Habarika media

Habarika media PATA HABARI ZOTE NA MATUKIO YOTE YANAYOJIRI KIGANJANI MWAKO

Ronaldo Nazario 🆚 Cristiano Ronaldo:▶️ Games 616 - 1203▶️ Goals: 414 - 872▶️ Assists: 126 - 249▶️ Trophies: 18 - 35▶️ Ba...
29/12/2023

Ronaldo Nazario 🆚 Cristiano Ronaldo:

▶️ Games 616 - 1203
▶️ Goals: 414 - 872
▶️ Assists: 126 - 249
▶️ Trophies: 18 - 35
▶️ Ballon d'Ors: 2 - 5

Legends. ❤️

NATAKA TAMKO LA KANISA KATOLIKI TANZANIA ILI NIFANYE MAAMUZI SAHIHI...
19/12/2023

NATAKA TAMKO LA KANISA KATOLIKI TANZANIA ILI NIFANYE MAAMUZI SAHIHI...

22/05/2023
Huyu jamaa amek**atwa jana msikitini sehemu ya kuswalia akina mama. Ameiba simu 5 na vipima joto vi3 ..kwabahati mbaya a...
19/11/2022

Huyu jamaa amek**atwa jana msikitini sehemu ya kuswalia akina mama. Ameiba simu 5 na vipima joto vi3 ..kwabahati mbaya alionekana kwenye kamera za msikiti na akak**atwa wakati anatoka nje ili akimbie na vitu vya wizi..

-Tuna husika na :-1) KUPAKA RANGI ZA MAJUMBA   a)Conmix   b)drewa   nk.2) UJENZI ( plaster )3) BRANDARING NA KUFUNIKA GY...
17/11/2022



-Tuna husika na :-

1) KUPAKA RANGI ZA MAJUMBA
a)Conmix b)drewa nk.
2) UJENZI ( plaster )
3) BRANDARING NA KUFUNIKA GYPSUM BOARD
4) KUBANDIKA WALLPAPER
5) UREMBO WA MAJUMBA
6) KUJENGA TILES
7)KUCHOMEA (madilisha na milango ya chuma)
8) OFFICE PARTISION
9) KUPAUA

maelezo zaidi tunapatikana........KINONDONI/DAR ES SALAAM

Au tupigie
-SIMU no. 0716 197609
0686 201899

-Email address:-
[email protected]

Kwa picha zaidi za Kazi zetu,,,

-To follow Instagram:-





KARIBU KUFANYA KAZI NASI KWANI GHARAMA ZETU NI NAFUU SANA


-Tuna husika na :-1) KUPAKA RANGI ZA MAJUMBA   a)Conmix   b)drewa   nk.2) UJENZI ( plaster )3) BRANDARING NA KUFUNIKA GY...
19/09/2022



-Tuna husika na :-

1) KUPAKA RANGI ZA MAJUMBA
a)Conmix b)drewa nk.
2) UJENZI ( plaster )
3) BRANDARING NA KUFUNIKA GYPSUM BOARD
4) KUBANDIKA WALLPAPER
5) UREMBO WA MAJUMBA
6) KUJENGA TILES
7)KUCHOMEA (madilisha na milango ya chuma)
8) OFFICE PARTISION
9) KUPAUA

maelezo zaidi tunapatikana........KINONDONI/DAR ES SALAAM

Au tupigie
-SIMU no. 0716 197609
0686 201899

-Email address:-
[email protected]

Kwa picha zaidi za Kazi zetu,,,

-To follow Instagram:-





KARIBU KUFANYA KAZI NASI KWANI GHARAMA ZETU NI NAFUU SANA


Mzigo Mpya Umeingia DukaniWallpaper pc 1 - 25,000Gundi box.  10,000Ufundi pc 1 - 15,000Unafikishiwa mpaka ulipo kwa ghar...
30/07/2022

Mzigo Mpya Umeingia Dukani

Wallpaper pc 1 - 25,000
Gundi box. 10,000
Ufundi pc 1 - 15,000

Unafikishiwa mpaka ulipo kwa gharama nafuu kabisaa

Tupigie /watsaap 0716197609 au 0686201899

Jarubuni sana..

