TAASISI ISIYO YAKISERIKALI INAYOFAAMIKA KWA JINA LA ELIMU FOUNDATION LEO TAR 21 MWEZI WA 4 WAMEFANYA ZOEZI LA KUGAWA MITI KATIKA SHULE ZA SECONDARY PAMOJA NA MSINGI KATIKA KATA YA OLDONYOSAMBU PAMOJA NA KITUO CHA AFYA CHA OLDONYOSAMBU
AKIZUNGUMZA KATIKA ZOEZI HILO MKURUGENZI WA TAASIIS HIYO MOSES NGEREZA ALISEMA HATO ISHIA HAPO BALI ITAKUA NI MUENDELEZO KWA AJILI YA KUKABIKIANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI
MKURUGENZI HUYO AMESEMA SI KWAMBA ANAPANDA MITI KAMA WENGINE WALIVYO ZOEYA YEYE ATAWEKA NGUVU NA KUWAHIMIZA WATANZANIA KUPANDA MITI KWAAJILI YA MATUNDA NA KUPATA LISHE ILIYO BORA
KWA UPANDE MWINGINE VIONGOZI WAKIMILA PAMOJA NA WANANCH MBALIMBALI WALIPONGEZA HATUA HYO NA KUIOMBA TAASISI YA ELIMU FOUNDATION ISIISHIE HAPO BALI IWE MUENDELEZO
WANANCHI WAMEAHIDI KUA MABALOZI WA ZURI NA WATAFIKISHA ELIMU HII KWA WATU WANAOWAZUNGUKA NA KUHAIDI HATA WATATOA ENEO KWAAJILI YA ELIMINATED DARASA NA KUHAKIKISHA TANZANIA INAKUWA YAKIJANI NA WATU WENYE AFYA NJEMA.
ZOEZI HILO LILIFANIKIWA KUHUDURIWA NA VIONGOZI MBALI MBALI AKIWEMO DIWANI NA MTENDAJI WA KATA AMBAPO NAO WALIHUSIKA KATIKA ZOEZI HILO LA KUOTESHA MITI
PRAYGOD MARTIN - DALA DALA TV
WANAO LETA USHOGA WANAOFANYA USHOGA BASTOLA KICHWANI UVCCM VAA GWANDA TWENDE VITANI......
the best online television
VIJANA UVCCM ARUMERU WATIA HESHIMA MAZISHI YA KADA NA BABA WA MWENYEKITI VIJANA KATA YA TARAKWA
Wananch wa kata ya tarakwa wafurahi nakusema umoja wa vijana wa chama chamapinduzi wamefanya jambo lilo wapa furaha kwa ushirikiano wao katika mazishi ya baba wa kijana mwenzao ambaye pia ni kiongozi kwenye jumuiya ya vijana kata ya tarakwa
Pamoja na hayo mwenyekiti wa umoja wa vijana wilaya ya Arumeru mw LEMPAPA LIARINI ametaka vijana wawe na umoja huo huo katika shuhuli mbali mbali ya maendeleo na kuonyesha ushirikiano katika shida hata katika raha na pale panapotokea tatizo tuzidi kutiana moyo
Pamoja na hayo mwenezi wa chama cha mapinduzi mw NIKOLAS SAWA kasema huu ndo utu na ndo umoja na ndo umoja wa vijana aliyokuwa anauhitaji kwanzia zamani na kuhaidi kuzidi kutia nguvu katika umoja huu wa vijana na kuomba ushirikiano zaidi
NENO YA REFA WA MCHONGO STAKI KUUSIKIA KATIKA USHINDI WETU KAMA NOBLE COLLEGE KATIKA KOMBE LA MBUZI.....
Chuo Cha noble trust college kilichopo jijini Arusha kiliandaa mashindano ya kombe la mbuzi na baadhi ya vyuo na kuibuka kidedea na baadhi ya timu zilizo shiriki kusema ndani yake refa kanunuliwa na wengine kusema mbuzi ni wa refa japo baadhi ya wadhamini na waliojitokeza wakisema mpira umechezwa kwa haki na usawa na walio fungwa hakuna haja ya kulalamika Bali wajipange zaidi katika makosa ya mwaka huu na mwakani wafanye vizuri zaidi na baadhi ya wadhamini wa timu kutoa haadi kedekede Kama kuipeleka timu mapumzikoni katika mbuga ya wanyama ya ngorongoro yote ni kuipa chachu ya kufanya vizuri zaidi
HII HAPA HISTORIA YA MECHI ZA NGAO YA JAMII SIMBA NA YANGA
HII HAPA HISTORIA YA MECHI ZA NGAO YA JAMII SIMBA NA YANGA
Hahahahaha hatari
Hahahahahahaha hatari sana