wa miaka 2 utakaoisha mnamo June 2025, huku mkataba huo ukiwa hauna kipengele Cha kuongeza msimu mwingine pale utakapoisha. ๐Ÿšจ๐Ÿ”ต๐Ÿ”ด

โšช๏ธ๐Ÿ”ดKai Havertz amemaliza sehemu ya kwanza ya vipimo vya afya ili kujiunga na klabu ya Arsenal . Kinachosubiriwa ni utiaj...
26/06/2023

โšช๏ธ๐Ÿ”ดKai Havertz amemaliza sehemu ya kwanza ya vipimo vya afya ili kujiunga na klabu ya Arsenal . Kinachosubiriwa ni utiaji saini baina ya vilabu vyote viwili Chelsea na Arsenal.

DEAL DONE โœ… Kiungo wa klabu ya Azam Fc  Akaminko11, ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia ndani ya kl...
22/06/2023

DEAL DONE โœ… Kiungo wa klabu ya Azam Fc Akaminko11, ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia ndani ya klabu ya Azam Fc

Hivyo, ataendelea kusalia klabuni hapo mbaka mwaka 2026.

DEAL DONE โœ…: Edin Dzeko amejiunga na  Fenerbahรงe k**a mchezaji huru akitokea   Inter Milan. ๐ŸŸก๐Ÿ”ต๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท
22/06/2023

DEAL DONE โœ…: Edin Dzeko amejiunga na Fenerbahรงe k**a mchezaji huru akitokea Inter Milan. ๐ŸŸก๐Ÿ”ต๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท

DEAL DONE โœ…. Chris Smalling ameongeza  mkataba wa miaka 2 na Ac Roma hivyo ataendelea kusalia klabuni hapo mbaka June 20...
16/06/2023

DEAL DONE โœ…. Chris Smalling ameongeza mkataba wa miaka 2 na Ac Roma hivyo ataendelea kusalia klabuni hapo mbaka June 2025. ๐ŸŸก๐Ÿ”ด

Makubaliano haya yalifikiwa tangu mwezi uliopita.

DEAL DONEโœ…l, Enzo Maresca amesaini mkataba wa miaka 3 na Leicester city k**a kocha mkuu wa klabu hiyo, mkataba utakaoish...
16/06/2023

DEAL DONEโœ…l, Enzo Maresca amesaini mkataba wa miaka 3 na Leicester city k**a kocha mkuu wa klabu hiyo, mkataba utakaoisha mnamo 2026. ๐Ÿ”ต๐ŸฆŠ

โ™ฆ๏ธโ™ฆ๏ธAliyekua mmiliki wa AC Milan, Silvio Berlusconi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka has passed 86.Klabu ya AC Mil...
12/06/2023

โ™ฆ๏ธโ™ฆ๏ธAliyekua mmiliki wa AC Milan, Silvio Berlusconi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka has passed 86.

Klabu ya AC Milan ilifanikiwa kubeba makombe 29 katika kipindi cha miaka 31 chini ya uongozi wa Berlusconi akiwa k**a raisi na mmiliki wa Ac Milan.

RIP ๐Ÿ•Š๏ธ

๐ŸŽ–๏ธ๐ŸŽ–๏ธ๐Ÿ†๐Ÿ†Siku k**a ya Leo klabu ya Man City ilimsaini  mnamo  mwaka  [2022] kutoka Borussia Dotmond.๐Ÿ”ต 53 Appsโšฝ๏ธ 52 Goals๐Ÿ…ฐ๏ธ ...
12/06/2023

๐ŸŽ–๏ธ๐ŸŽ–๏ธ๐Ÿ†๐Ÿ†Siku k**a ya Leo klabu ya Man City ilimsaini mnamo mwaka [2022] kutoka Borussia Dotmond.

๐Ÿ”ต 53 Apps
โšฝ๏ธ 52 Goals
๐Ÿ…ฐ๏ธ 9 Assists
๐Ÿ† Premier League
๐Ÿ† FA Cup
๐Ÿ† Champions League
๐Ÿ… FWA Footballer of the Year
๐Ÿ… PL Golden Boot
๐Ÿ… PL Player of the Season
๐Ÿ… PL Young Player of the Season

๐Ÿšจ๐Ÿšจ DEAL DONE: Aston Villa imekubali kumsajili kiungo wa zamani wa Lestercity  Youri Tielemans k**a mchezaji huru   . ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ชY...
10/06/2023

