Msenangu FM

Msenangu FM A futuristic coast-based radio station addressing the authentic needs, issues and aspirations of the
(34)

28/07/2024

Ukipewa Milioni 2 ulale mochari masaa 24 utakubali?🤭

28/07/2024

((Live On Air))
MGENI: KEN CHONGA

Una swali gani kwake?

((((((((((On Air))))))))🕝4PM - 8PM⏰))))🔥 naMaitha Masha  karibu tutwange siasa.JE HATUA YA RAIS WILLIAM RUTO KUWAJUMUISH...
28/07/2024

((((((((((On Air))))))))🕝4PM - 8PM⏰))))🔥 na
Maitha Masha karibu tutwange siasa.
JE HATUA YA RAIS WILLIAM RUTO KUWAJUMUISHA MAWAZIRI KUTOKA MRENGO WA UPINZANI ALIGONGA NDIPO AMA HUENDA IKAMPONZA KISIASA MWAKA 2027?
SkizaOnline: https://bit.ly/3P5WRvr 📻
Studio Line: 0798 995 995
0784 925 925 || 0786 995 995 || 0783 995 995 || 0780 995 995 SMS: 23151

Mbali na disco la BOIZ TO MEN .Ni disco gani unalijua?🫢
28/07/2024

Mbali na disco la BOIZ TO MEN .
Ni disco gani unalijua?🫢

Baada ya Manchester United kupigwa na Arsenal 2-1 leo asubuhi kwenye mechi ya kirafiki, sajili mpya Leny Yoro  na Rasmus...
28/07/2024

Baada ya Manchester United kupigwa na Arsenal 2-1 leo asubuhi kwenye mechi ya kirafiki, sajili mpya Leny Yoro na Rasmus Hojlund walipata majeraha.

Kwa mtindo huu, Man Utd watatoboa msimu huu?

(((((((((On Air)))))))))))⏰02PM-04PM🔥🔥🔥  na  Mwangemi  Vipi, uhali gani? Karibu tuburudishe nafsi pamoja tukisonga.Uko w...
28/07/2024

(((((((((On Air)))))))))))⏰02PM-04PM🔥🔥🔥
na Mwangemi
Vipi, uhali gani? Karibu tuburudishe nafsi pamoja tukisonga.Uko wapi na nani?Twenzetu!
SMS: 23151 Phone No.
0798 995 995 || 0784 925 925 || 0786 995 995 || 0780 995 995 || 0783 995 995

Mwanamke mmoja anayejulikana Paleki ameshangaza wengi baada ya kukubali kuolewa na mume mwingine baada ya bwanake waliof...
28/07/2024

Mwanamke mmoja anayejulikana Paleki ameshangaza wengi baada ya kukubali kuolewa na mume mwingine baada ya bwanake waliofanya harusi kubwa kukamatwa na polisi kisa madeni ya harusi.

📸Ungeambiwa umpe jina la kimaasai aliyekuwa waziri Aisha Jumwa, ungemuita nani?🫢
28/07/2024

📸
Ungeambiwa umpe jina la kimaasai aliyekuwa waziri Aisha Jumwa, ungemuita nani?🫢


‘Kupiga risasi bendera ya Kenya ni kutoheshimu waliopigania nchi’ – Kalonzo condemns police who shot at protesters carry...
28/07/2024

‘Kupiga risasi bendera ya Kenya ni kutoheshimu waliopigania nchi’ – Kalonzo condemns police who shot at protesters carrying flags
Read the whole story:

Kalonzo maintains that police should not have shot at protesters carrying the flag regardless of circumstances.

Neno gani sahihi?1) Ovacado2) Avacado3) Avocado
28/07/2024

Neno gani sahihi?
1) Ovacado
2) Avacado
3) Avocado

Hivi unakubaliana na kauli ya Chigz Ngala?"Hivi unajua kwamba mwanamke akijuwa una michepuko huwa anaongeza upendo kwako...
28/07/2024

Hivi unakubaliana na kauli ya Chigz Ngala?

"Hivi unajua kwamba mwanamke akijuwa una michepuko huwa anaongeza upendo kwako."-Chigz Ngala

Ni timu gani kutoka mtaani kwenu unaona ikipata sapoti itafika mbali?
28/07/2024

Ni timu gani kutoka mtaani kwenu unaona ikipata sapoti itafika mbali?

((((((((((On Air))))))))🕝10:00AM - 2: 00PM⏰))))🔥 Lemmy Lito Sogohe  MTU BEI   Wachungaji wawili, karibu tukupe neno🤣😄Wat...
28/07/2024

((((((((((On Air))))))))🕝10:00AM - 2: 00PM⏰))))🔥
Lemmy Lito Sogohe MTU BEI
Wachungaji wawili, karibu tukupe neno🤣😄
Wategea ukiwa wapi?

SkizaOnline: https://bit.ly/3P5WRvr 📻
Studio Line: 0798 995 995
0784 925 925 || 0786 995 995 || 0783 995 995 || 0780 995 995 SMS: 23151

RAILA ODINGA: I signed off my AUC Chair application documents, we are focused on bringing the seat home for Kenya and se...
28/07/2024

RAILA ODINGA: I signed off my AUC Chair application documents, we are focused on bringing the seat home for Kenya and serving the African people.

📸Huyu ni msanii Dickson Nyamawi.Ulimjua kumpitia wimbo upi?
28/07/2024

📸
Huyu ni msanii Dickson Nyamawi.
Ulimjua kumpitia wimbo upi?


