PWANI FM

PWANI FM Leading radio station in Kenya's coastal strip

Mwanamziki kutoka Kakamega Bruce Lishenga Mfalme amesema anataka kumpa zawadi ya gari aina ya Mercedes Benz Alicia Kanin...
18/08/2024

Mwanamziki kutoka Kakamega Bruce Lishenga Mfalme amesema anataka kumpa zawadi ya gari aina ya Mercedes Benz Alicia Kanini ili kumrudishia katika maisha mazuri.

“Nimekuwa nikipenda vitu anafanya hata k**a watu wanamcriticise. Mimi ni mtu wa church. Ningependa kukutana naye, nimpee hii zawadi, tukae chini, nimwongeleshe ili awe mtu mzuri, awache mambo ya dunia.”

“Yesu aliishi na kutembea na kila mtu ikiwiwemo watenda dhambi. Wengi walibadilika. Hata yeye atabadilika,” Bruce amesisitiza.
Alicia kanini
^RZ

HATUTOKI SERIKALINI"Hakuna mahali tunaenda,mkitifukuza kwa mlango tunaingia kwa dirisha,mkitufukuza kwa dirisha tunaingi...
18/08/2024

HATUTOKI SERIKALINI
"Hakuna mahali tunaenda,mkitifukuza kwa mlango tunaingia kwa dirisha,mkitufukuza kwa dirisha tunaingia kwa Chimney, tuko ndani ya serikali hii."Moses Kuria awashambulia Gen Z.
^RZ

SIZE 8 ATANGAZA MAPENZI KWA EX "Simchukii DJ MOH,nampenda sana,sai ata ukiguza roho yangu utaona ka dj moh kadogo kakito...
18/08/2024

SIZE 8 ATANGAZA MAPENZI KWA EX
"Simchukii DJ MOH,nampenda sana,sai ata ukiguza roho yangu utaona ka dj moh kadogo kakitoka ju ya vile nampenda,,,but for me to reach a point ya kusema tu separate,,,ni vile sikuwa na any other option."Size 8 afunguka baada ya kuachana na mume wake.
SIZE 8 Reborn
Size 8 Receives Jesus Christ
Size 8 reborn
^RZ

On Air Now To 1Pm  -Furahia mziki wa Bango nami TK Timah Mshenga Kisasa.  ukiwa wapi na nani?
18/08/2024

On Air Now To 1Pm
-Furahia mziki wa Bango nami TK Timah Mshenga Kisasa.
ukiwa wapi na nani?

CHELSEA KUFURUKUTANA NA MFALME Wakuu wa mikosi na laana leo kuikaribisha Manchester City ndani ya Stamford Bridge, daraj...
18/08/2024

CHELSEA KUFURUKUTANA NA MFALME
Wakuu wa mikosi na laana leo kuikaribisha Manchester City ndani ya Stamford Bridge, daraja litahimili uzito wa bingwa mtetezi wa EPL?

Je,likivunjika watakunywa magoli mangapi?

^RZ

Walete watoto wake kwangu, wape himizo watoto hawa.🙏
18/08/2024

Walete watoto wake kwangu, wape himizo watoto hawa.🙏

Hitaji lako la Maombi ni lipi. Barikiwa 🙌
18/08/2024

Hitaji lako la Maombi ni lipi. Barikiwa 🙌

Karibu ubarikiwe ndani ya kipindi Tumaini Maishani ukiwa nami Ruth Masita. Barikiwa asubuhi ya leo 🙏
18/08/2024

Karibu ubarikiwe ndani ya kipindi Tumaini Maishani ukiwa nami Ruth Masita. Barikiwa asubuhi ya leo 🙏

Ferdinand Omanyala ashinda mbio za mita 100m za Josko Lauf nchini Australia kwa muda wa sekunde 9.95Ferdinand Omanyala  ...
17/08/2024

Ferdinand Omanyala ashinda mbio za mita 100m za Josko Lauf nchini Australia kwa muda wa sekunde 9.95
Ferdinand Omanyala
^RZ

Alistahili kadi nyekundu?  ^RZ
17/08/2024

Alistahili kadi nyekundu?
^RZ

NDOVU ATANGAZA UFALME JEHANAMUNdovu awika EPL kwa kumtandika Wolverhampton 2-0 na kutetemesha ardhi hadi kumdondosha she...
17/08/2024

NDOVU ATANGAZA UFALME JEHANAMU
Ndovu awika EPL kwa kumtandika Wolverhampton 2-0 na kutetemesha ardhi hadi kumdondosha shetani kutoka juu ya jedwali.
^RZ

"Tutakutana tena kwa mechi ingine. "Adama Traore majibu Lisandro Martinez baada ya kudai kuwa jana alimpeleka katika maz...
17/08/2024

"Tutakutana tena kwa mechi ingine. "Adama Traore majibu Lisandro Martinez baada ya kudai kuwa jana alimpeleka katika mazoezi ya kuinua vyuma.

