Mpenzi wa zamani wa bingwa wa uzito wa kati wa UFC Israel Adesanya amempeleka mahakamani kudai apewe nusu ya utajiri wake kwa sababu "wamechumbiana muda mrefu" na kwamba amekuwa akimshabikia kwenye mapambano yake.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Adesanya ambaye naye ni mpiganaji wa UFC #SeanOMalley amefichua kuwa sakata hili alipokuwa akizungumza kwenye podikasti chaneli ya Suga.
Alisema msichana huyo hakuwahi kuolewa na Israel wala kuzaa naye lakini anaamini kuwa ana haki ya nusu ya mali yake kwa sababu "walichumbiana kwa muda mrefu na …
Tafakari
Tunapoelekea ukimtongoza tu anaenda mahakamani kudai mgawane mali😮
Stori inaendelea....
Tufuate #telegram kwa habari na uchambuzi zaidi.
https://t.me/+Hys7uixm4SA1Nzhk
#mjasiriahabari
Familia yetu inawatakia #EidMubarak. ✨️🎉🎊
Fadhila na neema zake zikaijaze mioyo na nyumba zetu furaha, amani na utulivu."
Baraka na utukufu wake ukaifanye upya imani na matumaini yetu kwa ajili ya maisha bora hapa ulimwenguni na kesho akhera.
Tufurahi na familia na majirani wetu kwa ajili ya baraka za #Eidelfitr yenye furaha, upendo, na amani.
Haya ndio Mjasiriahabari anayokutakia.
#Eid Mubarak🌝🌙
Kutoka kwa Mdau:
Vijana wachukue tahadhari, wajifunze kutambua 🚩 bendera nyekundu, waache kudanganyika na makalio, makeup, na urembo wa kichina unaonunuliwa kariakoo.
Vijana wajifunze kuwatambua "Wanawake" hili si suala la kuwadharau au kuwatenga bali tangu kuumbwa kwa mwanaume, adui wake mkubwa amekuwa akimtumia mwanamke kumdhibiti au kumpoteza mwanaume, hili si suala la siri ni jambo lililo wazi kwenye vitabu vitakatifu.
Kijana ambaye hataki kukubali hili kwa kudanganywa na mapenzi ya sinema za hollywood ataangamia yeye na kizazi chake.
Na kwa wanawake ambao ni #wifematerial" nawatahadharisha na mijadala hii kwenye vyombo vya habari.
Wenzenu wanakiri kabisa hawajaolewa, na hata ukimtizama utaona 🚩 za kwa nini hajaolewa uso na ngozi yake ina ujumbe kwa nini yupo hapo!
Wenzenu hawa wanalipwa wapo kazini, wanachosema hawajali tena kwa sbb wao wanajua ukweli bali wanatumika kuwadanganya wengine.
Kimsingi "deep side" wanawake wenye kuonekana kwenye mijadala hii wanakabiliwa na changamoto za kisaikolojia, afyaakili kiwewe na kutojithamini, "inferiority complex" inayotokana na matukio waliopitia!
Wana hasira na "uanaume" masculinity na hii ni sehemu pekee wanapoweza kufunika grudges/ Visasi walivyonavyo dhidi ya "uanaume"
Mytake:
Wadau kama hawa ndio walionilazimisha kuanzisha chaneli ya #telegram ili tuweze kujifunza kwa uhuru zaidi
Jiunge hapa
https://t.me/+Hys7uixm4SA1Nzhk
🇺🇸 Seneta wa Marekani @MarcoRubio anashutumu Brazil-China kukubaliana kufanya biashara kutumia sarafu zao, ni kudhoofisha mamlaka ya Marekani ya kuweka vikwazo:
"Baada ya miaka 5... kutakuwa na nchi nyingi zinazofanya miamala kwa kutumia sarafu tofauti na dola na hatutakuwa na uwezo wa kuziwekea vikwazo."
Mtazamo wetu:
Anayekwambia hatushuhudii anguko la Ulimwengu wa sasa na kuibuka kwa ulimwengu mwingine anakudanganya.
Mambo ya kuzingatia:
➡️ Waliotengeneza nguvu ya dola ndio wao wanaoiondoa nguvu hiyo.
➡️ Jambo la kufahamu hapa, dola ndio ilitumika kuweka vikwazo vya kiuchumi kwa mataifa mbalimbali, baada ya muda imedhihirika vikwazo hivyo havina athari iliyokusudiwa.
➡️ Huu ni mkakati mpya wa kutengeneza currency nyingine itakayochukua nafasi ya dola ambayo itakuwa na nguvu zaidi.
#economicresistance #UhuruwaPili #wazawa #majasho
Leo ndio kesi ya #FeiToto
Mama Fei Toto anasema kuwa, mwanaye amepitia kwenye magumu mengi ikiwa ni pamoja na kwenda mazoezini kwa kumkop[a bodaboda na sasa anaonekana kama ameua kama ambavyo anaeleza mwenyewe kwenye video.
Tutalijadili hili kwa upana👇
Msikilize
Rigathi Gachagua, Makamu Raisi wa Kenya
"Hii serikali ni kampuni na ni ya shares.
Kuna wenye wako na shares mingi, wale wana chache na wale hawana.
Nyinyi mliinvest kwa hii kampuni ya Gachagua na Ruto. Lazima mvune.
Wengine wananikashifu ati mimi nasema wale walipanda wavune kwanza, iko makosa?
