JÀMIÎ RÅDIŌ

JÀMIÎ RÅDIŌ Jamii Radio /online Radio for all entertainment and broadcasting us now en enjoy swahili flavor

Bradley Goliath Finally Gets His Bespoke Suit
15/09/2024

Bradley Goliath Finally Gets His Bespoke Suit

11/06/2024

Good ñews to our online funny base
We glad that our boss Bronze Tz is back with us

16/08/2023

Taita Taveta
Voi
New JÀMIÎ RÅDIŌ stay tuned

 # Ma Life ..Usikukose kila siku muondelezo wa hii story👍👍....Kua apo mwanzo maisha yalikua na mtazamo wa kipekee wala s...
17/07/2023

# Ma Life ..Usikukose kila siku muondelezo wa hii story👍👍....Kua apo mwanzo maisha yalikua na mtazamo wa kipekee wala sikujua yalikua yanajenga nyenzo ya kuvunja daraja za macho yangu na kuniacha nikiwa na machozi 😭ya hasira.Sawa nakumba umri mdogo wa miaka mitano tu nilishajua nini kiini cha kua duniani.La si kuitwa kiumbe tu bali kiumbe mpambanaji haswa Lakini hili halikua tatizo ila kuishi miaka kumi na tano bila kuijua sura ya baba yangu na wala picha ya taswira yake ....😭😭😭Yea apo nilikua tu najua jina Baba kulitamka japo iliniuma ila sikua na uwezo wa kutaka kuuliza mengi kumuhusu kwani unaambiwa kilicho chako kingojee ata kwa miaka elfu moja K**a nichako Basi kitarudi.lakini Mimi nilichoka kusubiri😭😭 niliamua kwenda 🚶🚶kumuliza Bibi yangu kuhusu wazazi wangu.Alichonijibu Bibi kiliumiza maradufu kuliko uchungu wa uzazi💔 .."Mju kuu wangu wazazi wako walikwisha tangulia mbele za haki"😭😭😭Niliishiwa na nguvu kwani nilidhani nuru yangu ilikua imafika kumbe ndo linizidi kuongezewa kiza kwenye maisha yangu ambayo Sasa yalikua K**a ramani ya maisha ya maskini yasiyo kua n mchoraji 😭😭maridhawa ivyo Basi happy niliona mwisho ulikua umefika.💔💔Usiku nilipigana kwa ndoto na machozi ya huzuni kwani hakuna ambaye alikua amenitobolea ukweli wa siri hii n nzito💔💔😭😭Nilishinda na kuendelea n usiku huo ilibidi niamke na kuamua kuchukua jukumu la kutoa uhai wangu😭😭😭Nilikunywa sumu Kali....Mungu wamajabu hakutaka mwenye uwezo alishinda zidi ya jabali shetani aliyetaka kuzikatisha ndoto zangu na kizazi changu kwani licha ya kuitumia sumu ile Kali ambayo huweza kumkatisha mtu roho kwa muda wa nusu saa💔 mungu kupitia moja ya wajomba zangu alitoka nje usiku huo na aliposikia sauti yenye mtu mwenye 😭😭maumivu makali hutoa,alipitiliza mbio K**a risasi na alipofika chumbani mwangu alishtuka 😯😱🤭😯kunikuta nikigaragara kitandani huku mapovu yakinitoka kinywani 🤮🤤🤤,aliangua kilio kuitisha usaidizi kutoka kwa majirani Lakini kutokana n mshtuko aliokua nao sauti pia ilishindwa kutoka 🤐,hakika K**a angelipoteza ata sekunde moja ningalikua mauti😥😥 leo Bali alichukua dharura na kunipatia maziwa ambayo yalinisaidia sana😑😑.Alipiga siku kwa moja ya kituo cha afya kuitisha usaidizi wa gari la wa gonjwa mahutihuti🚑 Lakini hakufua dafu. Aliponitizama aliona kabisa ulikua mwisho wa mjomba wa lee bronze 💔🤤kwani mwili ulikua umelegea hata mapigo ya moyo yalisimama..Alichukua jukumu la kunibeba uo usiku wa manane adi dhahati moja ilikua karibu😯.Tulipofika dhahanati 💔 ...

17/07/2023
02/07/2023

Tuta rudi tukiwa bora zaidi
JÀMIÎ RÅDIŌ
Ni ya kwetu sote ♥️🤝

23/06/2023

Naivasha JÀMIÎ RÅDIŌ tunakuja na mali safi za Mombasa 🤗🎶

Weka page yako tukufollow
20/06/2023

Weka page yako tukufollow

06/06/2023

Kati ya Akili za ex wangu ha Andazi mi nitachagua Andazi

29/05/2023

𝗛𝗶😻𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝘆😻𝗵𝗼𝘄😻𝗶𝘀😻𝗙𝗲𝗯𝗿𝘂𝗮𝗿𝘆😻𝗜😻𝗵𝗼𝗽𝗲😻𝗶𝘀😻𝗺𝗮𝗿𝗰𝗵𝗶𝗻𝗴😻𝘁𝗼😻𝗔𝗽𝗿𝗶𝗹😻𝘀𝗼😻𝗵𝗲😻𝗺𝗮𝘆😻𝗰𝗮𝗹𝗹😻𝗵𝗶𝘀😻𝗯𝗿𝗼𝘁𝗵𝗲𝗿😻𝗝𝘂𝗻𝗲😻𝗮𝗻𝗱😻𝗝𝘂𝗹𝘆😻𝘁𝗼😻𝗺𝗲𝗲𝘁😻𝗔𝘂𝗴𝘂𝘀𝘁😻𝗮𝗻𝗱😻𝗮𝘀𝗸😻𝘀𝗲𝗽𝘁𝗲𝗺𝗯𝗲𝗿😻𝗶𝗳😻𝗼𝗰𝘁𝗼𝗯𝗲𝗿😻𝗵𝗮𝘀😻𝗶𝗻𝗳𝗼𝗿𝗺😻𝗡𝗼𝘃𝗲𝗿𝗺𝗯𝗲𝗿😻𝘁𝗵𝗮𝘁😻𝗗𝗲𝗰𝗲𝗺𝗯𝗲𝗿😻is so 😻𝗹𝗶𝘁😻😻

𝗘𝗻𝘁𝗲𝗿😻𝘆𝗼𝘂𝗿😻𝗯𝗶𝗿𝘁𝗵𝗱𝗮𝘆😻𝗺𝗼𝗻𝘁𝗵

26/05/2023

WEKA PAGE YAKO NIKUFANYIE ILE KITU
Mfollow afike 103000 JÀMIÎ RÅDIŌ

24/05/2023

Follow JÀMIÎ RÅDIŌ ni yetu sote

Jamii Radio /online Radio for all entertainment and broadcasting us now en enjoy swahili flavor

24/05/2023

Request ur favorite song JÀMIÎ RÅDIŌ

24/05/2023

😂😂
Amepiga Simu JÀMIÎ RÅDIŌ
Masai anasema Tumsaidie kumnunulia Credit ya Tekno

20/05/2023

Today
Bronze Tz Ameachia jiwe moja ndani ya JÀMIÎ RÅDIŌ
show love kwa love kutoka kwa bronze tz 🎙🔥🔥🔥

20/05/2023

It’s Time for tune in just follow our page JÀMIÎ RÅDIŌ

Address

Mombasa

Telephone

+254746867552

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JÀMIÎ RÅDIŌ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JÀMIÎ RÅDIŌ:

Videos

Share