001 FM

001 FM Uketo Wa Mwambao🌴...Kituo Bomba Kutoka Pwani Ya Kenya Kwa Habari Na Burudani!πŸ“»

Hewani!!!Ndani ya   ukiwa na Bush Mgedo  kuanzia 1pm-4pm. SWALI: Unafanya nini ndio ubaki kuwa na furaha ukiwa single?Wh...
08/02/2025

Hewani!!!
Ndani ya ukiwa na Bush Mgedo kuanzia 1pm-4pm.
SWALI: Unafanya nini ndio ubaki kuwa na furaha ukiwa single?

Whatsapp: 0792929269
Tegea kupitia https://zeno.fm/radio/001-fm/

Ombi la Braine Okoth kwa serikali akiangazia swala la ufadhili wa masomo. Anaomba serikali kutoa pesa za HELB k**a ruzuk...
08/02/2025

Ombi la Braine Okoth kwa serikali akiangazia swala la ufadhili wa masomo. Anaomba serikali kutoa pesa za HELB k**a ruzuku (grants) si mikopo. Akizungumza na 001 FM amesema ufadhili huu unapaswa kuwa zawadi kwa wanafunzi, wasije wakavishwa mzigo wa kulipa mikopo baadaye bila uhakika wa kupata kazi baada ya kuhitimu.

Mahak**a kuu ya Kerugoya imemuachilia huru Lucy Karimi Nyaga aliyekuwa akishutumiwa kwa kosa la mauwaji ya aliyekuwa mum...
08/02/2025

Mahak**a kuu ya Kerugoya imemuachilia huru Lucy Karimi Nyaga aliyekuwa akishutumiwa kwa kosa la mauwaji ya aliyekuwa mumewe Bw.Robert Njaga Nyaga kwa kukosekana ushahidi wa kutosha baada ya kukaa gerezani kwa miaka kumi na moja.

Msanii kutoka Bongo Juma Jux afunga ndoa na mpenzi wake Priscillah Ajoke Jumamosi hii Tanzania.
08/02/2025

Msanii kutoka Bongo Juma Jux afunga ndoa na mpenzi wake Priscillah Ajoke Jumamosi hii Tanzania.

Spika wa bunge Moses Wetangula hajafurahia maamuzi ya mahak**a kuwa Kenya Kwanza ndio wachache na mrengo wa Azimio ndio ...
08/02/2025

Spika wa bunge Moses Wetangula hajafurahia maamuzi ya mahak**a kuwa Kenya Kwanza ndio wachache na mrengo wa Azimio ndio wengi katika bunge la kitaifa.

Mada:Je ni swa mpenzi wako akijua kiasi cha kipato/mshahara unaopokea? Asili ya pwani ndo mpango mzima kwa sasa ukiwa na...
08/02/2025

Mada:Je ni swa mpenzi wako akijua kiasi cha kipato/mshahara unaopokea?
Asili ya pwani ndo mpango mzima kwa sasa ukiwa nami Moses Masha kuanzia 10am hadi 1pm
WhatsApp :0792929269
Tegea through: https://kenyalivetv.co.ke/radio/001-fm-live

Msanii Christopher Martin atarajiwa kutumbuiza leo Uhuru Gardens jijini Nairobi.
08/02/2025

Msanii Christopher Martin atarajiwa kutumbuiza leo Uhuru Gardens jijini Nairobi.

Mkali wa Bongo Flava Mbosso Khan aondoka WCB Wasafi.
08/02/2025

Mkali wa Bongo Flava Mbosso Khan aondoka WCB Wasafi.

 . na πΆπ’π’π’π’Šπ’π’” π‘€π’‚π’”π’‚π’Š . Good morning Kenya, unategea kutoka wapi? Whatsapp: 0792929269Listen worldwide on your browser: ht...
08/02/2025

. na πΆπ’π’π’π’Šπ’π’” π‘€π’‚π’”π’‚π’Š . Good morning Kenya, unategea kutoka wapi?

Whatsapp: 0792929269
Listen worldwide on your browser:
https://www.zeno.fm/001-fm/

Shule ya Makini, Nairobi, yakata rufaa uamuzi wa mahak**a wa kuwalipa wanafunzi waliofurushwa shule shilingi laki 6.
07/02/2025

Shule ya Makini, Nairobi, yakata rufaa uamuzi wa mahak**a wa kuwalipa wanafunzi waliofurushwa shule shilingi laki 6.

Chama cha ' Nganya Association' chamtaka mkurugenzi mkuu wa NTSA kufunguliwa mashtaka kwa kushindwa kuachilia magari wal...
07/02/2025

Chama cha ' Nganya Association' chamtaka mkurugenzi mkuu wa NTSA kufunguliwa mashtaka kwa kushindwa kuachilia magari waliyoyazuia.

Mgeni wa siku ndani ya studio zetu Chibo Dee utampata ndani ya Relaxation Friday inside Nyang'anyang'a Take Away. Tegea....
07/02/2025

Mgeni wa siku ndani ya studio zetu Chibo Dee utampata ndani ya Relaxation Friday inside Nyang'anyang'a Take Away. Tegea.

  na Presenter Hassan Zuma   na  Phyne Johns   kuanzia 1PM-4PM.UNASIKILIZA UKIWA WAPI?πŸ€”SKIZA https://www.zeno.fm/001-fm/...
07/02/2025

na Presenter Hassan Zuma na Phyne Johns kuanzia 1PM-4PM.

UNASIKILIZA UKIWA WAPI?πŸ€”

SKIZA https://www.zeno.fm/001-fm/
SMS 0792929269

MAMBO MBOTELA AMEFARIKIMwanahabari nguli Leonard Mambo Mbotela ameaga dunia.
07/02/2025

MAMBO MBOTELA AMEFARIKI
Mwanahabari nguli Leonard Mambo Mbotela ameaga dunia.

07/02/2025


Majambazi wawili wak**atwa Machakos baada ya mlolongo wa wizi wa kimabavu.
07/02/2025

Majambazi wawili wak**atwa Machakos baada ya mlolongo wa wizi wa kimabavu.

JE WAJUA?Kuku wana uwezo wa kukumbuka zaidi ya nyuso 100 za kuku wenzao.
07/02/2025

JE WAJUA?
Kuku wana uwezo wa kukumbuka zaidi ya nyuso 100 za kuku wenzao.


Address

Uketo001fm@gmail. Com
Mombasa

Telephone

+254792929269

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 001 FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to 001 FM:

Videos

Share

Category