Ulimwengu Wa Udaku

Ulimwengu Wa Udaku Karibu Katika Page Yako Penda Kwa Ajili Ya Kupata Udaku Moto Moto

Huyu ndio Mganga Wa TaifaMuite Mwakatombe
20/02/2024

Huyu ndio Mganga Wa Taifa
Muite Mwakatombe

05/11/2023
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewatoza Wasanii Mbosso na Billnass faini ya milioni tatu kila mmoja na kuwafungia k...
05/11/2023

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewatoza Wasanii Mbosso na Billnass faini ya milioni tatu kila mmoja na kuwafungia kutokujishughulisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo November 04, 2023 kutokana na Wasanii hao kushirikishwa kwenye wimbo wa ‘Ameyatimba’ ya Whozu ambao maudhui yake yanatajwa kukiuka kanuni za maadili.

Kwa upande wake Whozu ametakiwa kushusha mara moja video ya wimbo wake wa ‘Ameyatimba’ kwenye digital platform zote, BASATA imemtoza faini ya Tsh. milioni 3 na kumfungia kujishughulisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi 6 kuanzia leo November 04, 2023.

BASATA imesema Whozu alichapisha video ya wimbo huo Nov 02, 2023 akiwashirikisha wasanii wenzake Mbosso na Bill Nass, na kwamba wimbo huo una maudhui yanayokiuka kanuni za maadili kutokana na kuwepo ishara ya vitendo vinavyoashiria matusi kinyume na Kanuni ya 25(6) (j) pamoja na vitendo ya unyanyasaji, ukatili na udhalilisha wa utu wa Mwanamke kinyume na Kanuni ya 25(6)-(f) “Msanii huyu ameshaonywa mara mbili na kutozwa faini mara moja huko nyuma kwa kukiuka taratibu za kuzingatia maadili katika kazi za sanaa lakini bado ameendelea kupuuza”

“Baraza limeshatoa na kuzindua mwongozo wa maadili katika kazi za sanaa ambao unapatikana katika tovuti yetu www.basata.go.tz, hivyo ni jukumu la kila Msanii na mdau wa sanaa kuzingatia maadili katika kazi za sanaa”

Anti Ezekiel Kwenye Vazi la Kusherehekea Siku Yake Ya Kuzaliwa.
28/10/2023

Anti Ezekiel Kwenye Vazi la Kusherehekea Siku Yake Ya Kuzaliwa.

Kutoka Kwa Mange KimambiNatamani niandike magazeti nichambeeeeee ila acha tu. Watu wamepata vilema vya maisha, watu wame...
28/10/2023

Kutoka Kwa Mange Kimambi
Natamani niandike magazeti nichambeeeeee ila acha tu. Watu wamepata vilema vya maisha, watu wamepotea mpaka leo hawajulikani walipo. Kina Roma walitekwa na kuteswa, nchi nzima tulilia machozi mpaka wakamtoa Roma. Na Roma anakwambia kabisa ni Bash*te ndo aliekuwa anamtesa baada ya kutekwa. Eti leo jamaa aliekuwa mstari wa mbele kukamilisha haya karudishwa kwenye system k**a hakuna kitu…
Eti alikuwa likizo? Likizo baada ya kuua kina Ben Saanane? Likizo baada ya kumteka Roma, Mo Dewji na wengineo. Likizo baada ya kumpiga risasi Lissu?? Hayo ni makosa ya kwenda likizo au ni makosa ya kwenda jela??.
Acha niwe mkweli, siku mama Samia alipoapishwa k**a Rais, I had so much hope for my country. Yani nilisema dah Mungu katuona watanzania, katutoa kwenye mdomo wa mamba, Fast forward 3 years later all hope is gone, matumaini yooote niliyokuwa nayo yamepotea.. Hii ya kumrudisha Bash*te was such a bold move, yani hapa mama kaamua kutupa middle finger wooote tuliomwamini na kumsapoti since day 1.
Na kwenu watanzania mliofurahia Bash*te kurudi kwenye system, aiseee sina hata neno lakuwa describe. Yani watanzania as long as kiongozi ni mbabe mbabe muonevu , anaonea watu basi kwenu mnamuona anafaaa. This is why mkinimbia eti nipige kelele kuhusu DP world huwa nataka niwatukane. Nani awapiganie vichwa maji nyie?Yani nyie nyie mnaomsifia mama kwa kumrudisha Bash*te ndio hao hao mnalalamika kuhusu bandari, hivi wazima nyie? Nyie watu mna deserve kuuziwa mpaka nyumba zenu nini bandari? Na mna deserve kulala kwenye giza, Tanesco katia umeme hawa mpaka mwakani, Pumbav zenu.Yani watanzania hamna akili, nimeona wengine mnaweka posti za Haji Manara kumsema, hivi are you stupid? Hawa kina Haji ndo watu walio experience uonevu wa Bash*te first hand. Manara aliwekwa ndani na Bash*te for 2 weeks kisa tu alihoji publicly Mo Dewji alipotekwa, leo watz mnaposti alichosema Manara mnamkebehi hivi mna akili nyinyi?
Dada yangu, achana na kutetea hii mijitu, unapoteza nguvu,hawajielewi hawa. Kina Mbowe wanaendelea kupigana na hawachoki coz wao hii ndio ajira yao, wanatengeza hela ila we dada yangu sikuelewi at all, unaowapigania ndo hawa wanafurahia Bash*te kurudi.

