Baraka Fm Radio

Baraka Fm Radio Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Baraka Fm Radio, Radio Station, Kadege, Mbeya.
(1)

Karibu katika ukurasa wetu wa habari na Burudani BARAKAFM MBEYA tupo tayari kukupa habari muda wotee usiache kusikiliza barakafm 107.7Mhz popote ulipoo pia Bonyeza Link hapo kutufuatili online

TAKUKURU Mbeya yabaini deni la bilioni 4 waajiri kushindwa kuwasilisha fedha za wanachama kwenye mfuko wa NSSF
07/11/2024

TAKUKURU Mbeya yabaini deni la bilioni 4 waajiri kushindwa kuwasilisha fedha za wanachama kwenye mfuko wa NSSF

TAKUKURU Mbeya yashirikisha wananchi kuzuia vitendo vya rushwa kwenye miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 97. Na Hobokela Lwinga Taasisi ya ya kuzuia na kupamba na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Mbeya imefanya uchambuzi wa mifumo katika sekta ya…

Usikoseeeee kusikiliza kipindi hiki hapa Baraka fm radio
06/11/2024

Usikoseeeee kusikiliza kipindi hiki hapa Baraka fm radio

06/11/2024

*KANISA LA MORAVIAN TANZANIA*

*KIONGOZI KALENDA 2024*

*TAREHE 06/11/2024 JUMATANO* *Danieli 4:19-37*

*Zaburi 119:169-176; 1Wafalme 2:39-3:28; Yohana 12:20-36*

Heri wakaao nyumbani mwako,
Wanakuhimidi daima.
*Zaburi 84:4*

Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.
*Warumi 8:26*

Mahafali ya chekechea Anu daycare yafana jijini Mbeya
05/11/2024

Mahafali ya chekechea Anu daycare yafana jijini Mbeya

Na Yuda Joseph Mwakalinga Mahafali ya wanafunzi wa shule ya chekechea ya Anu Daycare and Kindergarten iliyopo Sabasaba jijini Mbeya yalifanyika kwa mafanikio makubwa, huku wazazi na walimu wakishirikiana katika kuadhimisha siku hiyo muhimu kwa watoto wao. Katika hotuba yake…

Mikutano ya idara ya uinjilisti Moravian yatajwa sababu kukua kwa kanisa
05/11/2024

Mikutano ya idara ya uinjilisti Moravian yatajwa sababu kukua kwa kanisa

Kanisa la Moravian Tanzania limekuwa na utaratibu wa kuandaa Mikutano mbalimbali ya idara inayofanyika katika majimbo lengo likiwa ni kueneza injili ya kristo. Na Deus Mellah Uwepo wa idara za Uinjilisti katika Kanisa la Moravian Tanzania jimbo la Kusini Magharibi…

REGROW ni Mradi wa Serikali unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa Lengo la kuboresha usimamizi wa maliasili na kukuza utal...
05/11/2024

REGROW ni Mradi wa Serikali unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa Lengo la kuboresha usimamizi wa maliasili na kukuza utalii kusini mwa Tanzania. Hifadhi ya Taifa ya Ruaha pamoja na hifadhi ya Mikumi, Udzungwa na Nyerere wanatekeleza mradi huu. Kutokana na utekelezaji wa mradi wa REGROW au shughuli za Hifadhi ya Taifa Ruaha, unaweza kuwa na maoni au malalamiko yanayotokana na shughuli hizo.

Kila mtu ana nafasi ya kutoa malalamiko yake kuhusu changamoto zinazotokana na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na shughuli za Mradi wa REGROW. Iwe malalamiko ya athari zinazotokana na usimamizi wa hifadhi, kero za ardhi, unyanyasaji na ukatili wa kijinsia au kuhusu migogoro ya wanyamapori wakali na waharibifu, na kadhalika.

Je una lalamiko lolote kuhusu mradi wa REGROW? Na je, unafahamu unafikishaje malalamiko yako?

Kuna njia tatu rahisi za kufikisha malalamiko yako:

Kwanza unaweza kutembelea ofisi za kijiji chako na kuwasilisha malalamiko yako hapo. Yatapokelewa na kushughulikiwa kupitia Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko.

