Afya Fm

Afya Fm Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Fm, Buzuruga, Mwanza.
(2)

Magazeti ya Leo June 12, 2024..Tufuatilie  ..
12/06/2024

Magazeti ya Leo June 12, 2024..
Tufuatilie ..

Mwanamuziki wa Marekani Madonna ameshtakiwa na mashabiki zake wawili kutoka NewYork kwa madai ya Udanganyifu na Mazoea M...
19/01/2024

Mwanamuziki wa Marekani Madonna ameshtakiwa na mashabiki zake wawili kutoka NewYork kwa madai ya Udanganyifu na Mazoea Mabaya na kuchelewa kuanza tamasha lililofanyika Disemba 13, 2023.

Kulingana na Madai ya Mashabiki k**a yakivyo elezwa kotini, Show ilitakiwa ianze saa 8:30Usiku badala yake ilianza saa 10:30 Usiku hali iliyo pelekea Show kuchelewa kuisha.

Pia walisema wasinge kununua tiketi k**a wangejua "Show" itachelewa.
(BBC News) .....
Tufuatilie: ...................

Afisa biashara wa manispaa ya ilemela jijini Mwanza Elizabeth Swagi amewaasa wananchi kuacha kubagua bishara ndogondogo ...
19/01/2024

Afisa biashara wa manispaa ya ilemela jijini Mwanza Elizabeth Swagi amewaasa wananchi kuacha kubagua bishara ndogondogo kwa kigezo cha jinsia.

Akizungumza na afya redio Bi Swagi amesema biashara ndogo k**a kuuza vitafunwa hakubagui jinsia (mwanamke au mwanaume) nakwamba biashara ndogo ni chanzo cha mapato katika familia.

Pia amewataka wafanya biashara wadogo kutunza kumbukumbu ili kuwa na mlolongo mzuri wa uuzaji na ununuzi wa bidhaa zao na kujiongezea faida.....
Tufuatilie: ..........

Leo kwenye Chimbo la vibe tutakua na ADE ( ) Kuanzia saa 15:00hrs - 18:00hrs. Tudikilize kupitia 96.9Mhz | Online: www.a...
12/01/2024

Leo kwenye Chimbo la vibe tutakua na ADE ( )
Kuanzia saa 15:00hrs - 18:00hrs.
Tudikilize kupitia 96.9Mhz | Online: www.afyaradio.co.tz
Host:
Tufuatilie: .......

Heri ya siku ya Mapinduzi Zanzibar ........
12/01/2024

Heri ya siku ya Mapinduzi Zanzibar ........

Solo Mc atasikika live Kwenye Chimbo la vibe leo Endelea kusikiliza 96.9Mhz ....
11/01/2024

Solo Mc atasikika live Kwenye Chimbo la vibe leo
Endelea kusikiliza 96.9Mhz ....

Lisa Bonet amesaini Talaka ya Kuachana Rasmi na Muigizaji wa filamu nchini Marekani, Jason Momoa baada ya miaka miwili k...
09/01/2024

Lisa Bonet amesaini Talaka ya Kuachana Rasmi na Muigizaji wa filamu nchini Marekani, Jason Momoa baada ya miaka miwili kupita tangu wawili hao watangaze kutokuwa na mahusianonya kimapenzi.

Wawili hao walifunga ndoa tarehe 7 Octoba 2017 na walitangaza kuachana kwao mwaka 2022.

Jason na Lisa walifanikiwa kupata watoto wawili, Lola (16) wa k**e, na Nakoa-Wolf (15) wa kiume.....
Tufuatilie .....

Klabu za Manchester United, Arsenal na Chelsea zimeungana na klabu zingine kubwa katika kuitafuta saini ya Kijana mdogo ...
09/01/2024

Klabu za Manchester United, Arsenal na Chelsea zimeungana na klabu zingine kubwa katika kuitafuta saini ya Kijana mdogo Kiungo wa kati wa Palmeiras Sesation Estevao Willian.

Ingawa Sesationa anamatamanio ya kuichezea klabu ya Barcelona.
....
Tufuatilie .....

