Halisi Online

Halisi Online Halisi News Tunakupatia Taarifa Mbalimbali Za Burudani,Sanaa na Michezo

"Leo nimejaribu kupanda Daladala na kutembea kwa miguu , nimejuta kuzaliwa , hivi jamani msiokuwa na gari hapa mjini huw...
19/01/2023

"Leo nimejaribu kupanda Daladala na kutembea kwa miguu , nimejuta kuzaliwa , hivi jamani msiokuwa na gari hapa mjini huwa mnajisikiaje mnapokuwa mnazunguka kutwa nzima kwa miguu k**a mifugo? Mna moyo sana msiokuwa na gari. Mungu awabariki mpate magari jamani." -

TBT Wema Sepetu, 2020.

Follow ukurasa Wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

Ni k**a vile kifo kilikuwa kikimuita Gunze Luhangija, Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) aliyejinyonga, ...
13/01/2023

Ni k**a vile kifo kilikuwa kikimuita Gunze Luhangija, Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) aliyejinyonga, kwani si mara ya kwanza kujaribu kujiua kwa kunywa sumu lakini amekuwa akiokolewa.

Inaelezwa Gunze alikuwa akirusha makombola yake kwa Mwanamke huyo pichani, akimuomba wawe wapenzi lakini haikuwa rahisi kukubaliwa na mrembo huyo kutokana na sababu zake binafsi, na ilipofika siku ya tarehe 26/12/2022, yaani siku ya Boxing Day, Gunze alimzawadia Mwanamke huyo iPhone 14 yenye thamani ya milioni tatu na ushee....k**a zawaidi ikiwa imeambatana na ombi la kumtaka amkubalie wawe wapenzi lakini baadae Mwanamke huyo alimkataa, ndipo Gunze akaamua kuchukua maamuzi magumu ya kujiua.

Baadhi ya marafiki zake wamefunguka haya

"Huyu kijana hapa chuo katusononesha sana wana Mwanza, siku ya Boxing Day alimnunulia Demu (Mpenzi) wake iPhone 14 (simu) na baada ya siku chache demu akamkataa kwamba kapata mtu mwingine.....dogo akaamua kujitundika"- walieleza Marafiki zake.

RIP

Follow ukurasa Wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

“Kiwango cha Mapenzi na Uungwana nilichokuonesha haukuamini k**a nitaweza kukuacha. Wewe haufai kuwa Mke wa mtu yeyote, ...
12/01/2023

“Kiwango cha Mapenzi na Uungwana nilichokuonesha haukuamini k**a nitaweza kukuacha. Wewe haufai kuwa Mke wa mtu yeyote, wewe ni Mtu katili na ninakuchukia. Ukiendelea kujaribu kunichafua mimi nitaitisha Press, bibie utajuta. Aidha utakunywa Sumu au utarudi Shinyanga”

● Haji Manara

Follow ukurasa Wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

Naamini umefatilia kwa ukaribu kabisa kisa cha Masanja, Katibu na Mke wa Masanja.Naamini pia umefatilia kwa ukaribu kisa...
11/01/2023

Naamini umefatilia kwa ukaribu kabisa kisa cha Masanja, Katibu na Mke wa Masanja.

Naamini pia umefatilia kwa ukaribu kisa cha Manara na Rushaynah.

Umejifunza kitu gani? Visa hivi vimebadili matazamo gani kwako?

Follow ukurasa Wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

Jina halisi la huyu dada ni Cecy, ni mkristo, amebadili dini baada ya kukutana na Manara, ndio akapewa jina la Rushaynah...
11/01/2023

Jina halisi la huyu dada ni Cecy, ni mkristo, amebadili dini baada ya kukutana na Manara, ndio akapewa jina la Rushaynah.

Inasemekana kwao ni Shinyanga.

Watu wa Shinyanga mnamtambua huyu?

Anakaa kijiji gani?
Ana elimu gani?
Ana kazi gani?
Ana tabia zipi?
Alisoma wapi?

Najua hizi data ni vigumu sana kuzipata ila ni pana sana, Dondosha kwenye Comment chochote unachokijua kuhusu Cecy/Rushaynah.

Follow ukurasa Wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

"Wanaofanya ngono kabla ya kuoana baada ya kuoana ndoa zao zinakuwa na shida. Na K**a mlikutana siku hiyo hiyo na mkaend...
11/01/2023

"Wanaofanya ngono kabla ya kuoana baada ya kuoana ndoa zao zinakuwa na shida. Na K**a mlikutana siku hiyo hiyo na mkaenda nyumba za wageni. Maana mwanaume anawaza k**a alikupata kirahisi je akisafiri itakuwaje?

"Kisaikolojia tunasema mwanaume akimwangalia mwanamke sekunde Tano zinatosha kuamini kwamba mwanamke huyo yupo vizuri" Dismas Lyasa, Mwanasaikolojia

Follow ukurasa Wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

"Mama yangu amenikataza kuwa kwenye mahusiano na Wake za Watu, mimi nikiwa na Mwanamke kwenye mahusiano halafu nikigundu...
06/01/2023

"Mama yangu amenikataza kuwa kwenye mahusiano na Wake za Watu, mimi nikiwa na Mwanamke kwenye mahusiano halafu nikigundua ana Mtu mwingine au hata aliwahi kuwa Mke wa Mtu alafu akanificha nikigundua naachana naye hapohapo" - Benny Kinyaiya, Mtangazaji.

