Mbali TV

Mbali TV HABARI - BURUDANI - MICHEZO

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limethibitisha kumk**ata na kumshikilia Mmiliki wa Shule za Saint Clemence Ndg. Clemence M...
29/12/2025

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limethibitisha kumk**ata na kumshikilia Mmiliki wa Shule za Saint Clemence Ndg. Clemence Mwandambo kwa tuhuma za kukashifu Imani ya Dini za watu wengine.

Ikiwa tupo kwenye msimu wa mvua, Wananchi wa Mbalizi Jimbo la Mbeya Vijijini tuendelee kuchukua tahadhali huku ikiwa hak...
28/12/2025

Ikiwa tupo kwenye msimu wa mvua, Wananchi wa Mbalizi Jimbo la Mbeya Vijijini tuendelee kuchukua tahadhali huku ikiwa hakuna umuhimu wa kutoka ni bola kubaki nyumbani wakati tukisubiri maelekezo ya TMA😂😂

Haya sasa Wananchi wa kata ya Itewe,Igoma,Ulenje kazi kwenu hapo kesho.
28/12/2025

Haya sasa Wananchi wa kata ya Itewe,Igoma,Ulenje kazi kwenu hapo kesho.

FURSA: TANGAZO  TANGAZO 📢📢📢Wanahitajika wapishi wa kuandaa chakula mbalimbali👇✅Kupika > Ugali ✅Kuchoma> Chipsi✅Kuchoma >...
28/12/2025

FURSA: TANGAZO TANGAZO 📢📢📢

Wanahitajika wapishi wa kuandaa chakula mbalimbali👇

✅Kupika > Ugali

✅Kuchoma> Chipsi

✅Kuchoma > Nyama

✅Kukaanga Chips yai

✅Kuandaa Bisi

Siku ya Jumanne Decemba 30,2025 Saa 3 asubuhi, Wahitaji wote wa kazi wanatakiwa kufika >MC MWASELELA MODERN GARDEN- Ndola kata ya Nsalala Jimbo la Mbeya Vijijini kwa ajili ya usahili.

Ni vyema zaidi k**a unaviambata kuja navyo.

WASILIANA NASI: 0755 418 979
:0764 259 477

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : AFCON 2025UGANDA 🇺🇬 1️⃣➖️1️⃣ TANZANIA 🇹🇿 ⚽️ 80" Uche                           ⚽️ 59" Msuva (p)❎️ 90" Okello...
27/12/2025

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : AFCON 2025

UGANDA 🇺🇬 1️⃣➖️1️⃣ TANZANIA 🇹🇿
⚽️ 80" Uche ⚽️ 59" Msuva (p)
❎️ 90" Okello (p)

Leo kuna zawadi ya Tsh 5000  kwa atakaye tuwekea mkeka wa majina manne bila kukosekana jina la mwanadada mmoja 👊👊
26/12/2025

Leo kuna zawadi ya Tsh 5000 kwa atakaye tuwekea mkeka wa majina manne bila kukosekana jina la mwanadada mmoja 👊👊

26/12/2025

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene afunguka mabadiliko kufanyika ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania.

26/12/2025

"K**a wewe ni mzazi wa jimbo la kigoma Mjini basi usinunue daftari kwa ajili ya mwanao…!!tutazigawa daftari bure pale Mw...
26/12/2025

"K**a wewe ni mzazi wa jimbo la kigoma Mjini basi usinunue daftari kwa ajili ya mwanao…!!
tutazigawa daftari bure pale Mwanga Community center tarehe 02/01/2026.
shukrani zetu kwa wadau wafuatao:
➊ asante sana ghalib said gsm
➋ asante sana kutoka
➌ asante kutoka
➍ asante m***a mzenji kutoka
➎ asante kutoka
➏ asante king dazz kutoka (china ndogo kariakoo)
➐ asante talatala kutoka dodoma –
➑ asante 67sevenmediatz"

✍️BABALEVO,Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini.

26/12/2025

Hatuwezi kukosa vyote, yaaani tukose pointi 3 halafu na nanilii! . Au wadau mnasemaje?
24/12/2025

Hatuwezi kukosa vyote, yaaani tukose pointi 3 halafu na nanilii! . Au wadau mnasemaje?

Address


Telephone

+255767859477

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbali TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mbali TV:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share