Tune Fm

Tune Fm We Promote Local Music.
(2)

Ladies And Gentlemen,We Are Baack!This Sato Gonna Be Liiit 🔥🔥🔥Back To The Airwaves 📻📻📻Which Song You Vote In This Weeken...
09/10/2023

Ladies And Gentlemen,We Are Baack!
This Sato Gonna Be Liiit 🔥🔥🔥
Back To The Airwaves 📻📻📻
Which Song You Vote In This Weekend's
Comment The Song Down Below,Kindly Share This Post.

Kundi La Mziki Kutoka Pwani CSM wazito  Kuongeza Umaarufu Kwenye Mtandao Wa Boomplay!Baada Ya Kuachia Kazi Inayotamba Kw...
05/10/2023

Kundi La Mziki Kutoka Pwani CSM wazito Kuongeza Umaarufu Kwenye Mtandao Wa Boomplay!
Baada Ya Kuachia Kazi Inayotamba Kwa Jina I MISS YOU,Kundi Hilo Ambalo Linajumuisha Baila-Boy naye Innos Chatu Linaonekana Kupata Streams Zaidi Ya 7,125 Kwenye Boomplay. Skiliza Kazi Yao Hapa https://bit.ly/3RLw24s
Tupia Comments,Kuhusiana Na Usemi Wako!
Follow Us For More E-News Fm

New Music!!Produza  Hits Kwenye Sherehe Akimshirikisha  254 Skiliza Kwenye Boomplay https://bit.ly/3PFRepK📷  E-News
04/10/2023

New Music!!
Produza Hits Kwenye Sherehe Akimshirikisha 254
Skiliza Kwenye Boomplay https://bit.ly/3PFRepK
📷 E-News

Kati Ya Wakongwe Wa Mziki Pwani  Official Warudi Na Ujio Mpya Wakimshirikisha  C. Skiliza Nawaka Kwenye YouTube https://...
04/10/2023

Kati Ya Wakongwe Wa Mziki Pwani Official Warudi Na Ujio Mpya Wakimshirikisha C.
Skiliza Nawaka Kwenye YouTube https://bit.ly/3RL2806

📷 E-News

26/02/2023

Hello There? Have A Blessed Sunday! We Love You All.

Anaitwa masterKimbo , wamkumjua na ngoma gani? Unampatia  number gani kwenye list ya wasanii wa pwani?
26/11/2022

Anaitwa masterKimbo , wamkumjua na ngoma gani? Unampatia number gani kwenye list ya wasanii wa pwani?

11/11/2022

Kaa La Moto miezi iliyopita alitoa album yake ya "Leso ya Mekatilili" iliyo na nyimbo 12.Hayati Mekatilili ni shujaa pia vilevile mzalendo aliyepigania haki za jamii yake.

Je, Ishara hii inajitokeza vipi kwenye album yake? Mbona kaiita Leso ya Mekatilili. Maoni ya Tunefm ni haya, je yako ni yapi?.




"KIJICHO NDIO KINAMSUMBUA MPWANI" maneno ya P Day Hurrikane hayo.Ukweli wauma,ila p day anaonekana kutovumilia,,,kwa his...
08/11/2022

"KIJICHO NDIO KINAMSUMBUA MPWANI" maneno ya P Day Hurrikane hayo.

Ukweli wauma,ila p day anaonekana kutovumilia,,,kwa hisia anaelezea jinsi mpwani anavyosumbuka na kijicho ama kwa jina lingine tunaweza sema ni wivu.

Msanii nguli kutoka kilifi kaunti kaachilia ngoma mpya na jimbi KO Kenya , kibao kwa jina .

Je anasema kweli? Wapwani tunasumbuliwa na wivu unaoleta usaliti? Na mwishowe kuturudisha nyuma kimaendeleo hasa mziki?

Siku za nyuma msanii huyu ameonekana kumuunga mkono susumila na kuamini kuwa wengi wanoampatia majina mabaya hasa hili la mchawi , sio ukweli bali ni wivu wakutotaka kuona maendeleo ya mtu.

