Hadithi Tamu Na Prince Emma

Hadithi Tamu Na Prince Emma HUU NI UKURASA UNAOHUSIANA NA HADITHI NZURI ZINAZOBURUDISHA NA KUELIMISHA JAMII KWA UJUMLA.
(9)

Hadithi zenye Mafundisho na zenye kufurahisha, na ushauri wa maisha ya mwanadamu

Ukiwa mvumilivu K**a hii blezia nakuhakikishia lazima utoboe kwenye maisha haya!!
12/06/2024

Ukiwa mvumilivu K**a hii blezia nakuhakikishia lazima utoboe kwenye maisha haya!!

12/06/2024
22/05/2024

Dada Mmoja Alikuwa Amekaa Ndani Ghafla Akasikia Mlango Unagongwa Alipofungua Akamkuta Jamaa Amesimama Na Akamuuliza " Una K...?"

Yule Dada Akakasirika Akafunga Mlango,

Kesho Yake Akasikia Mlango Unagongwa Alipofungua Akamkuta Jamaa Yule Yule Wa Jana Na Akamuuliza Tena " Una K....?"

Yule Dada Akafunga Tena Mlango Bila Kumjibu

Jioni Aliporudi Mume Wake Akamweleza Kuhusu Usumbufu Huo,

Mume: Usijali Mke Wangu Kesho Inabidi Nisiende Kazini Halafu Nimjue Ni Nani Na Anataka Nini Na Akija Na Kukuuliza Lile Swali Mjibu Ndio.

Kesho Yake Wakasikia Mlango Unagongwa Mume Wake Akaenda Kujificha Nyuma Ya Mlango

Yule Dada Alipofungua Akamkuta Jamaa Yule Yule Akamuuliza Tena " Una K.. "

Yule Dada Akajibu " Ndio "

Jamaa " Vizuri Basi Mwambie Mumeo Amuache Mke Wangu Na Aanze Kuitumia Yako. "

Mbona wapoooo
22/05/2024

Mbona wapoooo

Mwanamke anapokwenda kukutana na mpenzi wake kwa mara ya kwanza, hujiambia moyoni mwake. "leo hii hanifanyi kitu chochot...
22/05/2024

Mwanamke anapokwenda kukutana na mpenzi wake kwa mara ya kwanza, hujiambia moyoni mwake. "leo hii hanifanyi kitu chochote hata abembeleze vipi simpi" tena huamua kunyoa mavu.. na kujiweka safi hujisemesha moyoni "LOLOTE LAWEZA TOKEA" wanawake hamuendi mbinguni!

Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani.Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Waka...
22/05/2024

Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani.
Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale.
Wakakubaliana walale kwa masaa 4. Wakalala, Walipoamka, mfanyakazi wa Hotel akawatoza Tsh. 500,000/=
Wale wazee wakashangaa hata k**a ni hotel ya kisasa lakini sio laki tano kwa masaa 4.
Babu akagoma kulipa akasema aitiwe meneja.
Meneja akaja kuwasikiliza
Babu: " Kwanini bili ni kubwa hata k**a ni hotel ya kisasa?"
Manager;"kuna maswiming puli, ya kisasa "
Babu; "Lakini hatukuyatumia"
Manager; "Ah ah ah. Lakini mungeweza k**a mngetaka"
Babu: "Hata hivo bado haithamini kuwa laki 5"
meneja: "Pia Kuna waimbaji kutoka sauzi, Uganda , Congo"
Babu: "Lakini sisi hatukuwasikiliza"
Meneja: "Ndiooo. Lakini mngeweza k**a mngetaka"
Babu; aka give up na kumwambia mkewe andika cheki uwape,,
Bibi akaandika akampa meneja.
Meneja anaangalia anaona sh. 50,000
Akashangaa na kusema. "VP mbona hamsini'"
Bibi akajibu "450,000 ya kulala na mimi"
Meneja akajibu; "Lakini sijalala"
Bibi :"ungeweza k**a ungetaka"

NJIAPANDA; ANATAKA KUNIOA ILA HATA HELA YA GAUNI LA HARUSI HANA!Niko kwenye mahusaino na huyu Kaka, ana miaka 33, anafan...
22/05/2024

NJIAPANDA; ANATAKA KUNIOA ILA HATA HELA YA GAUNI LA HARUSI HANA!

