
13/02/2025
Breaking News π¨π¨π¨
Mtoto wa Trump, Baron amemuomba sana baba yake asisitishe misaada kwa nchi za Kiafrika kwa kuwa kuna watu wengi watakufa.
Mshua anasema hawaamini viongozi wa Afrika kwa kuwa misaada hiyo inakwenda kufanya mambo mengine ambayo hawakukubaliana.
Dogo anamwambia basi k**a inawezekana misaada hiyo ipitishwe moja kwa moja kwa wahusika na isipitie kwa viongozi kwa sababu wengi ni wala rushwa. Yaani anamaanisha kile wanachokitaka wananchi wa Afrika, Marekani ije kukifanya moja kwa moja ila si kuwakabidhi pesa.
Dogo anaendelea kusema kwamba wananchi wasio na hatia barani Afrika hawatakiwi kupitia msoto kisa tu ya viongozi ambao ni wala rushwa na wenye tamaa. Na k**a inawezekana, hao viongozi waadabishwe.
Moral lesson: Baron is right.
Credit;nyemo