Mvita 106.2 Fm

Mvita 106.2 Fm Kenya Coast Poly Radio Station
"Mwamko Mpya Pwani"
(6)

PRAISE THE LIVING GODMerikebu ya uzima imeng'oa nanga nahodha akiwa Eddison Mbega mwanafunzi mtiifu wa Yesu kristo Mwana...
08/09/2024

PRAISE THE LIVING GOD

Merikebu ya uzima imeng'oa nanga nahodha akiwa Eddison Mbega mwanafunzi mtiifu wa Yesu kristo Mwana wa Mungu aliye hai.
Ndani ya GOSPEL SUNDAY.

Ni wasaa wa   Edition na the G. Kati ya 'Ulichoma jana' na 'ulizima jana' baada ya usiku wa sherehe, gani ungependa kuam...
05/09/2024

Ni wasaa wa Edition na the G. Kati ya 'Ulichoma jana' na 'ulizima jana' baada ya usiku wa sherehe, gani ungependa kuambiwa?
Sms/WhatsApp 0713 113 129
Twende kazi!

Ni last dance   ndani ya  . Je umetune in?Sms/WhatsApp 0713 113 129
08/08/2024

Ni last dance ndani ya . Je umetune in?
Sms/WhatsApp 0713 113 129

tamrini ya spotisammy mburu sema na mvita.....
03/08/2024

tamrini ya spoti
sammy mburu
sema na mvita.....

WCW Edition kwenye Mvita Fm iko Hewani kwanzia Sasa Hadi 5Pm ukiwa nami  TunjehUnatuskiliza ukiwa wapi?Sms line 0713 113...
31/07/2024

WCW Edition kwenye Mvita Fm iko Hewani kwanzia Sasa Hadi 5Pm ukiwa nami Tunjeh

Unatuskiliza ukiwa wapi?
Sms line 0713 113 129

Ni   Edition na The G. Je umetune in? Pale high school ulikua stream gani East, West or South? Sms 0713 113 129
25/07/2024

Ni Edition na The G. Je umetune in? Pale high school ulikua stream gani East, West or South?
Sms 0713 113 129

Rais William Ruto amteua Douglas Kanja k**a Inspekta Mkuu wa polisi
25/07/2024

Rais William Ruto amteua Douglas Kanja k**a Inspekta Mkuu wa polisi

Yow Ni WCW Edition ndani ya Mvita Fm ukiwa nami Julius Tunje.Unak**atia show ukiwa wapi?Sms : 0713 113 129Twende nalo 👇
24/07/2024

Yow Ni WCW Edition ndani ya Mvita Fm ukiwa nami Julius Tunje.
Unak**atia show ukiwa wapi?
Sms : 0713 113 129
Twende nalo 👇

Rais William Ruto amefanya mapendekezo zaidi katika baraza la mawaziri.
23/07/2024

Rais William Ruto amefanya mapendekezo zaidi katika baraza la mawaziri.

Ni   naye Mike Singoro. Umeamkaje?Sms 0713 113 129
23/07/2024

Ni naye Mike Singoro. Umeamkaje?
Sms 0713 113 129

21/07/2024

Erick Chai na Caroline Kanze Kitsao
Request Hour rafiki!!
Bango hoyeeeeeee
Kibao gani tukuchezee

21/07/2024

Je ni sawa mwanaume kumwambia mke au mpenzi wake mshahara anaopata?
Unasemaje ndugu yangu!
Ni ndani ya Tamaduni show ukiwa na Erick Chai na Caroline Kanze Kitsao

Kaimu Inspekta wa Polisi, Douglas Kanja Kirocho amepiga marufuku maandamano katikati mwa jiji la Nairobi
18/07/2024

Kaimu Inspekta wa Polisi, Douglas Kanja Kirocho amepiga marufuku maandamano katikati mwa jiji la Nairobi

Argentina watetea ubingwa wa Copa America.
15/07/2024

Argentina watetea ubingwa wa Copa America.