Mwisho wa nukuu.
Mdau unaonaje, serikali kuwa kampuni inayomilikiwa kwa share?
Umegundua nini kwenye huu mtazamo?
Ni sahihi viongozi kutafsiri serikali kwa mtazamo huo?
Wape matumaini ya kupata furaha ya muda mfupi, kisha ondoa matarajio halisi.
Utafanikiwa kuwatawala!😔
#fakeDopamine
Raisi wa 5 Jamhuri ya watu wa Kenya Dk William Samoi Ruto!! Tusifu na kuimba sasa🇰🇪🙏🏿
Congratulations H. E. Dr. William Samoi Ruto The 5th President of the republic of Kenya God bless East Africa 🌍
Hongera raisi wa 5 wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya H. E. Dr. William Samoi Ruto
Mungu Ibariki Afrika Mashariki
Julius Malema to Raila Odinga:
ACCEPT AND MOVE ON.
.... "Raila Odinga should accept the results of the elections and act with restraint with their supporters. It should never be in the name of any presidential candidate. Kenyans must love their country more than loving individuals.
Congratulations President-elect Williams S Ruto
Yours is an affirmation that hard work & determination pays & this will forever be an inspiration to all East African, today & in the future.
#HustlersNisisi
Mjadala mkali wazuka kwenye mitandao ya kijamii baada ya video hii kuonekana.
Video iliwekwa kwenye kurasa za Ikulu Mawasiliano ikiwaonyesha viongozi wa Chadema wakiongozwa na m/kiti Bw Freeman Mbowe wakielekea kwenye kikao ikulu, kikao kilichoitishwa na raisi Samia.
Mjadala huo kwa sehemu kubwa unaongozwa na baadhi ya wanachama "Nguli" wa Chama hicho wakihoji mambo yafuatayo:
➡️ Chadema na Raisi wanajadili nini?
➡️ Kama chama kikuu cha Upinzani lini na wapi chama kilikubaliana na kuweka agenda za kujadiliana kati yake na raisi?
➡️ Vikao vinavyofanyika Ikulu ni vikao vya Chadema na Serikali au Ccm na Chadema.
➡️ Raisi Samia na Serikali yake ndio wanahitaji zaidi vikao na vyama vya upinzani kuliko vyama hivyo vinavyohitaji na Chadema kutokana na ukubwa wake kilipaswa kujua hili, Je chama kilijiandaa kwa kuweka masharti na utaratibu wa kukutana na raisi ili kulinda maslahi ya chama na agenda zake za kisiasa?
➡️ Baadhi ya wanachama na wafuasi wa Chadema wanahoji juu ya uongozi na uwezo wa kukabiliana na mbinu za kisiasa za chama tawala.
Kutokana na sintofahamu hiyo baadhi ya wadah wa ukurasa huu wametuandikia na kututaka kuupanua mjadala huu kupitia hapa ili kupata maoni na mtazamo wa wapenda mabadiliko ya kweli
Raisi Samia Suluhu Hassan, ametangaza nia yake ya kuunda baraza jipya la mawaziri.
Amesisitiza orodha ya mawaziri wapya itatoka hivyi punde.
Raisi amegusia sababu ya kufanya mabadiliko hayo ni kuwaondoa mawaziri ambao wanajiandaa na uraisi 2025.
SpikaBunge #JobNdugai Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma muda mfupi uliyopita
Amemwomba msahama Rais Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kwa ujumla
Kufuatia kauli yake aliyoitoa kuhusu mikopo ya nchi.
Je unadhani msamaha huu utaondoa makundi yaliyokwisha jengeka ndani ya serikali na chama tawala dhidi ya raisi @samia suluhu hasan
Muda huu uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kulikuwa na shamrashamra za kusherekea miaka60 ya Uhuru zilizoongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bw @AmosiMakala. Kilele cha sherehe hizo ni kuanzia alfajiri ya leo kwenye uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Sikiliza hii,
1. Kuna janga la watu kula dawa kupita kiasi.
2. Sababu ya tatu ya vifo duniani baada ya magonjwa ya moyo ni athari mbaya za madawa.
3. Kuna janga la madaktari wasio na ujuzi
4. Maamuzi ya kimatibabu ya madaktari huathiriwa na biashara ya dawa.
Hitimisho:
Sehemu kubwa ya kinachoitwa elimu ya afya ni "Maudhui ya Masoko" iliyotengenezwa na kudhaminiwa na makampuni ya madawa.
Sehemu kubwa ya Madaktari ni "Sales Personels" wa makampuni hayo.
La kusikitisha zaidi Madaktari walio wengi Hawajitambui kama Sales Rep wa watengeneza madawa😔
Hatimaye #MangeKimambi uso kwa uso na mama #Samia!
Mh Raisi ameanza ziara yake nchini Marekani kuhudhuria baraza la usalama la umoja wa mataifa
Katiba ni jambo muhimu kwa nchi yetu kwa sasa! Ila muhimu tukubaliane njia tutakayotumia kuipata.
Kwenye hii video hii kuna jambo la kujifunza ikiwa wanyama wanaweza kufanyiana hivyi kwa binadamu pia jambo linalowezekana. Kuwa makini na wale unaokaa nao karibu, wanaojua siri zako, wale wanaokuzunguka ndio wao siku moja watakugeuka ukiwa unawahitaji zaidi.