Sikiza ngoma hii kwa Boom play usikize madini na ustaa uliotumika baina ya Pday na K.O, tena kwa comment utujuze nani kamfunika mwingine.


08/11/2022

"Tusaidieni jameni" Yameg Gang waomba msaada.

Ruby kache anawarai👇👇"https://pwanigoldenawards.co.ke/Voting polls are now open.Category- comedian Ticktocker Vote for r...
07/11/2022

Ruby kache anawarai👇👇

"https://pwanigoldenawards.co.ke/

Voting polls are now open.
Category- comedian

Ticktocker

Vote for ruby kache🌹 mvote ndio mlale,waeza vote hata mara mia. Na mtume screen shot mana najua wengine mnasema mme vote na Badoo ama hamtaki nishindee,hamtaki msichana wa bamba ashinde? Vote basi alafu mtume screenshot" asema Ruby kache.

Let's Talk about Hiphop.Kwa wale wanaofuatilia sana mziki wa hiphop ukanda wa pwani ,msanii huyu kwa jina Jaykah Mtengwa...
07/11/2022

Let's Talk about Hiphop.

Kwa wale wanaofuatilia sana mziki wa hiphop ukanda wa pwani ,msanii huyu kwa jina Jaykah Mtengwa sio mgeni kwao.

Msanii huyu Nguli anayesimama na misingi yake ya hiphop ukilinganiza na wasanii wengi wa sasa, aghalabu anatumia mziki kuelimisha jamii na kuwapasha ukweli badala ya kuufanya k**a biashara

Ukifuatilia sana mziki wake, jaykah anaonekana kuwa mwanaharakati kwa njia moja ama nyingine.

Baadhi ya ngoma alizowahi kutoa ni pamoja na Vipi nitatoka, kibao alichokitoa miaka ya nyuma kikigusia jinsi sanaa imekuwa biashara badala ya kupitisha mafunzo ili kuelimisha jamii, kiwango cha kwamba wasanii wako tayari kujiita mabachelor ilhali wameoa wako na watoto, msingi tu wavutie wafuasi

Mumiliki huyu wa studio ya Jah Records amewahi kufanya collabo na wasanii mbalimbali wa hiphop ikiwemo Kaa la moto, Masterr Kimbo ,Lai. Na. Wasanii wengine.

Hivi majuzi kaachilia kibao kwa jina Sijulikani, Fika kwenye mtandao wake wa youtube ama facebook upate kusikiza kazi zake nyingi.

Fahamu ngoma Tano Za Dazlah Kwenye  1.Naogopa2.Tamaa3.Waru Waru4.Baishoo5.Pisi KaliJe ni Ngoma ipi umeikubali sana?
06/11/2022

Fahamu ngoma Tano Za Dazlah Kwenye
1.Naogopa
2.Tamaa
3.Waru Waru
4.Baishoo
5.Pisi Kali

Je ni Ngoma ipi umeikubali sana?


05/11/2022

Dazlah kiduche is Back. Ni bayana kuwa yuko ndani ya Shirkomedia na anatarajiwa kuachia Ep yake hivi leo mida ya saa tano usiku.


.

Tokal Beats Je wamfahamu huyu producer? Ni baadhi ya maproducer wazuri wanaoshabikiwa sana kwa kazi zao safi ndani ya ka...
30/10/2022

Tokal Beats
Je wamfahamu huyu producer?
Ni baadhi ya maproducer wazuri wanaoshabikiwa sana kwa kazi zao safi ndani ya kaunti 003 kilifi county.

Anamiliki studio inayofahamika k**a MONSTER RECORDS baada ya kufanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja na studio ya KILO SOUND mjini mtwapa.

Tokal amewahi kufanya kazi kubwa zilizokubalika pwani nzima na hata miji mingine mikuu nchini.
Baadhi ya wasanii waliofanya kazi chinibya Tokal beats ni Yamey gag, kibao kwa jina mijikenda vibe ambacho kilitikisa na kuwafungulia milango vijana hawa wadogo kutoka Chonyi mafisini.