Leo chimbo la vibe tutakua live na Middle Breezy ( )15:00hrs - 18:00hrsTusikilizekupitia: 96.9Mhz || Online: www.afyarad...
05/01/2024

Leo chimbo la vibe tutakua live na Middle Breezy ( )
15:00hrs - 18:00hrs

Tusikilizekupitia: 96.9Mhz || Online: www.afyaradio.co.tz

Host: || .....
Tufuatilie: .

Msanii wa Afrobeats kutoka Nigeria, Rema amefanikiwa kufikia mafanikio aliyofikia Wizkid baada ya Album yake ya “Rave & ...
03/01/2024

Msanii wa Afrobeats kutoka Nigeria, Rema amefanikiwa kufikia mafanikio aliyofikia Wizkid baada ya Album yake ya “Rave & Roses (ULTRA)” kufikisha hadhi ya GOLD kwenye soko la mauzo ya Album nchini Marekani, ambapo imetajwa kuuza nakala zaidi ya Laki 5.

Album hiyo iliyotoka April 27, 2023 imetunukiwa Certificate na RIAA, Disemba 15 mwaka 2023 hivyo kuungana na Wizkid ambaye naye alifikia mafanikio hayo kupitia Album ya “Made in Lagos”.

Sasa zinakuwa Album mbili pekee za Afrobeats kufika hadhi ya GOLD kwenye soko la mauzo ya Album nchini Marekani.
....
Tufuatilie .....

2024 Afya Radio ni Kile unachopenda.
31/12/2023

2024 Afya Radio ni Kile unachopenda.

Njooo tuufungue mwaka kwa TSh. 20,000/- Tu! Pamoja na Afya Radio Pale Elly's Beach  Ni Jumapili ya tarehe 7 Mwaka 2024.N...
31/12/2023

Njooo tuufungue mwaka kwa TSh. 20,000/- Tu! Pamoja na Afya Radio Pale Elly's Beach
Ni Jumapili ya tarehe 7 Mwaka 2024.

Nyama choma k**a zote, Burudani la kutosha na Mziki wa kibabe kutoka Afya Smart Djs

Ticket Zinapatikana  Buzuruga radio,  Sato Sangara  Rockcity mall, Igoma City  Centre   kwa Wakazi wa Kisesa Sogea  Heritage.

CHUKUA TIKETI YAKO SASA!

Kwa maelezo zaidi na Kununua Tuketi piga simu: 0652414628.....
Tufwatilie
......

#2024

Hit songs za 2023 hizi apa... Tuambie ni ngoma gani ilikubamba zaidi mwaka huu 2023Hot 20 ya Mwisho wa mwakaHosted by:  ...
31/12/2023

Hit songs za 2023 hizi apa... Tuambie ni ngoma gani ilikubamba zaidi mwaka huu 2023

Hot 20 ya Mwisho wa mwaka
Hosted by:
14:00Hrs - 16:00Hrs ....
Tufwatilie: ...

Tunakutakia Heri njema ya sikukuu ya Krismasi wewe na uwapendao.Endelea kutusikiliza 96.9Mhz. ..Tufwatilie  ...
24/12/2023

Tunakutakia Heri njema ya sikukuu ya Krismasi wewe na uwapendao.
Endelea kutusikiliza 96.9Mhz. ..
Tufwatilie ...

Kenya imesaini Mkataba wa Kibiashara na Umoja wa Ulaya utakaoruhusu Taifa hilo la Afrika Mashariki kusafirisha Bidhaa bi...
19/12/2023

Kenya imesaini Mkataba wa Kibiashara na Umoja wa Ulaya utakaoruhusu Taifa hilo la Afrika Mashariki kusafirisha Bidhaa bila ushuru katika Soko la Umoja wa Ulaya.

Baraza la Umoja wa Ulaya liliidhinisha makubaliano hayo ya Kibiashara wiki iliyopita, lakini bado yanahitaji kuidhinishwa na Bunge la Kenya na Bunge la Ulaya kabla ya kuanza kutumika rasmi.....
Tufwatilie .....

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Star wa muziki wa Bongofleva na Rapa G nako (  ) amepost post inayosema kuwa kwa sasa ...
15/12/2023

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Star wa muziki wa Bongofleva na Rapa G nako ( ) amepost post inayosema kuwa kwa sasa kupata hit song ni ngumu sana.

