Mtazamo TV

Mtazamo TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mtazamo TV, TV Network, Kingmanyota@gmail. com, Dar es Salaam.

πŸ”₯ALBUM SOUND OF AFRICA πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌhttp://tanzaniamusic.art.blog/2022/11/12/albumsound-of-africanyox-star-download/⬇️P...
13/11/2022

πŸ”₯ALBUM SOUND OF AFRICA
πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ
http://tanzaniamusic.art.blog/2022/11/12/albumsound-of-africanyox-star-download/
⬇️PAKUA NYIMBO MPYA HAPA
🎡MSANII TULETEE KAZI YAKO 0683543478
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
DJMAYEMBA

Nyox Star |Album|sound of Africa|Download mp3 DOWNLOAD ALBUM

25/08/2021
DOWNLOAD NEW SINGELI πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://audiomack.com/nyoxstartz/song/audiomkorogo
05/07/2021

DOWNLOAD NEW SINGELI
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://audiomack.com/nyoxstartz/song/audiomkorogo

Stream AUdio|Mkorogo the new song from NYOX STAR. Producer: Nyox star. Release Date: July 5, 2021.

NAJILAMBA NI NYIMBO NZURI SANA AMBAYO IMEPATA MASHABIKI WENGI HATA WEWE UNAWEZA KUWA SHABIKI NAMBA MOJA WA NYIMBO HIINAC...
07/01/2021

NAJILAMBA NI NYIMBO NZURI SANA AMBAYO IMEPATA MASHABIKI WENGI

HATA WEWE UNAWEZA KUWA SHABIKI NAMBA MOJA WA NYIMBO HII

NACHOOMBA KUTOKA KWAKO NI SAPOTI YAKO TUU
NAOMBA UPOTEZE JAPO DAKIKA MOJA TUU KUISIKILIZA PIA USIACHE KUSUBSCRIBE

POPOTE ULIPO UNAWEZA KUSHARE NA KUSAMBAZA KAZI ZANGU
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
https://youtu.be/P3o7hhKJt6A


πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
πŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”Š

15/12/2020

NASHUKURU SANA KWA SAPOTI YENU
MMEPOTEZA MUDA WENU KUSIKILIZA NYIMBO YANGU
PIA NASHUKURU KWA MAONI YENUU
MSIACHE KUNISAPOTI
NDUGU ZANGU WATANZANIA
PIA NASHUKURU KWA KUSUBSCRIBE CHANNEL YANGU
BADO NAHITAJI SAPOTI YENU
USICHOKE KUSHARE
NA KUSUBSCRIBE CHANNEL YANGU

K**A BADO HUJAISIKIA NYIMBO YANGU GUSA LINK APO CHINI
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
https://youtu.be/uAbs7BIvjyk

28/08/2020

INTERNATIONAL MUSIC
NIMEJIPANGA KUHAKIKISHA NAFANYA POA KWENYE MUSIC
ILI KUSAPOTI KAZI ZANGU NA KUPATA KILA NYIMBO NIKIACHIA PLEASE USIACHE KUBONYEZA LINK APO CHINI NA USIACHE KUSUBSCRIBE CHANNEL YANGU ILI NGOMA KALI ZISIKUPITE
πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ
https://youtu.be/P3o7hhKJt6A
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

19/08/2020

ANGALIA NYIMBO YANGU YOU TUBE ILI UWEZE KUNIPA NAFASI YA KUSIKIA PANDE ZOTE ZA DUNIA PIA USIACHE KU SUBSCRIBE

KWA SAPOTI YAKO NAOMBA UBONYEZE LINK APO CHINI
KENYA,UGANDA,BURUNDI,RWANDA,TANZANI,NIGERIA
πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ
https://youtu.be/P3o7hhKJt6A