Msanii mwingine ni Twinkids ft Nadi kibao ambacho kufikia sasa kimefikisha zaidi ya 85k views kwenye mtandao wa youtube.

Wengine waliotembelea studio hii ni Reagan Daddy Matsangoni boy, Panzil Music na wengineo.

Endapo unataka kufahamu mengi kuhusu monster records ,tembelea facebook account ya Tokal Beats .

Mwanzo mzuri,ni kufanya kazi nzuri,na kazi nzuri ni kupata studio nzuri.

29/10/2022

Our First Episode1
Msanii chipukizi? Umetumia njia gani kuunda brand yako?.

Mashabiki wanakukumbuka na lipi wanaposikiza ngoma yako uliyoachilia?

Our today's Presenters Levis Tunje and Dir vanbizzy takes you through one of the most used tips of building a brand.


KO Kenya

CHIPUKIZI AWEKEZE KWENYE AUDIO PLATFORMS AMA AENDELEE KUBAHATISHA KWA YOUTUBE? Tumeona wasanii wakubwa hapa nchini na ug...
27/10/2022

CHIPUKIZI AWEKEZE KWENYE AUDIO PLATFORMS AMA AENDELEE KUBAHATISHA KWA YOUTUBE?

Tumeona wasanii wakubwa hapa nchini na ughaibuni. Wanapoachilia ngoma, huitanguliza kwenye mitandao ya kidijitali k**a vile boomplay, spotify, audiomack, itune na platform nyinginezo kabla kuiachilia video kwenye youtube

Je umuhimu wake u wapi?.

Mitandao hii pia imeonekana kuleta kipato kizuri kulingana na mipangilio na ushambazaji wa mziki.

Je Machipukizi wahamie kuwekeza kwenye mitandao hii ama waendelee kubahatisha hapo tu kwa youtube?.

Ukiangalia wasanii chipukizi wanategemea kupush mziki wa audio kwa youtube, ambapo mwisho wa siku hawafikishi kiwango cha kuvuna fedha kutoka kwa mtandao huo.

Wengi sio kupenda kwao, ukosefu wa fedha nzuri za kufanya video yakuridhisha mashabiki .

Kwa hesabu ya haraka, chipukizi kutoa video nzuri ya ngoma itamgharimu kitita cha takribani Ksh 30k kwa minajili ya kujenga brand nzuri ili kuwaridhisha mashabiki.

Je hii mitandao ya Spotify,Boomplay inagharimu shilingi ngapi katika harakati ya kusambaza nyimbo hizi?.

Sidhani k**a zinafikia fedha za kutoa video.

Machipukizi wakiwaza mara mbili na kufikiria njia ya kupata kipato kutoka kwa platforms hizi basi watapiga hatua kitaaluama na kunufaika na vipaji vyao.

Tusishikilie mtandao mmoja unaotuziba macho tukakosa kuona kwengine kuliko na matumaini.

Mwandishi.Levis Jilani.

(Endapo uko na maoni yoyote yale, tutumie kwenye message pamoja na picha yako, ili tuzidi kuelimishana na kufahamishana)

27/10/2022

MIJKENDA TIKTOKERS💥💥💯
Kaeni chonjo mshkaji amepurchase mtambo wake🤣

Let's support coast content creators.


26/10/2022

Follow and like our page for entertainment updates
.

For those who are in Nairobi County...Endeni mtuwakilishe.    Kaa La Moto
26/10/2022

For those who are in Nairobi County...Endeni mtuwakilishe.


Kaa La Moto

P day Hurrikane ama Escobar ?Baadhi ya mashabiki wamejitokeza kwenye post ya P Day Hurrikane alipokiri kuomba msamaha kw...
26/10/2022

P day Hurrikane ama Escobar ?

Baadhi ya mashabiki wamejitokeza kwenye post ya P Day Hurrikane alipokiri kuomba msamaha kwa yeyote yule aliyemdharau na kuonyesha majigambo.