Niko kwenye mahusaino na huyu Kaka, ana miaka 33, anafanya kazi ya kawaida tu na mshahara wake ni k**a laki sita tu kwa mwezi. Ananipenda na ananijali sana, ni aina ya mwanaume ambaye ukiwa na shida hata k**a hana pesa ila atangaika huku na kule kuhakikisha kuwa anakusaidia.

Nampenda sana, tuko naye kwenye mahusiano huu ni mwaka wa pili. Ananiambia kuwa anataka kunioa na kila siku ni mtu wa kunisisitiza kuhusu kuja kwetu lakini mimi nimekua nikimzungusha. Sio k**a simpendi lakini nataka ajipange kwanza kimaisha.

Sioni k**a yuko tayari kuoa kwani ndiyo kwanza anaishi chumba kimoja na sebule, hapo hata akinioa ndugu au marafiki zangu wakitaka kuja kututembelea watakaa wapi? Angalau hata k**a hawezi kujenga awe na uwezo wa kupangisha nyumba nzima ili ndugu zangu wakinitembelea wawe na pakukaa.

Nin dada zangu ambao wameolewa, nyumba kubwa yaani hata ukienda kuwatembelea unaona raha. Yeye ananiambia kuwa anataka tufanye harusi ndogo ya kawaida, anasema hakuna haja ya kununua gauni la milioni mbili wakati ndiyo tunaanza maisha. Kaka ndoa ni kitu cha siku moja, sina mpango wa kuolewa tena.

Nataka kuwa na harusi kubwa, unaalika watu wengi nivae nipendeze lakini yeye ukimuuliza hata k**a ana pesa ya kununulia gauni la harusia nakuambia kuwa tutakodi, Kaka siku yangu nataka iwe ya kipekee. Nikiongea na Dada zangu wananiambia nisubiri kwanza angalau awe na uwezo wa kunifanyia sherehe ya ndoto zangu.

Basi nikimuambia hivyo mwanaume anapaniki na kuniambia kuwa labda simpendi natafuta tu sababu ya kumuacha! Kaka nampenda sana na sio k**a sitaki kuolewa, lakini nataka atafute hela kwanza, ajikusanye aweze kunifanyia harusi ya ndoto zangu kwani mimi nimemaliza chuo sina kazi, siwezi kujinunulia, yeye ndiyo anapaswa kunifanyia kila kitu ili nifurahi kwani ni siku yangu!
Follow ukurasa huu kwa elimu zaidi
Hadithi Tamu Na Prince Emma

Kabla sijaanza naye mahusiano aliniambia kabisa kuwa alishawahi kuwa na mahusiano na Mama yangu mzazi na ni mara moja tu...
22/05/2024

Kabla sijaanza naye mahusiano aliniambia kabisa kuwa alishawahi kuwa na mahusiano na Mama yangu mzazi na ni mara moja tu ilitokea bahati mbaya. Huyu Kaka aliwahi kuoa sasa kuna kipindi aligombana sana na mke wake ndiyo wakawa marafiki na Mama na kuanzisha mahusiano.

Mama ndiyo alijilazimishia kwake, kwakua alijutia wakati ananitongoza aliniambia kwani wanafanya kazi sehemu moja na Mama. Nilimkubalia kwakua aliniambia ukweli, wangeakua wanaume wengine wangekataa, shida inakuja ni hivi, mimi nataka kuolewa na yeye yuko siriasi kuja kwetu.

Lakini baada ya Mama kujua kawa mkali kuwa hamtaki, na maneno kibao, kila siku ni matusi Kaka, kibaya kamshawishi mpaka na Baba naye hataki niolewe. Nina miaka 23 nimemaliza chuo mwaka jana ila bado sijapata kazi, mwanaume wangu ana miaka 38 na ana kazi nzuti tu, ananihudumia kwa kila kitu nampenda sana.

Nataka kumuambia Baba sababu za kwanini Mama hamtaki mchumba wangu, je ni sawa mimi kumuambia. Nina ushahidi kwani Mama alikua anamtumia Mchumba wangu mapicha ya uchi kipindi ndiyo tunaanza anza nayeye alikua ananionyesha je nikimuambia Baba ni sawa!

21/05/2024

Siku nilivyolala na mke wa mtu kiutani utani tu

Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Iringa kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni).

Niliiingia ndani ya basi na kwenda kuketi kwenye siti yangu, baada ya dakika kadhaa akaja Mwanadada mmoja mwenye urembo wa wastani, na umbo moja maridhawa, huku nikiwa nimemkazia macho, alifika pale nilipo huku akiangalia tiketi yake mkononi, baada ya kunisalimu akaketi pembeni yangu na kutulia tuli.