SUPOTI KAZI YANGU PLEASE

K**A BADO HUJASUBSCRIBE CHANNEL YETU FANYA IVYO SASA MZIGO MPYA UPO TAYARI PIA LIKE PAGE HII ILI ZISIKUPITE
01/03/2020

K**A BADO HUJASUBSCRIBE CHANNEL YETU FANYA IVYO SASA MZIGO MPYA UPO TAYARI PIA LIKE PAGE HII ILI ZISIKUPITE

FOLLOW INSTAGRAMUYU JAMAA ANAITWA NYOX CTAR TZ TUTAANZA KURUSHA COMEDY ZAKE APA MTAZAMO TV
28/02/2020

FOLLOW INSTAGRAM
UYU JAMAA ANAITWA NYOX CTAR TZ TUTAANZA KURUSHA COMEDY ZAKE APA MTAZAMO TV

09/02/2020

UTAMU WA PENZI SEHEMU YA NNE

Tunaendelea tulipoishia......Paul akasikia mlango unagongwa uku sauti ya mwanamke ikiita kimyakimya Paul nifungulie paul aliposikia sauti ya mwanamke akanyanyuka na kusogea mlangoni ajasikiliza tena akili yake ikijua ni husna mwanamke anaempenda kisha akafungua mlango taratibu ghafla yule mwanamke akaingia ndani kwa nguvu bila maelezo Paul akauliza samia unataka nini usiku huu na unajua wewe mwanamke kwenye chumba changu unataka nini samia hakuna alichojibu zaidi ya kumshanga Paul katika kifua chake Paul akamuita samia umefata nini kwangu Paul akauliza samia alikua kavalia kanga tu ndani hakuvaa hata nguo ya ndani kila mwanamke na sifa zake bwana samia alikua mrefu mtoto anashepu balaa Paul alijikuta haulizi maswali tena zaidi ya kumuangalia tu samia uku samia nae anamuangalia tu Paul zilipita k**a dakika moja hawaongei lakini Paul akajitaidi kuongea uku akionekana k**a mtu aliekosa nguvu mapigo ya moyo yakimdunda kwa kasi samia nenda kalale mimi naogopa kufukuzwa kazi samia akamwambia Paul Mimi siondoki nalala nawewe Paul akataka kuongea tu samia akamziba mdomo na kumkumbatia Paul akaishiwa nguvu akawa anaongea k**a mrevi naogopa samia akamuuliza unaogopa nini uku anampapasa kifuani taratibu Paul akaendelea kusema naogopa kuacha kazi samia akamwambia usiogope Paul uku akimshikashika ndevu wakajikuta wanaingia katika ulimwengu wa kizombi wakaanza kubadilishana mate uku Paul haongei chochote wakajikuta wamekula tunda la uzima wamilele samia alifurahi sana na kumsifu Paul akimwambia wewe mwanamme lijali nimekuelewa nakuahidi sitaruhusu mwanamke mwingine akusogelee Paul akamwambia samia ondoka sasa kunakaribia kukucha tutak**atwa samia hakutamani kutoka alitamani alale mpaka asubuhi lakini Paul alimfosi akatoka taratibu kwa kunyata ile anaingia tu sebleni anakutana na Dada yake alipigwa na butwaa kwa hasira Dada yake akamuuliza unatoka wapi saizi usiku samia kwa kuzuga akasema Dada nilikua naangalia nje kwenye kamba k**a nilisahau nguo yangu ya ndani maana siioni kwenye nguo zangu Dada ake akajibu sawa kuwa makini usipende kuacha nguo nje samia sawa Dada kisha akaingia ndani kumbuka Dada yake samia nae kaanza kumpenda Paul kwaiyo usiku kuacha halali anawaza ni jinsi gani atampata Paul asubuhi kulipokucha Paul alikua akifuta gari ili bosi wake awahi kazini alipomaliza bosi wa kiume aliondoka akabaki bosi wa k**e yeye uwa anachelewa kwenda kazini akamuita Paul akamwambia ajiandae jumatatu ataomba likizo kazini amtoe out akamtembeze aujue mji Paul akasema nitashukuru sana bosi bosi akamwambia endelea na kazi zako
Bosi akawa anamuita mdogo ake samia lakini samia hakuitika husna akamjibu samia bado amelala bosi bosi akauliza vipi kwani anaumwa mbona sio kawaida yake husna hata Mimi sijui bosi bosi akamwambia sawa waandae watoto waende shule sawa bosi akajibu husna bosi alivyoondoka tu husna nae akaenda ndani kwa paul je unazani alienda kufanya nini?? ITAENDELEA........