Shabiki mkubwa sana wa Escobah kwa jina Isaac Kai hakustahilimi kutomkumbusha msanii huyo post ya awali alipomshusha hadhi Esco .

"Pday I think uko sawa but kuna post uli post uli unguza sana,,,, ukasema sijui nini kuhusu Escobar,,,, fun base ya ESCO ni kubwa sana kuliko yako,,,, I don't know ESCO in person but I bet right ESCO ako na public grasp kubwa sana,,,

On a polite notice tafuta ESCO umuombe msamaha tu " ESCO is much smarter than you bro." Alisema shabiki Sugu.

Hata hivyo P day Hurrikane bila pingamizi alionyesha kukubaliana na shabiki huyo na kukubali kufuata agizo alilopewa.

Ikumbukwe kuwa Escorbah ni baadhi ya wasanii waanzilishi wa mziki wenye fleva ya bongo mkoani pwani.Baada ya kimya kirefu, msanii huyo ameonekana kurudi tena Aliposhirikishwa kwenye ngoma yake Susumila Yusuf na pia kwenye ngoma moja katika Ep ya Leso Ya Mekatilili yake Kaa La Moto .

P day hurrikane ni baadhi ya Wasanii tajika jimboni kilifi na Pwani kwa ujumla. Amewahi kuhudhuria matamasha mbalimbali na hata kuwa mmoja wa wasanii waalikwa kwenye sherehe za kitaifa.


Je wafahamu kuwa Producer Totti mbali na kuwa music producer pia ni video director?Ngoma hii ya leta leta yake Kokenya n...
25/10/2022

Je wafahamu kuwa Producer Totti mbali na kuwa music producer pia ni video director?

Ngoma hii ya leta leta yake Kokenya ndiye aliyeielekeza, Ngoma ambayo imevuna views nyingi zaidi katika mtandao wake(K.O) wa youtube.

Ngoma hii hivi sasa imefikisha watazamaji 658k baada ya kuachiliwa miezi minne iliyopita.

Totti ni baadhi ya music producers kutoka pwani ambao wameonyesha ari ya kushikilia sanaa ya pwani kiganjani. Kwani ikumbukwe aliwahi husika katika utayarishaji wa filamu ya Aziza k**a Muigizaji na mtayarishaji wa Sauti.

Mumiliki huyu wa JominMedia ameweka utofauti ukilinganisha na music producers wengine,kwani pia huimba, amewahi kuachilia vibao kadhaa vilivyoteka anga pwani ikiwemo wimbo wake na SUSUMILA wa KAREMBO wakimshirikish mwendazake Bin kalama.

Kiufupi, totti ni Music producer, VideoDirector, Actor na mwimbaji.



001Music

WAKO WAPI?? CSM Wazito, kundi la wasanii wawili waliopanda kwa kasi sana katika chati ya mziki wa kilifi na pwani kwa uj...
25/10/2022

WAKO WAPI??

CSM Wazito, kundi la wasanii wawili waliopanda kwa kasi sana katika chati ya mziki wa kilifi na pwani kwa ujumla. innos chatu na Baila-Boy

Wamewahi kutoa hit mbalimbali ikiwemo medicine remix Ngoma waliyomshirikisha Bandanah.

Baadhi ya hit walizotoa ni k**a vile.
√Umepanda bei
√Panadol
Ni kibao kipi kingine unakifahamu? Kitaje na uachie verse Moja.




25/10/2022

TunefmPodcast coming soon...
Our host Dir Vanbizy and Levisjilani Levis Tunje watakuwa wakichambua maswala mbalimbali ya sanaa mkoani pwani na kukupa updates kila mara.
What are your expectations? Drop comment twende sawa.