18/04/2022

I love you mama

07/12/2021


///: GHOROFA LAPOROMOKA NA KUUA WANNE GOBA

Jengo la Gofora lililokuwa likiendelea kujengwa katika Eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam limeanguka na kuangukia nyumba ya jirani leo Desemba 6,2021

Tukio hilo limesababisha vifo vya watu wanne na Kuwajeruhi wengine 17.

Waliofariki ni wanaume wawili ambao walikuwa ni mafundi na wanawake wawili ambao walikuwa majirani.

Endelea Kufuatilia Kurasa Zetu kwa Taarifa zaidi


26/11/2021

HATA TUSIPO PATA TONE LA MAJI TUTAZALISHA UMEME...

12/09/2021

MUHIMU SANA ISOME HADI MWISHO
Binti wa miaka 19 ambaye aliacha shule baada ya baba na mama kufa katika ajali mbaya na ndugu kutompa msaada aliamua kuondoka nyumbani na kwenda kuishi na kijana mmoja. Miaka 10 sasa amekuwa anakaa na rafiki yake wa kiume avutaye bangi katika ghetto.
Amekuwa anapewa fedha kidogo kutoka kwa huyo mpenzi wake ili anunulie chakula na kula na marafiki wa kaka huyo baada ya kutumika kimapenzi kwa wiki zima huku akiuza maji ya kunywa.
Baada ya muda akajikuta ni mjamzito na huyo kijana akamwambia watoe tu mimba hiyo.Akampa fedha kidogo na kumwambia aongeze nyingine ambazo amekuwa akimpa ili akatoe mimba bila kukumbuka kuwa fedha hizo zimekuwa zikitumika kwa ajili ya chakula.
Siku ya pili yake akiwa anatoka chumbani mwao kwenda kutoa mimba, akpita kwenye korido ambako akakanyanga sakafu ambayo ina maji na kuteleza. yule kijana akamwona wakati anaangukia tumbo pale sakafuni na akasema, “ amini au usiamini hii ndio njia rahisi niliyoitaka uitumie kutoa mimba hiyo”
Kijana akamchukua binti wakati huo damu nyingi zikimtoka na kumwambia aende bafuni akanawe.Lakini kwa nguvu za mwenyezi Mungu yule dada alipona ingawa mimba ilitoka na akaumwa kwa zaidi ya wiki bila msaada wowote ule..
Siku moja akiwa anauza maji akakutana na muuza magazeti na kumpa maji pakiti moja bure na kumwambia, “leo ni miaka kumi tangu baba na mama yangu wafariki katika ajali mbaya, hivyo sitajali mchumba wangu atasemaje au kunifanya nini kwa kutoa maji haya bure, ila mimi nitatoa maji bure k**a kumbukumbu ya siku hii yenye simanzi kwangu”.
Akiwa anataka kuondoka yule muuza magazeti akamwambia kuwa kuna nafasi ya kazi sehemu na kuwa atamsaidia kuandika barua ya kuomba. Yule dada ailishukuru na akawa anampigia mara kwa mara yule muuza magazeti mpaka siku akaitwa kwenda kwenye usaili.
Siku ya usaili akiwa njiani anaelekea huko akakutana na mama mmoja akiwa na gari aina ya BMW likiwa nimeishiwa mafuta. Yule dada akamuuliza mama, Je unahitaji msaada gani?
yule mama akamwambia nimeishiwa mafuta na sijui cha kufanya hapa. Dada akachukua kidumu na kwenda mbio kumnunulia mafuta yule mama na akarudi na kumpa.
Yule mama alipotaka kumpa hela, dada akakataa akasema nimekuona nikamkumbuka mama yangu hivyo nimefurahi kukusaidia, k**a hutajali naomba niwahi sehemu.
Kufika kwenye usaili dada akashangaa kuona kumbe yule mama mwenye BMW ndio boss wa ile kampuni na akafanyiwa usahili na kuanza kazi na sasa anajimudu kifedha na ana biashara zake.
Na sasa hakai tena na yule kijana mvuta bangi wakati nusu ya utajiri wake anaupeleka kwenye vituo vya kulelea watoto yatima.
Nami leo nakuombea unayeisoma habari hii, Mungu akujalie na kukufungulia milango ya mafanikio katika kila jaribu unalolipitia na ukumbuke kuwasaidia wanao hitaji msaada wako.
Comment neno “Amen”
na kisha share
Huwezi jua madhara ya kuupuuzia ujumbe huu

