Kumbukumbu kidogo
kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Mkuu wa Mkoa mpya wa Dar es salaam Albet Chalamila… akihamasisha watu kupiga bia.
Goli la uwezo binafsi la Bernerd Morrison.. kwenye mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Africa Confederation Cup kati ya Yanga na Marumo G (May 10, 2023)
FT: Yanga 2 : 0 Marumo
#yanga #marumo
#yangavsmarumo
Tuburudike kidogo.. Tafadhali usitaje Kabila. Happy Muungano Day
#muunganoday
Kocha wa Yanga Profesa Nabi akijaribu kuwakaribisha mashabiki wa club hiyo kwa kupiga kidogo kiswahili.
BALEKE Hataki masihara Msimu huu.
.
IHEFU SC 0-[1] SIMBA SC
#simba
Goli la Mshambuliaji wa #Yanga Fiston Mayele katika Mchezo wa Jana dhidi ya #Geita
Bao la Uganda dhidi ya Tanzania Jana.
.
TANZANIA 🇹🇿 0-[1] UGANDA 🇺🇬
Goli la Chama ndani ya Dakika 10
Simba 1 — 0 Horoya
Hii ndio maana halisi ya Polisi anayejua Wajibu wake Kisheria.
Huyu anaitwa Georgina richard matagi ni RTO - Mkoa wa Manyara
Mchezaji wa Yanga Feisal akitoka kwenye kikao cha TFF kinachofanya mapitio ya KESI yake
#Repost @kapanga_imma with @use.repost
・・・
TUSIPIME UKUBWA WA MSHAHARA KWA KUANGALIA MAJUKUMU YA FAMILIA ZETU.
Kama kila mfanyakazi angelipwa kulingana na watu wanao mtegemea basi Waajiri wangefunga ofisi zao kwani hakuna muajiri angeweza kumudu.
KUNA KOSA MOJA WAFANYAKAZI HUWA TUNAKOSEA SANA WAKATI WA KUSAINI MKATABA:
Wengi huwa tunaangalia furaha ya wakati kuo wa kusaini tu na wengine huwa tunasoma sehemu tatu tu:
1.Mkataba unaanza na kumalizika lini?
2.Nitalipwa kiasi gani Kwa Mwezi?
3.Sehemu ya kumwaga wino (sehemu ya kusaini)
Wengi huwa tunasahau kuwa mkataba ni jambo la kisheria ndio maana Huwa Kuna wanasheria wa kampuni lakini sisi watia Saini huwa tunaona ni jambo la kirafiki tunamwaga tu wino ili furaha ya muda huo itimie mwisho wa siku tunahisi kuonewa.