Tuko Hapa Tunaskiza Hii Album Ya  Africana Inaitwa  Kiukweli Hizi Kazi Zote Ni Moto,Bwana Mdogo Kapita Vizuri Humu.Mapro...
21/09/2022

Tuko Hapa Tunaskiza Hii Album Ya Africana Inaitwa

Kiukweli Hizi Kazi Zote Ni Moto,Bwana Mdogo Kapita Vizuri Humu.Maproducer Nao Wakafanya Kweli,Wakiwemo Grandmaster Tek,TK2 Na Terence.Humu Hamna Ngoma Mbovu Hata Moja.
Lechi Ni Mmoja Kati Ya Wasanii Bora Kutoka Pwani Ambao Tukiwapa Support Vizuri Wataweza Kuipeperusha Bendera Vema.
Hii Album Tunawezasema Ndio Yenye Uwezo Mkubwa Kuwahitolewa Pwani Yote,Jumuisha Hata Na E.P Zote.
Sijui Kwako Wewe Maoni Yako Ni Gani? Tazama Album Hapa
https://youtube.com/playlist?list=PLV3HvhkOmlCvsQ4M0_MNCBIznJjdohI4n



 Is Set To Drop A New Banger Soon. The Project Features His Fellow  Signee, And It Is Tagged "Nipe Beat". Through His Fa...
06/09/2022

Is Set To Drop A New Banger Soon. The Project Features His Fellow Signee, And It Is Tagged "Nipe Beat".

Through His page Susumila Alerted His Fans By Asking "Are You Ready" With The Cover Below.

This Brought Anxiety To Some Of His Fans While Some Wanted To Know If The Chorus Would The Same To The Longtime HipHop Release By Susumila,"Nipe Biti"

One Of The Fans Wrote,"Kama Chorus Itakuwa Ile Ile Ya Kitambo Basi Hii Ngoma Itakuwa Amazing Bro." Another Replied,"Yeah Ni Hiyo Hiyo."😃😃😃

What Are Your Thoughts,Do You Think The Chorus Gonna Be The Same To The Already Released Song?

Nyieee! 😂😂😂😂SUSUMILA Mumeona Hii,Huku Ni Wapi Jameni? Ukiskia Wanakwambia Wametoka Mbali,Ndio Huku Sasa.🙌🙌🙌Siri Ni Kucha...
05/09/2022

Nyieee! 😂😂😂😂SUSUMILA Mumeona Hii,Huku Ni Wapi Jameni? Ukiskia Wanakwambia Wametoka Mbali,Ndio Huku Sasa.🙌🙌🙌
Siri Ni Kuchapa Kazi Kwa Bidii!!


24/08/2022

Hello There! How You Doin? Do You Miss Us? We Miss You Too!
Good Afternoon From The Shores Of Lake Victoria. We Will Be Back Soon! Let Us Know What You Wanna Hear.

12/07/2022

🔥🔥🔥🔥🔥

TambuaSanaa.
ni mwanasanaa chipukizi anayetoka kanda ya pwani Kilifi county . Huyu ni mchekeshaji anayekuja vizuri sana katika mitandao ya kijamii.

Kwa muda sasa amekuwa akiwavunja mbavu mashabiki kwa kutumia lugha ya mama kwa njia ya kivyake kupitisha ujumbe kwa wanajamii.

Mfuatilie kwenye mitandao ya kijamii tiktok, Facebook, Instagram k**a


12/07/2022

Barua ya Rayvanny kwa Diamond platnumz.
Rayvanny aondoka kwenda kuendeleza lebo yake

Kwa lugha ya upole na unyenyekevu,amemumiminia sifa Simba kwa kujitolea kumsaidia na kufikia aliposasa kimziki.

Ni miaka sita sasa imepita tangu rayvanny ajiunge na lebo ya wasafi.

Wasafi imebaki na wasanii wanne akiwemo mbosso, lavalava, zuchu na diamond mwenyewe.
Hii ni baada ya Rich Mavoko, Harmonize kugura hivi sasa Rayvanny naye kaamua kwenda.
Kila lakheri kwa Rayvanny Na lebo yake


Address

1635
Mombasa
80100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tune Fm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tune Fm:

Videos

Share

Category


Other Radio Stations in Mombasa

Show All

You may also like