Jensen Tv

Jensen Tv Podcast for Entertainment, Interviews, Articles & Reality shows, Celebrities Gallery
For promotion DM or WhatsApp 0764290055

Happy 7th Anniversary to the incredible Adekunle Gold and Simi! 🎉❤️ Wishing you both a lifetime of love, laughter, and h...
13/01/2026

Happy 7th Anniversary to the incredible Adekunle Gold and Simi! 🎉❤️ Wishing you both a lifetime of love, laughter, and harmony. May your love continue to inspire and bless the world. Cheers to many more years of happiness together! 🎊"



Hii ni orodha ya wasanii wa Hip Hop waliosikilizwa ziadi katika jukwaa la Spotify kwa mwaka 2025, katika Orodha hii Cham...
01/01/2026

Hii ni orodha ya wasanii wa Hip Hop waliosikilizwa ziadi katika jukwaa la Spotify kwa mwaka 2025, katika Orodha hii Champagnepap 🍾 Drake ameongoza orodha hiyo kwakuwa na jumla ya wasikilizaji 18.4 Billion.

Lakini kwa Rapper Lil Wayne umekuwa mwaka wa mafanikio zaidi katika jukwaa hilo la kusambaza na kusikiliza muziki kwakuwa na wasikilizaji 6.1 Billion, hii ni kwa mara ya kwanza anafanya hivyo.

Unauona vipi mwaka 2026 kwa game ya Rap? Nani anakwenda kufanya vizuri zaidi?

We're Jensen tv.Read.....* About Us* Our Logo* Our Vision * Our Mission *  Our core values* Our social media pages      ...
31/12/2025

We're Jensen tv.

Read.....
* About Us
* Our Logo
* Our Vision
* Our Mission
* Our core values
* Our social media pages

Baada ya kusambaa kwa karatasi mtandaoni ambayo ilionesha vipaumbele au matamanio ya rapper  na mwanamitindo maarufu uli...
31/12/2025

Baada ya kusambaa kwa karatasi mtandaoni ambayo ilionesha vipaumbele au matamanio ya rapper na mwanamitindo maarufu ulimwenguni Kanye west, watu na page mbalimbali ziliweza kupost karatasi hiyo . Miongoni mwa vitu vilivyoandikwa ni pamoja na kuutembelea mlima Kilimanjaro.

Sasa, Rapper huyo kupitia ukurasa wake wa X zamani Twitter ameweza kukanusha kwakusema
" kinachoitwa Bucket List ni Uongo, Sio mwandiko wangu"

Hivyo k**a ulitegemea kumwona Kanye west akipanda mlima kilimanjaro unatakiwa kusubiri hadi atakapotangaza yeye.

Mwaka 2025 umekua mwaka bora sana kwa msanii Abel   , hii ni baada ya kuweka record kwa kuwa na wasilizaji BILLION moja ...
31/12/2025

Mwaka 2025 umekua mwaka bora sana kwa msanii Abel , hii ni baada ya kuweka record kwa kuwa na wasilizaji BILLION moja kwa nyimbo 30 ambazo amezipakia kwenye jukwaa la Spotify.

Ni wimbo gani umewahi kuusikiliza hivi karibuni ?

SWIPE KUTAZAMA NYIMBO HIZO....

Baada ya kutangazwa na jarida la Forbes, Mwanamziki maarufu wa country music dunaiani Beyonce , ameingia kwenye orodha y...
30/12/2025

Baada ya kutangazwa na jarida la Forbes, Mwanamziki maarufu wa country music dunaiani Beyonce , ameingia kwenye orodha ya wasanii wachache wenye utajiri wa kiwango cha Billion.

Uchumi wa Beyonce umekua kwa kasi kufatia tamasha lake maarufu la Cowboy Carter ambalo limemuingizia pesa kwa kiwango kikubwa.

Beyonce anaungana na wasanii k**a Jay Z (mme wake), Rihanna, Tylor Swift na Bruce Springsteen, Watu wengi wamemponeza Boyonce kwa bidii na jitihada zake anazo zifanya katika mziki wake, Baba yake mzazi pia amempongeza na kutaka azidi kupambana.

Mwaka 2025 umekua bora sana kwa Beyonce vipi kwa upende wako?

Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii 25 walio lipwa pesa nyingi zaidi kwa mwaka huu 2025, forbes wametumia vigezo ...
30/12/2025

Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii 25 walio lipwa pesa nyingi zaidi kwa mwaka huu 2025, forbes wametumia vigezo vya Shows, mauzo ya Albums, na Tickets . Orodha hiyo ni k**a ifuatavyo.

1. The Weeknd - $298M
2. Tylor Swift - $ 202M
3. Beyonce - $148M
4. Kendrick Lamar - $109M
5. Coldplay - $105M
6. Shakira - $105M
7. Drake - $78M
8. Chris Brown - $74M
9. Zach Bryan - $70M
10. Bad Bunny - $66M
11. Post malone - $62M
12. Ed sheeran - $60M
13. Tyler, The Creator - $53M
14. Metallica - $53M
15. Lady Gaga - $52M
16. Billie Eilish - $52M
17. Imagine Dragons - $48M
18. Dualipa - $44M
19. Linkin Park - $36M
20. SZA - $34M
21. Morgan Wallen - $33M
22. Bruno Mars - $31M
23. Sabrina Carpenter - $29M
24. Andrea Bocelli - $25M
25. Iron Maiden - $25M

Green City stand up!.....Baada ya kuisubiri kwa mda mrefu hatimae ni kesho tarehe 28/12/2025 inakwenda kufungwa kibabe, ...
27/12/2025

Green City stand up!.....
Baada ya kuisubiri kwa mda mrefu hatimae ni kesho tarehe 28/12/2025 inakwenda kufungwa kibabe, SHESA MEDIA EP LAUNCHING PARTY, inayo kwenda kwa jina la All in One inakwenda kuzinduliwa.

Utakutana wa watu kibao, wasanii, wajasiriamali, watangazaji na wadau wa muziki, kufika kwako kunakwensa kukuongezea marafiki wapya, mawazo mapya na fursa mpya usipange kukosa.

Ni kwa mtonyo wa...
10K regular
30K VIP

Mbeya inahamia GR CITY HOTEL Sowetooooooo!!!!!

Usipange kukosaaaaaaaaa

Usiku wa jana kwenye machi ya kikapu iliyo zikutanisha team za Lakers na Rocket,  uliwakutanisha pia Wakali wa Muziki   ...
27/12/2025

Usiku wa jana kwenye machi ya kikapu iliyo zikutanisha team za Lakers na Rocket, uliwakutanisha pia Wakali wa Muziki X

Ni kiti gani unapenda kutoka kwenye collaboration ambazo wamefanya pamoja?

21/08/2025

Address

Ilomba
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jensen Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jensen Tv:

Share