PWANI FM

PWANI FM Coastal Radio station.. Kenyas best!!
(1)

HARMONIZE ampiga dongo DIAMOND "Hakuna anayeweza kukuibia kofia yako k**a wanakupenda kweli"
11/12/2023

HARMONIZE ampiga dongo DIAMOND "Hakuna anayeweza kukuibia kofia yako k**a wanakupenda kweli"

ALIKIBA atoa MILIONI 5 kwa ajili ya PROFESSOR JAY.
11/12/2023

ALIKIBA atoa MILIONI 5 kwa ajili ya PROFESSOR JAY.

On Air Now To 2Pm -Furahia mziki wa Taarab nami TK Timah Mshenga Kisasa na ujifunze upishi wa wali wa kukaanga.  ukiwa w...
06/12/2023

On Air Now To 2Pm
-Furahia mziki wa Taarab nami TK Timah Mshenga Kisasa na ujifunze upishi wa wali wa kukaanga.
ukiwa wapi na nani?

06/12/2023

KIWINGU - Tabia gani inayokukera au kukuudhi mtaani au katika maeneo ambayo unafanya shughuli zako?

UCHAMBUZI WA MAGAZETI NA SWALA NYETI 6am - 9am ukiwa nami Fundi Bengo.Kumekucha!Umeamkaje?Unategea ukiwa wapi?
06/12/2023

UCHAMBUZI WA MAGAZETI NA SWALA NYETI 6am - 9am ukiwa nami Fundi Bengo.
Kumekucha!
Umeamkaje?
Unategea ukiwa wapi?

  unawakilisha ukiwa wapi
05/12/2023

unawakilisha ukiwa wapi

Ni njia gani rahisi za kumtoka mtu ambae umechoka kuwa nae katika mahusiano?
05/12/2023

Ni njia gani rahisi za kumtoka mtu ambae umechoka kuwa nae katika mahusiano?

  Kura yako kwa nani? VOTE!! VOTE!! VOTE!!1. ECHO254-MAPEPO2.ZIKY MTANAH FT KELECHI - MIDZICHENDA3. HAPPY C - MIJIKENDA ...
05/12/2023

Kura yako kwa nani?
VOTE!! VOTE!! VOTE!!
1. ECHO254-MAPEPO
2.ZIKY MTANAH FT KELECHI - MIDZICHENDA
3. HAPPY C - MIJIKENDA GIRL
4. ADASA - KAYA
5. KAA LA MOTO - MANIPULATE
6. SUSUMILA FT KASH BIRO FT ALLY B FT ALI WALEO - ARIWE YE PAPA
7. WINTA- TUMEKIWASHA FT KIDIS
8. IYANI- DECEMBER
9. KELECHI AFRICANA- CRAZY
10. DOGO RICHIE FT MASAUTI - IN THIS LIFE

TRACKS IN WAITING
1. K.O - NTAKUJA NYUMBANI
2. CSM WAZITO - RINGA
3.NASHA TRAVIS - K**A BOSS

On Air Now To 1Pm -Furahia mziki wa Bango nami TK Timah Mshenga Kisasa. -Unazegeda na nani ukiwa wapi?
03/12/2023

On Air Now To 1Pm
-Furahia mziki wa Bango nami TK Timah Mshenga Kisasa.
-Unazegeda na nani ukiwa wapi?

Sakata rhumba nami Dj Tausi1.00 p.m- 4.00 p.m ndani ya Rhumba na Lingala mix.Tuma request yako sasa...Online: www.Pwanif...
02/12/2023

Sakata rhumba nami Dj Tausi1.00 p.m- 4.00 p.m ndani ya Rhumba na Lingala mix.Tuma request yako sasa...Online: www.Pwanifm.kbc.co.ke

  ON AIR NOW!! 9am -12noonParty FurahiDay Unawakilisha wapi? Tupe request yako
01/12/2023

ON AIR NOW!! 9am -12noon
Party FurahiDay Unawakilisha wapi? Tupe request yako

Ariwe yee papa unasikiza Pwani fm ukikala hiko…  Unamala wira wani hinde narooo…
30/11/2023

Ariwe yee papa unasikiza Pwani fm ukikala hiko…

Unamala wira wani hinde narooo…

  9am -12noon na MakkuTotal request day wakilisha mtaa wako unipe request yako Kabisa.
30/11/2023

9am -12noon na Makku
Total request day wakilisha mtaa wako unipe request yako Kabisa.

UCHAMBUZI WA MAGAZETI NA SWALA NYETI 6am - 9am ukiwa nami Fundi Bengo.Kumepambauka!Unategea ukiwa wapi?
30/11/2023

UCHAMBUZI WA MAGAZETI NA SWALA NYETI 6am - 9am ukiwa nami Fundi Bengo.
Kumepambauka!
Unategea ukiwa wapi?