๐Ÿšจ๐Ÿšจ DEAL DONE: Aston Villa imekubali kumsajili kiungo wa zamani wa Lestercity Youri Tielemans k**a mchezaji huru . ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช

Youri Tielemans anatarajia kufanyiwa vipimo vya afya na kusaini mkataba na klabu yake mpya. โœ…

(Source: )

๐Ÿšจ Galatasaray Ina mpango wa kumsajili   Nuno Tavares kutoka Arsena kwa mkopo, k**a Arsenal watakataa kumuuza nyota huyo ...
10/06/2023

๐Ÿšจ Galatasaray Ina mpango wa kumsajili Nuno Tavares kutoka Arsena kwa mkopo, k**a Arsenal watakataa kumuuza nyota huyo katika dirisha kubwa la usajili msimu huu.

Mabingwa hao wa Uturuki Galatasaray wamezungukza na wakala wa Tavares ili kufanikisha Dili hili.

(Turkish source[Takvim])

Arsenal๐Ÿ”ด

๐Ÿšจ๐Ÿšจ BREAKING: klabu ya Arsenal imefikia makubaliano na  William Saliba kuhusu kuongeza mkataba mpya wa miaka 4.๐Ÿค๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท(Source...
10/06/2023

๐Ÿšจ๐Ÿšจ BREAKING: klabu ya Arsenal imefikia makubaliano na William Saliba kuhusu kuongeza mkataba mpya wa miaka 4.
๐Ÿค๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท

(Source: David Ornstein)

DEAL DONEโœ… Lionel Messi amejiunga na Inter Miami ya nchini Marekani kwa mkataba wa mikaka  amesaini 2 . Barcelona hawaku...
07/06/2023

DEAL DONEโœ… Lionel Messi amejiunga na Inter Miami ya nchini Marekani kwa mkataba wa mikaka amesaini 2 .

Barcelona hawakutoa mkataba wowote kwa nyota huyo wa Argentina pia alikataa dau la โ‚ฌ1B kwa misimu miwili kutoka katika ligi ya saudi.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ’ฅ

๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ…Baada ya klabu ya Fc Sevilla kutwaa ubingwa katika fainali ya  Europa League dhidi ya Roma kwa mikwaju ya penati baa...
01/06/2023

๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ…Baada ya klabu ya Fc Sevilla kutwaa ubingwa katika fainali ya Europa League dhidi ya Roma kwa mikwaju ya penati baada ya mchezo huo kuisha kwa sare ya kugungana goli moja kwa moja.

๐Ÿ…Klabu hiyo imefanikiwa kubeba ubingwa katika fainali zote Saba walizocheza katika mashindano ya Europa league, ambazo walicheza na..

๐Ÿ† 2006 vs. Middlesbrough
๐Ÿ† 2007 vs. Espanyol
๐Ÿ† 2014 vs. Benfica
๐Ÿ† 2015 vs. Dnipro
๐Ÿ† 2016 vs. Liverpool
๐Ÿ† 2020 vs. Inter
๐Ÿ† 2023 vs. Roma

๐Ÿ…Hata Josรฉ Mourinho ameshindwa kuvunja ufalme huu wa Sevilla katika fainali za Europa league .

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Klabu ya Liverpool na Barcelona wameanza mazungumzo ya kuitaji saini ya kiungo fundi Mbraziri anayekipiga katika klab...
01/06/2023

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Klabu ya Liverpool na Barcelona wameanza mazungumzo ya kuitaji saini ya kiungo fundi Mbraziri anayekipiga katika klabu ya Newcastle united Bruno Guimaraes,

(Chanzo: GOAL)

๐Ÿ”ฅ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏKevin De Bruyne ndio mchezaji wa kwanza katika historia ya Premier League kuongoza kwa pasi za magoli katika misimu m...
29/05/2023

๐Ÿ”ฅ๐ŸŽฏ๐ŸŽฏKevin De Bruyne ndio mchezaji wa kwanza katika historia ya Premier League kuongoza kwa pasi za magoli katika misimu minne tofauti.

