KONDE GANG FM

KONDE GANG FM Entertainment radio station

DODOMA DOODMA DODOMA DODOMA Hapo sio mahali pengine ni MTUMBA kwa gharama ya Tsh Millioni 4 Tu. Utajipatia KIWANJA safi ...
20/05/2024

DODOMA DOODMA DODOMA DODOMA
Hapo sio mahali pengine ni MTUMBA kwa gharama ya Tsh Millioni 4 Tu. Utajipatia KIWANJA safi kabisa Wahi mapema sana Viwanja vipo sehemu nzuri sana ni Million 4 tu. Nipigie kwa simu No. 0719214183

Kutoka kwenye insta story ya Aunt Ezekiel ameandika hivi 👉🏽 "NAONA SAFARI HII UNATAKA KUPIGWA NA NTAKUPIGA TUU! SHIKA HI...
24/03/2024

Kutoka kwenye insta story ya Aunt Ezekiel ameandika hivi 👉🏽 "NAONA SAFARI HII UNATAKA KUPIGWA NA NTAKUPIGA TUU! SHIKA HII NIMEKUCHEKEA
MUDA MREFU MJUSI MWEKUNDU USOKUWA
NA A WALA B UNAHISI KILA SAA MUDA WA KICK TUU
YAKIKUSHINDA MAISHA UNAKUJA KUCHOKONOA KICK
KWENYE FAMILIA ZA WATU UMESHINDIKANA NA KILA MTU HUJIULIZI! MALAYA WA MAKANISANI
ETI NAOMBA TUTOE NYIMBO NA NANI!🤣🤣🤣🤣
SAA HIZI!!NA AIBU PIA HUNA! NO TIME MY FREND
HAWEZI NA HAWEZI YAANI SAHAU! K**A HỦAMINI NW SASA HATA SIMU HATOPOKEA NDIO UJUE NGUVU YA SHANGAZI TENA MM NI BIG SHANGAZI UKIJA UJE NA
AKILI ZAKO TIMAMU LA SIVYO MTAISHIA KUONA KWA TV! PYEEEEE"

Ungekuwa wewe ungefanyaje?
17/03/2024

Ungekuwa wewe ungefanyaje?

  Je mko tayari Tuanze interview na hawa?
16/03/2024

Je mko tayari Tuanze interview na hawa?

Simba ameshasema Tuwashe je Tuanzie Mkoa Gani?Naomba Comment za kutosha
16/03/2024

Simba ameshasema Tuwashe je Tuanzie Mkoa Gani?
Naomba Comment za kutosha

Je ungependa   ianzie mkoa gani weka comment yako hapo chini
25/02/2024

Je ungependa ianzie mkoa gani weka comment yako hapo chini

Nomba ruhusa kwa wana Konde gang tumpigie mtoto wa Tandare au tukaushe Dondosha comment yako   Fm
24/02/2024

Nomba ruhusa kwa wana Konde gang tumpigie mtoto wa Tandare au tukaushe
Dondosha comment yako Fm

Konde gang fm
11/02/2024

Konde gang fm

Buggati   aendelea kula Raha za Ndoa yake na
27/01/2024

Buggati aendelea kula Raha za Ndoa yake na

Baada ya   Again huu wimbo Bora wa 2024 🔥🔥🔥
27/01/2024

Baada ya Again huu wimbo Bora wa 2024 🔥🔥🔥

Unampa maksi ngapi kwenye Amapiano?
07/09/2023

Unampa maksi ngapi kwenye Amapiano?

una mpa Maksi ngapi hili jembe  mi nampa 100%
07/09/2023

una mpa Maksi ngapi hili jembe mi nampa 100%

😂😂🤣😀😁   Time
02/09/2023

😂😂🤣😀😁 Time

Jabulant sasa hivi katuhama mazima  Neno moja kwake
02/09/2023

Jabulant sasa hivi katuhama mazima

Neno moja kwake

Like
01/09/2023

Like

INAUMA SANA NA PIA INASIKITISHA😭JE , INGELIKUA NI WEWE UNGE KUBALI KUMUACHA   , ILI URUDI KAMBINI , WAKATI NI WEWE NDIYE...
01/09/2023

INAUMA SANA NA PIA INASIKITISHA😭

JE , INGELIKUA NI WEWE UNGE KUBALI KUMUACHA , ILI URUDI KAMBINI , WAKATI NI WEWE NDIYE ULIYE MUTENGENEZA MUPAKA KAFIKA APA ALIPO FIKA ? soma vizuri Sana 👇👇

BABUTALE AMEWAAMBIA WALE WATU WALIO MPELEKA Founder Tz DAR, WARUDI KIGOMA.