06/02/2020

UTAMU WA PENZI
SEHEMU YA KWANZA

Ilikua asubuhi na mapema kijana mmoja mwenye asili ya Kenya alikua akifanya usafi kwenye garden likua kazi yake kwani alikua ameajiliwa kwenye iyo nyumba yani alikua house boy siku moja aliwahi asubuhi na mapema ili kufuta gari ili bosi wake awai kazini ghafla alisikia get linagongwa akakimbilia ili kujua ni nani anagonga geti Kufika tu getini akakutana na kijana mrefu mweusi afu nguo zimechanika akamuuliza wewe nani na unashida gani? Jamaa akajitambulisha kwa jina naitwa Paul natafta kazi kaka na hapa sijala nina siku mbili Kabla hajajibiwa alisikia sauti ikiuliza uyo nani na anataka nini? Ilikua sauti ya bosi ikabidi jamaa amuelezee ila alimuuliza maswali mengi sana na hatimae jamaa akapata kazi ya kufanya usafi ndani ya nyumba kuosha vyombo na kila kitu haikupita siku mbili yule mkenya akarudi kwao Paul akabaki na kufanya kazi zote alizokua anafanya yule mkenya Paul alienda akazoea na kuwa mchapa kazi hodari mpaka boss akamzidishia mshahara
Kwenye iyo nyumba kulikua na mke na Mme walikua na watoto wawili wa k**e na wakiume kulikua na mfanyakazi wa k**e aliyenona sana mtoto tako kulikua na mdogo mtu naye alikua kanona mke wa bosi wake Paul alifanana sana na mdogo ake maisha yalienda Paul akawa anapendeza kila mwisho wa mwezi alikua anatuma pesa kwao Ngoja niwape sifa za Paul alikua mrefu mweusi kifuani kajazia macho yake yalikua mazuri k**a Mimi apaa

Basi siku zilienda Paul akaanza kuzoeana na yule beki tatu(mfanyakazi wa k**e) wakaanza mahusiano bila mtu yeyote kujua siku moja wakiwa kwenye bustani Paul akimwagilia maua mfanyakazi wa k**e alikua anaitwa husna basi jinsi alivyokua kajazia nyuma Paul alijikuta akizubaa na kuacha kumwagilia wakajikuta wanaanza kucheza michezo ya ajabu mala watekenyane mala wamwagiane maji wakajikuta wanaanza kuwaza mambo mengine yani wakaanza kulana denda ghafla wakasikia sauti ikiita kwa hasira Paul .........nini kitaendelea usikose kufuatilia utam wa PENZI

LIKE NA SHARE PAGE YANG

29/01/2020

KILA MTAZANIA JANA ALIKUA NA SHAUKU YA KUONA NI NINI ATAKIFANYA MBWANA SAMATA AKIWA UWANJANI? LAKINI IMEKUA NDIVYO SIVYO LABDA WEWE UNAHISI NINI KIMEMKWAMISHA SAMATA?
JIBU ILI TUJENGE
USIACHE KUSHARE NA KULIKE PAGE YANGU

Nyox ctartz ameamua kufanya biashara ya ubuyu ili kujikwamua kiuchumi
27/01/2020

Nyox ctartz ameamua kufanya biashara ya ubuyu ili kujikwamua kiuchumi

22/01/2020

Tujadili ili oya wanaume ivi kwa kizazi chetu kunamtu anaweza kutoa figo Yake kwa ajili ya mchumba????
Like na share
TEAM

19/01/2020

Like na share kwa burudani zaidi
Kisiwa Cha Kisiwa Cha Burudani, Mapenzi Na SimuliziKisiwa Cha Burudani, Mapenzi Na Simulizi Mapenzi Na Simulizi

18/01/2020

OFA OFA OFA 2020 DirectorAdo Tz AMETOA OFA KWA UNDERGROUND K**A UNANYIMBO YAKO NA HAUJAFANYA VIDEO YEYE NDIO JIBU LAKO MCHEKI YOUTUBE ILI UONE KAZI ZAKE ANDIKA IVI DIRECTOR ADO
KWA MAWASILIANO PIGA NAMBA +255 719262088
AU MCHEKI FB

WOTE MNAKARIBISHWA BEI ZETU SAWA NA BURE

18/01/2020

K**A BADO HUJANIFOLLOW INSTAGRAM NIFOLOW SASA ILI UONE KAZI ZANGU
SUBSCRIBE YOUTUBE YANGU ILI UONGEZE SIKU ZA KUISHI KWA KUCHEKA FANYA IVYO SASA

K**A UPO KENYA UGANDA BURUNDI NA CONGO LIKE UKURASA WANGU ILI UFURAHIE KAZI ZANGU
SAPOTI YAKO MUHIMU
East Africa TV

Comedian anaekuja juu naseeb shaibu amesema kwa sasa waigizaji wapo wengi sana ila kikubwa cha kuzingatia ukiwa msanii l...
18/01/2020

Comedian anaekuja juu naseeb shaibu amesema kwa sasa waigizaji wapo wengi sana ila kikubwa cha kuzingatia ukiwa msanii lazima uwe mbunifu

NYOX NA SHAX WAJIPANGA UPYA TENA WANAKUJA KIVINGINE
17/01/2020

NYOX NA SHAX WAJIPANGA UPYA TENA WANAKUJA KIVINGINE

Address

Kingmanyota@gmail. Com
Dar Es Salaam

Telephone

+255719262088

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtazamo TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category


Other TV Networks in Dar es Salaam

Show All