โœ“ 2016-17 (18)
โœ“ 2017-18 (16)
โœ“ 2019-20 (20)
โœ“ 2022-23 (16)

๐Ÿ…๐Ÿ…๐Ÿ…๐Ÿ…

๐ŸŽ–๏ธ๐Ÿ…๐Ÿ†ERLING HAALAND ameshinda tuzo ya mfungaji bora wa premier league akibeba kiatu Cha dhahabu kwa kufunga goli 36 na hu...
28/05/2023

๐ŸŽ–๏ธ๐Ÿ…๐Ÿ†ERLING HAALAND ameshinda tuzo ya mfungaji bora wa premier league akibeba kiatu Cha dhahabu kwa kufunga goli 36 na huku akitoa pasi za magoli 8 ๐Ÿ†

Ukiwa ni msimu wake wa kwanza katika Premier league akisajiliwa na Manchester city kutoka Borussia Dotmond ๐Ÿ“ˆ

๐Ÿ”ดโœจMarcus Rashford amefikisha goli  30 msimu huu akiwa na Manchester United.  Amekua  na msimu bora Sanaa, akifanya kazi ...
28/05/2023

๐Ÿ”ดโœจMarcus Rashford amefikisha goli 30 msimu huu akiwa na Manchester United.

Amekua na msimu bora Sanaa, akifanya kazi bora Sanaa akiwa na Erik ten Hag ambaye alimuamini tangu siku ya kwanza.

๐Ÿ“ DEAL DONE: Timu ya taifa ya Uruguay imemteua   Marcelo Bielsa K**a kocha mkuu wa taifa hilo. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ
16/05/2023

๐Ÿ“ DEAL DONE: Timu ya taifa ya Uruguay imemteua Marcelo Bielsa K**a kocha mkuu wa taifa hilo. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ

๐Ÿ“ ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ ๐——๐—ข๐—ก๐—˜: Evan Ferguson amesaini mkataba mpya katika klabu yake ya   Brighton utakaomalizika mnamo June 2028. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช๐Ÿค(Sou...
25/04/2023

๐Ÿ“ ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ ๐——๐—ข๐—ก๐—˜: Evan Ferguson amesaini mkataba mpya katika klabu yake ya Brighton utakaomalizika mnamo June 2028. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช๐Ÿค

(Source: Brighton & Hove Albion FC)

๐Ÿ“ ๐ƒ๐„๐€๐‹ ๐ƒ๐Ž๐๐„: Julian Brandt amesaini mkataba mpya na Borussia Dortmund  utakaoisha mnamo   June 2026.(Source: Borussia Do...
11/04/2023

๐Ÿ“ ๐ƒ๐„๐€๐‹ ๐ƒ๐Ž๐๐„: Julian Brandt amesaini mkataba mpya na Borussia Dortmund utakaoisha mnamo June 2026.

(Source: Borussia Dortmund)

๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿ”ต๐Ÿ”ตKlabu ya Leicester City  imemtambulisha Dean Smith k**a kocha mkuu wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Brendan Rogers,...
11/04/2023

๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿ”ต๐Ÿ”ตKlabu ya Leicester City imemtambulisha Dean Smith k**a kocha mkuu wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Brendan Rogers, Smith anaenda kufanya kazi na John Terry pamoja na Craig Shakespeare K**a wasaidizi wake akiwa Leicester City.

Kabla ya kujiunga na Leicester City Dean Smith alipita katika timu kadhaa ikiwemo Norwich city, Brentford na msimu uliopita alikua Aston Vila

โ™ฆ๏ธโ™ฆ๏ธ๐ŸŽ–๏ธKarim Benzema ni mchezaji wa kwanza katika kikosi cha  Real Madrid kufunga  hat-trick katika uwanja wa  Camp Nou t...
07/04/2023

โ™ฆ๏ธโ™ฆ๏ธ๐ŸŽ–๏ธKarim Benzema ni mchezaji wa kwanza katika kikosi cha Real Madrid kufunga hat-trick katika uwanja wa Camp Nou tangu afanye hivyo Ferenc Puskรกs mnamo mwaka 1963. โญ๏ธ

โ™ฆ๏ธโ™ฆ๏ธโ™ฆ๏ธ๐ŸŽ–๏ธCristiano Ronaldo: amefikisha magoli 10 katika ligi ya Saudi Arabia akiwa na  Al Nassr,  Pia amefikisha magoli 8...
06/04/2023

โ™ฆ๏ธโ™ฆ๏ธโ™ฆ๏ธ๐ŸŽ–๏ธCristiano Ronaldo: amefikisha magoli 10 katika ligi ya Saudi Arabia akiwa na Al Nassr, Pia amefikisha magoli 833 katika historia yake ya mpira wa miguu katika michezo rasmi.๐Ÿ“ˆ

Rekodi hiyo imeshindwa kufikiwa na wachezaji nguli wa zamani, Ronaldo Nazario na Thierry Henry ambao ukijumlisha magoli waliyofunga katika maisha yao ya mpira wa miguu yanafika magoli 832.

Address

Mbeya

Telephone

+255712441336

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nicodem Ambokile posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share



You may also like