Kutoka Kwa Jike Shupa - "Pesa kubwa niliyowahi kuhongwa na mpenzi wangu ilikuwa shilingi milioni 200, nilihongwa na mpen...
23/10/2023

Kutoka Kwa Jike Shupa - "Pesa kubwa niliyowahi kuhongwa na mpenzi wangu ilikuwa shilingi milioni 200, nilihongwa na mpenzi wangu ambaye alikuwa anaishi Uingereza. Lakini sasa hivi nipo tayari kuolewa hata kwa elfu 20 kwasababu nimetumika sana. Nipo tayari kuolewa na mtu yoyote, awe mzee au kijana, lakini shida niliyonayo ni kwamba hata hao ninaowahitaji sasa hivi siwapati😭😭 eeh Mungu nijaalie ndoa" - amesema Jike Shupa ambaye ni socialite wa Kibongo

Huddah Monroe anasema airpot ya Tanzania ni bora zaidi kuliko ya Kenya, maneno yake hayo yaliwahi pia kutamkwa na Bien A...
23/10/2023

Huddah Monroe anasema airpot ya Tanzania ni bora zaidi kuliko ya Kenya, maneno yake hayo yaliwahi pia kutamkwa na Bien Aime wa Saut Sol
Hudadah alikuwa akichangia katika ujumbe uliopostiwa kwamba Tanzania imeipiku Kenya kwa kuwa kimbilio la wawekezaji kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na KPMG

Mange Kimambi Vs Baba Levo
23/10/2023

Mange Kimambi Vs Baba Levo

FahyVanny Katika Ubora Wake
23/10/2023

FahyVanny Katika Ubora Wake

Ukweli Na UsemweSipendi wanawake wanao play victim mambo yakiwaendea mrama wakati na wao waliwatoa machozi wanawake weng...
22/10/2023

Ukweli Na Usemwe

Sipendi wanawake wanao play victim mambo yakiwaendea mrama wakati na wao waliwatoa machozi wanawake wengine…
Niffer wakati unatembea na Kiba huku akiwa kaoa na mke wake anaumia hukujua haya??
Unasubiri Mungu akuheshimishe akupe mume ambae sio cha woote wakati wewe uliingilia ndoa ya mwenzio na kufanya mumewe cha wote??
Mume utapata tu sababu wewe ni mrembo nani mtafutaji ila usitegemee sana kupata peaceful marriage maana na wewe ulihakikisha ndoa za wengine sio peaceful.

Kutoka Kwa  Kiongozi wa kijeshi wa nchini Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema amekataa kupokea mshahara wake k**a Rais w...
22/10/2023

Kutoka Kwa

Kiongozi wa kijeshi wa nchini Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema amekataa kupokea mshahara wake k**a Rais wa Nchi hiyo na kusema atapokea mshahara k**a K**anda wa Jeshi la ulinzi pekee.