Njia ya pili, unaweza kupiga simu bure kwa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kupitia namba 0 800 110 801 au katika Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia 0 800 110 804.

Lakini pia unaweza kutuma malalamiko yako kupitia mfumo wa Serikali wa e- Mrejesho mtandaoni kwa kutembelea www.emrejesho.gov.go.tz, au piga *152*00 # kisha chagua 9, alafu chagua 2 ili kuufikia mfumo wa e-Mrejesho. Hapo utaweza kutoa malalamiko yako.

Kumbuka, malalamiko yako yatapokelewa kwa usiri ili kukulinda k**a mlalamikaji. Na yeyote atakayemdhuru mlalamikaji kwa namna yeyote atachukuliwa hatua za kisheria. Malalamiko yatasikilizwa kwa umakini, na utapata mrejesho mara moja. Hifadhi ya Taifa Ruaha na Mradi wa REGROW wanahakikisha usalama na ustawi wa jamii yako.

05/11/2024

*KANISA LA MORAVIAN TANZANIA*

*KIONGOZI KALENDA 2024*

*TAREHE 05/11/2024 JUMANNE*. *Danieli 4:1-18*

*Zaburi 119:161-163; 1Wafalme 2:1-38; Yohana 12:12-19*

Nitauondoa moyo wa jiwe katika miili yao, nami nitawapa moyo wa nyama; ili waende katika amri zangu, na kuyashika maagizo yangu *Ezekieli 11:19b-20a*

Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza;
wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu. *Luka 17:20-21*

Walemavu wa uoni Mbeya wapata mtoto mwenye uoni
05/11/2024

Walemavu wa uoni Mbeya wapata mtoto mwenye uoni

Unawaza ukadhani ni simulizi lakini hii habari ya kwel kwa wanandoa wenye ulemavu wa kutoona kuamua kuishi pamoja. Na Ezekiel Kamanga Upendo Tebela(37)na mumewe Mwakifumbwa(52) wakazi wa Mbalizi wote ni vipofu waliamua kuoana mwaka 2021 na wamejaliwa kupata mtoto wa…

Kuelekea mwisho wa mwaka kanisa waanza maombi maalumu
05/11/2024

Kuelekea mwisho wa mwaka kanisa waanza maombi maalumu

Tunapoomba kwa bidii, Mungu anatenda zaidi ya tunavyoweza kutarajia. Na Yuda Joseph Mwakalinga Waumini Kanisa la EAGT Hema ya Furaha, lililopo Airport ya Kwanza wamefanya ibada maalumu ya maombi ya kuepusha mishale ya adui, maalumu kwa kipindi cha mwisho wa…

EAGT hema ya furaha yafanya maombi kuelekea mwisho wa mwaka
04/11/2024

EAGT hema ya furaha yafanya maombi kuelekea mwisho wa mwaka

Tunapoomba kwa bidii, Mungu anatenda zaidi ya tunavyoweza kutarajia. Na Yuda Joseph Mwakalinga Waumini Kanisa la EAGT Hema ya Furaha, lililopo Airport ya Kwanza wamefanya ibada maalumu ya maombi ya kuepusha mishale ya adui, maalumu kwa kipindi cha mwisho wa…

Moravian Chunya yawapa kicheko watu wenye mahitaji maalum
04/11/2024

Moravian Chunya yawapa kicheko watu wenye mahitaji maalum

Kila binadamu mwenye pumzi ya uhai unapaswa kupata mahitaji mbalimbali muhimu pasipo kujali hali yake ya maumbile,au maisha kwa ujumla. Na Hobokela Lwinga Serikali na taasisi binafsi zimetakiwa kuwa mstari wa mbele kusaidia makundi maalumu yenye uhitaji ikiwemo yatima,wajane na…

Ujumbe wa leo : 1 Wathesalonike5:1 Lakini, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira, hamna haja niwaandikie.2 Maana ninyi ...
04/11/2024

Ujumbe wa leo : 1 Wathesalonike5:1 Lakini, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira, hamna haja niwaandikie.2 Maana ninyi wenyewe mnajua yakini ya kuwa siku ya Bwana yaja k**a vile mwivi ajavyo usiku.