MTOTO MTUKUTU WA SHETANI ATAMBA!Mason Greenwood apiga magoili 2 katika mechi yake ya kwanza na klabu ya Marseille.   ^RZ
17/08/2024

MTOTO MTUKUTU WA SHETANI ATAMBA!
Mason Greenwood apiga magoili 2 katika mechi yake ya kwanza na klabu ya Marseille.
^RZ

NANDY ASHEREKEA SiKU YA KUZALIWA KWA MWANAWE"Binti yangu kipenzi ninajivunia kuwa mama yako asante kwa kunipa heshima ya...
17/08/2024

NANDY ASHEREKEA SiKU YA KUZALIWA KWA MWANAWE
"Binti yangu kipenzi ninajivunia kuwa mama yako asante kwa kunipa heshima yakuwa mama! Mungu anipe umri mrefu nikulee kimaadili nije nione matunda yako na familia yako.Nakupenda sana Naya.Happy Birthday my little princess."Nandy
Nandy
Billnass
^RZ

Leo saa nne usiku tutakuwa na Mtumishi wa Mungu, Steven Mzungu akihubiri kuhusu uaminifu wa Mungu.Tegea.  ^RZ
17/08/2024

Leo saa nne usiku tutakuwa na Mtumishi wa Mungu, Steven Mzungu akihubiri kuhusu uaminifu wa Mungu.
Tegea.
^RZ

Unategea Wakati Wa Upenyo na Joshua Chome hadi saa sita usiku.Unabarikiwa ukiwa wapi na nani?Msa 103.1, Kwale 103.1,Mali...
17/08/2024

Unategea Wakati Wa Upenyo na Joshua Chome hadi saa sita usiku.
Unabarikiwa ukiwa wapi na nani?
Msa 103.1, Kwale 103.1,Malindi 93.7, TaitaTaveta 103.7 or www.kbc.co.ke/radio.
.

  Je, Unategea Ukiwa Wapi?
17/08/2024

Je, Unategea Ukiwa Wapi?

Mfanyibiashara kutoka Embu alitumia shilingi 218,000 kukarabati barabara iliyomsababishia hasara msafirishaji wa maziwa ...
17/08/2024

Mfanyibiashara kutoka Embu alitumia shilingi 218,000 kukarabati barabara iliyomsababishia hasara msafirishaji wa maziwa mmoja eneo hilo.
^RZ

17/08/2024

Wachonyi wapata Bibilia kwa Lugha yao kupitia Shirika la Bible Translation and Literacy.
Bible Translation and Literacy
^RZ

Bibila ya Agano Jipya kwa Lugha ya Kichonyi limezinduliwa ramsi leo na Shirika la Kutafsiri Bibilia la Bible Translation...
17/08/2024

Bibila ya Agano Jipya kwa Lugha ya Kichonyi limezinduliwa ramsi leo na Shirika la Kutafsiri Bibilia la Bible Translation and Literacy eneo la Chonyo kaunti ya Kilifi.

Bible Translation and Literacy

^RZ

"Nawaomba wachungaji eneo la Chonyi kutumia Bibilia hili kubadilisha maisha ya wakaazi kwa kuwaunganisha na Mungu. "Afis...
17/08/2024

"Nawaomba wachungaji eneo la Chonyi kutumia Bibilia hili kubadilisha maisha ya wakaazi kwa kuwaunganisha na Mungu. "Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika la Bible Translation and Literacy ,Askofu Peter Munguti.
^RZ

"Tumechukua muda wa miaka 10 kutafsiri Bibilia la Agano Jipya kwa Lugha ya Kichonyi. "Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika la ...
17/08/2024