Baada ya mwendo fulani safarini tukajikuta tumetumbukia kwenye stori za hapa na pale, stori zilienda kwa muda na mara kila mmoja akaanza kusinzia kwa wakati wake, nilipokuja kushtuka baadae nikamkuta bi Dada ameuchapa usingizi na wala hajitambui, baadae kidogo nami nilisinzia tena na kupotelea usingizini. kabla ya sote kushtuliwa na tangazo la Muhudumu wa Basi kwamba tunaingia hotelini kwa mapumziko ya dakika kumi pamoja na kupata chakula.

Baada ya msosi na kurudi kwenye basi mastori yalianza tena upya huku wote wawili tukiwa tumechangamka tofauti na pale awali, ndipo kwenye maongezi nilipogundua yeye ni mke wa Mtu mwenye Watoto wawili, na tena akanionyesha picha za wanafamilia wake alizokuwa nazo kwenye simu yake.

Ndipo la haula nilipogundua kuwa muda wote wa safari nilikuwa nimelala na Mke wa Mtu. Hakika tulifurahiana sana kwenye safari ile, huku stori zikinoga kadri tulipokuwa tunakaribia eneo la ubungo ambako ndio kituoni na mwisho wa safari yetu, tuliagana kwa bashasha huku tukitakiana kila la kheri kule tuendako.

Wajawazito waheshimiwe na wapewe maua Yao kabisa, maana ni watu pekee wanaotembea Barabarani wakiwa na ushahidi kwamba w...
17/05/2024

Wajawazito waheshimiwe na wapewe maua Yao kabisa, maana ni watu pekee wanaotembea Barabarani wakiwa na ushahidi kwamba walifanya mapenzi! Siyo jambo rahisi 🤰🤰

Mapenzi mubashara!!Eti WANAWAKE wanene wanaongoza kuwa na mapenzi ya kweli, je! Kuna ukweli wowote!?
12/05/2024

Mapenzi mubashara!!

Eti WANAWAKE wanene wanaongoza kuwa na mapenzi ya kweli, je! Kuna ukweli wowote!?

Kombe la championship likipitishwa mbele ya wagen rasmiWewe kombe unalionaje mdau?
11/05/2024

Kombe la championship likipitishwa mbele ya wagen rasmi

Wewe kombe unalionaje mdau?

⚠️😳 Mke huyo mwenye watoto 3 ambaye tangu 2016 amekuwa akimnyonyesha maziwa yake mumewe huyo, kwasasa wanafikiria kuonge...
11/05/2024

⚠️😳 Mke huyo mwenye watoto 3 ambaye tangu 2016 amekuwa akimnyonyesha maziwa yake mumewe huyo, kwasasa wanafikiria kuongeza mtoto mwingine amnyonyeshe tena mume wake sababu kumnyonyesha kumeimarisha ndoa Yao

Rachel Bailey(31) kutoka Florida, Marekani ambaye ni mama wa watoto watatu, awali alisema mwaka 2016 akiwa ananyonyesha mtoto wake wa kwanza yeye na mume wake huyo kwa jina la Alexernda(30) walisafiri peke yao, na akiwa safarini sababu alimuacha mtoto nyumbani, maziwa yalijaa hakuwa amebeba kifaa maalum cha kuyatoa(pampu),ilifikia muda akawa anaumia sana na kuingiwa na wasiwasi anaweza kupata maradhi

K**a utani wakakubaliana na mume wake huyo ayanyonye maziwa kumsaidia na akafanya hivyo akapata ahueni vizuri, kuanzia hapo wanandoa hao ikawa ndio zao kila maziwa yakimjaa Rachel mume anayanyonya

Hata walipopata watoto wengine baadaye bado mume alikuwa ananyonyeshwa ila huwa ni baada ya watoto kunyonya wakakinai ndio mume nae anaanza, kwa siku mume hunyonya mara tatu asubuhi, mchana na usiku

Mume anasema maziwa ya mke wake yapo tofauti na maziwa ya ngombe ila ameshayazoea na anayapenda sana kwasasa kuliko ya ng'ombe

Rachel anasisitizakwqmba haoni ni kitu cha ajabu kwao maana mume wake hajawahi kuumwa, sana sana watu wanamsifia mumewe kazidi kuwa na muonekano mzuri ikiwemo ngozi nene yenye afya akidai maziwa yake yamejaa virutubisho