Ni   naye Mike Singoro. Umeamkaje?
09/07/2024

Ni naye Mike Singoro. Umeamkaje?

Ni   Edition na The G. Je umetune in?
04/07/2024

Ni Edition na The G. Je umetune in?

Usalama umeimarishwa kwenye barabara zinazoelekea Ikulu ya rais Nairobi
27/06/2024

Usalama umeimarishwa kwenye barabara zinazoelekea Ikulu ya rais Nairobi

Rais William Ruto akubali kuuondoa mswada tata wa kifedha 2024
26/06/2024

Rais William Ruto akubali kuuondoa mswada tata wa kifedha 2024

Rais William Ruto akataa kuidhinisha mswada tata wa kifedha 2024.Sasa utaregeshwa bungeni.
26/06/2024

Rais William Ruto akataa kuidhinisha mswada tata wa kifedha 2024.
Sasa utaregeshwa bungeni.

Ni   naye Frederick Juma.Mgombea wa Secretary General KECOPSA 2024/25 Justus Koech yumo studioni kwa mahojiano
26/06/2024

Ni naye Frederick Juma.
Mgombea wa Secretary General KECOPSA 2024/25 Justus Koech yumo studioni kwa mahojiano

Awali ndani ya  .Wagombea wa wadhifa wa naibu wa rais KECOPSA 2024/25 wakiwa kwa mahojiano.
26/06/2024

Awali ndani ya .
Wagombea wa wadhifa wa naibu wa rais KECOPSA 2024/25 wakiwa kwa mahojiano.

Ni   naye Mike Singoro.Wagombea wa CS Welfare KECOPSA 2024/25 wamo studioni. Je una swali kwao?Sms/WhatsApp 0713 113 129...
24/06/2024

Ni naye Mike Singoro.
Wagombea wa CS Welfare KECOPSA 2024/25 wamo studioni. Je una swali kwao?
Sms/WhatsApp 0713 113 129
Call 0739 766 766

Request hour!!Taja kibao chako mtu wangu. Wakati ni sasa!
23/06/2024

Request hour!!
Taja kibao chako mtu wangu. Wakati ni sasa!

23/06/2024

MDAHALO WA LEO.
Ushauri wako ni upi kwa wana GEN Z wanapojiandaa kufanya maandamano Jumanne na Alhamisi wiki ijayo nchini?
Erick Chai na Caroline K. Kitsao

23/06/2024

Merikebu ya kipindi cha Tamaduni imeng'oa nanga hapa Mvita 106.2 Fm. Unategea ukiwa wapi shabiki wangu wa bango!!
Kipindi kimetayarishwa na kuletwa kwako na nahodha ERICK CHAI pamoja na CAROLINE KITSAO.
10am-2pm E.A.T.

23/06/2024

NENO LA SIKU

SCREPTURE
Malaki 3:1-7

THEME:
MJUMBE AJAYE

Jee unamjua mjumbe ajaye?

GOOD Morning, Unabarikiwa wapi?Karibu ndani GOSPEL SUNDAY na wawili hawa.Benson & Eddson Wana wa MBEGA.Wanafunzi watiifu...
23/06/2024

GOOD Morning, Unabarikiwa wapi?
Karibu ndani GOSPEL SUNDAY na wawili hawa.
Benson & Eddson Wana wa MBEGA.
Wanafunzi watiifu wa YESU Kristu Mwana wa Mungu alie Hai.

20/06/2024

MVITA KAZINI ON AIR ..
MBURU SAMMY
VIVIAN ATIENO
SEMA NASI

Ni   Umeamkaje?Sms/WhatsApp 0713 113 129Call 0739 766 766
20/06/2024

Ni Umeamkaje?
Sms/WhatsApp 0713 113 129
Call 0739 766 766

Address

Kisauni Road
Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mvita 106.2 Fm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mvita 106.2 Fm:

Videos

Share

Category


Other Radio Stations in Mombasa

Show All