17/12/2024
WAIMBAJI WANAWAKE WA NYIMBO ZA INJILI NINI KINAWATESA?
✍️Kumekuwa na mwendelezo wa tabia Mbaya kwa baadhi ya WANAWAKE wanaoimba nyimbo za Injili kiasi cha kwamba imekuwa ngumu sana kwa sasa wakristo kuaminiwa maana tabia hii walioyonayo haimpendezi Mungu.
✍️Ukiangalia sakata hili linaloendelea katika mitandao ya Kijamii Tanzania, kuhusu Muimbaji Martha Mwaipaja na Mdogo wake Beatrice Mwaipaja, utagundua kwamba mafumbo ni mengi maana kuna Siri ya mambo ambayo inahisiwa Martha anatenda na hayo ni kinyume na Imani yake mkristo lakini yeye Wala hajali na mpaka sasa hajatoa tamko lolote hivyo baadihi ya watu wanadai kuna mambo Martha anayaficha ndio maana anauoga wa kyujibu.
✍️Lakini Ukiangalia sakata hili utaona tu jinsi ambavyo mtoto wa Martha anavyomtupia majungu Mama Mdogo wake lakini anavumilia mpaaka k