Toa maoni yako

Vijana mnaoanza maisha msikurupuke kuoa tu sababu ya kupenda, jaribu kuchunguza familia ya huyo unayetaka kumuoa hasa ki...
04/01/2023

Vijana mnaoanza maisha msikurupuke kuoa tu sababu ya kupenda, jaribu kuchunguza familia ya huyo unayetaka kumuoa hasa kiuchumi.

Kuna familia ukioa unaweza kujuta, vizinga vinaanzia kwa mashemeji, mama mkwe, baba mkwe, hadi unaweza kujikuta umechanganyikiwa.

Kuzaliwa masikini ni matokeo ila kuoa masikini ni maamuzi.

Usioe mwanamke asiye na bikra.
Usioe au kuolewa na maskini.

Hopetygatz ✍️

Follow ukurasa Wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

Hongera Nyingi Kwa Mh DC Jokate Mwegelo Kwa kujifungua Salama 🤰Kila la Kheri pia Katika Malezi ya mtoto wako 🤰Follow uku...
28/12/2022

Hongera Nyingi Kwa Mh DC Jokate Mwegelo Kwa kujifungua Salama 🤰

Kila la Kheri pia Katika Malezi ya mtoto wako 🤰

Follow ukurasa wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

Baada ya orodha za Sallam SK na Babu Tale, Mange Kimambi na yeye atoa orodha yake ya wasanii waliofanya vizuri zaidi 202...
27/12/2022

Baada ya orodha za Sallam SK na Babu Tale, Mange Kimambi na yeye atoa orodha yake ya wasanii waliofanya vizuri zaidi 2022. Ameandika....

"Ukweli ni kwamba Diamond Platnumz is Tanzania’s number 1 artist, au tuseme East Africa nzima. Hilo halipingiki. Ila kwa mwaka 2022, kutokana na kazi zilizotoka mwaka huu number 1 artist in Tz in 2022 is Alikiba. hilo halipingikiiiiiiii and it’s not even up for debate.

Kwa mwaka 2022 hawa ndo top 5 artists kutokana na kazi zao…

1. Ali Kiba
2. Zuchu
3. Jay Melody
4. Harmonize
5. Nandy

This list is unbiased and just the truth. Ukweli ni kwamba kwa 2022 Diamond hajatoa kazi zenye quality ya kazi alizotoa Ali Kiba au hao wengine and that’s not even up for discussion. FOA ilikuwa a disappointment compared na album aliyotoa Ali Kiba.

If it wasn’t for Zuchu jumping on WATASUBIRI or huge promotion & marketing iliyofanyika FOA could have been DOA (Dead on Arrival). Hizo kazi za wasanii wengine zimehit with zero promotion and marketing which says a lot about the super high quality of the work.

Hata Album ya Konde pia ilikuwa huge disappointment. Only Ali Kiba delivered high quality work." Ameandika Mange

PRODUCER BORA MWAKA 20221. S2kizzy2. Laizer Classic3. Mocco Genius4. Gachi B5. Kimambo6. Yogo 7. Abbah8.  Alloynem8. Maf...
26/12/2022

PRODUCER BORA MWAKA 2022

1. S2kizzy
2. Laizer Classic
3. Mocco Genius
4. Gachi B
5. Kimambo
6. Yogo
7. Abbah
8. Alloynem
8. Mafeeling
10. Oright

Credit Halisi Media

WASANII (10) BORA MWAKA 20221. Zuchu2. Diamondplatnumz3. Mbosso4. Rayvanny5. Harmonize6. Marioo7. Nandy8. Alikiba9. Jux1...
26/12/2022

WASANII (10) BORA MWAKA 2022

1. Zuchu
2. Diamondplatnumz
3. Mbosso
4. Rayvanny
5. Harmonize
6. Marioo
7. Nandy
8. Alikiba
9. Jux
10. Lavalava

Credit: Halisi Media

WASANII 10 BORA CHIPUKIZI MWAKA 20221. Mavokali2. Kontawa3. Dayoo4. Platform Tz5. Lady Voice6. Lony Bway7. Marry G8. Dec...
26/12/2022

WASANII 10 BORA CHIPUKIZI MWAKA 2022

1. Mavokali
2. Kontawa
3. Dayoo
4. Platform Tz
5. Lady Voice
6. Lony Bway
7. Marry G
8. Decky Real
9. Jimmy Nass
10. G better Tz

Credit Halisi Media

Meneja wa   ametaja orodha ya wasanii wake 10 bora kwa mwaka huu 2022. amemtaja  k**a namba moja huku 2 ikishikwa na  4:...
26/12/2022

Meneja wa ametaja orodha ya wasanii wake 10 bora kwa mwaka huu 2022.

amemtaja k**a namba moja huku 2 ikishikwa na
4:
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10:

Kwako wewe Top 10 ya wasanii wako bora ni ipi na u aionaje orodha ya Mendez 🤓

📸 via

Follow ukurasa wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

Baada ya kusema hajiwezi kwa Mbappe, Juma Lokole ameonyesha masikitiko makubwa baada ya Mbappe kushindwa kuutwa ubingwa....
20/12/2022

Baada ya kusema hajiwezi kwa Mbappe, Juma Lokole ameonyesha masikitiko makubwa baada ya Mbappe kushindwa kuutwa ubingwa.

Juma amesema k**a akibahatika kukutana na mchezaji huyo atampa chochote atakachohitaji kutoka kwake ikiwa ni sehemu ya kumfariji.

Follow Ukurasa Wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

18/12/2022

No Mara Whaaaa 😀

Address

Mbezi Beach
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Halisi Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share