Usipojali utajipoteza
Usichukulie kawaida
siku muhimu yaja🙏

MATUKIO:Ratiba inayoendelea hapa ni chakula kwa watu wote walioshiriki Ibada hii  yenye lengo la kuwakarimu watu wenye m...
03/11/2024

MATUKIO:Ratiba inayoendelea hapa ni chakula kwa watu wote walioshiriki Ibada hii yenye lengo la kuwakarimu watu wenye mahitaji maalum hapa katika kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi ushirika wa Chunya.

Tukio hili limeratibiwa na idara ya udiakonia ya ushirika huu wa Chunya.

Endelea kuwa nasi kwa taarifa mbalimbali kupitia Baraka fm radio 107.7MHz na mitandao yetu ya kijamii na online radio ya https://radiotadio.co.tz/barakafm/

MATUKIO:Ibada ya kuwakarimu watu wenye mahitaji maalum hapa katika kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi...
03/11/2024

MATUKIO:Ibada ya kuwakarimu watu wenye mahitaji maalum hapa katika kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi ushirika wa Chunya.

Tukio hili limeratibiwa na idara ya udiakonia ya ushirika huu wa Chunya

Aidha mchungaji Godfrey Tinga amefungua ibada hii kwa maombi.

Endelea kuwa nasi kwa taarifa mbalimbali kupitia Baraka fm radio 107.7MHz na mitandao yetu ya kijamii na online radio ya https://radiotadio.co.tz/barakafm/

Ujumbe wa leo : Waebrania1:3 Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ...
03/11/2024

Ujumbe wa leo : Waebrania1:3 Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu
4 amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.

Yesu ni fahari yetu🙏

Ni ibada ya hitimisho ya Mkutano mkuu wa Jimbo idara ya kwaya za uinjilisti kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini ...
03/11/2024

Ni ibada ya hitimisho ya Mkutano mkuu wa Jimbo idara ya kwaya za uinjilisti kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi katika ushirika wa Chimala ulioanza ijumaa November 01 na unahitimishwa Leo November 03,2024.

Ibada hii imehudhuriwa na Makamu mwenyekiti wa Jimbo mchungaji Asulumenye Mwahalende, makatibu wa wilaya, pamoja na kwaya mbalimbali zinaunda Jimbo ikiwemo wilaya ya Mbeya, Chunya, Mbalizi na Mbarali.

Endelea kuwa nasi kwa taarifa mbalimbali kupitia Baraka fm radio 107.7MHz na mitandao yetu ya kijamii na online radio ya https://radiotadio.co.tz/barakafm/

Ujumbe wa leo : Ayubu23:12 Sikurudi nyuma kuiacha amri ya midomo yake; Nimeyatunza maneno ya kinywa chake zaidi ya rizik...
02/11/2024

Ujumbe wa leo : Ayubu23:12 Sikurudi nyuma kuiacha amri ya midomo yake; Nimeyatunza maneno ya kinywa chake zaidi ya riziki yangu.

Usiishi nje ya neno la Mungu tunza litakufaa🙏

MATUKIO MBALIMBALI MAHAFARI YA 22 TIA MBEYA Mahafali ya 22 na ya 12 TIA kwa Kampasi ya Mbeya imefanyika Jijini Mbeya mge...
01/11/2024

MATUKIO MBALIMBALI MAHAFARI YA 22 TIA MBEYA

Mahafali ya 22 na ya 12 TIA kwa Kampasi ya Mbeya imefanyika Jijini Mbeya mgeni rasmi akiwa ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera aliyewakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Beno Malisa jumla ya wahitimu 1409 watatunukiwa vyeti.

TUKO HAPA KUKUJUZA KILA KINACHOENDELEA HAPA 107.MHz NA KUPITIA MITANDAO YETU YA KIJAMII

Address

Kadege
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baraka Fm Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category


Other Radio Stations in Mbeya

Show All