Follow group hili 👇👇k**a unampenda 🥰 Mungu
https://fb.watch/7ZhB0OqM1V/

SASA NI RASMI SIMBA WATAMBULISHA JEZI ZAO           Simba SC Tanzania SIMBA JAMII Simba SIMBA SC Breaking news
03/09/2021

SASA NI RASMI SIMBA WATAMBULISHA JEZI ZAO

 Simba SC Tanzania SIMBA JAMII Simba SIMBA SC Breaking news

15/07/2021

HIVI MAJESHI YETU YANATUMIA SHELIA GANI KUFANYA MATUKIO HAYA, AU JWTZ WAPO JUU YA SHERIA MAANA MATUKIO HAYA YANATENDEKA NCHI NZIMA...

Haijapita hata mwezi tangu wapige risasi ng'ombe wakaahidi kuwa wataendelea na watatuuwa nasisi wananchi, leo wametekeleza kwa kumuua mtu.

Serikali ya wilaya yetu mkuu wetu wa wilaya umefika eneo na umehakikisha kuwa Mtu kauwawa wapi nje ya mpaka kbsa . tunaomba haki itendeke na tujue hatma ya wafugaji na usalama wa Wananchi wote.

Isiishie njian K**a ilivyo desturi ya viongoz wa Sasa.

30/06/2021

Kwa wenzetu Msiba ni sherehe..

08/06/2021

Umekaa na mimba miezi 9, Mungu amekujalia umejifungua salama.

Unapata wapi ujasili wa kumtupa Mtoto wako....

HII ROHO MNAITOA WAPI DADA ZETU, MAMA YAKO ANGEKUTUPA JEE

-Tuna husika na :-1) KUPAKA RANGI ZA MAJUMBA   a)Conmix   b)drewa   nk.2) UJENZI ( plaster )3) BRANDARING NA KUFUNIKA GY...
21/05/2021



-Tuna husika na :-

1) KUPAKA RANGI ZA MAJUMBA
a)Conmix b)drewa nk.
2) UJENZI ( plaster )
3) BRANDARING NA KUFUNIKA GYPSUM BOARD
4) KUBANDIKA WALLPAPER
5) UREMBO WA MAJUMBA
6) KUJENGA TILES

maelezo zaidi tunapatikana........KINONDONI/DAR ES SALAAM

Au tupigie
-SIMU no. 0716 197609
0686 201899

-Email address:-
[email protected]

Kwa picha zaidi za Kazi zetu,,,

-To follow Instagram:-



KARIBU KUFANYA KAZI NASI KWANI GHARAMA ZETU NI NAFUU SANA

13/05/2021

😭😭 .Unapoamka huna tatizo lolote mshukuru Mungu sana ndugu zangu afya ndo kila kitu mengine yanatafutwa kuna watu wanateseka jamani dah
kiukweli nimeguswa na huyu baba alikua kazini nyundo ikambonda mkononi ikatokea k**a jipu toka mwaka juzi kidonda kimekua kikubwa mshipa wa fahamu umekua affected hivyo anahitaji kufanyiwa oparation amepita madukani hajafanikiwa kwa sasa
Tuma chochote ambacho Mungu amekubariki no za kutuma
0768 107024 voda
0717 300611 tigo
0686 957697 airtel
Jina Mmasy

13/05/2021

KIJANA WA MIAKA 17 AULIWA KWA KUPIGWA NYUNDO KICHWANI NA KISHA KUNYONGWA KWA WAYA.

