Rick Mediatz

Rick Mediatz East African Leading Source for Infotainment News

Unadhani ni muda sahihi kwa Tanzania tuanze kuwa na Midahalo kwa wagombea Urais k**a ilivyo Marekani?
11/09/2024

Unadhani ni muda sahihi kwa Tanzania tuanze kuwa na Midahalo kwa wagombea Urais k**a ilivyo Marekani?

11/09/2024

Nyomi la watu waliojitokeza kununua simu za iPhone16. Ni balaa vipi wewe utaimiliki lini hii?

11/09/2024

During their first Presidential Debate Republican's candidate said that Illegal Immigrants are eating people's Dogs & Cats around Springfield 🤣🤣

11/09/2024

Former US President claim that he will End Vs War as soon as he wins the Presidential election

Source

10/09/2024

DIAMOND AMPIGA NANDY NA KITU KIZITO, AWACHUKUA WASANII WA NANDY FESTIVAL AWAPELEKA WASAFI FESTIVAL

10/09/2024

NAY WA MITEGO Awachana WASANII "WASANII wa CCM" Wanajali MATUMBO YAO

10/09/2024

CHIDI BENZ Afunguka DIAMOND na BABU TALE HAWAJAWAHI KUNISAIDIA CHOCHOTE

10/09/2024

CHIDI BENZ Afichua SIRI NZITO, WASANII WACHAWI WANAROGA SANA,HAWAJUI KUIMBA

Rapa Chidi Benz amefunguka kuwa wasanii wengi ni washirikina na hawana uwezo mkubwa wa Kuimba

10/09/2024

SINA MPANGO WA KUZAA, SIO LAZIMA, SITAKI KUBEBA MIMBA😒😒😒

Mtangazaji wa EATV BHOKE amefunguka kuwa hana mpango wa kubeba ujauzito labda ku Adopt mtoto ndio kitu anachokifikiria kwa sasa

10/09/2024

MABANTU WATAKA KUZICHAPA KISA P**I YA KIJITI🤣🤣🤣🤣

10/09/2024

UTACHEKA: MABANTU Wakiongea KINGEREZA cha MCHONGO BAADA YA KUTOKA UJERUMANI

10/09/2024

NDOA SIO KITU CHA MUHIMU KWENYE MAISHA YANGU, SINA NDOTO ZA KUOLEWA
Mtangazaji wa EATV Bhoke amefunguka kuwa swla la kuwa na Ndoa sio kitu ambacho amekipa kipaumbele kwenye maisha yake

21/05/2024

Follow

Shabiki wa Simba Dr Mohamed amehoji kwa nini Mwenyekiti wa Simba Mangungu hasafiri na timu wakati wapinzani wao Yanga wenzao kila wanapocheza viongozi wao wote wanakuwepo uwanjani
VIDEO YA MOHAMED INAPATIKANA YOUTUBE CHANNEL YA RICKMEDIA


21/05/2024

Follow

Shabiki na mwanachama wa Simba ameutaka uongozi wa Simba kujihudhuru kwa kuwa hawana cha kuwaambia mpaka sasa tangu waingie madarakani misimu mitatu hawana taji la ligi kuu
Dr Mohamed amesema kuwa k**a hawatojihudhuru kwa hiari mpaka msimu unapoisha basi wataitisha mkutano wa dharura wa wanachama kwenda kuwaondoa viongozi hao madarakani
VIDEO YA DR MOHAMED INAPATIKANA YOUTUBE CHANNEL YA RICK MEDIA


20/05/2024

Follow

Afisa habari wa amefichua kuwa mwaka huu nao pia watakuwa na siku ya wanapamba ambayo itafanyika Mwanza, Afisa habari huyo amesema kuwa Siku hiyo itatumika kutambulisha wachezaji wao wapya kwaajili ya Ligi kuu msimu wa 2024/2025
VIDEO YA MSEMAJI WA PAMBA INAPATIKANA YOUTUBE CHANNEL YA RICKMEDIA
Mtangazaji
Camera by .Pixel
Powered by &


