Redio Yako.!
Address
Mbeya
Website
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Mbeyafm Redio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Videos
Tukio ambalo limetokea usiku 15/04/2018 saa 4 na dakika 41,ambapo Dereva Bajaji wakike anusulika kubakwa pembezoni mwa mnara wa mashujaa Jijini Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa Ikulu jijini Dar leo
Mkuu wa wilaya ya Chunya Bi Rehema Madusa amewataka wananchi wa Tanzania pamoja na Raia wa kigeni kutembelea wilaya hiyo kwa ajili yakujionea fursa mbalimbali zinazopatikana ndani ya wilaya ya chunya. Akizungumza ofisi kwake Bi Madusa amesema kutokana na kukuwa kwa haraka kwa wilaya hiyo ivyo fursa nyingi zimejitokeza ikiwa ni Pamoja na kasi ya uchimbaji Madini aina ya Dhahabu,kilimo cha Ufuta,Tumbaku,Alzeti n.k,Utalii wa ndani ya Wilaya hiyo katika Bwawa ambalo lina voboko huku akitaja baadhi ya Misitu na Milima yenye historia ndani ya Wilaya hiyo. Pia amesisitiza juu ya Swala zima la Nchi ya Viwanda,kuwa litawapa nafasi vijana wengi na Wananchi wa Chunya ,na kupunguza wimbi la vijana ambao hawana Ajira ndani ya Wilaya hiyo
Rais John Pombe Joseph Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick ya Canada Profesa John L. Thorton Ikulu jijini Dar es salaam. Katika mkutano huo, uliohudhuriwa pia na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Paramagamba Kabudi na Balozi wa Canada hapa nchini, Ian Myles umemalizika kwa mafanikio makubwa ambapo pande zote zimekubaliana kukaa meza moja kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali katika sekta ya madini. Habari kamili yaja punde
VIDEO: HIVI NDIVYO Dereva Wa Trump anavyo fanyiwa majaribio..N...
VIDEO: HIVI NDIVYO Dereva Wa Trump anavyo fanyiwa majaribio..Ni balaa
FUJO BUNGENI
FUJO BUNGENI: Tazama wabunge wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) chake Julius Malema walivyotimuliwa bungeni wakati wa hotuba ya Rais Jacob Zuma Alhamisi. Walikuwa wameapa kuvuruga hotuba ya rais huyo
VIDEO: Yusuph Manji Arudishwa Ndani ya Polisi Baada ya Kutaka ...
Mfanyabiashara Yusuph Manji leo amefika kituo cha polisi kati kama alivyoahidi jana baada ya kutajwa kwenye orodha ya watu 65 na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. Yusuph Manji alifika asubuhi kwenye kituo cha Polisi cha kati ambapo baadaye alionekana akiwa anatoka nje ya kituo kuondoka lakini ghafla akazuiwa na Polisi na kumwambia anahitajika ndani ten.
JPM anusuru ajira za wachimbaji wadogo Shinyanga Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli ameagiza Wizara ya Nishati na Madini kusitisha mara moja zoezi la kuwaondoa wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Nyaligongo kilichopo katika Kata ya Mwakitolyo Mkoani Shinyanga. Rais Magufuli amesema badala ya kufukuzwa, wachimbaji hao waachwe waendelee na shughuli zao, na leseni ya mwekezaji anayedai eneo hilo ni lake aondolewe. "Wale waliofukuzwa Shinyanga wabaki palepale, kama ni leseni ya huyo mwekezaji ifutwe, Mhe. Makamu wa Rais fuatilia hili, mweleze Waziri wa Nishati na Madini, waache kufukuza wananchi hovyohovyo, wale wanapata riziki yao, wanasomesha watoto wao lakini wanafukuzwa tu". "Na hizi ndio ajira zenyewe, tulisema tunatengeneza ajira, wewe mwekezaji ni mmoja unakwenda kuwafukuza watu 5,000? haiwezekani na wala haingii akilini" amesisitiza Rais Magufuli. Rais Magufuli amekemea vitendo vya wawekezaji wakubwa kupewa maeneo ambayo wachimbaji wadogo wanaendesha shughuli zao tena kwa mtindo kwa kutengeneza nyaraka zinaonesha mwekezaji husika alipewa eneo hilo kabla ya wachimbaji wadogo na kusisitiza kuwa mchezo huo hautavumiliwa. Hata hivyo Rais Magufuli amesema maagizo yake hayana maana kuwa Wamachinga na Wachimbaji wadogo waendeshe shughuli zao kwa kuvunja sheria bali wazingatie sheria na Mamlaka zisiwanyanyase watu wanyonge
VIDEO: Dakika 3 za Mchekeshaji Eric Omondi alivyoirudia ‘kuliko jana’ ya Sauti Sol Miongoni mwa wakali wa Comedy huwezi kuacha kumtaja Eric Omondi kutokea Kenya ambaye huwa anafanya covers mbalimbali za nyimbo za wasanii hasa zinazotrend, ameirudia kivingine ‘Kuliko jana’ ya Sauti Sol ambapo ameipa title ya ‘kuliko jana Refix’. Unaweza kutazama kwa kubonyeza play hapa chini,
Godbles Lema
UPDATES:Mahakama kuu kanda ya Arusha imetupa rufaa yakupinga maamuzi yakumnyima dhamana iliyoamuliwa na mahakama ya hakimu mkazi dhidi ya mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema Naibu msajili wa mahakama kuu kanda ya Arusha Anjelo Rumisha amesema kwamba rufaa hiyo ilikuwa imekatwa nje muda uliopangwa Wakili wa Chadema John Malya wamesema wameongea na mteja wao nakuwaambia wasishughulike tena na kesi hiyo hadi pale jamhuri itakapoamua lakini wao watendelea kukutana na jopo la mawakili iki kuja na njia mbadala
MRISHO GAMBO
VIDEO:Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa anatarajia kufanya ziara kuanzia Decemder 2 haadi 8 katika mkoa wa Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema ziara hiyo itakuwa ni yakikazi katika wilaya zote na atakutana na wananchi katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid December 3 na wananchi watapata nafasi yakuwasilisha kero zao,Nipe maoni yako
GMBC
HII INAKUKUMBUSHA WAPI WEKA COMMENT YAKO HAPA IKIKUBAMBA SANA SHARE NA RAFIKI TUKUMBUSHANE JINA LA MOVIE
Official VIDEO | RICH MAVOKO Ft. DIAMOND PLATNUMZ – KOKORO | W...
Official VIDEO | RICH MAVOKO Ft. DIAMOND PLATNUMZ – KOKORO | Watch/Download
VIDEO:Mbunge wa Arusha Mjini Godbles Lema amefikishwa mahakamani nakusomewa shtaka la uchochezi dhidi ya viongozi wa serikali baada yakukaa mahabusu kwa siku 7 Hakimu mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi anayesikiliza kesi hiyo Desdery Kamugisha amesema hawezi kutolea maamuzi kwenye mahakama kwa kuwa anahitaji muda wakosoma nakupitia vifungu vya sheria na november 11 atatoa maamuzi,kutokana na hatua hiyo amepelekwa magereza hadi November 11 mwaka huu
Shortcuts
Category
Nearby media companies
-
Isyesye
-
Africans Welding Society - AWS
P. O. Box1684 Mbeya -
Kayanga, Karagwe
-
Ilomba
-
Ghana Hill
-
P. O Box 66
-
Boomonkey.com