Makala ya Tumaini, hivi leo tumeangazia kuhusu umuhimu wa mtoto kupata chanjo ya polio.
Makala haya yameletwa kwako kwa udhamini wa UNICEF Kenya
#Chanjo
#polioawareness
Misa ya kupokelewa kwa mwanamume mkatoliki CMA katika parokia ya Mtakatifu Maria mpalizwa makutano,,,wanaume 850 kutoka dekania zote za jimbo la kitale wanapokelewa na Baba Askofu Henry Juma Odonya
Rhumba Ezala on Air 1pm-4pm
Akina mama wakiimba na kumchezea Mungu wakati wa Misa ya kupokelewa kwao kujiunga rasmi na kikundi cha CWA katika kanisa katoliki, Mtakatifu Maria Mpalizwa Makutano, Pokot Magharibi. Misa anayoongoza Baba Askofu Henry Juma Odonya.
Zidi kufuatilia Misa hii live kupitia masafa yetu ya 89.7fm. Tuko live kutoka papa hapa muda huu.
Hii ni Mitume Radio.
Akina mama wakiimba na kumchezea Mungu wakati wa Misa ya kupokelewa kwao kujiunga rasmi na kikundi cha CWA katika kanisa katoliki, Mtakatifu Maria Mpalizwa Makutano, Pokot Magharibi. Misa anayoongoza Baba Askofu Henry Juma Odonya.
Zidi kufuatilia Misa hii live kupitia masafa yetu ya 89.7fm. Tuko live kutoka papa hapa muda huu.
Hii ni Mitume Radio.
Baba Askofu Henry Juma Odonya akiwabariki akina mama wanao pokolewa rasmi leo Jumamosi 4/11/2023 katika kikundi cha CWA. Ni zaidi ya akina mama 500 kutoka dekania za Tartar, Kapenguria na Ortum.
Anaongoza Misa hii Baba Askofu Henry muda huu kutoka hapa katika kanisa katoliki, Mtakatifu Maria Mpalizwa Makutano, Pokot Magharibi.
Zidi kufuatilia Misa hii kupitia masafa yetu ya 89.7fm tuko live muda huu.
Hii ni Mitume Radio.
Jamaa anayechangamsha watu wa Mungu kwa ujuzi wa hali ya juu wa kucheza kinanda. Live kutoka hapa hapa katika kanisa katoliki Mtakatifu Maria Mpalizwa Makutano, Pokot Magharibi.
Baba Askofu Henry Juma Odonya anaongoza Misa ya Kuwapokea rasmi akina mama katika kikundi cha CWA.
Zidi kufuatilia Misa manake tuko live kupitia masafa yetu ya 89.7fm.
Hii ni Mitume Radio.
#Malaria is responsible for the loss of countless lives across the world.This is why we are working with UNICEF Kenya to educate communities on how to prevent,identifyand treat it.Join us on #MakalaYaTumaini radio show ili tujadiliane.
Through Universal Health Coverage[UHC],all Kenyans will have access to quality health services without financial hardship.
Join our conversation on #MakalaYaTumaini and learn how you can benefit.
12:15pm every Thursday only on Mitume Radio
UNICEF Kenya
USAID Kenya
The Ministry of Health
MOH-DHP
@CBCC_AFRICA
DigiRedio
#ad
The initial stride toward achieving Universal Health Coverage involves ensuring hospitals are well-equipped with essential medicines.#AfyaNyumbani has initiated this critical process.
AfyaYakoJukumuLako
@MOH_Kenya
@USAIDKenya
@MOH_DHP
@CBCC_Africa
#ad
Ensuring an ample supply of medication is essential for optimal operation of healthcare facilities. That is why, in celebration of #MashujaaDay,the government committed to restocking all hospitals as part of the #AfyaNyumbani initiative.
AfyaYakoJukumuLako
@MOH_Kenya
@USAIDKenya
@MOH_DHP
@CBCC_Africa
#AD
You have a right to access quality healthcare, but first you need to have a social insurance card.
Mr. Harry Kimtai,CBS.PS, State department for medical services, ministry of health.
#AfyaYakoJukumuLako
@MOH_Kenya
@USAIDKenya
@MOH_DHP
@CBCC_Africa
@kerichocountygv
Through #AfyaNyumbani, Kenyans will get access to quality health care at the comfort of their own homes.Sound like a dream? It's possible.
#AfyaYakoJukumuLako
@MOH_Kenya
@USAIDKenya
@MOH_DHP
@CBCC_Africa
@kerichocountygv
The launch of #AfyaNyumbani marks the beginning of a better and more inclusive health system in Kenya.Join us this #MashujaaDay as we celebrate this great milestone.
#AfyaYakoJukumuLako
@MOH_Kenya
@USAIDKenya
@MOH_DHP
@CBCC_Africa
@kerichocountygv
The government has recruited 100,000 community health promoters to support hospitals in ensuring communities are healthy.Join us this #MashujaaDay as we launch #AfyaNyumbani
#AfyaYakoJukumuLako
@MOH_Kenya
@USAIDKenya
@MOH_DHP
@CBCC_Africa
@kerichocountygv
Wakenya wote, we invite you to join us for #MashujaaDay celebrations. Be part of the history.
#AfyaYakoJukumuLako
@MOH_Kenya
@USAIDKenya
@MOH_DHP
@CBCC_Africa
@kerichocountygv
Every citizen is entitled to the highest standard quality of treatment
-Mr Harry K Kimtai, CBS. PS, State Department for Medical Services, Ministry of Health
#AfyaYakoJukumuLako
@MOH_Kenya
@USAIDKenya
@MOH_DHP
@CBCC_Africa
@kerichocountygv
This MashujaaDay we're ushering in a new era of health care. One where every Kenyan will get access to quality health care.
#AfyaYakoJukumuLako
@MOH_Kenya
@USAIDKenya
@MOH_DHP
@CBCC_Africa
@kerichocountygv