"Marehemu (alikuwa boda boda) alikodiwa na mteja wake kwenda kwake kubeba mzigo, akiwa na mteja wake (mtuhumiwa) baada ya kufika nyumbani kwake (mteja) aliingia ndani pamoja na abiria kwa ajili ya kumuonesha mzigo ambao ilikuwa mzigo wa mez, akiwa kwenye harakati za kuifungua hiyo meza: Mtuhumiwa (Mmasai) alimtokea kwa nyuma na kumpiga nyundo kichwani mwake na kisha marehemu akadondoka chini. Alichukua waya akamkaba shingoni na kumnyonga nao alipohakikisha amepoteza uhai, alimuita rafiki yake mwingine akijivuna kuwa 'kazi aliyokuwa amenuia kuifanya ameikamilisha' na baadae walishirikiana kubeba mwili wa Marehemu kwa kuongoza kwenye mifuko ya sandalusi na kisha kupakia kwenye pikipiki na kwenda nao kando kando mwa barabara kuu na kisha kuutelekeza hapo"- ACP Amon Kakwale.

12/05/2021

Jeshi la Polisi wilayani Magu mkoani Mwanza, limefanikiwa kumnusuru kwa kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali, mama mmoja aitwaye Salome James maarufu kwa jina la ìtoroka ujeî, kutokana na tuhuma za kuwageuza misukule baadhi ya wakazi wa kijiji cha Isandula.

12/05/2021

TUKISEMA ULIKUWA UCHAFUZI MTUELEWE....

HII NDIO IMEFANYIKA NCHI NZIMA NA VYOMBO VYETU VYA ULINZIII...
..AIBU TUPU....YAANI AIBU TUPU....

10/05/2021

Kuwa shujaa wa usafi nyumbani kwako kwa kutumia MAQ! Sabuni hii itakupa uwezo mkubwa na wa ajabu wa kusafisha nguo, kuondoa madoa na kuziacha ziking’ara maradufu! Ng’arisha nguo na MAQ.

Kila mama ni mama shujaa na MAQ.

Usifikiri unapofurahia tendo la ndoa nje ya ndoa na wakati hulifurahii tendo hilo ndani ya ndoa ni kwasababu mwenza wako...
07/05/2021

Usifikiri unapofurahia tendo la ndoa nje ya ndoa na wakati hulifurahii tendo hilo ndani ya ndoa ni kwasababu mwenza wako anamatatizo, anakukera, halijui tendo, sio mtamu au hapendi tendo hilo, la hasha.

Ni rahisi kulifurahia tendo popote ambapo hamna majukumu na hakuna matatajio yoyote kwako. Yani focus yenu ni tendo tu! Hata huko nje kukianza kuwa na majukumu, uwajibikaji na matarajio fulani utaanza kupachoka utafute kupya.

Chai ikipungua ladha dawa yake sio kubadili kikombe bali kuongeza sukari chai ileile. K**a ya moto pooza, k**a ya baridi pasha. Enjoy the breakfast

A MAN FROM TAUREDIlikua siku ya hali ya joto la kawaida ilikua ni July 1954 katika uwanja wa ndege wa Haneda huko Japan ...
04/05/2021

A MAN FROM TAURED

Ilikua siku ya hali ya joto la kawaida ilikua ni July 1954 katika uwanja wa ndege wa Haneda huko Japan ambao ni uwanja wa kimataifa wa Japan ndege k**a kawaida na siku zote za shughuli ndege ilishuka na abiria wote wakashuka wakati wa ukaguzi pakatokea hali moja ya sintofahamu kwa afisa wa ukaguzi alimuona mwanaume aliyekua anaonekana k**a mwenye ndevu usoni pia alikua ana nywele za kahawia na viini vya blue vya macho alionekana k**a mfanyabiashara aliekuwa kavalia suti ya kisasa na tai ya blue na viatu vilivyong'aa sana alikua ni mtu mwenye kujifuta sana jasho kupitia skafu alikua mwenye lugha k**a ya machafuko hivi na alipofika alikua mtu mwenye kuongea kifaransa hakuna aliyemuelewa kwa uharaka pia badae alionekana k**a alielewa kijapani na lugha takribani 5.Huu ni wasifu wa mtu huyo kulingana na maelezo ya Askari wa ukaguzi

