99.8 P.Radio Muliko la jamii

  • Home
  • 99.8 P.Radio Muliko la jamii

99.8 P.Radio Muliko la jamii P Radio ni nyumbani kwa jamii zote za kaunti 47 nchini kenya. Kituo kinachopeperusha vipindi na habari kwa ubora wake.

Stesheni yenye nafasi za magwiji wenye sanaa za utangazaji. Call/whatsapp +254100930859 streamI https://zeno.fm/radio/pradiofm/

23/07/2025

KARIBU NYUMBANI.

 Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua amesema bado chama hakijapata Kiongozi atayesimama kwenye kinyang'anyiro cha u...
23/07/2025


Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua amesema bado chama hakijapata Kiongozi atayesimama kwenye kinyang'anyiro cha urais mwaka 2027.

Ameongeza kuwa anajua kwamba ana nafasi bora zaidi kuwa rais ila iwapo mbinu yao haitampendelea yupo tayari kumuunga mkono mtu mwingine ambaye atambwaga rais wa sasa William Ruto katikauchaguzi wa 2027

Unamjua k**a Nani?
23/07/2025

Unamjua k**a Nani?

JUMAMOSI HII KWENYE MWENGE WA LUGHA...Tunatua na malenga mhariri wa MASHAIRI...P.Radio taa imara,Inamulika bila kutetere...
23/07/2025

JUMAMOSI HII KWENYE MWENGE WA LUGHA...Tunatua na malenga mhariri wa MASHAIRI...

P.Radio taa imara,
Inamulika bila kutetereka,
kwa sauti ya wananchi wa bara,
Hukumu yake si ya kukosea

sauti ya mama sokoni,
Mjane,kijana na maskini,
Huskiza basi na vitisho,
Katika mawimbi ya upendo

23/07/2025


WHATS THE MEANING OF "STEPPING ASIDE"?

 .Ni Jumatano nyingine tena karibu ndani ya p radio asubuhi naye Kevin Khisa Hadi saanne. Burudani, habari na mijadala. ...
23/07/2025

.
Ni Jumatano nyingine tena karibu ndani ya p radio asubuhi naye Kevin Khisa Hadi saanne. Burudani, habari na mijadala.

SCAN this QR to listen to us!
22/07/2025

SCAN this QR to listen to us!

https://zeno.fm/radio/pradiofm Listen to us live on Zeno FM.
22/07/2025

https://zeno.fm/radio/pradiofm
Listen to us live on Zeno FM.

Tune in to P RADIO MULIKO LA JAMII and enjoy the best of Swahili, English (UK) News/Talk radio. Stream live broadcasts, catch up on past episodes, and stay updated with the latest news and announcements.

Tuko live
22/07/2025

Tuko live

Tune in to P RADIO MULIKO LA JAMII and enjoy the best of Swahili, English (UK) News/Talk radio. Stream live broadcasts, catch up on past episodes, and stay updated with the latest news and announcements.

 WAFUKUA KABURI NA KUKATA KICHWA CHA MAREHEMU Jeshi la Polisi nchini Tanzania linaendeleza msako wa kuwasaka watu walioh...
22/07/2025


WAFUKUA KABURI NA KUKATA KICHWA CHA MAREHEMU
Jeshi la Polisi nchini Tanzania linaendeleza msako wa kuwasaka watu waliohusika kufukua kaburi na kukata kichwa cha marehemu na kuondoka nacho.

  Nishajaajaaa tayari kwa burudani ya rhumba na miziki ya Aina yake. Karibu Sana tuburudike.Hillary Wafula
22/07/2025


Nishajaajaaa tayari kwa burudani ya rhumba na miziki ya Aina yake. Karibu Sana tuburudike.
Hillary Wafula

22/07/2025

CHAN is here coming, let's prepare to chear our boys.



Address


Telephone

+254100930859

Website

https://onlineradiobox.com/ke/pradio/, https://pradio.radiostream123.com/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 99.8 P.Radio Muliko la jamii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to 99.8 P.Radio Muliko la jamii:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share