Manager wa msanii Diamond platnumz BABUTALE baada yaku sema hazarani kuwa atamsaidia msanii toka kambini Kigoma, FOUNDER TZ, msanii huyu alipo fika DAR, BABUTALE alisema hivi:

" Nimewaambia wale washkaji zake waliomleta Founder TZ Dar es salaam k**a Kweli wanataka nimsaidie Dogo wao wataondoka warudi walipotoka Wamuache kijana, Biashara sikuzote Haihitaji Uwe na Roho Nzuri ila hichi nachokifanya kina roho nzuri.

Nimewaambia mapema k**a hamtaki nimsaidie huyu dogo mchukueni Nendeni Nae msimlete tena kwangu ila mkiona mnahitaji nimsaidie niachieni nitamsaidia taratibu kimuziki na Kishule.

Sina uwezo wa kusaidia Familia nzima ya Founder TZ ila Hichi nachokifanya Kitamjenga Zaidi yeye na ndio atakuja kuwa mkombozi Katika familia Yao k**a atakuwa na Akili".
ALISEMA BABUTALE.
______________________

INGE LIKUA NI WEWE NJO MANAGER WA tz Unge kubali kurudi ili Dogo asaidiwe n'a Babu Tale ?

Towa maoni Yako ✊🙏

Huyu ni   na Nandy enzi wanajitafuta
31/08/2023

Huyu ni na Nandy enzi wanajitafuta

Nani anatamani Colabo yake na  ?
31/08/2023

Nani anatamani Colabo yake na ?

Waliosema hawata fika mbali hapa ni wapi?
31/08/2023

Waliosema hawata fika mbali hapa ni wapi?

Neno moja kwa
31/08/2023

Neno moja kwa

  Unaambiwa kuwa Uhamisho wa nyota wa Ubelgiji Romelu Lukaku kuelekea Roma umeweka rekodi ambayo haijawahi kutokea dunia...
31/08/2023

Unaambiwa kuwa Uhamisho wa nyota wa Ubelgiji Romelu Lukaku kuelekea Roma umeweka rekodi ambayo haijawahi kutokea duniani, ambapo inaelezwa kuwa ndege aliyoitumia kusafiri kutoka London kwenda jijini Roma imekuwa ni ndege ambayo imefuatiliwa zaidi (kwa maana ya ku-trakiwa zaidi) na idadi kubwa ya watu kuwahi kutokea kwenye rada ya angani.

Ndege hiyo ambayo alipanda Lukaku ilikuwa ikiendeshwa na Rais wa klabu hiyo Dan Friedkin, ambapo takribani Mashabiki 47,300 walikuwa wakifuatilia safari ya ndege hiyo kutoka London hadi Roma.

Mashabiki wa Roma wameonekana kufurahishwa sana na kuongezwa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ubelgiji kwenye kikosi cha Jose Mourinho, na hii ni kutokana na takwimu iliyopo kwenye rada ya ndege hiyo.

Neno moja kwa Lukaku😃🤷?

Nani anatamani   Amsaini Founder konde gang?
31/08/2023

Nani anatamani Amsaini Founder konde gang?

    na chawa
31/08/2023

na chawa

 Saa 10 jioni
01/08/2023


Saa 10 jioni

Karibu ujipatie VIWANJA Vilivyopimwa     kwa bei poa kabisa kuanzia Tsh 5000 kwa Sqm. nzuri zaidi VIWANJA hivyo utaweza ...
11/06/2023

Karibu ujipatie VIWANJA Vilivyopimwa kwa bei poa kabisa kuanzia Tsh 5000 kwa Sqm. nzuri zaidi VIWANJA hivyo utaweza kulipia Kidogo kidogo mpaka miezi 6 na baada ya kumaliza malipo utakabidhiwa yako yenye majina yako

TUPIGIE SUMU 0719214183 Call/Whatsap

31/03/2023
  Again
25/02/2023

Again

Address

Tandahimba
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KONDE GANG FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to KONDE GANG FM:

Videos

Share

Category

Nearby media companies



You may also like