31/12/2025
Dear 2026,
Tunaingia Mwaka Mpya Wa 2026 tukiwa na Matumaini Mapya, Kusudi kubwa na Imani kubwa zaidi katika Kufikia Malengo Yetu K**a Sanaa Sana Inc Ikijumuisha Washika na Wafuasi Wetu Duniani Kote.
Mwaka 2025,
Umekuwa na Mambo Mengi Katika Utekelezaji wa Majukumu Yetu,Ziko Hatua Kubwa Tumepiga lakini Ni Mwaka Ulio Kuwa na Jeraha la Kumpoteza Kiongozi & Msanii Wetu Mpendwa Comrade Mwendawila
Tunaendelea Kumuombea Kwa Mwenyezi Mungu Ampumzishe Kwa Amani.
Daima,
Sera Zetu Sanaa Sana Inc Zinatupa Mwanzo Mpya Kila Wakati Tunapo Pitia Changamoto,Sera Hizi Zinatafsiri Changamoto K**a Fursa na Chachu Ya Kujenga Mtizamo Mpya na Chanya Kwa Hatua Inayofuata.
Tumejenga Tumaini Jipya,Kusudi kubwa,Imani kubwa na Mwekeleo & Mwanzo Mpya zaidi katika Kufikia Malengo Yetu Kwa Mwaka 2026.
Sanaa Sana Inc Wishing You All a New Year Filed With Joy, Success & Endless Blessings.
HAPPY NEW YEAR OF 2026.