20/05/2024

Follow

Tayari Msemaji wa bwana ameanza mikwara mizito kuelekea dirisha kubwa la usajili baada ya timu yake ya Pamba Fc kupanda ligi kuu ya Nbc msimu wa 2024/2025
Sawema anasema tayari Halmashauri ya Pamba imeshatenga Bajeti ya zaidi ya Tsh 600M ambazo hizo ni nje ya wadhamini na zitatumika kwenye Usajili,
Msemaji huyo amesisitiza kuwa wataenda Simba na Yanga kung'oa nyota wale maarufu na kuwapeleka Pamba kwasababu Pamba inataka wachezaji wazuri
VIDEO NZIMA YA MSEMAJI WA PAMBA INAPATIKANA YOUTUBE CHANNEL YA RICKMEDIA
Mtangazaji
Camera by .Pixel
Powered by &


  Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya msanii wakwanza wa lebo ya   . Katika kusheherehekea siku yake ya kuzaliwa Bosi wa le...
20/05/2024

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya msanii wakwanza wa lebo ya . Katika kusheherehekea siku yake ya kuzaliwa Bosi wa lebo hiyo amemwandikia ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram
"Happy birthday mdogo wangu zao la najua unatamani vingi siku yako ya leo ila kila kitu kina muda wake! Jua uko mikono!
Salama Kuanzia mziki wako mpaka maendeleo yako! YOUR
A STAR USIVIMBE KICHWA & kuwa msikilizaji kuliko muongeaji, you are a future trust your self! We love u❤️"
KITU GANI UNAKIPENDA KUTOKA KWA YAMMI?

  Boss wa    amesikia kilio cha  baada ya kudai kuwa hakutendewa haki kwenye tuzo za Muziki Tanzania   Marioo alilalamik...
20/05/2024

Boss wa amesikia kilio cha baada ya kudai kuwa hakutendewa haki kwenye tuzo za Muziki Tanzania
Marioo alilalamika kuwa Album yake ya The Kid You Know ilistahili kushinda kipengele cha Album Bora ya mwaka na badala yake akapewa kupitia Ulbum yake ya Love Sounds Different
Baada ya Malalamiko Hayo Barnaba ameamua kumpa tuzo hiyo Marioo kwa kubadilisha jina la mshindi wa tuzo na kuahidi kumpelekea Marioo popote pale alipo
WIPE ⬅️ KUSOMA ALICHOKIANDIKA BARNABA

20/05/2024

Follow

Mjumbe wa bodi ya Evalist Agile akizungumza na Rick media wakiwa makao makuu ya Simba wakati walipokwenda kubadilishana mawazo na Mtendaji mkuu wa Simba
Mjumbe huyo amesema kuwa Pamba ni timu yenye hadhi sawa sawa na Simba na Yanga na Pamba yenyewe hivyo watu wasubiri pamba kuonesha ukubwa wake
VIDEO HII INAPATIKANA YOUTUBE CHANNEL YA RICKMEDIA
Mtangazaji
Camera by .Pixel


20/05/2024

Follow

Klabu ya ambayo imepanda ligi kuu ya Nbc msimu wa 2024/2025 leo hii ilitembelea makao makuu ya klabu ya Simba yaliyopo Jijini Daresalaam, akizungumza na Rick media mwenyeji wao mtendaji mkuu wa Simba amesema kuwa
"Pamba haijaenda kujifunza kwa Simba bali imeenda kubadilishana uzoefu wa kiutendaji na Mafanikio"
INTERVIEW YA MTENDAJI MKUU WA SIMBA INAPATIKANA YOUTUBE CHANNEL YA RICKMEDIA
Mtangazaji
Camera by .Pixel
Powered by &


