Djhambaly funpage

Djhambaly funpage New page ya djhambaly funpagehumulizafm radio pia unaweza kupendekeza nyimbo gani iingie top ten kwe

20/03/2022

Hllw fan's

20/09/2021

Hllw

31/05/2021
01/03/2021
"Nasikia kuna Wasanii wanasema hawanijui mimi , k**a Koffi Olomide ila nataka niwaeleze tu nyimbo zangu zinachezwa hadi ...
25/12/2020

"Nasikia kuna Wasanii wanasema hawanijui mimi , k**a Koffi Olomide ila nataka niwaeleze tu nyimbo zangu zinachezwa hadi huko Congo unapotoka na sijaja duniani ili watu wanijuwe , akinijuwa mama wangu mzazi aliyenileta duniani na mashabiki wangu inatosha.
Jamani kwani kumjuwa mtu itakusaidia nini kwenye maisha yako?
Tuwache maneno yasiyoleta faida yoyote kwenye jamii iliyotuzunguka , kila mtu anaishi maisha yake." - Alikiba

Diamond alionyesha jengo linalodaiwa kuwa ndio Wasafi Tower, lilipofikia kukamilika .......................................
11/11/2020

Diamond alionyesha jengo linalodaiwa kuwa ndio Wasafi Tower, lilipofikia kukamilika ........................................Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya WCB na Wasafi media kwa ujumla Diamond Platnumz ametumia ukurasa wake wa Instgram kuonyesha mjengo wa ghorofa takribani 12, jengo linalodaiwa kuwa ndio Wasafi Tower....................Ikumbukwe siku zahivi karibuni Diamond alisema kuwa ujenzi wa jengo hilo umefikia asilimia 90 na amejaribu ku share picha hizo zikionyesha jengo hilo refu.

Mpaka sasa hivi bado haijathibitishwa kuwa mjengo huo upo maeneo gani.

30/09/2020

TUPIA GOMA UNALOLIKUBARI NOW TWENDE NALO IFIKAPO XAA KUMI KAMILI

Address

Nshamba
Muleba

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Djhambaly funpage posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Djhambaly funpage:

Share

Category