28/07/2024

Ni nani leo hii ukifanikiwa utamkumbuka?🤭

🔥🔥((((On-Air)))))Chigz Ngala🕝7pm - 12midnight⏰))))🔥 🔥Bazenga ni mmoja tu!🤣🤣Vidze Ko!!SkizaOnline:https: https://bit.ly/3...
27/07/2024

🔥🔥((((On-Air)))))
Chigz Ngala
🕝7pm - 12midnight⏰))))🔥 🔥
Bazenga ni mmoja tu!🤣🤣
Vidze Ko!!

SkizaOnline:https: https://bit.ly/3A7HOg4 📻
Studio Line: 0798 995 995
0784 925 925 || 0786 995 995 || 0783 995 995 || 0780 995 995
SMS: 23151

((((On-Air )))) 3pm-7pmBalozi Cyrus Ngonyo na Coaches Henry AmaniUnategea Msenangu Viwanjani ukiwa wapi?SMS 23151 : Phon...
27/07/2024

((((On-Air )))) 3pm-7pm
Balozi Cyrus Ngonyo na Coaches Henry Amani
Unategea Msenangu Viwanjani ukiwa wapi?

SMS 23151 : Phone No.
0798 925 925 || 0798 995 995
0784 925 925 || 0786 995 995
SkizaOnline: https://bit.ly/2WrZZuH

📸Rais William Ruto akiwa Chuo cha ufundi cha Kinango- Mackinon, Kwale.
27/07/2024

📸
Rais William Ruto akiwa Chuo cha ufundi cha Kinango- Mackinon, Kwale.

((((OnAir))))) 🕝10am - 2pm 📻📻Mjukuu Wa Chirao NA Binti KichunaMko freshy barida ama barida freshy?😂Sema nasi unategea uk...
27/07/2024

((((OnAir))))) 🕝10am - 2pm 📻📻
Mjukuu Wa Chirao NA Binti Kichuna
Mko freshy barida ama barida freshy?😂
Sema nasi unategea ukiwa wapi asubuhi ya leo.

SMS: 23151
Phone No.
0798 995 995 || 0784 925 925 || 0786 995 995
SkizaOnline: https://bit.ly/2WrZZuH

(((((((((((On Air)))))))))))⏰06AM-10AMSalim Barissa na Mzee Igwe ...Good morning, umeamkaje? Karibu kwenye show utulize ...
27/07/2024

(((((((((((On Air)))))))))))⏰06AM-10AM
Salim Barissa na Mzee Igwe
...Good morning, umeamkaje? Karibu kwenye show utulize nafsi na mengi matamu.Unategea ukiwa wapi?Twenzetu!

SMS: 23151
Phone No.
0798 995 995 || 0784 925 925 || 0786 995 995 || 0780 995 995 || 0783 995 995
SkizaOnline: https://bit.ly/2WrZZuHh

Kitu gani kinakuzuia wewe na mpenzi wako msifike hapa?🫢
26/07/2024

Kitu gani kinakuzuia wewe na mpenzi wako msifike hapa?🫢

Unadhani ni kwa nini mwanamume ni rais kubeba mwanamke kuliko mtungi wa gesiji?🫢
26/07/2024

Unadhani ni kwa nini mwanamume ni rais kubeba mwanamke kuliko mtungi wa gesiji?🫢


"Kampuni zilizowaajiri wanahabari wawafundishe wanahabari jinsi ya kujilinda wakati wa maandamano."-Mwanaisha Chidzuga
26/07/2024

"Kampuni zilizowaajiri wanahabari wawafundishe wanahabari jinsi ya kujilinda wakati wa maandamano."
-Mwanaisha Chidzuga

Kwa nini humposti mpenzi wako mtandaoni?🫢
26/07/2024

Kwa nini humposti mpenzi wako mtandaoni?🫢


🔥🔥((((On-Air)))na Bishop Michael Otieno🕝8PM- 12AMHATHA NI HOWAA🤣Masaa mawili ya BUNGE LAKO, VUTA STOOL alafu ZIMA TAAUna...
26/07/2024

🔥🔥((((On-Air)))
na Bishop Michael Otieno
🕝8PM- 12AM
HATHA NI HOWAA🤣
Masaa mawili ya BUNGE LAKO, VUTA STOOL alafu ZIMA TAA
Unatusikiliza ukiwa wapi?

SkizaOnline:https: https://bit.ly/3P5WRvr📻
Studio Line: 0798 995 995
0784 925 925 || 0786 995 995 || 0783 995 995 || 0780 995 995
SMS: 23151

26/07/2024

🤣🤣🤣🤣🤣
Wenye roho nzuri bado wako


"Siko Soko".-Aisha Jumwa
26/07/2024

"Siko Soko".
-Aisha Jumwa

HABARIMbunge wa Ganze Keneth Charo Tungule ameihimiza serikali ya kitaifa kutafuta suluhu ya tatizo la uvamizi wa ndovu ...
26/07/2024

HABARI
Mbunge wa Ganze Keneth Charo Tungule ameihimiza serikali ya kitaifa kutafuta suluhu ya tatizo la uvamizi wa ndovu katika sehemu hiyo.

HABARIGavana wa Taita Taveta kwa mara nyingine amejitetea akisema kuwa safari zake za nje ya kaunti ni za kutafuta wafad...
26/07/2024

HABARI
Gavana wa Taita Taveta kwa mara nyingine amejitetea akisema kuwa safari zake za nje ya kaunti ni za kutafuta wafadhili wa miradi ya maendeleo.

Address

Nyali
Mombasa

Opening Hours

Monday 05:00 - 00:00
Tuesday 05:00 - 00:00
Wednesday 05:00 - 00:00
Thursday 05:00 - 00:00
Friday 05:00 - 00:00
Saturday 05:00 - 22:00
Sunday 05:00 - 22:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msenangu FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Msenangu FM:

Videos

Share

Category

0798 925 925 || 0798 995 995 0784 925 925 || 0786 995 995

SMS 21005


Other Radio Stations in Mombasa

Show All