  Follow  Mrembo  amethibitisha kuingia kwenye mahusiano kwa mara nyingine, Kupitia ukurasa wake wa instagram kwenye Bio...
20/05/2024

Follow

Mrembo amethibitisha kuingia kwenye mahusiano kwa mara nyingine, Kupitia ukurasa wake wa instagram kwenye Bio yake ameandika 'TAKEN 💍' yaani kwa sasa ni mali ya mtu. 🔥🔥

Powered by &
written by

20/05/2024

Follow

anasema swala la Bondia kupigwa lipo pale pale.😀😀

Written by
Bonyeza Link kwenye Bio Hapo juu kutazama Full Video

20/05/2024

Follow

"Nadhani hii Album ni ya Muhimu sana ndio maana nimeona niitoe hii kwa sababu mambo mazuri anayoyafanya Mhe. Rais anahitaji kupewa moyo haswa kwenye sekta ya muziki, Kuhusu Album ya kimataifa naweza nikatoa Single"-

Written by
Bonyeza Link kwenye Bio Hapo juu kutazama Full Video

20/05/2024

Follow

amefunguka kuwa Album ya ndio itakuwa Album yake ya mwisho kutoa.

Written by
Bonyeza Link kwenye Bio Hapo juu kutazama Full Video

20/05/2024

Follow

ameweka wazi kuhusu kuhamia kwenye upande wa siasa na kusema kuwa uongozi ni karma hivyo Mungu akiona anafaa kwake ni sawa.

Written by
Bonyeza Link kwenye Bio Hapo juu kutazama Full Video

20/05/2024

amefunguka kuhusu kutoswa kwenye tuzo za BET pamoja na wimbo wake "Single Again" kufanya vizuri duniani
Bonyeza Link kwenye Bio Hapo juu kutazama Full Video

20/05/2024

Mwanamuziki ametangaza rasmi jina la Album yake ya tano (5) na ya mwisho kwenye muziki wake. Harmonize ameipa Album hiyo jina la "Muziki wa Samia" ikiwa ni Album maalum kwaajili ya kusifu mazuri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan
Bonyeza Link kwenye Bio Hapo juu kutazama full Video

20/05/2024

Follow

Afisa haabari wa Yanga akiwaongoza wanayanga wenzake kucheza nyimbo ya ubingwa ya "Humu tu" ambayo imezinduliwa leo Jangwani mbele ya wanahabari
VIDEO YA ALLY KAMWE AKICHEZA HUMU TU INAPATIKANA YOUTUBE CHANNEL YA RICKMEDIA


20/05/2024

Follow
Afisa habari wa Yanga Ally kamwe amesema kuwa goli la jana la Azizi ki kwenye mashindano ya FA ndio goli bora la mashindano
Unakubaliana na Ally kamwe?
INTERVIEW NZIMA YA ALLY KAMWE INAPATIKANA YOUTUBE CHANNE YA RICKMEDIA


  Baada ya kumaliza wakiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu nchini Uingereza Kocha wa Arsenal Mike Arteta amefu...
20/05/2024

Baada ya kumaliza wakiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu nchini Uingereza Kocha wa Arsenal Mike Arteta amefunguka haya kwa mashabiki
"Nawashukuru Nyote. Haya yote yanatokea kwa sababu mulianza kuniamini na kuwa wavumilivu. Pongezi zote ziwaendee wachezaji na wafanyakazi. Hatupaswi kuridhika tunahitaji makubwa zaidi ya haya", amefunguka Arteta
Arsenal alikuwa kwenye nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa siku ya jana endapo Manchester city wangepata sare au wangefungwa na West Ham ndoto ambayo haikufanikiwa baada ya vijana wa Guardiola kuwachapa West Ham Mabao 3-1

Address

Sinza Madukani
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rick Mediatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rick Mediatz:

Videos

Share


Other News & Media Websites in Dar es Salaam

Show All