Uajabu wake ulimfanya askari wa ukaguzi katika uwanja wa ndege kumsimamisha na kutaka mahojiano naye kwani alipoambiwa aonyeshe passport zilionekana zimeandikwa ametokea katika nchi inayoitwa Taured ambapo ni nchi ambayo haipo hapa duniani,afisa mshuhudiaji anadai passport yake ilikua imeandikwa k**a kwa mfumo wa kiarabu hivi (arabic passport) hii ilimshangaza sana askari mkaguzi na kumuomba aende katika chumba cha ukaguzi ili kumkagua vema,yule bwana alionekana k**a mwenye haraka na mwenye kukasirishwa na tukio la kuhojiwa na askari ingawaje alikubali kwenda kwenye chumba cha kuhojiwa,alipofika alikuta mkalimani pamoja na afisa wa ukaguzi ndipo alipoanza kuhojiwa kua ametokea wapi na nchi yake inaitwaje!? Majibu yake yalikua yale yale alidai ametokea katika nchi iliyokua ikiitwa Taured ndipo ofisa alipoona k**a hawaelewani aliomba paspoti zake ili apate kuzikagua kuziangalia kweli zilikua zimefuata mfumo wa safari za kimataifa kwani ilikua na stampu na label ya kutokea Taured picha iliyokuwa katika paspoti yake ilikua ni picha ya kijana mdogo hivi (alionekana mdogo kuliko kimuonekano) ndipo afisa wa ukaguzi akaomba vidhibiti zaidi kuhusiana na nchi yake akatoa pesa na kweli zilionekana ametokea Taured lakini alikua na vitu vingine mfukoni mwake k**a Sarafu,kura,picha zake ambazo miongoni mwa picha kulikua na mwanamke na watoto katika picha pia alikua na kura za kigeni na pauni

Afisa akapata wazo la kumpa ramani ya dunia ili aonyeshe nchi yake iko wapi ndipo huyu bwana alipoint katikati ya nchi ya Ufaransa na Hispania,lakini alionekana mtu mwenye kuchanganyikiwa sana baada ya kukuta nchi yake haijaandikwa katika ramani ya dunia ambalo ni jambo la ajabu kidogo aliuliza "mbona nchi yangu haipo katika ramani yenu!?" Alisema nchi yake imekua takribani kuanzia miaka 1000 iliopita katika ramani iwaje isionekane siku hiyo (hapo aliwashangaza askari)

Lakini walipoangalia document zake walikuta aliwahi kufika Japan kibiashara mara nyingi tu na walipoangalia mara ya mwisho kufika Japan walishangaa sana kwani document zilionyesha alifika mara ya mwisho mwaka 1986 na 1988 wakati mwaka huo ulikua ni 1954 yaani ilikua bado wapo nyuma na hawajafika miaka hiyo iliyoonyeshwa kwenye taarifa zake,askari walipoona document zake wakaamua kumchukua kizuiani mpaka atakapopatiwa uvumbuzi kua ni mtu wa aina gani huenda alikua mhalifu! Hakuna ajuaye

Wakaamua kumchukua na kumpeleka hoteli ya karibu ili awekwe huko mpaka watakapompatia uvumbuzi wanasema wakati yupo njiani alionekana mdadisi sana na alikua akiongea lugha yake isiyoeleweka k**a ya machafuko hivi muda wote mwisho wa siku akakata tamaa akaanza kulia na kulaani alisema "niacheni bado nina shughuli kubwa ya kusaidia ulimwengu huu kabla haujaangamizwa" alilaani sana kitendo cha kuwekwa kizuiani lakini kilio chake hakikufua dafu mbele ya askari wa Japan bado hawakumruhusu kuondoka walihakikisha wanamfikisha hotelini (alidai amechoka sana kwani ana kazi kubwa sana)