"Kupata hit song round hii sio mchezo bwana, ukiipata ringa tamba ipeleke mbele kwa mbele"

Ameongoeza kwa kushukuru kupata hit song mbili mwaka huu na ....
Tufwatilie .....

Timu ya Wydad Casablanca imemfukuza kocha wake mkuu Adil Ramzi kutokana na kutokuridhishwa na mwenendo wa ushindi wa tim...
15/12/2023

Timu ya Wydad Casablanca imemfukuza kocha wake mkuu Adil Ramzi kutokana na kutokuridhishwa na mwenendo wa ushindi wa timu hiyo.

Nafasi yake itachukuliwa na Faouzi Benzarti.

Timu ya Wydad inashika nafasi ya tatu kwenye kundi akiwa na alama tatu kwenye michuano ya mabingwa barani Afrika huku kwenye Botora cup ya morroco akiwa nafasi ya 4 na alama 19.

Katika mechi 20 waydad zilizocheza chini ya ukufunzi wa Ramzi, ilishinda mechi 12, sare 2 na kupoteza mechi 6.

Wydad itachuana na Klabu ya Tanzania Simba Sc tarehe 19 Disemba, simba wakiwa Nyumbani kwa mkapa.....
Tufwatilie .....

Magame ya GTA San Andreas, GTA 3, na GTA Vice City sasa yanapatikana Netflix kwa Simu zote za Android na IPhone.Mwaka 20...
15/12/2023

Magame ya GTA San Andreas, GTA 3, na GTA Vice City sasa yanapatikana Netflix kwa Simu zote za Android na IPhone.

Mwaka 2021 watengenezaji wa GTA, Rockstar games walishakuwa na majaribio kadhaa ya kuyafanya magame hayo yaweze kuchezeka vizuri kwenye vifaa tofauti tofauti ikowemo kompyuta na simu za mkononi, japo hawakufanikiwa kwa 100% lakini waliweza kutoa versions tofauti za magemu hayo kwaajili ya simu na kompyuta.

Mwaka huu 2023 kampuni hiyo ikishirikiana na Netflix imeza kuboresha baadhi ya changamkto zilizokuwepo katika game hizo za kuchezeka vizuri kwenye simu na kompyuta.
Ingawa bado hawajaweza kufanya game hizo zicheze vizuri k**a ilovyo katika PlayStations.
.....
Tufwatilie ..

Leo kwenye chimbo la vibe tutakua live na Miss Vision Tanzania & Mwanza Fashion week show15:00hrs - 18:00hrsTusikilizeku...
11/12/2023

Leo kwenye chimbo la vibe tutakua live na Miss Vision Tanzania & Mwanza Fashion week show

15:00hrs - 18:00hrs

Tusikilizekupitia: 96.9Mhz || Online: www.afyaradio.co.tz

Host: | .....
Tufwatilie: .

Tegea sikio 96.9Mhz || Online: www.afyaradio.co.tz Kusikiliza    kuanzia 1pm - 2Pm .....Tufwatilie  ...
09/12/2023

Tegea sikio 96.9Mhz || Online: www.afyaradio.co.tz
Kusikiliza kuanzia 1pm - 2Pm .....
Tufwatilie ...

Happy Independence day .....
09/12/2023

Happy Independence day .....

Alhamisi hii ndani ya Afya Asubuhi ....Tusikilize kupitia 96.9Mhz || Online: www.afyaradio.co.tz Tufwatilie .....
06/12/2023

Alhamisi hii ndani ya Afya Asubuhi ....
Tusikilize kupitia 96.9Mhz || Online: www.afyaradio.co.tz

Tufwatilie .....

Tylor swift ashika nafasi ya tano katika listi ya wanawale 100 wenye nguvu zaidi Duniani 2023 ya Forbers',Tylor amewapit...
06/12/2023

Tylor swift ashika nafasi ya tano katika listi ya wanawale 100 wenye nguvu zaidi Duniani 2023 ya Forbers',

Tylor amewapita wanawake na mastaa wakubwa k**a Beyonce ambaye amshika nafasi ya 36, Rihanna nafasi ya 74, Oprah Winfrey nafasi ya 31.