Jenerali Brice Nguema amekuwa Kiongozi wa Gabon kufuatia kupinduliwa kwa Rais Ali Bongo mwezi August mwaka huu, taarifa hii imetolewa na Msemaji wa Serikali ya kijeshi Kanali Ulrich Manfoumbi ambapo amesema Jenerali Nguema amechukua uamuzi huo kwa sababu anafahamu na kuzingatia hali ya dharura ya kijamii na matarajio mengi ya Watu wa Gabon.

Utawala wa miaka 14 wa Rais aliyeondolewa madarakani Ali Bongo ulikumbwa na tuhuma na madai ya ufisadi pamoja na kashfa nyingine za kifedha.

Mbali na kukataa mshahara wake akiwa Rais, Jenerali Nguema pia amemua kupunguza matumizi ya fedha za umma kwa kuwakata posho Wabunge, kuondoa fedha zilizotakiwa kutumika kwenye shughuli za kisiasa na kupunguza posho za vikao akisema kuwa hili litaongeza mapato ya serikali.

No caption
22/10/2023

No caption

Mpeni salamu huyu MATEKENYA ...! This is Tanzania.Sio maneno yangu hayo, ni maneno ya Mwijaku
22/10/2023

Mpeni salamu huyu MATEKENYA ...! This is Tanzania.
Sio maneno yangu hayo, ni maneno ya Mwijaku

Kutoka kwa Mange KmambiWananchi mpo poa??? Amkeniiiiiiiii. Habari zilizonifikia asubuhi hii ni kwamba Daudi Bash*te muda...
22/10/2023

Kutoka kwa Mange Kmambi
Wananchi mpo poa??? Amkeniiiiiiiii. Habari zilizonifikia asubuhi hii ni kwamba Daudi Bash*te muda wowote anarudi mjini…….
Sasa ni hivi CCM wamekaa chini wamejitafuta mpaka mwisho wakaona hawawezi kuongoza nchi bila Bash*te. So hapa tunavyoongoea wanataka kumleta awe mwenezi wao….
Haya matajiri msiseme sikuwaambia mapema. Msiseme mmepata suprise. K**a una mali za kukimbiza kimbiza jangili linarudishwa kwenye system anyday from now…..Yani CCM wamekaa wakashauriana wakaona bila hiki kichwa chenye vyeti feki hawawezi.
Mliokuwa mnasubiri sheria ifate mkondo wake kwa matukio yake ya nyuma inabidi msubiri mpaka CCM watakapoamua kuwa no one is above the law.
CCM mi nna swali k**a mmeamua kumrudisha Bash*te si na Sabaya mumrudishe tu??? Bash*te na Sabaya walikuwa na tofauti gani? Warudisheni tu wooote.

https://www.youtube.com/watch?v=K-ab1flTS5w
22/10/2023

https://www.youtube.com/watch?v=K-ab1flTS5w

HUU NDIO WIMBO UNAO SABABISHA NAMUHESHIMU P FUNK MPAKA LEO…!!🙏🙏🙏🙏🙏🙏Wasanii Wa HIPHOP WANANIDHARAU SANA ILA WENGI WAO HAWAJAWAHI KUANDIKA NILICH...

"Wanaume wananionea huruma wanaogopa kufanya mapenzi na mimi; unakuta nimejiandaa wanaishia kunitazama tu, sitaki kuonew...
18/08/2022

"Wanaume wananionea huruma wanaogopa kufanya mapenzi na mimi; unakuta nimejiandaa wanaishia kunitazama tu, sitaki kuonewa huruma.Hata mimi nina hamu zangu halafu mimi sio mtoto mdogo k**a wanavyozani,wasinionee huruma kwa umbo langu dogo"_ Dorah

Nina miaka 27. Mimi ni bikra, sijui kabisaa mambo ya mapenzi - Ameyasema hayo Msanii wa filamu za Bongomovies Dorah.

