Nigeria, Director wa video za muziki ThankGod Omori, anayejulikana zaidi kama TG Omori, amefunguka kuhusu tukio la kibinafsi na mabadiliko makubwa maishani mwake. Jumatano hii, Omori alishea taarifa ya kugusa moyo kwenye Instagram yake, akiposti picha yake akiwa kitandani hospitalini, akiwa na huzuni huku akipumua kupitia mashine ya oksijeni.\n\nKwenye posti yake, Omori alifichua kwamba ndugu yake pekee alijitolea kwa moyo mkuu kumpa figo moja, kumsaidia kupona baada ya kupambana na ugonjwa wa figo uliomdababishia hali mbaya kiafya. Kitendo hiki cha ujasiri na upendo wa dhati kimekuwa si tu kimeokoa maisha ya Omori bali pia kimekuza uhusiano wao wa kifamilia kwa njia isiyo ya kawaida.\n\nOmori, ambaye amekuwa mbali na umma kwa muda, amekuwa akitoa taarifa kuhusu matatizo yake ya afya kupitia tweets. Leo, director huyo ameandika kuwa, upandikizaji wa Figo aliyochangiwa na kaka yake, umeshindikana, kwa maana hiyo hali yake kiafya Bado ni mbaya.
Nimefurahi kuhudhuria mafunzo ya awali kwa wachezaji wa Klabu ya Simba (orientation) yaliyofanyika leo jijini Dar Es Salaam. Ni faraja kubwa kuona wachezaji wetu wakijitayarisha kwa msimu mpya. #WenyeNchi #NguvuMoja 🦁
JESHI la POLISI lamkamata alie CHOMA PICHA ya RAIS samia
Waziri wa maji AENDELEA na ZIARA zake
UNAZANI Kwa nini anapenda kulia
Baadhi ya waandishi wa habari ambao walishiriki katika mkutano wa TUME Huru ya Uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam (Juni 13)
Lengo la mkutano huo ni kwa ajili ya kuwapa elimu waandishi wa habari ili na wao waweze kuwaelimisha wananchi ili kujitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura.
Mwenyekiti wa Time Huru ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele (Kati) akiwa na Makamu Mwenyekiti Jaji Mstaafu Mbarouk Salim Mbarouk (Kushoto) na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima (kulia) wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari.
TK MOVEMENT IMEANZISHWA KWA LENGO LA KUSAPOTI JUHUDI ZA MHE. RAIS SAMIA
“Kundi la TK movement (Taifa letu, Kesho yetu), limeanzishwa kwa malengo yakuhakikisha kwamba tunamsapoti Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika fursa anazozitoa kwa vijana lakini pia kwa Taifa zima na kazi kubwa anayoifanya kwa Taifa hili”. - Ndugu Ally kassim Mandai, Mjumbe wa Baraza la wazazi Taifa viti 3 bara.
TUFANYE KAZI HAKUNA MASWALA YA KAUSHA DAMU
MIPAKA YA NCHI IKO SALAMA
#mamamchapakazi
Hivi ndiyo Waziri wa Habari @napennauye alivyotakiwa heri katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024/2025 na roboti Eunice ambaye amegeuka kivutio kwenye viunga vya bunge leo Mei 16, 2024.
LAIZMA WATU WABADILIKE
#mamamchapakazi
MAMA KIPENZI CHA WATANZANIA