Walimweka kwenye chumba kilichokuwa ghorofa ya nane katika hoteli hiyo na ili kupata uhakikisho zaidi waliweka askari wawili mbele ya mlango wa chumba alichokuepo kuhakikisha hatoki humo, document zake na taarifa zote ziliachwa katika kituo hapo airport

Ilipofika asubuhi waligonga mlango ili kumrudisha yule mtu katika mahojiano lakini walishangaa ukimya umetawala wala hakufungua ndipo walipotumia ufunguo wa spea kufungua mlango kwa nguvu ndipo wakakuta chumba cheupe kabisa wanadai palikuwa na harufu yake ndogo sana katika hewa ya chumba hicho askari walidhani alitokea dirishani lakini katika dirisha hilo hapakuwa na ushahidi wala uwezekano wa mtu kutoka na wala mlangoni askari hawakuona mtu yeyote aliyetoka ndipo wakaamua kuwahi kwenye kituo cha Airport kuangalia vitu vyake wakashangaa hawakukuta kitu chochote huko Airport hawakukuta mzigo wake wala passport zake vyote vilitoweka katika hali ya sintofahamu tangu hio siku mpaka leo hakuna anayejua yule bwana ni nani na aliwezaje kutoka katika hoteli bila kuonekana na pia ilikuaje ushahidi wake kupotea katika kituo kule airport ambalo ni jambo lisilowezekana mbele ya askari wa Japan

•Jambo la msingi la kukumbuka alikua akimaanisha nini aliposema "mniache nina kazi ya kuisaidia hii dunia kabla haijaangamia" !?

•Na kwanini alionekana tarehe zake zimetoka miaka ya mbele zaidi kabla hata watu hawajafika miaka hiyo

Kwa kipindi chote pamekua na imani nyingi kuhusiana na mtu kutoka Taured wengine wamedai kua huyu ni Time travel yaani mtu aliyetoka katika future maisha ya mbele

Mamlaka ya Japan walitoa taarifa kua akionekana popote azuiliwe haraka iwezekanavyo lakini hawakumpata tena wala ushahidi wake hawakuuona tena

JARIBIO LA STEPHEN HAWKINGS
Stephen Hawkings aliwahi kufanya jaribio la kuwak**ata watu ambao ni time travellers lakini mwisho akagundua hawa watu hawapo kwa sababu:
•Time travellers hudaiwa kua watu ambao wanaishi kesho kabla ya leo yaani kesho wanaishi na wana uwezo wa kurudi kuishi na sisi leo!

•Huyu professa aliamua kufanya jaribio la kuandaa sherehe ya hawa time travellers na katika sherehe yake hakutoa kadi yoyote ya mwaliko wala kumwambia mtu ila aliandaa tu maandalizi na ilipofika kesho yake yaani baada ya sherehe ndo akatoa kadi ya mwaliko lakini ajabu hakufika time travellers hata mmoja hii ina maanisha kwakuwa alitoa kadi ya mwaliko kesho yake yaani baada ya sherehe na time travellers wanaishi kesho kabla ya leo basi wangefika katika sherehe kwa maana hawa time travellers wana lugha yao ya kuongea hivyo k**a kweli wapo basi wangepokea ile kadi kesho yake na kuja kwenye sherehe leo hii

Hii ina prove kua hamna uwepo wa time travellers kwa mujibu wa Stephen Hawkings

Jaribio hili unaeza kulifanya nyumbani kwako kwa kuandaa kitu leo bila kumwambia yeyote na kutoa mwaliko kesho ukiona mtu amekuja leo kabla ya mualiko basi ujue huyo atakua time travellers mwenye uwezo wa kusafiri kwa kasi ya mwanga
Usisahau kulike page.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255716197609

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habarika media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habarika media:

Videos

Share

Nearby media companies


Other Media/News Companies in Dar es Salaam

Show All

You may also like