''Mpenzi wangu anaitwa Edison, tupo kwenye mahusiano mwaka wa nane sasa lakini hatujawahi kukutana kimwili.Yeye pia ananionea huruma anazania ataniumiza kwamba mimi ni mdogo lakini inanichukiza sana" - Dorah

Mwanaume huyo kwa jina la Charles Mfinanga ameibuka kudai yeye ndie baba mzazi wa Nandy 😲
19/07/2022

Mwanaume huyo kwa jina la Charles Mfinanga ameibuka kudai yeye ndie baba mzazi wa Nandy 😲

Say Something About This
16/07/2022

Say Something About This

Post Ya Week Unaweza kufikiria kwamba hauna thamani au haustahili kufanikiwa jambo lolote maishani mwako. Na ukajitupa k...
15/07/2022

Post Ya Week

Unaweza kufikiria kwamba hauna thamani au haustahili kufanikiwa jambo lolote maishani mwako. Na ukajitupa katika kundi la wale waliojikatia tamaa.

Tafadhari nakuomba usifanye na usifikiri kwa namna hiyo katika nafsi yako kuanzia sasa. Unapaswa kutambua kuwa wewe ni mtu mwenye thamani kubwa mno kwa Mungu.

Mungu ametutendea na anaendelea kututendea mambo ambayo hayawezi kuelezeka kwa maneno tu. Na hayawezi kutambulika au kueleweka yote kwa mara moja.

Usivunjike moyo, usikate tamaa na usijihisi kuwa mkosefu. Au kuhisi kuwa Mungu ana upendeleo.

Mungu hana upendeleo, Mungu ni wetu sote.

Amka kwenye usingizi wa pono, usingizi wa mateso na msongo wa mawazo. Kisha pambana kwa utiifu na ustahimilivu, uvumilivu wa shida na maumivu.

Ama kwa hakika utazawadiwa ulichoandaliwa na kinaweza kuwa kikubwa zaidi ya kile unachokipambania.‎

Good things come to those who wait.
DON'T HANG IN THERE.

Lulu Diva amesema mwanaume aliyekuwa nae katika mapenzi ambaye amevujisha video yake ya faragha ni mtu mzima mwenye miak...
12/07/2022

Lulu Diva amesema mwanaume aliyekuwa nae katika mapenzi ambaye amevujisha video yake ya faragha ni mtu mzima mwenye miaka 55 hivyo hakudhani kwa umri wa mwanaume huyo angefanya alichomfanyia kumdhalilisha

Lulu Diva amesema walipokuwa wapenzi alijihisi salama kwa mwanaume huyo kutokana na umri wake akadhani hana mambo mengi ndio akawa anajiachia k**a mtu na mpenzi wake na alikuwa tayari kutulia na mwanaume husika lakini hakujua kuwa alikuwa anarekodi video calls zao

Lulu Diva amesema ni muda kidogo tangu walipokuwa wapenzi na kuachana na alikuwa anajiachia mara kadhaa hivyo bado anafikiri ex wake huyo atakuwa na videos zake nyingine za faragha na hajui ataziachia lini

Lulu Diva amesema hakuna chochote kikubwa kuwa labda alifanyiwa na mwanaume huyo kimaisha ndio maana akamdhalilisha kusambaza videos zake za faragha. Awali, Lulu alisema aliachana nae baada ya kuona mwanaume amejaa sana wivu na muda mwingi anataka wazungumze kwa video call.

Lulu Diva amemalizia kwamba kwasasa bado anajiuguza kwa udhalilishaji wa kuvujishwa video aliofanyiwa, anasema video hakujirekodi yeye lakini anajilaumu kuna sehemu alikosea amejifunza na kwasasa amepata mtazamo tofauti kuhusu wanaume

**Iran kuipa Urusi ndege zisizo na rubani ili kuisambaratisha Ukrain ** # BBC SWAHILI
12/07/2022

**Iran kuipa Urusi ndege zisizo na rubani ili kuisambaratisha Ukrain ** # BBC SWAHILI

Gigy anasema Nay Wa Mitego ndie ex bora kwake huku akimpa asilimia 50% ambapo pia alimpa asilimia 0% Rich Mavoko waliyew...
11/07/2022

Gigy anasema Nay Wa Mitego ndie ex bora kwake huku akimpa asilimia 50% ambapo pia alimpa asilimia 0% Rich Mavoko waliyewahi kuwa wapenzi

Gigi huwa hajivungi kuwataja ma-ex wake kwani katika moja ya interviews zake alikiri kutembea kimapenzi na Alikiba na Abdukiba ambao ni ndugu

Zamaradi Mketema Atupia Picha Hiyo Akiwa Pamoja Na Buster Rhymes.Nakuandika "Binaadamu tunatoka mbali sana" 😃😆
11/07/2022

Zamaradi Mketema Atupia Picha Hiyo Akiwa Pamoja Na Buster Rhymes.