Amesema hawatafuti kiki wala umaarufu ila huo ndio ukweli kumyonyesha mume kwa kwa lengo la kumsaidia kupunguza maziwa na maumivu katika mazingira yaliyokuwa nje ya uwezo wake kumepelekea wao kuzidi kuwa karibu na kuimarika kwa ndoa yao

Watoto wao watatu kwasasa wanaelekea miaka 8, 7 na 3

Picha zaidi kwenye comments section

LEO UTANI NIMEWEKA PEMBENI. BROTHER CHUKUA HII UTANISHUKURU BAADAE.1. WADANGAJI hawajawahi kuwa na huruma na pesa zetu h...
05/05/2024

LEO UTANI NIMEWEKA PEMBENI. BROTHER CHUKUA HII UTANISHUKURU BAADAE.
1. WADANGAJI hawajawahi kuwa na huruma na pesa zetu hata familia zetu.

2. WADANGAJI hawajawahi kukuthamini siku ambazo huna kitu

3. WADANGAJI hawawezi kukuletea hata uji ukiwa hospital au kukujulia hali

4. WADANGAJI hawana huruma na watoto wako

5. WADANGAJI hawana upendo ila inategemea una kiasi gani mfukoni

KAKA ANGU mpendezeshe mkeo avutie, nunua chakula kizuri ule na familia yako. Wathamini watoto waliotoka katika kiuno chako.

KAKA ANGU hizo gharama unazotumia kugharamia penzi la mdangaji tumia kumpendezesha mkeo akuvutie ili uenjoy uzuri wake uliofubaa kwa kukosa mavazi na lishe nzuri na upendo mkubwa na kuthamini

04/05/2024

MGONJWA: dokta naomba unisaidie na tatizo la kusahau hata ukinambia kitu muda huo Huo nasahau.

DAKTARI: Kwan hilo tatizo limekuanza Lini?

MGONJWA:Tatizo gani?

Jamaa mmoja alipata AJARI ya gari kwa bahati mbaya akakatika mkono mmoja wote wa kushoto ukabaki mmoja maisha kwa upande...
03/05/2024

Jamaa mmoja alipata AJARI ya gari kwa bahati mbaya akakatika mkono mmoja wote wa kushoto ukabaki mmoja maisha kwa upande wake yakawa magumu sana ikafikia hatua ya kutaka kujiua basi akapanda juu ghorofani kwa madhumuni ya kujirusha ili afe kabisa, maana hali ilikuwa siyo SHWARI kwa upande wake, alijiona k**a mtu ambaye Mungu amemuacha na dunia inamcheka.

Kabla hajajirusha kutoka gorofani akaangalia CHINI gafla anamuona mtu mwingine hana mikono yote miwili na miguu harafu anarukaruka kwa furaha, jamaa alipoona vile ikabidi ashuke haraka mpaka chini na kumfuata yule mlemavu mwingine ambaye hana hata mkono mmoja, Akamuuliza mbona unaonekana unaruka ruka kwa furaha wakati huna mikono wala miguu? >>>Yule mlemavu akamgeukia yule jamaa kwa huzuni na kumwambia si kwamba ninarukaruka kwa furaha ni kwamba Tako linaniwasha nashindwa kujikuna.

FUNZO!!
Acha kunung'unika kwa ajili ya magumu unayopitia, kuna watu wana magumu kuliko wewe na bado wanavumilia na kuamini kwamba ipo siku Mungu atawavusha. Mwamini Mungu mtumikie kwa uaminifu.

Kwa hadithi nzuri zenye burudani na mafundisho! Bonyeza hayo maandishi ya blue! Follow me please!!
01/05/2024

Kwa hadithi nzuri zenye burudani na mafundisho! Bonyeza hayo maandishi ya blue! Follow me please!!

Naomba mtu mmoja Ani follow!!Please one follow for me!!
01/05/2024

Naomba mtu mmoja Ani follow!!
Please one follow for me!!

Happier Life 🧬🧬🧬
01/05/2024

Happier Life 🧬🧬🧬

Je wajua!!
01/05/2024

Je wajua!!

Address

Tukuyu
Mbeya

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255753656848

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hadithi Tamu Na Prince Emma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hadithi Tamu Na Prince Emma:

Videos

Share

Category

Nearby media companies


Other Magazines in Mbeya

Show All