"Tumechukua muda wa miaka 10 kutafsiri Bibilia la Agano Jipya kwa Lugha ya Kichonyi. "Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika la Bible Translation and Literacy, Askofu Peter Munguti.
Bible Translation and Literacy

"Tumetumia shilingi milioni 40 kutasfiri Bibilia la Agano Jipya kwa lugha ya Kichonyi. "Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika l...
17/08/2024

"Tumetumia shilingi milioni 40 kutasfiri Bibilia la Agano Jipya kwa lugha ya Kichonyi. "Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika la Kutafsiri Bibilia la Bible Translation and Literacy E.A, Rev.Peter Munguti.
Bible Translation and Literacy
^RZ

17/08/2024

SULTAN ANGURUMA TAITA
Waziri wa Madini ,Uchumi Samawati na Mambo ya Baharini Ali Hassan Joho atangaza kufutiliwa mbali kwa leseni za kampuni za Uchimbaji madini ambazo zilipewa leseni hizo lakini bado kuanza kazi kwa muda mrefu.
Hon. Ali Hassan Joho
^RZ

SAFIRI SALAMA CHONGA! Hafla ya mazishi ya aliyekuwa Afisa Mkuu wa Shirika la Huduma kwa Wanyamapori kaunti ya Kwale Stev...
17/08/2024

SAFIRI SALAMA CHONGA!
Hafla ya mazishi ya aliyekuwa Afisa Mkuu wa Shirika la Huduma kwa Wanyamapori kaunti ya Kwale Steven Chonga inendelea katika eneo la Silala ,Kilifi Kusini kaunti ya Kilifi.

Chonga aliaga dunia baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani katika mto wa Mwachema.
Kenya Wildlife Service
Kenya Wildlife Service Training Institute

^RZ

Shirika la International Monetary Funds (IMF)  limetoa orodha ya nchi zenye barabara bora baraniAfrika huku Kenya ikikos...
17/08/2024

Shirika la International Monetary Funds (IMF) limetoa orodha ya nchi zenye barabara bora baraniAfrika huku Kenya ikikosa tunga katika orodha ya kumi bora
1.Afrika Kusini
2.Namibia
3.Morocco
4.Botswana
5. Libya
6. Algeria
7. Zimbabwe
8.Egypt
9 .Côte d'Ivoire
10.Tunisia
^RZ

17/08/2024

NENO LAFIKA CHONYI
Bibilia kwa lugha ya Kichonyi lilotafsiriwa na Shirika la Bible Translation and Literacy E.A kuzinuliwa leo.
Video:Msafara wa kupeleka Bibilia hilo katika madhabahu.
Bible Translation and Literacy
^RZ

"😍😍nenda gulf😅"Ruby Kache Ruby kache   ^RZ
17/08/2024

"😍😍nenda gulf😅"Ruby Kache
Ruby kache
^RZ

WABONGO WAMTAMBUA POZZE"W***y Paul ni International Artist ambaye Wakenya wengi wamemunderrate na kushindwa kumappreciat...
17/08/2024

WABONGO WAMTAMBUA POZZE
"W***y Paul ni International Artist ambaye Wakenya wengi wamemunderrate na kushindwa kumappreciate. Album yake ya Beyond Gifted ni kubwa zaidi sio tu Kenya bali International. Wasanii wanaofanya vizuri Tanzania, Nigeria, Jamaica na Ghana wakashirikishwa hapo. Na sasa Na na na ni ngoma inayofanya vizuri Tanzania kwa sasa ambayo ameimba na Mario. Kwa ufupi Diamond aombe kolabo haraka kabla haijafanywa na Burna Boy. W***y Paul ni invisible. Makofi kwake."Kituo cha Habari za Muziki cha Bongo Vibes.
W***y Paul msafi
Bongo Vibes
^RZ

Mida ya Talanta za Pwani na DJ Tausi hadi saa saba mchana. Unalizegeda ukiwa wapi na nani?Msa 103.1,Kwale 103.1,Malindi ...
17/08/2024

Mida ya Talanta za Pwani na DJ Tausi hadi saa saba mchana. Unalizegeda ukiwa wapi na nani?
Msa 103.1,Kwale 103.1,Malindi 93.7,TaitaTaveta 103.7 or www.kbc.co.ke/radio.
Clemence Mkanyika

Address

80100
Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PWANI FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to PWANI FM:

Videos

Share

Category

Nearby media companies


Other Radio Stations in Mombasa

Show All