Nakuandika "Binaadamu tunatoka mbali sana" 😃😆

Unakumbuka Nini Kuhusu Warembo Hawa Wenye Viwango Vya Kimataifa? Dondosha Maoni Yako Hapa
11/07/2022

Unakumbuka Nini Kuhusu Warembo Hawa Wenye Viwango Vya Kimataifa?

Dondosha Maoni Yako Hapa

PaulaVanny Katika Ubora Wake Wa Kimataifa
11/07/2022

PaulaVanny Katika Ubora Wake Wa Kimataifa

Wahuni Sio Watu Wazuri Kwa Kweli.DC Jokate Mwegelo Kazini 🤍
10/07/2022

Wahuni Sio Watu Wazuri Kwa Kweli.

DC Jokate Mwegelo Kazini 🤍

Kwa mujibu wa Forbes kwasasa Rihanna(34) ndie bilionea mwanamke mdogo zaidi nchini Marekani ambaye utajiri wake amaupata...
10/07/2022

Kwa mujibu wa Forbes kwasasa Rihanna(34) ndie bilionea mwanamke mdogo zaidi nchini Marekani ambaye utajiri wake amaupata kwa kupambana mwenyewe kikazi sio kuhongwa hongwa au kurithi

Rihanna kwasasa ana utajiri si chini ya dola $1.4 bilioni huku kampuni ya vipodozi ya Fenty anayoimiliki kwa ubia ikiwa ndio inamuingizia mkwanja zaidi kwa mwaka

Kwa mujibu wa sauti inayodaiwa kuwa ya Lulu Diva, mrembo huyo amesema hakujua kuwa anarekodiwa katika video chafu ilosam...
10/07/2022

Kwa mujibu wa sauti inayodaiwa kuwa ya Lulu Diva, mrembo huyo amesema hakujua kuwa anarekodiwa katika video chafu ilosambaa. Amesema mwanaume husika ni Mtanzania anayeishi Uingereza na kweli walikuwa wapenzi

Amesema baada ya kuwa wapenzi ndipo akagundua mwanaume ana wivu sana na muda mwingi alitaka wazungumze kwa video call na Lulu Diva ambaye hakujua anarekodiwa

Lulu aliona hatawezana na jamaa ndio akaamua kuachana nae ila jamaa hakukubali kuachwa ndipo amevujisha videos hizo chafu alizokuwa akimrekodi mrembo huyo ambapo Lulu Diva alielezwa kushtushwa sana akanywa sumu na kulazwa hospitalini siku kadhaa zilizopita

PWANI: BABA AMTOROSHA DADA WA KAZI ALIYEMWAGIA MAFUTA YA MOTO BINTI YAKE-Mtoto wa k**e (5), Mkazi wa Soga, Wilayani Kiba...
06/07/2022

PWANI: BABA AMTOROSHA DADA WA KAZI ALIYEMWAGIA MAFUTA YA MOTO BINTI YAKE
-
Mtoto wa k**e (5), Mkazi wa Soga, Wilayani Kibaha amejeruhiwa vibaya na 'Dada wa Kazi za Ndani' aliyetambulika kwa jina la Rehema kwa kumwagiwa mafuta ya moto sehemu mbalimbali za mwili wake kisha mtuhumiwa huyo kutoroka
-
K**anda wa Polisi-Pwani, Gregory Mushi amesema mtuhumiwa alipewa msaada na Baba Mzazi wa Mtoto aliyejeruhiwa wa kukimbilia kusikojulikana
-
Jeshi la Polisi linamshikilia Baba huyo huku likiendelea kumsaka Rehema
-

Rais Samia Suluhu Hassan amesafiri kuelekea Dakar, Senegal kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika wa Jumuiya ya M...
06/07/2022

Rais Samia Suluhu Hassan amesafiri kuelekea Dakar, Senegal kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA Summit for Africa).

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ulimwengu Wa Udaku posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share


Other News & Media Websites in Dar es Salaam

Show All

You may also like