SWALAHUDIN MADRASA
Soma Dua hii kıla unapoamka Asubuhi hakika hutadhurika na chochote Kwa uwezo wa ALLAH.
Like na Share Kwa ajili ya Allah
Like na Share Kwa ajili ya Allah
Mchungaji Kimaro wa KKKT aliesimamishwa kazı
Anasema vijana wa kiislamu ni waaminifu katka kazı tofauti kabisa na vijana wa Kikristo, anasema Sababu kubwa ni kuwa vijana wa kiislam hufundishwa maadili tokea wakiwa wadogo!
Nini maoni yako?
Sheikh Nurdin Kishki alipotoa machozi ya uchungu!
Like na share ndugu muislam
Kituo cha kiislamu cha Swalahudin Mbondole-Msongola DSM
Ahamdulillah kwa sasa tumekwishamaliza kupiga mkanda, kuweka kifusi ndani ya madarasa..
Cement ipo, Mchanga upo, Tofari 1000 zipo.
Tumekwama pesa ya Fundi...
Alietayari kuwekeza kwa ajili ya ALLAH
0789 05 05 05/0715 76 83 96
Like na share kwa ajili ya Allah!
Afariki wakati akisoma khutba ya Ijumaa
Allah atujalie nasi tutamke Shahada wakati wa kutolewa roho zetu.
Innaa lillahi wainnaa ilayhi rajioun.
Ndugu zangu tujiandae kwaajili ya akhera hakika mauti hayana taarifa.
Like na Share Allah takulipe kwa kusambaza ujumbe wa kheri!
Like na Share ujumbe huu kwa ajili ya Allah.
Allah tujalie tuwe waja wema!
Like na Share kwa ajili ya Allah
Lipwa na Allah kwa kusambaza ujumbe huu!
Assalaam alaykum
Hapa ni Mbondole kata ya Msongola nje ya mji wa Dar Es Salaam..
Kata ya Msonga imepakana na Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani, kutokana na eneo letu kuwa nje kidogo ya mji wa Dar Es Salaam lakini pia wakazi wake wengi ni wageni, hivyo kumekuwa na mwamko mdogo sana kwenye maswala ya dini ya Kiislamu hivyo kupelekea watoto wetu kutopata elimu sahihi ya Dini yetu tukufu.
Muislamu mmoja miongoni mwetu akaamua kujitolea waqfu eneo lake lijengwe Madrasa ili Qur-an tukufu isomeshwe na Mtume Mohammad (s.a.w) aswaliwe na mafundisho yake yafundishwe kwa watoto wetu.
Ndugu yangu katika imaani naomba nikukumbushe yafuatayo:
1. Sadaka yako ndio uokovu wako na moto wa Jahannam.
2. Hakuna aliefilisika kwa kutoa sadaka.
3. Mali zako zoote utakazoziacha hazjna thamani yeyote kama ambavyo ukiacha sadaka yenye kuandelea (sadakatu jaria)
4. Nakuhakikushia siku yakwanza pale ndani kaburi lako utatamani urejeshwe ili utoe sadaka zaidi.. na hilo halitawezekana
Kwa ajili ya kuandaa akhera yako tunakuomba alau mchango wa Tofari moja ilj kukamilisha Madrasa hii..
Mahitaji kwa Madarasa matatu, ofisi moja na matundu sita ya vyoo-
kwa hatua ya msingi haya ndio mahitaji:
1. Cement kwa ajili ya zege la chini kabla ya msingi na kujengea msingi, jumla mifuko *140*
2. Kokoto Roli *2*
3. Mchanga Roli *2*
4. TOFARI *1100*
5. Nondo za milimita *12* idadi *37*
6. Mbao za mkanda pisi *22*
7. Misumari kwa ajili ya kufungia BEAM KG *30*
Ukitaka kufika eneo la tukio:
Kama unatokea maeneo ya mjini panda gari za kuja Gongolamboto kisha shukia Gongolamboto panda gari za kuja Viwege kwa Mpemba, shukia kwa Mpemba kisha panda Bajaji za kuja Mbondole shukia Njianne kisha ukizia kwa Mape, na hapo ulizia Madrasa inayojengwa chini ya Ust Ntalaruka, utaletwa na inshaa Allah utajionea mwenyewe kinachofanyika na hakika hakuna alijutia kuwekeza kw
Mwijaku ana ujumbe maalum wa Ramadhani kwa ajili yako.
Like na share Allah atakulipa thawabu tele.
Like na Share ujumbe huu muhimu sana
Je wafahamu kuwa ku-share ujumbe huu Allah atakulipa thawabu?
Je wafahamu kuwa kusambaza taarifa za kheri ni ibada?
Je wafahamu kuwa kusambaza taarifa hii ya Qur-an utalipwa thawabu kwa kila atakaehudhuria kutokana na wewe kuwa chanzo cha taarifa?
"الدال على الخير كفاعله"
Yeyote anaeijulisha kheri hulipwa thawabu kama anavyolipwa alieifanya kheri hio.
Askofu Gwajima
Atabiri Uislamu kuutawala Dunia kuanzia 2050.
Tafadhali kila anaejua kuwa ni Muislamu Like na share ili ujumbe huu muhimu uwafikie wengi.
Unyama uliopindukia
Ajifungua mtoto na kumtupa chooni
kwakuwa ALLAH ndie anaetoa na kutwaa
kijana ameopolewa chooni akiwa bado HAI!
woooote tuseme;
ALLAH AKBAR (MUNGU mkubwa)
Masjid
cloudsfmtz: Klabu ya Bayern Munich itakuwa ni timu ya kwanza Dunia kuwa na Uwanja wenye msikiti. Msikiti huo umejengwa ndani ya uwanja wa Allianz Arena mahususi kwa wachezaji na mashabiki kupata muda wa kufanya ibada. Wazo la kujenga msikiti lilikuwa ni ombi la mchezaji Frank Ribery aliyeomba kitengwe chumba maalum kwa ajili ya kufanyia ibada kwa wachezaji wa timu hiyo waumini wa dini ya kiislamu.
ADHANA IN GUANTANAMO
Gereza la GUANTANAMO
Sauti unayoisikia ni sauti ya ADHANA ya swala ya Alfajiri.
Anaeadhini ni Mfungwa/Mahabusu wa Gereza.
Hao wanaopita ni askari wa kimarekani walinzi wa gereza.
Nini umejifunza kutokana na tukio hili?
Like na Share kwani huna utakachopungukiwa!
Rais Wa Uturuki Akisoma Qur-aan
Mashaa Allah!
Rais wa UTURUKI Recep Ordogan
akisoma Qur-aan tukufu kwa ustadi wa hali ya juu.
Rais Ordogan ni mwanafunzi wa sheikh Othman NNUUR Topash
Hakika ni fakhari kubwa sana kuwa na viongozi wenye khofu ya MUNGU.
Nakuomba sana kila Muislamu utakae uona ujumbe huu muhimu LIKE na SHARE kwa wingi ili kupata thawabu ya kueneza neno la ALLAH.
Kifo
MUNGU MKUBWA!
Tafadhali angalia video hii fupi kwa umakini
kisha LIKE na SHARE ili wengi waelimike