!["Sasa Portus, hope uko poa . I'm Seline Sh*tumi, 24 years from Mumias. I have a small kid (Boy) . He's 7 month's old. B...](https://img3.medioq.com/985/898/1022832669858980.jpg)
24/01/2025
"Sasa Portus, hope uko poa . I'm Seline Sh*tumi, 24 years from Mumias. I have a small kid (Boy) . He's 7 month's old. Babake vile aliskia Niko na ball alikataa anaruka. Hajakua akinisaidia kumlea na ata nikimcall hakua anashika. So since last week amekua akinicall na new number asking for forgiveness. Mimi nayo alishanitoka kwa roo na nikikumbuka everything including vile aliniruka naumwa Tu. Please, naba advice ikishindikana ni move on nitafute mtu atanipenda na mtoto wangu."