Pia Tylor ndiye mwanamke mwenye umri mdogo kuliko wote kwenye list hii.

Namba moja imeshikiliwa na Ursula von der Leyen, huku Christine Lagarde akishika namba mbili, Kamala Harris namba tatu,na namba nne ikishikwa na Giorgia Meloni

Vigezo vikuu vinne vilitumika katika kuandaa listi hiyo ikiwa ni Pesa, Nguvubya ushawishi, kutajwa/kuonekana zaidi kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, pamoja na Mchango wa mabadiliko katika jamii.
....
Tufwatilie .....

Klabu ya Uhiispania Real Madrid immesema ifikapo tarehe 1 Januari 2024 itampa mkataba Kylian Mbappe wa kujiunga na klabu...
06/12/2023

Klabu ya Uhiispania Real Madrid immesema ifikapo tarehe 1 Januari 2024 itampa mkataba Kylian Mbappe wa kujiunga na klabu hiyo na kumpa adi tarehe 15 mwezi huo kutoa muafaka wake kuhusu mkataba huo.

Iikiwa tarehe ya mwisho ikifika kabla Mbappe hajajibu mkataba huo, klabu hiyo iitageuzia macho kwa Kiungo wa Manchester City Erling Haaland....
Tufwatilie .....

Tunatoa salamu zetu za Pole kwa wananchi wote na Familia zilizopoteza wapendwa wao katika mafuriko Hanang Mkoani Manyara...
06/12/2023

Tunatoa salamu zetu za Pole kwa wananchi wote na Familia zilizopoteza wapendwa wao katika mafuriko Hanang Mkoani Manyara....

Leo kwenye Wayback Wednesday ya chimbo la vibe tutakua live na Reby The Bosslady ( )15:00hrs - 18:00hrsTusikilizekupitia...
06/12/2023

Leo kwenye Wayback Wednesday ya chimbo la vibe tutakua live na Reby The Bosslady ( )
15:00hrs - 18:00hrs

Tusikilizekupitia: 96.9Mhz || Online: www.afyaradio.co.tz

Host: || || .....
Tufwatilie: .

Kiungo wa kati wa Manchester United Muingereza Kobbie Mainoo mwenye umri wa miaka 18 ataongeza mshahara wake kutoka £10,...
04/12/2023

Kiungo wa kati wa Manchester United Muingereza Kobbie Mainoo mwenye umri wa miaka 18 ataongeza mshahara wake kutoka £10,000 ( Tzs 26,371,308.02) hadi £20,000 (Tzs 52,742,616.03) ikiwa atacheza katika kikosi cha kwanza.....
Tufwatilie .....

Katika kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani Tumekuandakia makala maalumu.Tega sikio saa 12 jioni hapa hapa hapa 96.9Mhz | ...
01/12/2023

Katika kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani Tumekuandakia makala maalumu.

Tega sikio saa 12 jioni hapa hapa hapa 96.9Mhz | Online: www.afyaradio.co.tz
Imeandaliwa na Dawati la jinsia Afya Radio......
Tufwatilie ...

Leo kwenye chimbo la vibe tutakua live na Joslin ()15:00hrs - 18:00hrsTusikilizekupitia: 96.9Mhz || Online: www.afyaradi...
01/12/2023

Leo kwenye chimbo la vibe tutakua live na Joslin ()

15:00hrs - 18:00hrs

Tusikilizekupitia: 96.9Mhz || Online: www.afyaradio.co.tz

Host: .....
Tufwatilie: .

Leo kwenye Wayback Wednesday ya chimbo la vibe tutakua live na Chepe Mc 15:00hrs - 18:00hrsTusikilizekupitia: 96.9Mhz ||...
29/11/2023

Leo kwenye Wayback Wednesday ya chimbo la vibe tutakua live na Chepe Mc

15:00hrs - 18:00hrs

Tusikilizekupitia: 96.9Mhz || Online: www.afyaradio.co.tz

Host: || .....
Tufwatilie: .

Address

Buzuruga
Mwanza

Telephone

+255753226380

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Fm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya Fm:

Share

Nearby media companies


Other Mwanza media companies

Show All