Mwanamume kutoka mtaa wa Mtwapa amekataliwa na mpenzi wake baada ya kumfadhili akiwa chuo kwa miaka tatu,
29/11/2023

Mwanamume kutoka mtaa wa Mtwapa amekataliwa na mpenzi wake baada ya kumfadhili akiwa chuo kwa miaka tatu,

29/11/2023

Karibu ndani ya unategea ukiwa wapi?

  Kura yako kwa nani? VOTE!! VOTE!! VOTE!!1. HAPPY C -MIJIKENDA GIRL2. ECHO254 - MAPEPO3. ZIKY MTANAH FT KELECHI - MIDZI...
28/11/2023

Kura yako kwa nani?
VOTE!! VOTE!! VOTE!!
1. HAPPY C -MIJIKENDA GIRL
2. ECHO254 - MAPEPO
3. ZIKY MTANAH FT KELECHI - MIDZICHENDA
4. ADASA - KAYA
5. KAA LA MOTO - MANIPULATE
6. SUSUMILA FT KASH BIRO FT ALLY B FT ALI WALEO - ARIWE YE PAPA
7. WINTA- TUMEKIWASHA FT KIDIS
8. IYANI- DECEMBER
9. KELECHI AFRICANA- CRAZY
10. KAA LA MOTO - SIMILANI

TRACKS IN WAITING
1. DOGO RICHIE FT MASAUTI - IN THIS LIFE
2. CSM WAZITO - RINGA
3.NASHA TRAVIS - K**A BOSS

Kadi na alama za vidole walizoweka Tupac na Biggie walivyok**atwa vinapigwa mnada kwa shillingi millioni 3.4 kwa kila mo...
27/11/2023

Kadi na alama za vidole walizoweka Tupac na Biggie walivyok**atwa vinapigwa mnada kwa shillingi millioni 3.4 kwa kila moja.

KWARAHAZANGU on air now paka mida ya saa nane kamili,jiachie na midundo mizuri ya taarab na ujifunze jinsi ya kuandaa ju...
27/11/2023

KWARAHAZANGU on air now paka mida ya saa nane kamili,jiachie na midundo mizuri ya taarab na ujifunze jinsi ya kuandaa juisi ya chungwa.
Unajiachia ukiwa wapi na nani?

  Hivi marafiki zetu wanahaki ya kutuamualia mpenzi gani wakuwa nae au nani asietufaa? Mtu anakwambia dem gani huyu wa k...
27/11/2023

Hivi marafiki zetu wanahaki ya kutuamualia mpenzi gani wakuwa nae au nani asietufaa? Mtu anakwambia dem gani huyu wa kuwa nae hana sura hana haga achana nae,au anakwambia mwanamume gani yule hana pesa hana hiki hana kile hakufai.

Asante gavana Fatuma Achani kwa kuikubali Pwani Fm.
27/11/2023

Asante gavana Fatuma Achani kwa kuikubali Pwani Fm.

UCHAMBUZI WA MAGAZETI NA SWALA NYETI Ukiwa nami Fundi Bengo6am - 9amUmeamkaje?
27/11/2023

UCHAMBUZI WA MAGAZETI NA SWALA NYETI Ukiwa nami Fundi Bengo
6am - 9am
Umeamkaje?

27/11/2023

KIWINGU - Ona hii...Mtu kuomba mchango wa harusi,,anaweka bajeti kubwa ya sherehe kisha anaanza kuwataka watu kumchangia..Kiwingu au si kiwingu?

“Ukikaa chini ukachunguza vizuri bifula mastaa wengi hapa east africa kwa mfano Chikuzee na Susumila huwezi kupata majib...
24/11/2023

“Ukikaa chini ukachunguza vizuri bifula mastaa wengi hapa east africa kwa mfano Chikuzee na Susumila huwezi kupata majibu sahihi.” Makku.

Echo254 mjengoni twende kazi
24/11/2023

Echo254 mjengoni twende kazi

Idea ya   ni yangu mwenyewe kwa sababu napenda mziki sana na pia nawapenda wasanii wa hapa nyumbani.Nilitaka kushow love...
23/11/2023

Idea ya ni yangu mwenyewe kwa sababu napenda mziki sana na pia nawapenda wasanii wa hapa nyumbani.Nilitaka kushow love kwa wasanii wa zamani lakini vita vilikuwa vingi kwa hiyo maudhui ya event hii yakabadiliko.

  na Makku wakilisha mtaa wako.Total request day dondosha request yako….www.pwanifm.co.ke
23/11/2023

na Makku wakilisha mtaa wako.
Total request day dondosha request yako….
www.pwanifm.co.ke

Address

Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PWANI FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category


Other Radio Stations in Mombasa

Show All

You may also like